LUNCH YA MACHALII WA NGARENARO, WAWADISS WANAUME WA DAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Wakati tukiisubiria FIESTA 2018 Jumamosi hii Arusha, Machalii wa Ngarenaro wametuonyesha sehemu ya maisha yao ya kila siku inapofika swala la kula.

ความคิดเห็น • 256

  • @aseelaaseela4913
    @aseelaaseela4913 5 ปีที่แล้ว +16

    Nipend vile mnaanza na Bismillah pia kuna vile mnajaliana Mashaa Allah 🙏🙏

  • @beathasedekia3616
    @beathasedekia3616 5 ปีที่แล้ว +16

    Kama umesikia mtoto alivoambiwa " njoo upambane" gonga like

  • @shameemrashid5219
    @shameemrashid5219 5 ปีที่แล้ว +21

    Maskin japo wapo wengi lkn wanapendan 😂😂😂😂😂

  • @diamondplatnumz41
    @diamondplatnumz41 5 ปีที่แล้ว +2

    napenda lugha ya chuga

  • @pilihussein2219
    @pilihussein2219 5 ปีที่แล้ว +13

    Ma shaa Allah hawasahau kuanza kwa dua
    Bissmillah

  • @mmariwammari692
    @mmariwammari692 5 ปีที่แล้ว +3

    hakyamungu ni miaka miwili tuu Arusha tutatumia lugha yetu dadeki salute sana wanangu wa nguvu Jeniva of Africa salute yechu yechu sana

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 ปีที่แล้ว +14

    Ningekuwa na uwezo aiseee madingi ningewaajiri inaonekana mna ushirikiano Sana na mkiisha pata dona kazi zinaenda vizuri

    • @nemohos4885
      @nemohos4885 5 ปีที่แล้ว

      I love Jesus hahaha kweli lakini sasa niambie where in the hell is jesus?

    • @najma3268
      @najma3268 5 ปีที่แล้ว

      I love Jesus etutafute shamba tuwaajiri tuwape mahitaji yote kuhusu kula na kulala wanaonekana wananguvu wanaweza wakakufanyia kitu kizur wallah

  • @mpajiramadhan3507
    @mpajiramadhan3507 5 ปีที่แล้ว +12

    Ugali Kama huu unaweza pita na malinda wakati wa kunywaa😎😎

  • @relaxmedia4934
    @relaxmedia4934 5 ปีที่แล้ว +10

    Msukuma endelea kuitetea bangi ili watz wote wawe kama hawa vjana

  • @publicadvisor6952
    @publicadvisor6952 5 ปีที่แล้ว +5

    HIKI NDIO KIZAZI CHA KESHO KUBABEKI.. KUNA HAJA YA REFORMS KWENYE KILA KITU HAPA BONGO

  • @judithpaul9013
    @judithpaul9013 5 ปีที่แล้ว +14

    *Ahahaha, nyumban n nyumban tu, kuhama cwez... hizi bangi n htr*

    • @nkuhimmary6007
      @nkuhimmary6007 5 ปีที่แล้ว +1

      Then hizo sura nadhani ni za Ungalimitedi😁😁😁

    • @nemohos4885
      @nemohos4885 5 ปีที่แล้ว

      bangi haifanyi kitu mpenzi wangu

    • @benardmartine244
      @benardmartine244 5 ปีที่แล้ว

      Hapo Unajivunia Nn Sasa, Kama Sio Ujinga Tu,

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 5 ปีที่แล้ว +2

      Benard Martine mbn povu lmekutoka, najivunia mkoa wangu, kwn ww kimekudisturb nn?

