NYOTA 3: MAISHA YA HASSAN NGARENARO, RAFIKI ZAKE 18 WAMEUWAWA KWA WIZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ย. 2018
  • Karibu kwenye NYOTA 3, Makala ya kwanza inayopatikana kwenye segment mpya itakayokua ikifanywa na MillardAyo.

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @dodoshavu488
    @dodoshavu488 5 ปีที่แล้ว +206

    Jaman hivi kweli kama mimi nikisema maisha magumu natumia elf5au 3 kwa siku nikisema maisha magumu si namkufuru Mungu kabisa Jaman
    Mungu nisamehe ee baba sijui nitendalo
    Jaman ndugu zangu kama unaweza pata basic needs tuu hata kama siyo zote mshukru Mungu 😣😣😣😣😣😣😣

    • @sulleyboy827
      @sulleyboy827 5 ปีที่แล้ว

      Dodo Shavu siyo kufuru ndogo Ni kubwa Mungu atupe mioyo ya kuridhika jamani

    • @ashminaabdullah5626
      @ashminaabdullah5626 5 ปีที่แล้ว

      kweli my

    • @kamchizfabian2922
      @kamchizfabian2922 5 ปีที่แล้ว

      Kwakwel tunamkufuru

    • @twahajsalim7913
      @twahajsalim7913 5 ปีที่แล้ว

      kwa hakika ni kama unatumia elfu3 au 5 kwa siku maisha sio magumu, najiona mi maskiiini akati natumia 3 had 4 pa day !!!!???? asante mungu

    • @piarajaneth6030
      @piarajaneth6030 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwakweli Mungu atusamehe ni mapungufu ya kibinadamu

  • @kennedyn.mwango5067
    @kennedyn.mwango5067 5 ปีที่แล้ว +55

    Am from Kenya but this guy Millard Ayo inspired me so much I wish all African people can help each other like this...live long Brother...am your real fun.

    • @petermwantole9433
      @petermwantole9433 5 ปีที่แล้ว +1

      For sure bro ,,, but selifishness ni mbaya sana aisee,,tuna spend mamilioni kwenye harusi ya siku moja ,upande mwingine wanalala njaa,,, inauma sana..

    • @prettyakoth4306
      @prettyakoth4306 5 ปีที่แล้ว +1

      True

    • @nyahehethomas8086
      @nyahehethomas8086 5 ปีที่แล้ว +1

      Kennedy N. Mwango actually

  • @irenegudluck1214
    @irenegudluck1214 5 ปีที่แล้ว +45

    Nimelia jamani 😭😭 Hassan utakuja kufanikiwa na haya maisha uliyoishi yatakuwa historia usiachoke kupambana one day inshallah 🙏🏻

  • @noelimun7081
    @noelimun7081 5 ปีที่แล้ว +72

    Millard Mungu anaona ulichokifanya wallahi nakuhakikishia hii ni akiba ya wema umeumeka kwa mungu

  • @emmanuelimaxxaka754
    @emmanuelimaxxaka754 5 ปีที่แล้ว +28

    sharapuu sana millard Ayooo kwa moyo uliwo nawo mungu aendelee kukupa moyo huwo huwo 👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @saidsongoro9097
    @saidsongoro9097 5 ปีที่แล้ว +65

    Aise ndugu yangu iwe project endelevu tunaweza kuchangia kidogo kuinua vijana wezetu big up kwako. All they kutoka Finland.

    • @samwelmurro3498
      @samwelmurro3498 5 ปีที่แล้ว

      Umenena kweli

    • @joh255tv4
      @joh255tv4 5 ปีที่แล้ว +1

      Said Songoro kweli Mimi naishi kwa shida ila huyu hapana acha nimshukuru Mungu

    • @melkiorymarandu1850
      @melkiorymarandu1850 5 ปีที่แล้ว +1

      Millard Ayo, asee brother msaidie huyo dogo, walau kila aliyecomment hapa amchangie hata elfu tano tano tu walau apate mtaji aisee. Hadi chozi limenitoka. Dah

    • @rajabmartojr3302
      @rajabmartojr3302 5 ปีที่แล้ว

      Said Songoro kweli mwana

    • @georgekagwebe2461
      @georgekagwebe2461 ปีที่แล้ว

      Wazee msije mkakiuza noma sN

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 5 ปีที่แล้ว +41

    Dah! Machozi yamenitoka jamani
    Mungu akupe furaha Millard zaidi ya hiyo aliyo nayo Hassan!! Unaambiwa ukifurahisha nafsi ya mwengine mungu atafurahisha na yako zaidi 😍😢
    Nitampigia Hassan na nitampa nitakachojaaliwa...

    • @tonydas6058
      @tonydas6058 5 ปีที่แล้ว +1

      Nimejikuta nalia tu aisee Mungu Anisamehe kwakweli maana hua nasema nna maisha magumu.

