MAJANABA AWAFUNIKA KWENYE BSS AIMBA KIHIND,APIGWA KISS NA MADAM RITA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2021
  • Majanaba ambaye amekuwa akitrend kwenye mashindano ya Bongo star Search amerudi tena kushiriki kwa mwaka huu 2021 ambapo aliweza kuimba wimbo kwa lugha ya kihindi na kuibua shangwe kwa mashabiki huku wakati Madam Rita anaingia alionekana akim-kiss Majanaba

ความคิดเห็น • 332

  • @shamssaid2892
    @shamssaid2892 2 ปีที่แล้ว +33

    Majanaba ni mtu pic saana yaan💓💓

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 2 ปีที่แล้ว +2

      Yaani mimi ni kimuonaga tu na cheka kinoma

  • @missmrs829
    @missmrs829 2 ปีที่แล้ว +15

    Nampenda sana majanaba kwa kufurahisha 🤣🤣

  • @kamanda007
    @kamanda007 2 ปีที่แล้ว +11

    Majanaba katisha aiseeh, ushindi lazima akishindwa tunaenda mahakamani

  • @j.bjacobbasubi2187
    @j.bjacobbasubi2187 2 ปีที่แล้ว +41

    Uyu jama Mimi namuonaka Kama mukali wa East Africa 🇨🇩🇺🇬💪

  • @fadhiltave1359
    @fadhiltave1359 2 ปีที่แล้ว +12

    Huyu majanaba akikaa kwenye shule muziki wiki kadhaa ni mtu mzuri sana

  • @binmakka8693
    @binmakka8693 2 ปีที่แล้ว +15

    😁😁😁 Jamaa wakimyima ushindi watakuwa ni wachawi walai maana hii ndio ina jina moja tu *CREATIVITY*

  • @hasyno9805
    @hasyno9805 2 ปีที่แล้ว +14

    Jamani watu si mnunue apatment uko vilage tangazo liishe

    • @rechomethod8288
      @rechomethod8288 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂aza wewe kwanza

    • @musason1680
      @musason1680 2 ปีที่แล้ว

      Dahh linaboa kna mda huwa napita t nikilona

    • @mussatete2618
      @mussatete2618 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @blackpanther4825
      @blackpanther4825 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @danielpaul84
      @danielpaul84 2 ปีที่แล้ว

      Ahahahaaa

  • @sarananai0323
    @sarananai0323 2 ปีที่แล้ว +2

    Watu waarusha wako serious hata hawaoni jamaa kama azingua na anachoimba 😂🤣😂🤣😂 very supportive

  • @mtabeagusti4553
    @mtabeagusti4553 2 ปีที่แล้ว +13

    walio muona yule dada wa rita niachie my wangu 😁

  • @bakariyusufujuma
    @bakariyusufujuma 2 ปีที่แล้ว +15

    Ninachokipenda kwa watu wa chuga wanapendana wahawana kinyongo

  • @EngJosh
    @EngJosh 2 ปีที่แล้ว +6

    Hilo tanagazo Kaka linawahusu watu wa Twitter kule

  • @blackpanther4825
    @blackpanther4825 2 ปีที่แล้ว +9

    Nakubali 🤣🤣🤣 Tanzania noma sana sihami ng'o

  • @mariamramadhani9282
    @mariamramadhani9282 2 ปีที่แล้ว +25

    Majanaba kawa handsome😂😂

  • @joseesiara9012
    @joseesiara9012 2 ปีที่แล้ว +6

    Ripota: inakuwaj
    Mwenye mask: eeehhh alooohh

  • @sanyajuutv2679
    @sanyajuutv2679 2 ปีที่แล้ว +14

    Arusha noma

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 11 หลายเดือนก่อน

    Talent+Creativity#Majanaba👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 2 ปีที่แล้ว +16

    JINA CHAFUU - JANABA 😯

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 2 ปีที่แล้ว +3

    😁😁😁 huyu aliyeimba wa kwanza huwa anajua kunifurahisha kweli...

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 2 ปีที่แล้ว +6

    Huyu mwamb creator San😂😂😂

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 2 ปีที่แล้ว +6

    Yechu yechu chuga💯👊👊💪

  • @eishstoner6692
    @eishstoner6692 2 ปีที่แล้ว +1

    Majanaba wangemuona tu...awee Tu ambasada WA bidhaa yoyote atatishaa..