    • @judithpaul9013
      @judithpaul9013 5 ปีที่แล้ว +2

      Benard Martine hujaitwa uku kwnza

  • @wizzyfernando8655
    @wizzyfernando8655 5 ปีที่แล้ว +25

    USA
    Lugha yao pekee
    Mzikii wao pekee
    Chakula chao pekee
    Fashion yao pkee
    Atown dain uhuru ty 😂😂😂

  • @habbymsauzy5756
    @habbymsauzy5756 5 ปีที่แล้ว +2

    jaman duh uluma

  • @pendezamelix2586
    @pendezamelix2586 5 ปีที่แล้ว +2

    Wanakula mate tu😂😂

  • @elliudmichael5487
    @elliudmichael5487 5 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahaaaaa Arusha yetuu jamani mtuache na life letuu chuga ooyeeeee

  • @dicksonkilawe3896
    @dicksonkilawe3896 5 ปีที่แล้ว +5

    Duh...I like this styles coz am living Chuggah...!

    • @dicksonkilawe3896
      @dicksonkilawe3896 5 ปีที่แล้ว

      Madingii gongeni laiki km zote babalababa...!

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 ปีที่แล้ว +6

    kaa ki sqwada💔

  • @ombenmichael3473
    @ombenmichael3473 5 ปีที่แล้ว +5

    hahah machaliii wa R kwenye diko la ela yote! baada ya miak 15 Arusha ikawa na lugha yao

  • @abedinegoheriel3013
    @abedinegoheriel3013 5 ปีที่แล้ว +3

    Hahahahah ukienda chooni lazima uende na panga du hii hatari kabisa

  • @nuhuhassani3720
    @nuhuhassani3720 5 ปีที่แล้ว +3

    Duu lakini ni vizuri kwasababu wana pendana full respect

  • @dawascourtm157
    @dawascourtm157 4 ปีที่แล้ว

    Iyo inaitwa kula kulambalamba kushiba nimipabgo ya godi

  • @castonyigo8765
    @castonyigo8765 2 ปีที่แล้ว

    Huyo mshikaji si aliingia super nyota fiesta

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 5 ปีที่แล้ว +3

    Wanapendana sana jamani

  • @andrewmwakikato4820
    @andrewmwakikato4820 5 ปีที่แล้ว

    Najiuliza wapo katika mazingira gani hawa. Mazingira waliopo si sarama wanahararisha uhuni

  • @kbdmsafi_tz8094
    @kbdmsafi_tz8094 5 ปีที่แล้ว +2

    machalii Ya R Shkamoo Sisi Wa Kitintale Tupo Apeche

  • @denisbartholome1071
    @denisbartholome1071 5 ปีที่แล้ว +4

    Kula kumaliza siyo kula kushiba dingiii

  • @fatmaalwiy7651
    @fatmaalwiy7651 ปีที่แล้ว

    Nimependa hiyo unakula kama umefiwa hahaha

  • @vicenttemu8322
    @vicenttemu8322 5 ปีที่แล้ว

    husen unabonga sana badala ya kuvunja ugalii

  • @mosesjnr8436
    @mosesjnr8436 5 ปีที่แล้ว +1

    Haah eti mboga inaitwa Mbosso

  • @denicejoseph8632
    @denicejoseph8632 4 ปีที่แล้ว

    Apo sio maigizo ayo n maisha ya halisi

  • @amnemkubwa7353
    @amnemkubwa7353 5 ปีที่แล้ว +10

    Dah!!!! Km wafungwa jamaniiiii😕.. mnatutia haibu wana Arusha kwakwl😂🤣😃..
    Ivi huu ndio mfumo wao wa kula or🤔?? Mwisho si watapigana kwa tonge la ugali😂🤣😄

    • @nemohos4885
      @nemohos4885 5 ปีที่แล้ว

      Amne Mkubwa hahaha

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 5 ปีที่แล้ว

      @@nemohos4885 aisee tembea uone

    • @hildamushi4998
      @hildamushi4998 5 ปีที่แล้ว

      Amne Mkubwa we unasemaje
      Iv kunasemu au mkoa ooowe ule unaongoja kwavipaje kam arusha

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 5 ปีที่แล้ว

      @@hildamushi4998 kwakwel sijui😀😂

    • @harrisonsamwel3112
      @harrisonsamwel3112 5 ปีที่แล้ว

      wengine hapo wanazosehem za kula makwao ila wanakuja kula hapo kwa kampan tu

  • @elijareliya9528
    @elijareliya9528 5 ปีที่แล้ว

    Bangi mbaya sana watoto.