    • @samwelmurro3498
      @samwelmurro3498 5 ปีที่แล้ว +1

      @@tonydas6058 Kweli aisee, tusikufuru

    • @samwelmurro3498
      @samwelmurro3498 5 ปีที่แล้ว +1

      Usiache kufanya ulilo azimia, utabarikiwa dada

    • @ashaally6993
      @ashaally6993 5 ปีที่แล้ว +1

      @@samwelmurro3498 Yani siwezi kuacha amenigusa sana huwezi amini jana usiku nilimpigia nafikiri alikuwa kashalala kutokana na tumepishana masaa kadhaa na simu ilikuwa imezimwa

    • @ashaally6993
      @ashaally6993 5 ปีที่แล้ว +2

      @@tonydas6058 Dah yani acha tuu mwenyewe nimejiuliza hivi maisha niliyo nayo na kipato ninachopata na bado naona kama haitoshi kwa kweli ninakufuru mungu anisamehe.. . Na ndiyo maana tunaambiwa angalia wa chini yako!

  • @morama7jr559
    @morama7jr559 5 ปีที่แล้ว +19

    Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki nchi yangu, Mungu mbalikiki kila mtu anayetafuta riziki zake kwa halali, tutie nguvu ya Allah, tufungulie njia za baraka na tuishi kwa kupendana.
    Ameen ya Arab

  • @robertmhikwa8174
    @robertmhikwa8174 5 ปีที่แล้ว +7

    Asante kama yote brother Millard,we ni mfano wa kuigwa

  • @marymayeye7947
    @marymayeye7947 5 ปีที่แล้ว +44

    Wafrica wengi tunaishi maisha haya, hata Mimi nilipitia maisha, mangum,Vijana msikate tama mtavika tu.

    • @tonnyshoo5369
      @tonnyshoo5369 5 ปีที่แล้ว +1

      Lovely

    • @aswilahjumanne166
      @aswilahjumanne166 5 ปีที่แล้ว

      Inauma sana kwa sisi tuliopitia hivyo asikate tamaa Ya Allah uwii mpk chozi nahisi ni mm😢😭😭😭

    • @emmanuelbwiro9824
      @emmanuelbwiro9824 5 ปีที่แล้ว

      kwel mary!, muhim kukaza..

    • @mtadejuniorbaiano8599
      @mtadejuniorbaiano8599 4 ปีที่แล้ว

      kila mtu atasema kapitia maisha magumu ila yanapishana

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 5 ปีที่แล้ว +9

    Millard nakubal love yako kwa vijana wa nyumbani ase! May god bless u bro

  • @habbymsauzy5756
    @habbymsauzy5756 5 ปีที่แล้ว +85

    dah kuna watu wanamaish ya shid Ila kwa hili nimelia dah

    • @atheistblood8568
      @atheistblood8568 5 ปีที่แล้ว +1

      Yolanda Kimaro lia nikione sio ulie kwa maandishi.

    • @paskaliaweda4645
      @paskaliaweda4645 5 ปีที่แล้ว +1

      Yolanda Kimaro kwa kwel

    • @shotbyregaaTV
      @shotbyregaaTV 5 ปีที่แล้ว +1

      Dah jamani nimelia sana

    • @rehma0maly992
      @rehma0maly992 5 ปีที่แล้ว +1

      Yolanda Kimaro hataukiwa na roho ngum vip apalazma machoz ya toke

  • @abuumsofe3691
    @abuumsofe3691 5 ปีที่แล้ว +16

    Nimejikuta tu machozi ynanitoka. ...maisha kama haya alafu wanasiasa wananunuana na kuhamishana vyama😭😭😭😭😭

  • @emmanuelngalayo8725
    @emmanuelngalayo8725 5 ปีที่แล้ว +8

    Dah kweli kutoa ni moyo sio utajir big up sana Millard mungu akujaze palipo pungua

  • @khalifarich377
    @khalifarich377 5 ปีที่แล้ว +14

    Amen brother millardayo vijana wengi atujali tuliko tokea Mungu akubariki sana brother millardayo asante

  • @cristianamos8790
    @cristianamos8790 5 ปีที่แล้ว +35

    Eemwenyezi mungu msaidie kijana mwenzangu muongonze mwepushe na vishawishi vibaya mpe moyo mwepesi na wakustamili shida na raha.

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 ปีที่แล้ว +8

    Inshaallah mwenyez mungu akufanyie wepec ufanikiwe zaid bro Millard ❤

  • @mashakalugome6988
    @mashakalugome6988 5 ปีที่แล้ว +3

    MWENYEZI MUNGU akujaalie na amjaalie Hassan na wenzake awafungulie milango ya ridhiki Ameen ya Rab Ameen. IJUMAA KAREEM.

