MPAKA HOME KWA MAJANABA JAMAA WA ARUSHA,MAISHA HALISI "NAUZA MAKOPO,NALIPA KODI ELFU 25"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2020

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @ghostelmendez7206
    @ghostelmendez7206 3 ปีที่แล้ว +579

    Kama una mkubali majanaba gonga like kaza buti ... Mzee mwenzangu ridhiki anatoa mungu. Ni heri yule mkweli kuliko wale wanaotuectia. Na kuficha maisha yao halisi

    • @tafadhalisubscribe3714
      @tafadhalisubscribe3714 3 ปีที่แล้ว +2

      Tizama Ucheeeke😂😂 th-cam.com/video/vE3AfUSKUCM/w-d-xo.html 💎 nice Day🌹

    • @joveominteen
      @joveominteen 3 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/cXP0TWH0WaM/w-d-xo.html

    • @kalumbugideon4159
      @kalumbugideon4159 3 ปีที่แล้ว +5

      Privacy ni njema sana Ndugu yangu....si vema kila kitu kuweka wazi kama hujaulizwa

    • @ghostelmendez7206
      @ghostelmendez7206 3 ปีที่แล้ว +2

      @@kalumbugideon4159 ahsante kwa ushauri kaka gedion

    • @kalumbugideon4159
      @kalumbugideon4159 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ghostelmendez7206 Asante Ndugu yangu

  • @exaudmushi8603
    @exaudmushi8603 3 ปีที่แล้ว +5

    Hapa ndipo unapogundua siyo kila mwenye sura mbaya au mwenye kuvaa vibaya,mchafu mchafu,basi atakuwa mwizi,Kibaka,Wengine ni maisha magumu tu ila roho zao ziko safiiii,tena safi ile kinomaa,Na,siyo kila anayependeza basi na roho yake imependezaa,hapanaa Njee ni msafi lakini ndani ya roho kutu imejaaaa,Kama umenieleww konga like hapaa

  • @alfredmrema8052
    @alfredmrema8052 3 ปีที่แล้ว +285

    Millard mngefanya hela mtakayo pata kwenye hii video mpeni majanaba, anastahili hili🙏🏼🙏🏼

  • @carptentv6848
    @carptentv6848 3 ปีที่แล้ว +96

    Bonge la intavyuu huyu mtangazaj anatisha sana juz nlimuona Singida Mara kule kwenye msiba kuna mama alikatwa mkono dahh Milady mnastahili tuzo.kama mnawakubali nipeni like zangu

  • @digital21.13
    @digital21.13 3 ปีที่แล้ว +143

    Jamaa anaongea kam anachekesha but it's Emotional story 😥😥ingependeza kama angetaja nambayake ya cm tumchangie hata hiz miamia tunazopata maana jamaa kawa mkwel Sana 🙏🙏

  • @blackmamba7553
    @blackmamba7553 3 ปีที่แล้ว +45

    Hata kama ni masikini unakula mara moja kwa siku
    Lakini kama una furaha
    Ndugu yangu ww ni tajiri
    Respect bro #majanaba markuba

  • @jumaraha
    @jumaraha 3 ปีที่แล้ว +281

    jamaa yupo mkweli ndio maana Allah akosikumpa riziki,,,,,tusaidieni na number zake ,,,,tumtumie kiasi tulichokua nacho.

  • @jacklinemwanga1691
    @jacklinemwanga1691 3 ปีที่แล้ว +133

    Dingilii umenifurahisha sana japo maisha magumu mungu akufungulie milango ya rizik

  • @joetz2019
    @joetz2019 3 ปีที่แล้ว +43

    Nimeumia sana sana moyo wangu kiasi cha kutaka kutokwa machoz ila nkiwa kama mtoto wa kiume nmejikaza ila Daaah nisiseme mengi nkamkufulu muumba wangu 😢😢 ila mungu atakusimamia braza na maisha utayabadili sana na kubaki na kumbukumbu kuwa wapi umetokea.respect kwenu ayoTv respect sana sana sana najifunza mengi sana kupitia kwenu.