  • @boniphacetv739
    @boniphacetv739 5 ปีที่แล้ว +15

    Baada ya miaka kumi Arusha watakuwa na luga yao

  • @leahchallod3912
    @leahchallod3912 2 ปีที่แล้ว

    Mnaongea sana

  • @beatricekamengekamenge5543
    @beatricekamengekamenge5543 5 ปีที่แล้ว +27

    😂 😂 😂 ugali wote unamate

  • @hidayaalliy3526
    @hidayaalliy3526 5 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂watu wa arusha tunakula kumaliza sio kushiba serekali angeacha bangi iendelee tuu maan akuna walicho okoa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @emmanuelimaxxaka754
    @emmanuelimaxxaka754 5 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 itabidii ni hamiye Arusha asee mbona maisha mazuriiii hiviii

  • @yassinabdy8962
    @yassinabdy8962 5 ปีที่แล้ว +5

    Dalili za hali ngumu za maisha

  • @deborahjm8890
    @deborahjm8890 5 ปีที่แล้ว +1

    Dhu! Siyo kwa matonge iyoo 😂😂

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 5 ปีที่แล้ว

    daaa jamaa wana stail ya kwao pekeao nawakubali sana

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 5 ปีที่แล้ว +1

    Bangi haziachi mtu Salama😭😭

  • @tanzanianchiyangutaifalang8376
    @tanzanianchiyangutaifalang8376 5 ปีที่แล้ว

    Mwili unahitaji vitu vitamu, vinono na laini. Kula kwa stail hiyo ili uonekane mwanaume ambaye hujalegea ni ujinga.

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 ปีที่แล้ว +1

    Baba la baba maparachichi yako wapi na maziwa ya mtindi kushushia?

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว

    Mh bangi

  • @khaliphamsemo4044
    @khaliphamsemo4044 3 ปีที่แล้ว

    R i p kalasinga

  • @localtesting8365
    @localtesting8365 5 ปีที่แล้ว

    home sweet home!!!!!! kwetu kushba mwiko cc tuna kula kumalzaaa!!
    mavijanaa mmetishaa kinyamaaaa@nyauu,mategee,mwinyii,malawama na mashamloo mmetishaa

  • @Rogathe-Rogathe
    @Rogathe-Rogathe 5 ปีที่แล้ว +8

    Matejoooo moja iyo maeneo ya Soko mjinga Ngarenaro.....machaliii ya chugga iyo arifuuu

  • @shungushula4340
    @shungushula4340 5 ปีที่แล้ว +2

    mnazingua ungali wenye sembe njoo uku nimendo wa dona tu.

  • @joshuakinabo6861
    @joshuakinabo6861 3 ปีที่แล้ว

    Khaaaaa

  • @bongbon1260
    @bongbon1260 5 ปีที่แล้ว

    FAKE

  • @sebastianmboya6702
    @sebastianmboya6702 5 ปีที่แล้ว

    Hizo zote njaa

  • @princesssalmahtz4531
    @princesssalmahtz4531 5 ปีที่แล้ว +1

    Subhan Allah 😪😪😪😪😪

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 5 ปีที่แล้ว

    Mxwiiiiiiim sijaona la maana hapo

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 5 ปีที่แล้ว

    Laiti ningekuwa na uwezo ningewaozesha wake mabarobaro hawa lkn ahh!