  • @madengekimario7034
    @madengekimario7034 5 ปีที่แล้ว +23

    Mungu akubariki na kukuzidishia ma lovely bro Millard...umekua wa kipekee sana Milliard...

  • @bahatihamissi1161
    @bahatihamissi1161 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daah life is not fair
    Africa usipo stuka unaweza kuzikwa ukiwa hai
    Big up Millard ayo Allah akubless

  • @abuumahemba3037
    @abuumahemba3037 5 ปีที่แล้ว +44

    Brother mirad mungu akuzidishie zaidi ya ulicho kitoa

  • @nadinemasengo5688
    @nadinemasengo5688 5 ปีที่แล้ว +12

    MUNGU akubariki sana kaka yangu millard Ayo

  • @rajabmbogo8196
    @rajabmbogo8196 5 ปีที่แล้ว +1

    Very Touching story, good narration..
    Inaskitisha lakini haya ni maisha halisi ya vijana wengi sana

  • @tulivu6377
    @tulivu6377 5 ปีที่แล้ว +9

    Mirrard ayo mungu akubariki abariki nakazi zako kwa msaada uwo

  • @abuumahemba3037
    @abuumahemba3037 5 ปีที่แล้ว +32

    Kweli brother mirad wew ni kijana mwenzetu wa kuigwa

  • @allyhafidh4283
    @allyhafidh4283 5 ปีที่แล้ว +19

    Milard asee mungu akubariki neema zake kwa wingi sna hakika umefany jambo kubwa sna la kuthamini maisha ya mtu anayestahili

    • @shakiraponela364
      @shakiraponela364 5 ปีที่แล้ว

      Milard yani mama yako atakuwa anajivunia sana kukupata mtoto kama wewe!'mungu akubariki sna kakangu yani natamani mpka nikuone! Mungu akupe maisha marefu my brother

    • @omarnadi9437
      @omarnadi9437 5 ปีที่แล้ว

      Dha kwa kweli ni imani kubwa bro big up mola akuzidishie zaidi ,kwani ni mfano mwema sana mbele ya ulimwengu na ni mfano wa kuigwa,mola yuko nawe kuokoa maisha ya vijana hawa pongezi subiri malipo kwa mola ,ikiwa wewe umepata kumbuka mwezio hajapata tungane tuangamizi ufukara ,maradhi na na kuwapa vijana motisha maisha mangumu haya ndugu

  • @korogwetanga810
    @korogwetanga810 5 ปีที่แล้ว +2

    Allah akulipe kila la KHERI Millard hakika umejiwekea akiba Kwa mungu InshaAllah utakuja uikute

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 ปีที่แล้ว

    Duh nyumbani kwetu Ngarenaro, napamiss Sanaa. Hongera Sana Millard Ayo kurudisha fadhila kwa jamii, watanzania wengi hatugive back to the society ila leo umenifundisha mengi. May God bless you more and more Millard na kituo chako coz kinaleta matunda makubwa kea jamii

  • @chabycarpoza2998
    @chabycarpoza2998 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah Hassan na millad ayo Hongera Sana

  • @khadijahbanana5602
    @khadijahbanana5602 5 ปีที่แล้ว +17

    Millard i realy respect you
    Big up n Allah bless you

  • @fredysamwely5909
    @fredysamwely5909 3 ปีที่แล้ว +2

    millard ayo bro umetisha big bless

  • @swahiliuniverse9328
    @swahiliuniverse9328 5 ปีที่แล้ว

    i am touched thank you millard

  • @lucytarimo1688
    @lucytarimo1688 5 ปีที่แล้ว +35

    Millard ayo mungu akubariki ulipo toa

  • @jsmtupoa
    @jsmtupoa 5 ปีที่แล้ว +5

    Ongera sana bro.. kukumbuka na kurudisha fadhira mtaa.. ongera sana ayo

  • @Dorcas445
    @Dorcas445 5 ปีที่แล้ว

    This world needs people like you MILLARD ❤ Hassan keep hustling Mungu atabariki kazi ya Mikono yako.

  • @evakiyenze7619
    @evakiyenze7619 5 ปีที่แล้ว

    Anapata Elfu 15 kwa mwezi na bado anaishi Dah! Ni Mungu tu anatutunza. Millard Mungu Abariki kazi yako.