    • @janeayo3158
      @janeayo3158 3 ปีที่แล้ว +1

      Mchangieni ssa

  • @hassanwazir7737
    @hassanwazir7737 3 ปีที่แล้ว +77

    Hadi machozi yamenitoka, usiseme wewe unamaisha magumu angalia hapo, ila Mungu hamtupi mja wake ipo siku Mungu atamnyooshea mkono

    • @doreenkareem5817
      @doreenkareem5817 3 ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli kabisa kk

    • @adrianmallyakibona.352
      @adrianmallyakibona.352 3 ปีที่แล้ว +3

      Milad kwa nn usianzishe namna ya watz kuja pamoja kuwa support watu kama hawa.....

    • @hassanmkungile6021
      @hassanmkungile6021 3 ปีที่แล้ว +1

      Daah kweli uyu Jamaa kitambo nafatilia mungu anisaidie maisha yake changamoto kwakweli 😢😢😢

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 ปีที่แล้ว +119

    Huyu jamaa apelekwe shule yakutangaza... Afanye kiji course cha kuzungumza redioni... Anaweza fit sana kwenye vipindi vya mazungumzo...

  • @amriharuna4236
    @amriharuna4236 3 ปีที่แล้ว +126

    Story ya kusikitisha,watanzania wengi tuna maisha hayo kuunga unga tu,MUNGU TUSAIDIE

  • @gtvonlinemdee7001
    @gtvonlinemdee7001 3 ปีที่แล้ว +82

    Milard tunaomba tufanye kitu huyu jamaa kutaka kushiriki bongo star search anakitu ndani yake. Ni mpambanaji sana

    • @fatemaligalawa4151
      @fatemaligalawa4151 3 ปีที่แล้ว +3

      Angetoa namba yao tumpe chochote maana tunajitahidi kujitoa saana kwawenzetu wenye kyitaji

    • @mariamuomari1944
      @mariamuomari1944 3 ปีที่แล้ว +8

      Tuzungumze ukweli huyu jamaa kuimba hajui wala hana kipaji ukimsaport kwenye kuimba ni kupoteza muda na pesa kuliko pesa zipotee ni bora tumchangie afungue hicho kibanda cha kuku alichosema kwa maana ni mjasiriamali kwenye game tutapoteza hela

    • @jafarisuleimani5367
      @jafarisuleimani5367 3 ปีที่แล้ว

      True

    • @emmanuelmbwile6928
      @emmanuelmbwile6928 3 ปีที่แล้ว

      Kuna wapambanaji wengi sana majirani/ndugu zako Anza na hao kwanza acheni unafiki.

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 3 ปีที่แล้ว +150

    Maisha yetu yakibongo yahuzunisha San sikujua km jamaa ana maisha haya lkn nimpongeze nibora kutafuta chako cha halali kuliko kuiba

  • @chiefben4861
    @chiefben4861 3 ปีที่แล้ว +79

    Pesa si chchote katika furah mtazame broo life lake lakini ana happy sana Kun nguv kweny furah May the Lord Bless you

    • @israelmwasenga9288
      @israelmwasenga9288 3 ปีที่แล้ว +2

      Kabisaa kaka tushukuru kwa kila jambo

    • @japhethgeriad4519
      @japhethgeriad4519 3 ปีที่แล้ว +2

      Hallelujah

    • @twariatiomary486
      @twariatiomary486 3 ปีที่แล้ว +2

      Ujue watu kama hawa nakataa wanataka maisha ya kuomba omba kama mtu hana mikono yote miwili analima kutumia makwapa na anapata lizili wew umekamilika huumwi kazi kuvuta mi bangi tuu

    • @corlliebougie6119
      @corlliebougie6119 3 ปีที่แล้ว +3

      Yaaaan ana furahaaaaa mnoooo yaan daah tunakufuru sana kulalamika aisee

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 3 ปีที่แล้ว +2

      Kabisaaaaaa aiseeee

  • @ramadhanimasudi6904
    @ramadhanimasudi6904 3 ปีที่แล้ว +99

    Mimi niko arusha, nitapataje namba za huyu jamaa nami nimchangie. Jamaa yuko poa sana!

