Huyu markuba si nili muona misimu mbuli Bss, na pia cheka tu comedy search. Kumbe ana kipaji cha utangazaji. Félicitations cher markuba. Fonces. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mpe Shule kidogo juu ya kucheza na maiki mengine yote anaweza full confidence hachoshi msikilizaji mchangamfu San pia, Kisha mpe Kazi hapo Ayo TV,,,,, bressed sana Kaka millad
big up millard majanaba anajua mpe nafasi anajua nafikiri nivitu vichache huyu mkimfundisha nakumnoa anakuwa mnomaa kama akiwa anaongea yeye awekee mic kwakwe vi concept vidogo tu millard plz millard hi show mwachie tuna tamani kuendelea kumuona ayo tv marikubaaaa unajuaa brothe keep the fire burning
Mashaallah hatimaye marukuba wetu kawa reporter millad mungu akubariki huyu kijana ana kitu kikubwa na anafaa mkimnoa siku mbili tatu atafaa sana kutupa yale ya mtaani ,,,haya km bado huja subscribe fanyeni kubonyeza makengele 🤣🤣🤣
@@millardayoTZA Amen,nimefurahi sana yani Mungu awainue (Ayo tv)juu zaidi ya hapo.naimani huyu kaka atafika mbali na Mungu atamuweka viwango vingine pia vijana wengi watajifunza kupitia yeye.
Tunaomkubali Huyu Mwamba Kutoka UNITED STATE OF ARUSHA Tujuane Kwa Likes Nyingi Hapa MAJANABA MARKUBAA Akili Kubwa MUNGU Mkubwa✊
Mungu amsaidie apate ajira yakudum cz mwamba anahaso na anakitu
Mimi sio Mnafki namkubali sana huyu jamaa napenda nimuone akipata madili ya pesa ndefu
Congratulations Ayo. This guy needed this blessing.
Congratulations 🎉 majanaba upewe kazi Millard uko juu babalababa.
mpe kazi anaweza🔥🔥🔥
Anaweza sana majanaba mpe ajira kiroho safi
Safi sana Millard kwa kumpa kazi jombaaa
Masha'allah nimefurah. Kumuona uyu kijana kupata kazi
Nlichogundua uyu jamaa anakitu kikubwa sana ayo inabidi mumpe nafasi ya kazi uyu jamaa ni 🔥🔥🔥
Jamaa anahitaji training ndogo sana tu ya kua presenter
Huyu markuba si nili muona misimu mbuli Bss, na pia cheka tu comedy search. Kumbe ana kipaji cha utangazaji. Félicitations cher markuba. Fonces. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mpe Shule kidogo juu ya kucheza na maiki mengine yote anaweza full confidence hachoshi msikilizaji mchangamfu San pia, Kisha mpe Kazi hapo Ayo TV,,,,, bressed sana Kaka millad
Majanaba markuba katisha sana mwamba namkubali kichizzzz 🔥🔥🔥
Ayo Tv mpeni kitengo hicho maina anaweza
big up millard majanaba anajua mpe nafasi anajua nafikiri nivitu vichache huyu mkimfundisha nakumnoa anakuwa mnomaa kama akiwa anaongea yeye awekee mic kwakwe vi concept vidogo tu millard plz millard hi show mwachie tuna tamani kuendelea kumuona ayo tv marikubaaaa unajuaa brothe keep the fire burning
Iwe heri kwako J.... Kumbe unaweza..utangazaji.... Komaa ila Bado mic inapishana na mdomo...
Mwogope Mungu we kidela
Millard Mungu akubariki sana kumpa kazi huyu mwamba wa kaskazini
Huyu mwamba yuko fresh kabisa yani inatakiwa ayo imtazame kwajicho la tatu bless sana mwamba
Hiyo segment iitwe mtaa Kwa mtaa kama majanaba alivyosema na anaiwakilisha vema sanaaa nimependa story telling yake na diction BIG UP MAJANABA
Street sound
My home sweet home ❤
Asante sana Millard Ayo kwa huyu mtu, soon atakuwa mnyama zaidi
BIG UP MAJANABA UMETISHAA UNAWEZA MARKUBAA
Milady ayo mungu akubariki sana bro majanaba anajua msaidie ni kakaetu naanakitu mungu kamuekea
Good vibe majanabaa,mpen shavu la kuzunguka jiji la arusha kama anavyo vya kaka zembela uswazi, kupitia Ayo tv tutayajua maisha ya chuga kwa upana,,
Umesema kitu kizur
very Nice interview, Tumempenda sana markuba
Big up sana Ayo Tv Kwa kutoa ajira Kwa huyu raia wetu
Majanaba mtu kazi . Heavy duty presenter
Dah! safi sana kaka Blue boy wakishua!