  • @thomashamis9084
    @thomashamis9084 5 ปีที่แล้ว

    hao mbona wachumba tuu kwetu hao tunawachuna ngozi tuu waje mitaa y tunduma tuwafundishe Marsha😁😁😁

  • @shadowmedia7644
    @shadowmedia7644 5 ปีที่แล้ว +6

    wanapamban na ugali baada ya kutoka chimboooooo sana nakubaliiiiiii wanaongea kwa fujooo ila awagombani

  • @pascaltv2456
    @pascaltv2456 5 ปีที่แล้ว +1

    Dah Hao Wana

  • @saiddaud3757
    @saiddaud3757 5 ปีที่แล้ว

    daaaah xo amaizng kama wewe mjanja lazma umkubali millard afrael ayo

  • @jalaljalal5258
    @jalaljalal5258 5 ปีที่แล้ว +1

    hao ni mchwa aisee

  • @jalaljalal5258
    @jalaljalal5258 5 ปีที่แล้ว +2

    ndugu zake Millard hahahahahaaaaa

  • @سالمالقريني-خ9ذ
    @سالمالقريني-خ9ذ 5 ปีที่แล้ว

    Amina khatibu daaah hapo unasema mwanangu yuko mjini kwa maisha hy ni shida

  • @ramsonjasson4706
    @ramsonjasson4706 5 ปีที่แล้ว

    jamaa kasema et ,,kwa haya matonge,,,,ukienda toilet,,, unaenda na panga,,,😂😂😂panga,,,,kama umeona naomba like nyingiiiii👇

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 5 ปีที่แล้ว +8

    Arusha sehemu gani nije nilionje la camp chalii yangu napenda dona kinyama 😂😂😂

    • @ashaally6993
      @ashaally6993 5 ปีที่แล้ว

      @Yasini Idi Sawa mtu wangu 😂😂

    • @paulomoleli920
      @paulomoleli920 5 ปีที่แล้ว

      Daaa gar

    • @emanuelambaida8090
      @emanuelambaida8090 5 ปีที่แล้ว

      Huyo kids atashiba man aise

    • @ashaally6993
      @ashaally6993 5 ปีที่แล้ว

      @@emanuelambaida8090 😂😂😂 umemuona eee masikini na yeye yupo kati kati ya machalii ya R

    • @barakaswedy7839
      @barakaswedy7839 5 ปีที่แล้ว +1

      @@ashaally6993 wewe

  • @sleemngareiya7911
    @sleemngareiya7911 5 ปีที่แล้ว

    hakunaga mbanya nzuri chuvi chuvi ugoro mpee babu mtoto mlambishe asali pambano ya elaaa yoteee

  • @wilbertrichard2141
    @wilbertrichard2141 5 ปีที่แล้ว

    Hao nao wanajikutaga wagumu, hamna ktu wamezidisha sifa,

  • @kingkiwango1435
    @kingkiwango1435 5 ปีที่แล้ว

    Duuuu bas n kaz.. ##ushndwe kufanya kaz na kula ushndwe??kulen tu machalii wang mana haina namna 😵😵😵😵

  • @maureenmuhonja722
    @maureenmuhonja722 5 ปีที่แล้ว

    some tymes life is savage

  • @zakiamaungazakia720
    @zakiamaungazakia720 5 ปีที่แล้ว

    Ivi yule Rema hawaoni Hawa kawasaidiaje Hawa vijana wanaishiivi

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 5 ปีที่แล้ว

    Naiomba serikali iwachunguze hawa vijana wamejaza mibangi huko,

  • @festomsemwa7732
    @festomsemwa7732 5 ปีที่แล้ว

    Hahaha,,,Mtoto hana zambi asee apambane ya hela yote

  • @jacksonmacha6762
    @jacksonmacha6762 5 ปีที่แล้ว

    Hawa machalii huwa wanaishi maisha halisi sio ya kukopi

  • @monilahcruz7293
    @monilahcruz7293 5 ปีที่แล้ว

    Uwezo wakumunulia sina Ali kama ataweza she dar tufanye wote kazi nimsaidie tusaidiane