    • @christopherkalolo1805
      @christopherkalolo1805 3 ปีที่แล้ว

      Ukimpata Millard Ayo umempata huyu jamaa

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 ปีที่แล้ว

      FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇
      th-cam.com/video/kYqwzEktA8E/w-d-xo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥🔥

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 2 ปีที่แล้ว

      We mtafute kitaa kama upo arusha bwana

  • @tobiasbosire4250
    @tobiasbosire4250 3 ปีที่แล้ว +138

    I know you Tanzanians never disappoint in helping one of your own,Help this guy to achieve his aim and goal mchangieni

    • @miriamlaurean2226
      @miriamlaurean2226 3 ปีที่แล้ว +1

      Wew pia mchangie vp unajitoa

    • @Its-Me.
      @Its-Me. 3 ปีที่แล้ว +10

      Tafadhalini kuna yeyote anaeza niunganisha na huyu bwana nimlipie kodi ya nyumba angalau mwaka mmoja? Na matumizi madogo yenye mungu ataniwezesha. +254722276430 WhatsApp

    • @mlamar8478
      @mlamar8478 3 ปีที่แล้ว +1

      @@Its-Me. daah

    • @king-rr8oc
      @king-rr8oc 3 ปีที่แล้ว +1

      Rasta mchambuko rasta gonga llike twende sawa

    • @adrianmallyakibona.352
      @adrianmallyakibona.352 3 ปีที่แล้ว +2

      Milad niliwahi kusikiliza history yako... Now i realize the way unajali maisha ya wanyonge... God bless man...

  • @ujenzitanzania1274
    @ujenzitanzania1274 3 ปีที่แล้ว +42

    MUNGU AWABARIKI AYO TV..
    WENGINE WANAWATUMIA TU KUONGEZA WATAZAMAJI, NYIE MMEENDA MBELE ZAIDI .. GOD BLESS YOU

    • @carptentv6848
      @carptentv6848 3 ปีที่แล้ว +2

      Yah naona wamempa simu

  • @ELIMUYAGIZA
    @ELIMUYAGIZA 3 ปีที่แล้ว +43

    Majanaba kama majanaba. huyu mwna inaonesha kitambo alikuwa baharia

    • @blancamushi8522
      @blancamushi8522 3 ปีที่แล้ว

      Nimesoma nae alikua anatukimbiza balaaa

  • @habarinamichezo6427
    @habarinamichezo6427 3 ปีที่แล้ว +62

    Ishu nachoshangaa ni anaenjoy maisha na anafuraha zaidi yngu na still hajayakatia tamaa maisha

  • @bwoyjr9408
    @bwoyjr9408 3 ปีที่แล้ว +78

    aiseee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! maisha ni mapambano sisemi mengi

    • @omaryhamadi6659
      @omaryhamadi6659 3 ปีที่แล้ว

      Yn achat huyo mwamba kanikumbusha nilipo tokea

  • @saidoo_6975
    @saidoo_6975 3 ปีที่แล้ว +84

    Yan kafurahii hadi roho imeniumna ..Dah🤔

    • @kweka14l35
      @kweka14l35 3 ปีที่แล้ว +1

      😭😭😭

  • @nadiahussein5892
    @nadiahussein5892 3 ปีที่แล้ว +14

    Walllah mpaka machozi yananitoka unajiona Una shida kumbe kuna wanaokuzidi Allah akujalie mirrad Kwa kumpa cm ila tunaomba masiliano angalau tumchangie kidogo Allah atakusaidia kaka majanaba 😭😭😭 mwenyewe anafuha masikini

    • @mtasma1994
      @mtasma1994 3 ปีที่แล้ว

      Eti kwa mwezi 25000 duuuh huruma sana aiseeeee

  • @unknown-vl6tz
    @unknown-vl6tz 3 ปีที่แล้ว +28

    Hapo mmenifurahisha Sana mlipompa simu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @husnanetto4154
    @husnanetto4154 3 ปีที่แล้ว +3

    Kama upo makambako naunaishi nyumba yakupanga naunalipa kodi sh 10 chumba kizur umeme maji choo safi get kali kwa elfukumi tu...gonga like apa

  • @dannymkenga606
    @dannymkenga606 3 ปีที่แล้ว +23

    Duh real nikwerekweche mpenisuport yayeye atakaclips 2 afanye comedy kidogo aweke nanamba za cm tumshike mkono kijana mwenze2
    Much thanks Ayo tv

    • @mariamuomari1944
      @mariamuomari1944 3 ปีที่แล้ว +1

      Tumchangie tuh aweke hicho kibanda cha kuku kwa kua ni mjasiliamali kipaji Mimi naon hana

    • @bwanap2003
      @bwanap2003 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mariamuomari1944 Tumemjua kupitia uimbaji, kipaji anacho ila cha rap cartoon, anatusua huyu kuliko hao wanaojua kuimba.