  • @ujanjamedia7813
    @ujanjamedia7813 5 ปีที่แล้ว +14

    Leo nimeliwa elfu kumi na kweny kubet dah kumbe kuna wenzngu wanakul mlo mara moja ...kubet sitoacha ila nawaahidi haitozid 2000 na mpk ntaach nachezea pesa wenzngu awazipati 😭

    • @babeshjunior8309
      @babeshjunior8309 5 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akujalie broo kwa wema wako ALLAH akufanyie wepesi kwa kila hali milad ayo

    • @princemallya4085
      @princemallya4085 5 ปีที่แล้ว

      Kubet hutoachaa 😅😅😂😂🙌🏾

  • @yostanicebusime7320
    @yostanicebusime7320 5 ปีที่แล้ว +5

    Bro mungu akubariki sana akuogezee maisha marefu 🇹🇿🇹🇿

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 ปีที่แล้ว +1

    Maisha Magumu Mapato hayafanani Allah amsaidie amtimizie ndoto zake ln Shaa Allah. Millard Ubarikiwe sana kwa moyo huo msafi wa kujali.

  • @petermwantole9433
    @petermwantole9433 5 ปีที่แล้ว

    Nimekukubali sana , Milard kwa documentary nzuri ya kujenga na moyo ulionao wa kusaidia.. all the best

  • @beautifulfarysultan6664
    @beautifulfarysultan6664 5 ปีที่แล้ว +11

    mungu akuzidishie ya ulicho kitoa kaka🤲👏👏👏👏👏😞

  • @josephjulius3090
    @josephjulius3090 5 ปีที่แล้ว +10

    Millady mfano mzuri sana ketu hili ni darasa kwetu sote

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 5 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah
    Kheri ukiona mwenye shida msaidie kiasi uwezavyo
    Shukran waliojitolea kuwasaidia.

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 5 ปีที่แล้ว

    Yaani milad Ayo we ni muungwana sana
    M.mungu akufungulie na wewe maishani mwako.

  • @15mviews75
    @15mviews75 5 ปีที่แล้ว +4

    Safi sanaaa bro umetugusa snaaa ila namini atapata hio TOYO na ww mungu atakubariki watu wataona ni kidogo snaaa ila kwake yeye nikama umeminunulia gorofa kariyako

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 5 ปีที่แล้ว +7

    God bless u Millard asante sana kwaniaba ya wana huruma 😭😭😭😭😭

  • @rozinahamisi84
    @rozinahamisi84 5 ปีที่แล้ว

    Hadi nimelia jamani millard ayo mungu akubariki sana na akuongeze baraka nyingi kwa kazi yako

  • @lianjoho470
    @lianjoho470 5 ปีที่แล้ว

    Brother Millard... MUNGU akuongezeee zaid ...Nimejifunza sana kwa ulicho kifanya kwa Kaka Hassan.

  • @vj8313
    @vj8313 5 ปีที่แล้ว +8

    machalii ya R yako peace kinoma noma pamoja na ugum Wa maisha

  • @africanoqueen9340
    @africanoqueen9340 5 ปีที่แล้ว +27

    Julia from Canada naomba mamba za Hassan jamani nimelia

  • @07medy
    @07medy 5 ปีที่แล้ว

    This is nice millard..u are being creative and we need more of these short stories. Keep up the good work and we love & support you. Best youtube channel in east africa hands down.

  • @mummysfavourite3384
    @mummysfavourite3384 5 ปีที่แล้ว +1

    brother Millard be blessed ...you've done a great job

  • @charlessambai8758
    @charlessambai8758 5 ปีที่แล้ว +15

    Hongera sana,kW ulichofanyaMungu akubariki,wengine nivzr,kufanya hivyo,siyo kutembeza kamera tu kW maslahi yao tu,

  • @shadrackrabison8032
    @shadrackrabison8032 5 ปีที่แล้ว +5

    HONGERA SANA MILLARD KWA KUMSAIDIA HASSAN,MUNGU AKUBARIKI SANA.

  • @ericklenjima455
    @ericklenjima455 5 ปีที่แล้ว

    Hiii ni zaidi ya upendo brother Millard ... Napajua hapo vizuri nawajua na baadhi ya washkaji hapo life la sokoni nalijua jamaa kutokua anja (kibaka) ni jambo la kumshukuru Mungu maana wengi wao huwa ni maanja . Its my dream to bless more guys wa Ngarenaro as you did to my brother hood.

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 5 ปีที่แล้ว

    Akufaae kwa dhiki ndie rafiki Hassan !!
    .M.mungu akunyanyue na wewe
    Salute kwako milad Ayo na Crouw yako mubarikiwe sana.....
    Hayo ndio yatakiwayo mitandaoni kuibua issues zenye kufundisha Au kuelimisha mema kwa watanzania......Mungu wabariki Watanzania na nchi Yao pia

  • @subiramussa1428
    @subiramussa1428 5 ปีที่แล้ว +3

    God bless you MillardAyo

  • @godfreyeliabu2582
    @godfreyeliabu2582 5 ปีที่แล้ว +14

    Dah Millard ayo kweli dunia ina mengi kweli siko sure kama mtu huyu akikutana na dau linalomtupa kwenye uhalifu aka kataa mmmh