Ayo tv.Hakika Majanaba Anaweza .Mpe kazi haraka saana.Kabla Media zingine hawajamnyakua
Safi sana mlipokuja kumtembelea Bi mkubwa sasa wajukuu wameshusha block la hatari
Markuba mtu kazi uko vizuri..🔥🔥
Markuba noma bonge la presenter mpe kazi Millard Ayo Mungu atazidi kukubariki.
Yedede yedede muogope mungu kibela... Umetisha mzee unajua markuba
@Millardayo mpe kazi markuba @absheba here from 🇰🇪
Ukipata 45000 kwa mwez bibi anasema inatosha daaaah alhamdulillah ❤❤❤❤❤
Millard hongera ❤❤❤
Appreciate sana AYO unampenda majanaba na unajtahidi sana kumbakiza mjini I like that
Hii ni show yake mpya ya kutuletea vitu vya A TOWN !!
Hapo nimependa anaweza
Hongera sana Millard Kwa kumpatia kazi huyo kijana nafurahiaga TU anapokua akiongea ni zaidi ya MANDOGA
Ametisha 🔥👏🏾, nasubiri kwa hamu vipindi vingine kutoka kwake
shukrani sana kwa kutazama, bonyeza sub-scribe kabisa upate episode zote zinazofata
Hongera Ayo tv kwa kuwapa nafas wenye vipaji🙌🙌🙌🙌
@@millardayoTZA mpitishe shule kidogo tu Yuko poa sana tumemkubali hatar
Millard ayo Tunakuomba mtengeneze huyo majanaba umpe Ajira ya utangazaji anajuwa sana
Mpe kazi jamaa
❤❤❤❤❤
Jamaa anaweza sana
Majanaba nakubali sana jembe
The guy is gifted😂🤲🏾
Mwamba katisha Sana
Nomaa,Ayo umetisha kwa huyu Arifu!
Nimependaa San uyuu jamaa anajitafuta Mzee kama vp mpe ajira majanabaa makubaaa ❤️❤️❤️
Daah uyo mwamba majanaba amefitia sanaa kazi anaiwezaa kbs
YES YES CHIEF !! KAZI NDIO IMEANZA
Jamaa yupo vzr sana
Mbn majanaba ni mwandishi mzuri sana ,anajua kuhoji sana
Waaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂huyu Host wa kipindi Ni mbaya mbaya...🤣🤣🤣🤣daaaaaa
Majanaba ana kipaji sana nakubali kazi Millard ayo
GOOD MAJANABA MARKUBA SAFI SANA . MILLARD AYO MPATIE KAZI HUYU JAMAA ANAWEZA.
KAZI ANAYO TAYARI NA HII NDIO EPISODE YAKE YA KWANZA !!