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 2 ปีที่แล้ว

      Kweli aisee!! Tena akipiga ile kwerekweche tangazo litanoga

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 2 ปีที่แล้ว +16

    Ila alifaa kuwa komedia

  • @Emmamusiccmb
    @Emmamusiccmb 2 ปีที่แล้ว +3

    *Nakupenda ni wimbo maalum kwa wapenzi waliopo kwenye mahaba mazito sana, huu ni wimbo mpya toka kwangu bofya picha pembeni 👈👈👈💕🙏🙏🙏 kuutazama naamini utaupendaaa*

    • @17_Media
      @17_Media 10 หลายเดือนก่อน

      jina wimbo

  • @mdalamgir-gu9hu
    @mdalamgir-gu9hu 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo za majanaba azijaimbwa dunian nzima

  • @shebaminde1388
    @shebaminde1388 2 ปีที่แล้ว +2

    Majanaba Hahahahahah eti mimi sio saladi 🤣🤣

  • @khalidngwembele9075
    @khalidngwembele9075 2 ปีที่แล้ว +6

    Majanaba hakatag tamaa yan khaaa😂

  • @barickbobmc2341
    @barickbobmc2341 2 ปีที่แล้ว +3

    Unyamaaaaaaa

  • @shannylarry2389
    @shannylarry2389 2 ปีที่แล้ว +4

    Majanaba amepungua tofauti na last tym

  • @hussenijuma686
    @hussenijuma686 2 ปีที่แล้ว +4

    Chal yang huy anakwere kabx respecT xanaaa

  • @ahmuhally4430
    @ahmuhally4430 2 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana huyu jamaa natamani kumuona kwenye Comedy za akina Mkojani na Tin white

  • @peacekypa9512
    @peacekypa9512 2 ปีที่แล้ว +5

    Majanaba anatisha sana😅

  • @kusagaonlinetv3983
    @kusagaonlinetv3983 2 ปีที่แล้ว +6

    Sema hii ayo sasaiv inazingua mnaweka matangazo marefu sana

    • @aminamnyaruge8574
      @aminamnyaruge8574 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa yaani 😏🙄

    • @kusagaonlinetv3983
      @kusagaonlinetv3983 2 ปีที่แล้ว +1

      @@aminamnyaruge8574 mambo

    • @silviamsola3865
      @silviamsola3865 2 ปีที่แล้ว

      Hadi nakelwa yaani na Hawa watu

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 2 ปีที่แล้ว

      @@silviamsola3865 sasa kukereka kwako asifanye biashara? Wewe unakereka mwenzako acount inasoma

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 2 ปีที่แล้ว +1

    Chizi huyo amechanganyikiwa akili bangi na njaaaaa kichaaaa

  • @HassanHayyam-xt6gf
    @HassanHayyam-xt6gf ปีที่แล้ว

    Huyu majanaba,yupo poa, hajui kupanic, anaongea point, anakipaji cha kufurahisha sio kuimba

  • @ericktanzanite4907
    @ericktanzanite4907 2 ปีที่แล้ว +3

    Majanaba 🙌🙌🙌

  • @salomegervace2860
    @salomegervace2860 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama unamkubali majanaba ❤️❤️

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 2 ปีที่แล้ว +2

    I ❤️ u majanaba😂😂😂😂

  • @sikudhanicharless88
    @sikudhanicharless88 2 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂huyu kila mwaka yupo 😂😂😂

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 2 ปีที่แล้ว +1

      Kisha anarudi zake kuokota chupa na chuma chakavu kama kawa😂😂

  • @juniveraisaya1624
    @juniveraisaya1624 2 ปีที่แล้ว +10

    Tangazo la palm village weka mwsho wa post bro, unazingua

    • @kizazijeuri2886
      @kizazijeuri2886 2 ปีที่แล้ว

      Unataka millard avunjiwe mkataba mzee 😂

    • @samwelrobeth7763
      @samwelrobeth7763 2 ปีที่แล้ว

      @@kizazijeuri2886 😀😀😀😀

  • @forodhanitaslima1617
    @forodhanitaslima1617 2 ปีที่แล้ว +3

    Majanaba 🙏🙏

  • @BenCheck-jx9lo
    @BenCheck-jx9lo 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ni mshindi tayari, upekee na ubunifu wake unafurahisha sana, wa Arusha wana wanachangamsha sana show

  • @0656840872
    @0656840872 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwa nyuma namuona diamond na kofia nyeupe