    • @godfreyeliabu2582
      @godfreyeliabu2582 5 ปีที่แล้ว

      pia nimeipenda makala hii ya nyota tatu iwe endelevu maeneo mbalimbali kwani inagusa maisha ya wa tu wasio tazamika na wanao onekana hawastahiili kwani kwamtazamo tu bwana hasani huenda hata jamii yake inamchukulia kama mhalifu huenda kwasababu ya mazingira anayoishi yane fanya aonekane hivyo makara ni nzuri kiukweri MAPENDEKEZO ANZISHA PLATFORM NA UIITE "ANGAZA GIZANI " ambayo maripota wako watakuwa waki zitafuta wariko niki maanisha wewe huwezi kuwafikia haraka ukizingatia shughuri nyingi unafanya dar imani yangu watanzania wanaweza kuwa msaada kwakire waricho jaliwa na watavyo sukumwa na hari ya muhusika na mapendekezo @Millard Ayo

  • @zakiajuma502
    @zakiajuma502 5 ปีที่แล้ว +1

    😭😭Alhamdulillah
    Sitokufuru tena asante milad ayo miskin vijana wawatu munguawajalie mema mchume kwa mikono mema INSHAALLAH

  • @wakandaictsolution8093
    @wakandaictsolution8093 5 ปีที่แล้ว

    This is so much heart touching. Millard ulichofanya hapa ni akiba yako akhera plz never stp this. #Such a gentle man 💗

  • @latifahussein9536
    @latifahussein9536 5 ปีที่แล้ว

    Dahh nakupend sanaaa mildy ayoo yani unawapa waanyonge moyo dah hassan nimemuonea sanaa iman Mungu atamsamia 2 in shaa Allah na ww pia ayoo mungu akuongoze katika job yako kila la khery

  • @cattnemrod651
    @cattnemrod651 5 ปีที่แล้ว

    Wow!! millard so insparing kwel hii inafundisha this is how we supose 2 live with others be blessed!!

  • @honestyerasto
    @honestyerasto 5 ปีที่แล้ว +4

    aiseee bonge moja la documentary

  • @witnessmollel2169
    @witnessmollel2169 5 ปีที่แล้ว +14

    Kama kuna ambaye anamjua anipe mawasiliano yake nimsaidie au anielekeze anapokaa

    • @saitotisaitoti6734
      @saitotisaitoti6734 5 ปีที่แล้ว +1

      Namba zimewekwa hapo juu chukua

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 5 ปีที่แล้ว +3

      jaman angalien video mpka mwisho jamani mwishowe mtapewa namba za matapeli za chungen sana hilo

  • @mohamedbakari6474
    @mohamedbakari6474 5 ปีที่แล้ว

    mwerevu ni yule ambae asahau shida zilizompata, akaona umuhimu wa kusaidia wenzake,brother millard god bless u🙌🙌

  • @zeunakashinde7321
    @zeunakashinde7321 5 ปีที่แล้ว

    Mpk nimelia yaani... Daaah asante mwenyezi mungu kwa hapa nilipo na ninachopata pia hongera my bro kwakumsaidia kijana mwenzetu..

  • @cosolemollel4891
    @cosolemollel4891 5 ปีที่แล้ว +7

    Millard siku nyingine ukitaka kufanya mahojiano ya namna hii jitahidi kufanya uchunguzi kidogo juu ya muhusika. Hii itakusaidia kuwa na uhakika kwenye kile muhusika atakachokuwa anakizungumza. Kuna mambo kazungumza huyo bwana mdogo ukifikiria kwa makini yana walakini:
    1. Kafanya struggle hiyo kwa miaka zaidi ya nane 8 (hakuwa wazi kama aliwahi kupanda ama kushuka) - leo anaishi kwenye kibanda cha kodi TZS10,000.00.
    2. Kipato chake kwa mwezi ni TZS15,000.00. Hii maana yake ni kuwa anapata TZS500.00 kwa siku kwa kazi ya aidha kuuza samaki au kuparua samaki. Hivi kwa akili ya kawaida unashindwa vipi kujiongeza kufanya vibarua vyenye kipato kikubwa zaidi mfano kuosha magari, kufanya vibarua kwenye ujenzi (hapa unapata na ujuzi pia), nk.
    Huyu bwana mdogo msaada mkubwa anaotakiwa kupewa ni wa kisaikolojia. Kuna uwezekano mkubwa anatumia mihadarati especially bangi na mirungi. Labda pia ameshawahi kuwa kibaka ndio maana anaridhika na maisha ya kulala chini kwa miaka 8.
    Maisha ya kibongo usipokaza na kujiongeza utaishi kwenye handaki.