  • @sadockalfred6750
    @sadockalfred6750 3 ปีที่แล้ว +38

    Fanyeni mpango tumchangie buku buku anunue smartphone huyu mwamba tunampenda jaman

    • @bridgettjohn7811
      @bridgettjohn7811 3 ปีที่แล้ว +2

      Aswaaah ila wanaboa hawajatoa bado😭😭😭

    • @mussaabdiel9797
      @mussaabdiel9797 3 ปีที่แล้ว

      Asa ataichajia wp simu yenyew

  • @platnumzkawiche1861
    @platnumzkawiche1861 3 ปีที่แล้ว +91

    chalii yetu huyo jirani kabisa kitaa kimoja, millard jah bless you mpeni sapoti dingilii😂😂😂

    • @fahamujames8003
      @fahamujames8003 3 ปีที่แล้ว +4

      Huyu jamaa sio mkorofi kweli wala sio mwizi jaman nisaidie swali hilo

    • @carptentv6848
      @carptentv6848 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyu mtangazaji anaibua mambo sanaa

    • @haflangoztz3605
      @haflangoztz3605 3 ปีที่แล้ว +1

      🙏

    • @khadijaomari9344
      @khadijaomari9344 3 ปีที่แล้ว

      @@carptentv6848 kweli

    • @ramadhanimasudi6904
      @ramadhanimasudi6904 3 ปีที่แล้ว +2

      Naomba namba zake za simu nimpe zawadi yake. Nampenda bure huyu jamaa!

  • @omaryshafii1174
    @omaryshafii1174 3 ปีที่แล้ว +5

    Ahsanteni sana AYO Tv hii interview inatufundisha mengi sana, moja wapo tuwe furaha na turidhike na tunachopata na maisha yataendelea.. insyaallah

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 3 ปีที่แล้ว +110

    Dah! Mshikaji Namuelewa 🤣🤣🤣🤣 SEMA Life Linakaba Ila one day yes 💪🏽💪🏽

    • @imansanga9018
      @imansanga9018 3 ปีที่แล้ว +1

      Jak

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 ปีที่แล้ว

      FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇
      th-cam.com/video/kYqwzEktA8E/w-d-xo.html
      NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥🔥

    • @user-jc4yn8bu3s
      @user-jc4yn8bu3s 3 ปีที่แล้ว

      @@WASHATube
      MN

  • @kpetres2872
    @kpetres2872 3 ปีที่แล้ว +23

    Alaf Majanaba me naona Kama anajua Sana kuimba, appearance tu ndo inafanya adharaurike😭😭😭😭

    • @mariamuomari1944
      @mariamuomari1944 3 ปีที่แล้ว

      Kuimba hajui sema nilichokiona ni mjasiriamali tumsaport kwenye ujasiriamali aweke hicho kibanda cha kuku alichosema maisha yaende

  • @christophakawishe5152
    @christophakawishe5152 3 ปีที่แล้ว +31

    KAKA MAJANABA, tuombe uzima ipo siku tutakutana, na tutaongea sana, hongera, unajitahidi sana, maana mimi ni chipukizi la gospel

  • @rachelmikey8363
    @rachelmikey8363 3 ปีที่แล้ว +4

    Woiye jamani nimeumia naona kama ndugu yangu😭😭 lakini kwakuwa unauzima tunamshukuru Allah kwa ilo.... Ee Mungu unapo zuru wengine mkumbuke pia.

  • @sellah4603
    @sellah4603 3 ปีที่แล้ว +65

    Godfrey naomba connection nikutane na uyu mwamba

    • @godfreymillardayoripota3002
      @godfreymillardayoripota3002 3 ปีที่แล้ว +1

      Ook

    • @arrfamush3285
      @arrfamush3285 3 ปีที่แล้ว +1

      Msaidie ndugu

    • @godfreymillardayoripota3002
      @godfreymillardayoripota3002 3 ปีที่แล้ว

      @@arrfamush3285 hakuna neno

    • @highzacknnko4002
      @highzacknnko4002 3 ปีที่แล้ว

      Kama upo karibu na chuga njoo nitakukutanisha nae mpaka geto lake,

    • @sweetmama6885
      @sweetmama6885 3 ปีที่แล้ว +2

      @@godfreymillardayoripota3002 mimi naomba namba zako wewe kama wewe. Nikutafute whatsapp. Alafu tuongee nikutumie pesa kidogo umpe Majanaba. Nauniunganishe niongee nae kabisa. Nimempenda bure. Mungu aendelee kumlinda na kum bariki. Walinde na nyie na kuwabariki pia. 🙏🙏. Au unipe jina lako la insta nikutumie msg na no zangu za cm.