@@millardayoTZA Ubarikiwe sana millard nimefurahi sana kusikia hivo huyu jamaa namkubali sana 🙌
Barikiwa sana mallard
Mpe kazi mwamba anajua
Hongera sana kumsadia huyu jamaa na kitu kikubwa kipo ndani yake
Hahaaaa jamani mitaa nmeish hiyoooo😂,namfaham sana huyu bibi🤗
God bless u millard❤👐
Mpeni kazi uyu kaka majanaba anaweza
Apewe kazi 🙏🙏🙏
Daah ni maisha harisi kabisa ya mtanzania
Kwanini usiye dekijijini baba. Mbonapazuri. Vyakula vizuri
Nakubali @kwani hii Dunia ni yetu @Yesuuulanya @Muogope Mungu we kidela
Hi ni Mali kaka, huyu anafaa sana kutuletea updates za masela ( R Chuu language). in other hand hii content nimeiona kwa umbali masela wametengwa sana
He has to be hired
Great Job and funny 😁
Best kazi zuri ila unapouliza swali shika kipanza karibu na mudomo
Noma sana majanaba🔥🔥🔥🥰
👏👏👏👏👏👏🤝all the best. No give up
mwamb katisha kinoma yani . majanaba ni🔥🔥🔥🔥
This is to big Ayo Mwana apige kazi
Yan nimeipenda sana anajua kuhoji maswal muhim aiseee marekebisho ni hyo mic tu
Mashaallah hatimaye marukuba wetu kawa reporter millad mungu akubariki huyu kijana ana kitu kikubwa na anafaa mkimnoa siku mbili tatu atafaa sana kutupa yale ya mtaani ,,,haya km bado huja subscribe fanyeni kubonyeza makengele 🤣🤣🤣
Trust me broh we unaweza ona umefanya kitu kidgo lakini kina swawabu kubwa kwa mwnyezi mungu ume muwezesha mtu mwenye uhitaji safi milad ayo
shukrani sana Ndugu !
Namkubali Malkubaa Watangazaji Wengi Wanaiga Huyu Kaja Na Style Ya Kipekee Ya Kinyang'au Ivi Una Burudika Na Habari ina Fika Moyoni
Saf sana ayoo🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Life is...
Markubani yaani, muogope Mungu...kidela"" nimekuelewa sa mjomba.
Mtangazaji wetu markuba majanaba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tume enjoy sana big up majanaba unaweza x100000000000000000
Safi sanaaa maekuba
Majanaa umetisha
Ambia vijana waarusha hiyo maisha sio Yao Yesu mpoke abadilishe spirit yako
Ayo tv impe kazi MAJANABA aisee
Mpe kazi mwana anajuaa
good content
📺📺🎥
Usitoe maiki kabla hujamaliza kuongea
Mpeni kazi majanaba
Jombaa anaweza sana
Kunawatu wanavipaj ila hawajatoboa huyu mwamba kiboko
Nimewahi hii life god bless all people in this area na niliipatia mtoto Yvone thre but it's past painfully story
ndugu awawezi elewa watu kabisa hii
Milad tuahidi huyu jamaa tupo nae ayo itabamba sana
Markuba ni presenter mzuri tu akipikwa vzr
Jamaa anajua mpe kazi
Usimwache huyu mwamba aseee🤣🤣🤣
Naye pia anaishi vip mbona asemi ila uyu mwamba anajizalilisha mnoo kuokota makopo AJIBRAND KAMA WENGINE
APEWE KAZI 🙏🙏🙏
Majanaba anajua safi sana
Msaidien kabisa huyu kijana maana aweza afu anamaisha magumu mpeni nafasi yeyote clouds
Jamaa anaweza
Arusha mpk bibi ana AKA
Mwana amewakilisha vzr sanaaa hpo majanaba anaweza sana atawakilisha vzr mkaa mtaa masela
Og.! Sana
Mimi nampenda huyu kaka jaman akiongea tu mm hoi🤣🤣🤣🤣🤣
Ko mko na host mpya 😃
Dah, hii ni zone ambayo inahitaji masaa 24 kudigest information
UNITED SITATE OF CHUGASTAN ATWON SIR mjimwema tunashi kama ngumu meza kishida ani
Nakubaliii apewe ajira markuba anaweza😂
Woyooooo yuko poa sanaa, aajiriwe tui jamanii
Woyoooo! dingilii nampenda huyu kaka mpeni kazi jamani
AMESHAPATA TAYARI !! BONYEZA SUBSCRIBE JIANDAE KUISHI NAE SANA HUMU TH-cam YA MILLARD AYO
@@millardayoTZA Amen,nimefurahi sana yani Mungu awainue (Ayo tv)juu zaidi ya hapo.naimani huyu kaka atafika mbali na Mungu atamuweka viwango vingine pia vijana wengi watajifunza kupitia yeye.
@@millardayoTZA we will send all Links to our friends coz you did nice job to help markuba