    • @leonardjohn4472
      @leonardjohn4472 5 ปีที่แล้ว

      man huamini kwamba kuna watu wanakosa alternative? inawezekana hiyo elfu 15 ni baada ya matumizi ya kila siku..ukiskia wanasema % kubwa ya raia wanaishi chin ya dola 1 sio utani man

    • @gabrwills6955
      @gabrwills6955 5 ปีที่แล้ว +1

      Msaidie leo,atakushukuru sku akipenda....usimchambue saaana

    • @joelsamson3483
      @joelsamson3483 5 ปีที่แล้ว

      Cosmas mollel upo sawa na me nilicho changia vijana wa arusha awataki badilika mtu kama uyu sio mlemavu wa kushindwa kufanya shughuli za angalau kipato kikubwa tatizo ni madawa ata ukiangalia ghetto watu watatu kweli akuna ata godoro duh

    • @cleverwillson5341
      @cleverwillson5341 5 ปีที่แล้ว +1

      Joel Samson.... una uhakika gan kama anatumia madawa? inamana kuwa na maisha magumu n ku2mia madawa kuwen na akili kama ww umepata usimdharau ambae hana

    • @joelsamson3483
      @joelsamson3483 5 ปีที่แล้ว

      @@cleverwillson5341 usiangalie uruma yako kwa hasan angalia maisha anayoishi pasipo mapungufu yeyote mwilini bila familia inayo mtegemea yupo singo kwa miaka 8 siwezi acha kusema anatumia madawa. Uruma yenu ndy itamponza mpeni future ya kubadili kaz kwan zipo nying ndogondogo ambazo zinaweza mkomboa na kuacha kusubili misaada

  • @kingkasuku9703
    @kingkasuku9703 5 ปีที่แล้ว +3

    Daaaah ubalikiwe kaka millad mungu atalipa pia Hassan asikati tamaa ya maisha mungu you pamoja NAE 🙏🙏🙏🙏

  • @kessy9066
    @kessy9066 5 ปีที่แล้ว

    Dah bro I am a christian but you practice the real religion Mungu anakuandikia yote hayo safisana una tu inspire watu wengi sana asee UBARIKIWE

  • @sampart2669
    @sampart2669 5 ปีที่แล้ว

    Ipo njema sana ,kwako millard ayo, god bless you brother uzidi kuwakomboa vijana wengine katka maisha kma ayo na sisi kwa pamoja tunasema mungu akufungulie zaidi ya hapo ulipo fika....amiin,,kwa pamoja sisi sote tunakuunga mkono

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe 5 ปีที่แล้ว +7

    Dah haya maisha jmn yanaumiza sana aiseee

    • @apaelmbise9699
      @apaelmbise9699 5 ปีที่แล้ว

      Mambo vp!??

    • @wemamushimushi2940
      @wemamushimushi2940 5 ปีที่แล้ว

      Hongera Sana milad hayo mungu akupe nguvu zaidi ya kusaidia na wengine Wawoo

  • @kiki-ko8vi
    @kiki-ko8vi 5 ปีที่แล้ว +3

    Things like this make me 😭😭

  • @marcelinekeppa8188
    @marcelinekeppa8188 5 ปีที่แล้ว

    Millard ur soooo sweet aki, be blessed always kwa huo moyo. Allah atakuzidishia zaidi ya hapo.

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana sana Milard Ayo kwa msaada uliowapa hawa vijana. Mungu akuzidishie

  • @esharamadhani3438
    @esharamadhani3438 5 ปีที่แล้ว +3

    Inaliza jamani pole sana Hassan Allah atakufanyia wepesi. Maisha ni magumu sana lkn yamezidi kwa wenzetu jamani

  • @misashilasilambien2185
    @misashilasilambien2185 5 ปีที่แล้ว +49

    Nikiwa usa columbus ohio namba namba za asani na zako millard ayo zangu izo hapo +16149028587

    • @alphamenson3784
      @alphamenson3784 5 ปีที่แล้ว +3

      Misa Shila Silambien God bless ya

    • @paulrenatus953
      @paulrenatus953 5 ปีที่แล้ว +1

      I me Imetolewa hapo 0744589910

    • @paulrenatus953
      @paulrenatus953 5 ปีที่แล้ว +1

      Namba mbona Imetolewa +255744589910

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 5 ปีที่แล้ว +2

      Mungu Akupe kheri na afya wewe na famly yako akufu guliye zaidi na mahitaji yako kwani kwa maisha tulonayoo sasahivi mupatikana watu kama wewe ni afimu saana kila la kheri

    • @musafirikasha2765
      @musafirikasha2765 5 ปีที่แล้ว +2

      Mungu wangu maisha maisha mangumu 🙏🙏🙏

  • @zulisaid4283
    @zulisaid4283 5 ปีที่แล้ว

    Millard thanks. A lot keep that spirit always and always

  • @rosemeryjimy9711
    @rosemeryjimy9711 5 ปีที่แล้ว

    Nimejikuta nalia tu kwa maisha kama haya ni rahis sana kijana kuingia kwenye makundi mabaya.milad mungu akubariki na kizaz chako