  • @bakarikayugwa237
    @bakarikayugwa237 3 ปีที่แล้ว +81

    Sina damuiyo yakuchukuachukua vitu vya watu 😂😂

  • @mariajoseph5347
    @mariajoseph5347 3 ปีที่แล้ว +47

    Ee mungu wetu tukumbushe wema wako tusije laumu🙏
    Wewe ndiyo mtoaji wariziki😢

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 3 ปีที่แล้ว +64

    Ni afadhali na uyo anaokota makopo na analipa kodi sio wengine mtoto wakiume unakua shoga unataka vyabure

    • @aminankungu7891
      @aminankungu7891 3 ปีที่แล้ว

      Yaani sana ndugu yangu bora yye anapambna kama mwanaum ata kama anapata kidgo

    • @kagarukifred7372
      @kagarukifred7372 3 ปีที่แล้ว

      Sana sanaaa mkubwa

    • @weamabdoulnoor3481
      @weamabdoulnoor3481 3 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo hapo a nalipa kodi?

    • @felisteranthony7194
      @felisteranthony7194 3 ปีที่แล้ว

      @@weamabdoulnoor3481 kwani hujasikia au vipi?

  • @blackpanther4825
    @blackpanther4825 2 ปีที่แล้ว

    Dah kamanda namkubali sana. Toka Dar pande za Uswahilini. Tunaokaa life la kibishi popote tulipo piga like hapa.

  • @goldenspear6217
    @goldenspear6217 3 ปีที่แล้ว +2

    Namuona akifit radioni kitengo cha entertainment zile chombeza chombeza zile maana nimuongeaji mzuri mno jamaa. Binafsi nimemuelewa sana jamaa so humble yani.

  • @ummuadam2423
    @ummuadam2423 3 ปีที่แล้ว +73

    SINA DAMU HYO, Nani ameskia kwa msisitizo

  • @SunsetHunter4526
    @SunsetHunter4526 3 ปีที่แล้ว +3

    Heshimu sana Hustle za kila Mwanaume
    Jamaa pamoja na maisha magumu anayoishi hajawahi fikiria kuiba

  • @Jovidatz
    @Jovidatz 3 ปีที่แล้ว +3

    Asee huyu jamaa mfanyien hata mchongo atoe japo track mbili, apate show kadhaa life yaeza change, Jamaa yupo na talent na yupo real Sana✊✊

  • @quentinotieno7103
    @quentinotieno7103 3 ปีที่แล้ว +3

    So inspiring Rastaman, Jah shall open ways. Where there is a will there is always a way

  • @masundelwa
    @masundelwa 3 ปีที่แล้ว +8

    Milard fanya mpango tumchangie huyu jamaa yetu.

  • @plasidiaplasidia7771
    @plasidiaplasidia7771 3 ปีที่แล้ว +54

    Baba na mama wenye nyumba ifikie wkt mtuonee huruma asee. Maisha magumu kwa kazi hiyo anayoifanya kulipa elfu 25 ni tatzo jmn

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 3 ปีที่แล้ว +3

      Na nyumba mtu anayolipia elf 25 haina hadhi kwa binadamu.

    • @maryamselemanabdalah4086
      @maryamselemanabdalah4086 3 ปีที่แล้ว +3

      @@damariszuckschwert9489 kweli kabisa mpaka huruma jamani

    • @plasidiaplasidia7771
      @plasidiaplasidia7771 3 ปีที่แล้ว +1

      @@damariszuckschwert9489 sio pw kbs

    • @mariamuomari1944
      @mariamuomari1944 3 ปีที่แล้ว +4

      Mwenye nyumba mwenyewe anaonekana ni masikini tuh maana kwahiyo nyumba ni nyumba inayomilikiwa na masikini sasa akisamehe itakuaje nae maisha yake