  • @feezdidthis2220
    @feezdidthis2220 2 ปีที่แล้ว +1

    3:50 Teni katokea wapi 😅😅😅

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว +8

    😅😅😅😅😅😅Imerudi BBs mwendo wa kuwa happy tu 😆😄😄😄😄😄

  • @shakhallymaftaha4972
    @shakhallymaftaha4972 2 ปีที่แล้ว +5

    This is a zipompaah bhan mdada namkubali 😂😂 eti kwamba rita niachie Mai wangu

  • @fatimaharoon8218
    @fatimaharoon8218 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣Huyu Dada WA kuimba madam Rita niachie mume wangu😂😂😂😂😂

  • @rehemamsuya2263
    @rehemamsuya2263 2 ปีที่แล้ว

    Jaman hebu mfikirieni huyu Majanaba Mana yangu aanze no muda mpeni ht M moja

  • @kelvinjohn6851
    @kelvinjohn6851 2 ปีที่แล้ว +3

    Ila watu wa Arusha 😁😁😁😁✌️

  • @faridaaloyce7672
    @faridaaloyce7672 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaaaaa...Majanamba working me...

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 2 ปีที่แล้ว +29

    Machali wa chuga wananiacha hoi

  • @geroldmwinuka6411
    @geroldmwinuka6411 2 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali Majanaba

  • @jumaibrahim4297
    @jumaibrahim4297 2 ปีที่แล้ว +1

    Majanaba ni 🔥🔥🔥

  • @norahmariwa8649
    @norahmariwa8649 2 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂kwa kwl katisha

  • @killerbona5018
    @killerbona5018 2 ปีที่แล้ว +13

    Hilo tangazo wekeni mwisho

    • @daishajumanne5990
      @daishajumanne5990 2 ปีที่แล้ว +1

      Linafanya kugaili kuangalia wanaboa sana

    • @silviamsola3865
      @silviamsola3865 2 ปีที่แล้ว +1

      Afu ni Siku nyingi Hawa nao wanazingua

    • @pendokanola7795
      @pendokanola7795 2 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 2 ปีที่แล้ว

      skip tangazo tuu ama peleka mbele

    • @mo_masai4261
      @mo_masai4261 2 ปีที่แล้ว

      Wabongo mnapenda kupangia watu kaz,Kama utak kuangalia c unaacha tu kwan umeitwa,Hilo ndo linamuingizia hela we utampa hela ya kulisha familia yake?

  • @kassimkatana5015
    @kassimkatana5015 2 ปีที่แล้ว +4

    Millard hili tangazo lako linaisha lini, kama huwezi litoa basi lieke mwisho.

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 2 ปีที่แล้ว +8

    Maarufu kwa bsss majaji wamuone

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ericktanzanite4907
    @ericktanzanite4907 2 ปีที่แล้ว +1

    R chuga 🙌🙌🙌

  • @bablon3753
    @bablon3753 2 ปีที่แล้ว +2

    Wouyooooo yechuyechu

  • @rubenlengai7195
    @rubenlengai7195 2 ปีที่แล้ว

    Tafadhali fatilieni elimu ya fire extinguisher namna ya kutambua expire yake maana barabarani na kwenye biashara wanatuchanganya na kutunyasa mshale ikiwa kijani ime expire ikiwa nje ime expire haina lable ya kuonyesha makosa na saazingi ile nikaratasi hufutika hivyo mshale unabakia ndiyo njia pekee ya kuangalia hebu tusaidieni ili kuondowa mkanganyiko huu

  • @khadijakdj8640
    @khadijakdj8640 2 ปีที่แล้ว

    Jamani huyo Majanaba kasota sana na akati tamaa bora ata mmpe ushindi kidogo

  • @pascalcostantine4478
    @pascalcostantine4478 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu baharia anajua Ila majaji hawataki kujiongeza namna ya kumsupport kwa namna nyingine hata ya kisaikolojia

  • @allysudi4429
    @allysudi4429 2 ปีที่แล้ว

    Kwel umeticha babangu...