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 5 ปีที่แล้ว +25

    Huko chooni Kama una tumbo la kuharisha utafika kweli

    • @adamlucas686
      @adamlucas686 5 ปีที่แล้ว

      Kutenda wema ni hakiba na pia kutoa ni moyo mirad ayo mungu akubaliki kwa utoaji wako

    • @adamlucas686
      @adamlucas686 5 ปีที่แล้ว

      mungu atampa ujasili wa kutafta napia kukaa na mtu vizur inaleta fraha sana kama angekuwa kibaka hakuna wakumsaidia naomba vijana tuwe na moyo wa kutoa au sio paka kutoa hata ushauri unatosha watu wengine wanafikili kutoa nifaida unaweza ukatoa pesa hata isifanye kaz 👏👏👏👏👏

  • @joh255tv4
    @joh255tv4 5 ปีที่แล้ว +3

    Mimi ningeshauri ungetafuta namba yako ukachangiwa ukamnunulia

  • @juliusuronu8812
    @juliusuronu8812 5 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu kwa maisha uliyonipa sintanun'gunika tena...Mpaka machozi yamenitoka...Millady Mungu akubariki sana. Kijana Hassani Mungu yupo pamoja nawe...yataisha

  • @zuwenaabdallah7067
    @zuwenaabdallah7067 5 ปีที่แล้ว

    Dah! Mungu akubariki Millard! Mungu akubariki Hassan na wenzako!

  • @franciscomasungulwa3820
    @franciscomasungulwa3820 5 ปีที่แล้ว +3

    Umesaidia kumleta kwetu, nina wasiwasi na hiyo hela tutakayomtumia kama ataweza kui-manage....Jaribu kuratibu namna hiyo hela itakavyoweza kumsaidia kutimiza malelngo yake...Kumbuka kazungukwa na watu .

  • @noricegold25
    @noricegold25 5 ปีที่แล้ว +7

    mkeka wa nn tuko juujuu

  • @sallykazungu807
    @sallykazungu807 5 ปีที่แล้ว

    Millard you have started a very good project i feel pity for my brothers and sisters in Arusha that pass through this,,it's surely is a pity.May God bless you and use you to change this Arusha youth,,i am a kenyan but my roots are from arusha kikwe relatives from nambala and manyire this ngarenaro is actually some few kilometers.....Millard you have deeply thought doing this is really amazing.

  • @neemalkiswaga6126
    @neemalkiswaga6126 5 ปีที่แล้ว

    Mungu yupo atatenda siku moja atabadili maisha asikate tamaa kwenye maisha kuna mambo mengi ya kukatisha Sana lakini ukijituma na kujiamini thanks bro Kwa kazi nzuri

    • @omarinjoka2004
      @omarinjoka2004 5 ปีที่แล้ว

      Millard Ayo ww ni mfano wa kuigwa kwa wale waliojaliwa kuwa nacho kuwakumbuka wasionacho!
      Mungu anisaidie kufuata nyayo zako

  • @atanasifrancis3308
    @atanasifrancis3308 5 ปีที่แล้ว +5

    duh ,ndio maisha halisi ya ngarenaro na matejoo

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 ปีที่แล้ว +10

    utazani unatafsili muvi ya kivita

  • @furahinipallangyo1239
    @furahinipallangyo1239 5 ปีที่แล้ว

    Me ni kijana pia nipo arusha pia huwa nasema Nina maisha magumu lakini nimeona maisha magumu Leo kusema kweli nimelia #Millard mungu akubariki

  • @barnabasmtelevu6500
    @barnabasmtelevu6500 5 ปีที่แล้ว

    Congrats much Bro! God bless you; I really cried for this. #blessed! #blessed! #blessed! much.

  • @josephchuwa1206
    @josephchuwa1206 5 ปีที่แล้ว +11

    😀😀😀😀aiseee chalii yangu kuwa makini sana wahuni sio watu kwa mlango huo godoro na hicho kitanda watabeba

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 5 ปีที่แล้ว +8

    Eti leo unadai daimond katok maisha magum

  • @festondile2039
    @festondile2039 5 ปีที่แล้ว

    Amani ni kitu cha muhimu sana,Hassan pamoja na changamoto zote hizo lakini yupo poa na marafiki zake.Nimependa Imani ya Hassani kua ipo siku atatoboa tu.May God bless you Millard hii kitu umefanya hapa ina thamani sana mbele za Mungu yaani kugusa maisha ya watu wahitaji,Umefanya jambo la maana sana sana keep it up.