    • @mwakahassan8742
      @mwakahassan8742 3 ปีที่แล้ว +1

      @@damariszuckschwert9489 ndio ivo pesa ndefu sanaa kwa mujib wa icho chumba

  • @emmamikate4741
    @emmamikate4741 3 ปีที่แล้ว +2

    Jah bless Kuna vitu vya kujifunza kwa mwana. Furaha sio pesa Ni uhai tu. One Love

  • @thomasdismas9521
    @thomasdismas9521 3 ปีที่แล้ว +56

    Nasikiaga watu wanasema wa kwanza kucomment nipeni like hivi huwa Ina maana gani😀😀😀😀

    • @carenalphonce5013
      @carenalphonce5013 3 ปีที่แล้ว +1

      Nais ushamba

    • @ghostelmendez7206
      @ghostelmendez7206 3 ปีที่แล้ว +1

      @@carenalphonce5013 caren hahahh

    • @mabulakhan4433
      @mabulakhan4433 3 ปีที่แล้ว

      @@carenalphonce5013 Nikweli ni uxhamba

    • @carenalphonce5013
      @carenalphonce5013 3 ปีที่แล้ว +1

      @neno Elimu tv ni vizur lakini mpk mtu analike apende so mtu alazimishe kulike

    • @joveominteen
      @joveominteen 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/cXP0TWH0WaM/w-d-xo.html

  • @franksarwatt9084
    @franksarwatt9084 3 ปีที่แล้ว +11

    Nimecheka sehemu akisema Wajanja wa mjini bwana wameniweka kwenye mtanadao nami Mpaka nisanuke watakuwa wameshatafuna sana

  • @ummuadam2423
    @ummuadam2423 3 ปีที่แล้ว +10

    Nice one millard ayo ila Sasa unatakiwa uwe na miky nyingine don't share umpe time ya kujibu anaeulizwa,sec micro

  • @vm_rr
    @vm_rr 3 ปีที่แล้ว +6

    Najifunza maisha kila sikuh. God has something to us🙏🙏🙏💪

  • @ebitokeofficial3664
    @ebitokeofficial3664 3 ปีที่แล้ว +4

    Alafu mdogo jamani 29 years na maisha ndio haya, Mungu amuinue namuombea 🙏

  • @Kidofilm
    @Kidofilm 3 ปีที่แล้ว +4

    From USA ! God Bless Him !

  • @ghostelmendez7206
    @ghostelmendez7206 3 ปีที่แล้ว +61

    Imeniumiza hiii video .... .. Mungu atakusaidia .. Kaka

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 3 ปีที่แล้ว +2

    Hivi ndivyo waTanzania wengi tulivyo ndani ya nafsi zetu.. Na maisha yetu kiuhalisia.. INAUMA SANAA..

  • @amneshiganga1509
    @amneshiganga1509 3 ปีที่แล้ว +46

    Millard fanya kitu kwa huyu..🙏

    • @irenezacharia2554
      @irenezacharia2554 3 ปีที่แล้ว +1

      Yeah kweli wafanye kitu maana mmmmmh.

    • @danneismail5442
      @danneismail5442 3 ปีที่แล้ว +1

      Huko sawa lakini sote tunaeza mtoa tukija pamoja.

  • @happynesselisha2048
    @happynesselisha2048 3 ปีที่แล้ว +15

    Kwanza hongera kwa furaha uliyonayo pamoja na maisha kuwa magumu . Jaman tukumbuke kumshukuru mungu jaman. Dah

  • @sharifaseki359
    @sharifaseki359 3 ปีที่แล้ว +5

    Ewe mwenyezi mungu mbariki majanaba kwa kumfungulia milango ya riziki

  • @hukusweden08
    @hukusweden08 3 ปีที่แล้ว +4

    Naomba number Ya uyo Hustler, nimtumie hata halfu 50, i like this guy 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @leylamohamed9939
    @leylamohamed9939 3 ปีที่แล้ว +1

    Ana furaha sana na maisha yake na yuko very comfy.. Allah akujaalie kaka yangu.. Umenigusa sana.. Na nimefurahi umesema hutaki mambo ya wizi

  • @emmanuelmakindi4409
    @emmanuelmakindi4409 3 ปีที่แล้ว +12

    Mpeni msaada jmn, maisha magumu msimu'enjoy

  • @Mahonda8080
    @Mahonda8080 3 ปีที่แล้ว +49

    Uyu jamaa anakitu nashangaa watu hawakioniii

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 3 ปีที่แล้ว +2

    May God protect and bless the work of our hands nmekupenda hard working Mungu atakuinua.