  • @mrpambatv3420
    @mrpambatv3420 2 ปีที่แล้ว

    Najivunia kuwa mtanzania hakika arusha rahasanaaaaaaaaa yechu yechu

  • @hizamp1827
    @hizamp1827 2 ปีที่แล้ว

    Hongera yake jamaa kapambana

  • @hermanndongolo1550
    @hermanndongolo1550 2 ปีที่แล้ว +1

    Pam village huu upumbafu upumbafu unamaliza mb zetu

  • @chalechaletv8658
    @chalechaletv8658 2 ปีที่แล้ว +1

    Oya mbona nimemuona km milna ally iv anafloo

  • @rozamabagara3491
    @rozamabagara3491 2 ปีที่แล้ว

    Unaimbaga vyema ujue🥰

  • @debosstv43
    @debosstv43 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa katisha sana

  • @pachamc5145
    @pachamc5145 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna demu mwenye tisheti nyeusi anafanana na mena ally

  • @sammushi1512
    @sammushi1512 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyu jamaaa mbona kila mwaka ajuwagi t

  • @jumaharuna9899
    @jumaharuna9899 2 ปีที่แล้ว

    Et majanaba. Sijui janaba gan

  • @stevenmajoge4644
    @stevenmajoge4644 2 ปีที่แล้ว

    Majanaba uko juuuu

  • @zakayokalinga7838
    @zakayokalinga7838 2 ปีที่แล้ว

    Asa mbona watu wa R mnaleta vituko tuu jamn mko seriously kwelii

  • @ijueimanikatoliki980
    @ijueimanikatoliki980 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimemkubali Dada Bonge

  • @tushabefelician8075
    @tushabefelician8075 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa anaweza ana sauti anajiamini sema tu anavojiweka ni kama mvuta Bangi !! Na hamna meneja Aliyetayari kusimamia Hapo!!aa

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 2 ปีที่แล้ว

    Nimeanza kucheka kabla sijasikiliza😆😆😆

  • @janetdaniely7945
    @janetdaniely7945 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂💃💃🇹🇿🇹🇿🥰 penda guys

  • @user-ou7pe3mv6k
    @user-ou7pe3mv6k 2 ปีที่แล้ว

    Wawoooh nice

  • @princearamyog5816
    @princearamyog5816 2 ปีที่แล้ว +2

    Huy jmaa namuelew san

  • @swalehmustafa3064
    @swalehmustafa3064 2 ปีที่แล้ว

    Hili tangazo liwekwe mwisho please

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 ปีที่แล้ว

    Naikubali sna majaba

  • @matayongwallo2270
    @matayongwallo2270 2 ปีที่แล้ว

    jamani jamani mbona mkoa wa moro hamji? kunanani?

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 2 ปีที่แล้ว

    Majanaba yup peac Han noma

  • @betrackjasson6698
    @betrackjasson6698 2 ปีที่แล้ว

    Bingwaa uyoooo namwelewi kila mwaka asipokuwwpo siangaalii

  • @edisarochius6079
    @edisarochius6079 2 ปีที่แล้ว +9

    Majanaba😂😂😂😂😂

  • @loishookilaizer8686
    @loishookilaizer8686 2 ปีที่แล้ว

    Home sweet home all ze time alike bwaxing

  • @halimaadaudy3228
    @halimaadaudy3228 2 ปีที่แล้ว

    Watu wa arusha hatar🥰

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 2 ปีที่แล้ว

    Sidhani Kama hiyo Palm village inatuhusu maana wengi humu nikapuku unatuchosha wala hatuwezi kufika huko 😂

  • @boaziefraim5503
    @boaziefraim5503 2 ปีที่แล้ว

    Wapi Papaa Mafido

  • @engaboy...377
    @engaboy...377 2 ปีที่แล้ว

    Huyo babaaa majanaba

  • @ceciliabahati9978
    @ceciliabahati9978 2 ปีที่แล้ว

    Majanaba amekuwa muhindi balaaa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @salmakassim2423
    @salmakassim2423 2 ปีที่แล้ว

    Yani huyu kaka ananichekesha sana

  • @charlesemmanuel9434
    @charlesemmanuel9434 2 ปีที่แล้ว

    Mamong'oo ni noma baba-angu

  • @neelamvithlani9697
    @neelamvithlani9697 2 ปีที่แล้ว

    Anadanganya huyo sio nyimbo ya kihindi jamani anaropoka maneno ya kwake

  • @amiriramadhan7753
    @amiriramadhan7753 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo jamaa wa mwisho kauwaaa

  • @nofatwamasha3475
    @nofatwamasha3475 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa 0345 anakaza misuli ya uso mbona😳

  • @frednigga3310
    @frednigga3310 2 ปีที่แล้ว

    Oooooooooh nawakubari

  • @anuarysalum1975
    @anuarysalum1975 2 ปีที่แล้ว

    Vijana mko wapi waowen dada zetu wanateseka jaman

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 2 ปีที่แล้ว

    majanaba anatufundisha tusikate tamaa