  • @Djumaselemani
    @Djumaselemani 5 ปีที่แล้ว +1

    Bro god bless you I’m so proud of you thanks for helping him👏

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 5 ปีที่แล้ว +12

    Tutamchangia ila ahame hapo atafute chumba kingine apange

    • @nafisamohamad3182
      @nafisamohamad3182 5 ปีที่แล้ว

      Ata hama vp na hela bado hajapata? Labda asubirie hio michango yetu tu ndio yatakayoweza kumvusha kwenye hali hio

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 5 ปีที่แล้ว

      Nafisa Mohamad Fanya basi tumchangie apate Mil 2.2

    • @saitotisaitoti6734
      @saitotisaitoti6734 5 ปีที่แล้ว

      @@barbarasara4033 bodaboda hapana zinaua sana vijna.labda apate mtaji aanzishe biashara tofauti

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 5 ปีที่แล้ว

      saitoti saitoti Hawa watu hawasaidiki nimejaribu kupiga hiyo number kama nitaweza kumsaidia hata hapatikan tangu jana. Si bure anavuta madawa ya kulevya. Na Isitoshe anatakiwa aaachana na hayo makundi yake anatakiwa awe amejielewa

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 5 ปีที่แล้ว

      saitoti saitoti Hayo magroup ya kaz gan yana shawish mambo mabaya jaman hapatikan hata maybe hayupo serious

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 5 ปีที่แล้ว +23

    Alaf ndo tuna ambiwa hii nchi inaenda kwenye uchumi wa kati.

    • @herykauli1004
      @herykauli1004 5 ปีที่แล้ว +5

      Acha ubora.ulaya mpaka Leo hii kuna watu wanalala mitaani hata magheto hawana. Wanaokota chupa wakauze wapate pesa.tatizo mnafikiri umasikini upo Tanzania tu.

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 5 ปีที่แล้ว +2

      hery kauli wewe umehadithiwa umeshwahi kufika ulaya, umehadithiwa tuu, umaskini unaozungumzia ambao uki huko ni 1/10,000 of the whole population, acha kujidanganya kwa kuamua Ku settle for less. Huko ni kujifariji kijinga. Nchi za Africa tuna umaskini na ndio bara maskini na lenye kusaidiwa kwa wingi kuliko mabara yote

    • @herykauli1004
      @herykauli1004 5 ปีที่แล้ว +3

      Ww umefika?na umetembea nchi ngapi na ukakuta hakuna umaskini?nadhani ww ndio umehadithiwa.tatizo unakariri. Unadhani Ulaya ni mbinguni.

    • @abbysauko3725
      @abbysauko3725 5 ปีที่แล้ว +1

      tofautsha uchumi wa mtu mmoja mmoja na wa nchi ukizngumzia kaul yako hyo Kuna watu wanapesa balaa

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 5 ปีที่แล้ว +1

      Abby Sauko tunachoaangalia si watu kuwa na fedha balaa, je fedha hizo zina thamani? Ubora wa hela haupimwi kwa wingi ila kwa thamani, noti kubwa ya marekani ni dola 100 ambayo kwa Tanzania ni kama shs 2,280. Sasa unapokuwa unataka dola 1 na inakugharimu shs 2,280 pesa ina thamani hapo? Sasa una hela sawa let's say 1 billion alafu ukibadili kwa fedha za kigeni unapata dola 438, 596 tu na huku unakuwa umebeba kwenye canter 1 billion Tshs, alafu ukibadilisha unapata dola 438,596 ambazo zina fit kwenye briefcase. Hela itakuwa na thamani pale ambapo hutajaza magunia ya hela yenye thamani ya shs 1 billion na kupata fedha za kigeni cheche zinazoweza kubebwa kirahisi kwenye briefcase.

  • @apmade8389
    @apmade8389 5 ปีที่แล้ว

    milard umefanya kitu kimoja kita inspire watu sana God bless you broo

  • @eliasray1500
    @eliasray1500 5 ปีที่แล้ว

    Proud for you milad ayo kiukweli nimekubali kwa kile unachokifanya kwa kuinua vijana wenzetu wenye shida na matatizo kama hawa umekua mfano wa kuigwa na mungu akubless.

  • @joh255tv4
    @joh255tv4 5 ปีที่แล้ว +3

    asiuze tu

    • @nasrafadhili8941
      @nasrafadhili8941 3 ปีที่แล้ว

      Duh umeongea maan tunawajua hadi nimecheka

  • @minjacsd1874
    @minjacsd1874 5 ปีที่แล้ว +10

    Du hizo kilomita za kwenda toilet zinatisha mzee good sana milad ayo.

    • @adelinaaloyce1231
      @adelinaaloyce1231 5 ปีที่แล้ว +1

      Mimi bado ninawasiwasi wenzake kumuibia hicho alichokipata jamani, ukiangalia iyo nyumba csalama kabsa

    • @herietando7653
      @herietando7653 5 ปีที่แล้ว

      May God bless you bro Millardayo