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ana kila namna ya kumfungulia mja wake mlango wa baraka, moyoni mwangu namuona mbali majanaba, namuona akiwa kwenye nyumba nzuri na maisha mazuri, Mungu ni mwema kwa kweli

  • @rougheckrig2236
    @rougheckrig2236 3 ปีที่แล้ว +5

    This guy is very smart..
    Family first💪 I hope he gets successful with his dreams

  • @shanatatrigger6537
    @shanatatrigger6537 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa anachokitu kabisa awezeshwe jmn na anaongea vizuri tu kabisa 🔥🔥🔥🔥

  • @fredrickbuya9293
    @fredrickbuya9293 3 ปีที่แล้ว +1

    Determination yake itamfikisha pahala !! Being real not faking its a blessing tayari mzee !!!! God atafungua milango

  • @didahshee1877
    @didahshee1877 3 ปีที่แล้ว +2

    One day yes Majanaba God bless you brother ❤

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa Allah.. Yechu Yechu kapata simu

  • @jumasima6757
    @jumasima6757 3 ปีที่แล้ว +27

    duh kwenye life kila mja anatafta anavyojua maana usimseme mwanzako

    • @firdausgreen1391
      @firdausgreen1391 3 ปีที่แล้ว +1

      Muhimu dua na juhudi...Allah nae atatia wepesi

    • @yahayamsuya2262
      @yahayamsuya2262 3 ปีที่แล้ว

      Anazingua sana kwa nyumba gani iwe kodi elfu25

  • @WASHATube
    @WASHATube 3 ปีที่แล้ว

    FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇
    th-cam.com/video/kYqwzEktA8E/w-d-xo.html
    NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥🔥

  • @phightv2816
    @phightv2816 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimemuelea huyu jamaa sana mpambanaji ipo siku atatoka tu God bless

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 3 ปีที่แล้ว +31

    Hadi machozi yana nitoka 😢😢😢

  • @bahajajuma5947
    @bahajajuma5947 3 ปีที่แล้ว +4

    God is good all the tym😍....trust u'r self and learn how to forgive"life likikaa sawa ntamfuata mke wng na mtt ili maisha yaendelee" majanaba u hv a smart heart kwa kweli😘

  • @frankchristian6979
    @frankchristian6979 3 ปีที่แล้ว

    Thanks for supporting these people.. huyu ana kipaji sema maisha tu yamemuendea ndivyo sivyo but the guy has something. Arusha pia kuna lots of talents, namuomba Mungu anijalie nikishaweka mambo yangu sawa I will be working on nothern talents cz zipo nyingi.

  • @blancamushi8522
    @blancamushi8522 3 ปีที่แล้ว +2

    Lomnyaki Mungu akusaidie rafiki angu ulikua unanisaidia sana shuleni na nilikutana na ww kwahiyo hali ukanikumbuka daah ila leo nimejua bado unajitambua hope utakua sawa nitakuja arusha kwenu napakumbuka Amen

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 3 ปีที่แล้ว +4

    Something big god atakufanyia wepesi😊😍😊

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 3 ปีที่แล้ว +11

    Millard Ayo ungeweka namba za jamaa tumchangie japo kamtaji.jamaa yupo really which is good 🇹🇿tusaidiane watanzania 🇹🇿🇹🇿.

  • @josef_rodrick4981
    @josef_rodrick4981 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Milard Ayo kwa kumsaidia hyo talented boynan....be belessed.