  • @nathanaelmkenda7891
    @nathanaelmkenda7891 5 ปีที่แล้ว

    mparangano dikon dadek....mnanikumbasha njiro naura

  • @boscomaboga1021
    @boscomaboga1021 5 ปีที่แล้ว

    Hapo juu.....hapo chini, kaa kisqwada..... Kitu laini laini kitu matemate...duh hata kwenye kamusi haipo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @bonnysure5131
    @bonnysure5131 5 ปีที่แล้ว

    Unatoka Arusha Tisha sana A town ... Bonny sure my hom

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 5 ปีที่แล้ว +1

    Duu jama sula ngumu mavazi yakutisha lung"a zakutisha hilo kundi lipewe jina

  • @hamisjingu90
    @hamisjingu90 5 ปีที่แล้ว

    Fanyen mchakto waliolipa wapate angalau

  • @kavishe1990
    @kavishe1990 5 ปีที่แล้ว

    nimeakia kikurya hapo.. amangaaa mbuuya

  • @Dm-yd1tl
    @Dm-yd1tl 5 ปีที่แล้ว

    Eti ukienda toi lazmauendena panga

  • @johnsonayo
    @johnsonayo 5 ปีที่แล้ว

    Arusha magetoni bado wanaishi kiujamaa,kuenzi azimio,ugali wa kampani ni mtamu sana

  • @hawahawahata3578
    @hawahawahata3578 5 ปีที่แล้ว +2

    Mmmajanga

  • @reaganmakallo6824
    @reaganmakallo6824 5 ปีที่แล้ว

    kunajamaa kakata tonge kama jiwe la kuulia nyoka.

  • @victoriachesco35
    @victoriachesco35 5 ปีที่แล้ว

    Hy ni nguvu ya bang!nd maan watu wengi wa Arusha akili zao wanzijua wenywe

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 ปีที่แล้ว

    Mambo niii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪

  • @abdulkarimpeter2348
    @abdulkarimpeter2348 5 ปีที่แล้ว

    Hili ni kundi la wavuta bangi msichafue Arusha.

  • @nemohos4885
    @nemohos4885 5 ปีที่แล้ว

    hapo naitaji kupeleka dawa ya mswaki na hand sanitizer kwenye mchuzi

  • @deboramrema2861
    @deboramrema2861 5 ปีที่แล้ว

    Daaa Mungu awajalie bado vijana pambaneni

  • @nyahehethomas8086
    @nyahehethomas8086 5 ปีที่แล้ว

    Duuuh mko vizur, kwa ushikiano mnatishaaa xana

  • @happydavid5472
    @happydavid5472 5 ปีที่แล้ว

    Mchuzi wa mboga umeongezeka kumbe ni mate

  • @nyahehethomas8086
    @nyahehethomas8086 5 ปีที่แล้ว

    Duuuh mko vizur, kwa ushikiano mnatishaaa

  • @mpajiramadhan3507
    @mpajiramadhan3507 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂ukienda Choo lazma uende na panga

  • @hassankihonde1275
    @hassankihonde1275 5 ปีที่แล้ว

    Hata kama kweli machalii wa Ngarenaro ni noma ila hii ni editing sana wana clouds

  • @thomasruhende503
    @thomasruhende503 5 ปีที่แล้ว

    Aliwaroga hawa vijana amekufa

  • @twahajsalim7913
    @twahajsalim7913 5 ปีที่แล้ว

    Kama life ndio hili sijiti tena chalii wa R duh!!!!!!!!?????

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂machalii wa arusha ni sheedah

  • @aseelaaseela4913
    @aseelaaseela4913 5 ปีที่แล้ว

    Nauliza jaman mboga gani hii???

  • @mosesjnr8436
    @mosesjnr8436 5 ปีที่แล้ว

    Wasenge wanakula balanced diet Hahah

  • @bazilybajutha1157
    @bazilybajutha1157 5 ปีที่แล้ว

    United states of Arusha Respect my Jiji

  • @Maginatv
    @Maginatv 5 ปีที่แล้ว

    Ngarenaro bhana

  • @BabaloskiSaid
    @BabaloskiSaid 5 ปีที่แล้ว

    Hapo chini?