  • @hassanmkungile6021
    @hassanmkungile6021 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaah maisha Aya Ila jamaa anaish maisha yake na Hana wasi wasi mungu mfungulie njie huyu jamaa😢😢

  • @chiefandrewkidulile3028
    @chiefandrewkidulile3028 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu wa Mbinguni anatupenda sote,haya yote nimaisha......Tuko pamoja majanaba nakuombea maisha mema

  • @jimmyjay4923
    @jimmyjay4923 3 ปีที่แล้ว +27

    Leo majanaba mpole kinoma

    • @lizzydiy4590
      @lizzydiy4590 3 ปีที่แล้ว

      Ajalewa

    • @12322879
      @12322879 3 ปีที่แล้ว

      Kafatwa kwenye kiota chake

    • @shyfettymtunda4935
      @shyfettymtunda4935 3 ปีที่แล้ว +1

      Itakuwa hajapitia kwa Mama Vanessa 😂😂😂😂😂😂🙌

    • @eddovanny2553
      @eddovanny2553 3 ปีที่แล้ว

      Atakuw hajapata utaalam 😅sema yuko real Sana

    • @kevidaddy5810
      @kevidaddy5810 3 ปีที่แล้ว

      Kamwagiza asidiiii

  • @issamsumi538
    @issamsumi538 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu msimamie mwanaume mwenzetu mpambanaj ambae anatafuta kwa jasho lake

  • @kimwedeletventertainment5331
    @kimwedeletventertainment5331 3 ปีที่แล้ว +1

    Namuelewa sana majanaba kipaj anacho anahitaj support

  • @salimmatalamoma8673
    @salimmatalamoma8673 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyujamaa ana akiri sana anajitambua na nimkweri kinoma yan safi nimemunea huluma vilevile nimemkubar sana anarizika na kidogo anachopat yaniii dar

  • @bakarikayugwa237
    @bakarikayugwa237 3 ปีที่แล้ว +22

    Ebwana hilo ndo geto halina mbwembwe

  • @aisha-ro5fr
    @aisha-ro5fr 3 ปีที่แล้ว +1

    Millard ayo mm Nakupend Bure unasaidia jmni sana mwenyezi mungu akuwekeee inshaallsh

  • @chunzaalex6275
    @chunzaalex6275 3 ปีที่แล้ว +1

    Millard Ayo hongera Sana kwa kuangazia hadithi ya huyu msee

  • @junuferjinu1444
    @junuferjinu1444 3 ปีที่แล้ว +6

    Daaaaaa MUNGU WANGU TUONE WAJA WAKO BORA USIJE IBA CHAMTU 😢😢😢🙏🙏

    • @mtasma1994
      @mtasma1994 3 ปีที่แล้ว

      Eti kuna watu wanatumia jina lake kutengeneza hela

  • @aishaissa2249
    @aishaissa2249 3 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdu lilah waeza sema unashida kumbe kuna zaidi yako 😭😭😭😭😭 jaa bless you😂

  • @jamesjuliusjames8959
    @jamesjuliusjames8959 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah Godbless Maniga Rommy Majanaba komaa Mzazi nakukubali haile

  • @andrewpastory4019
    @andrewpastory4019 3 ปีที่แล้ว +1

    Very very nice interview with full of joy

  • @franksarwatt9084
    @franksarwatt9084 3 ปีที่แล้ว +4

    Anakitu lakini naomba sana aache kulewa maana humkatisha tamaa...? Stress ni kitu mbaya maishani... MAJANABA muhimu kupambna

  • @edwardluhwago6591
    @edwardluhwago6591 3 ปีที่แล้ว +29

    Cheka tu wamchukue huyu jamaa

  • @petronanyaro3001
    @petronanyaro3001 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna namba aisee, tufanye chochote maana jamaa anapambana sanaa@ like kama tuko pamoja kwenye kumchek huyo jamaa

  • @DM-bq7ys
    @DM-bq7ys 3 ปีที่แล้ว

    Honestly is the key of like my guy. Jamaa yuko vizuri even tho low life

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 3 ปีที่แล้ว +3

    So emotionally 😭😭😭😭😭❤🙏

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 3 ปีที่แล้ว +4

    Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha. Mathayo 11:28

  • @emmyaugustine4024
    @emmyaugustine4024 3 ปีที่แล้ว +1

    Imenitouch sana hii jaman🥺...anachekesha na anahuzunisha at the same time.... Mungu amtimizie hitaji la moyo wake

  • @abbasmungia4328
    @abbasmungia4328 3 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah! Siku zote tushukuru tunachopata wapo watu wana hali ngumu sana. Huyu jamaa ni mkweli na maisha yake na atafanikiwa tu wakati utafika

  • @beatricenzeyimana5803
    @beatricenzeyimana5803 3 ปีที่แล้ว +3

    Duuuuuuuh bro Mungu akusaidie nawana usipotezi matumaini