DIAMONDPLATNUMZ AKIONESHA LOVE KWA MAJANABA NA MASHABIKI WAKE WA ARUSHA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 30

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mpe afya njema diamond wetu jamani penda sana kaka

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 3 ปีที่แล้ว +3

    Da, majanaba kaoshe nyota, umelia kidogo lakini zali limekataa, labda bingwa hajakusoma makeke yako bado. Jaribu tena sehemu sahihi mwana. Nakuombea mwana kaza buti tu kama sukari yao. 🙏🙏🙏🙏

  • @10kay7
    @10kay7 2 ปีที่แล้ว +1

    Simbaaaaaaaa 🇰🇪🇰🇪

  • @ghostelmendez7206
    @ghostelmendez7206 3 ปีที่แล้ว +7

    Mond mungu akusimamie kaka

  • @nasimiyususan8927
    @nasimiyususan8927 3 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful 😍🦁🔥🔥🔥🔥

  • @edwardmdee5669
    @edwardmdee5669 3 ปีที่แล้ว +1

    Hili zee lakwanza sjui lawapi hee kdogo limvunje Simba mgongo hahh

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 3 ปีที่แล้ว +2

    Simbaaaa

  • @rajimadope6465
    @rajimadope6465 3 ปีที่แล้ว +10

    😂mafuta umuwekee bure na makofi upigwe so kwa furaha hiyo khaaaaa

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 3 ปีที่แล้ว +1

    Safety haijazingatiwa kwenye kituo cha mafuta.

  • @zubedaathuman8366
    @zubedaathuman8366 3 ปีที่แล้ว +1

    Inasikitisha babaako anarara nanjaaa arafu ww unagawa misaada kwawatu duuu emwenyenzi mungu mpe moyo waupendo daimondi amkumbuke babaake amsaidie

  • @dexstarbullet5024
    @dexstarbullet5024 3 ปีที่แล้ว

    Mzee ana VIBE BALAA

  • @ramakimolo125
    @ramakimolo125 2 ปีที่แล้ว

    Bado nawaza mmoja achomoe betriiii apo sheliii sjui nawaza NM😁😁😂😂

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 3 ปีที่แล้ว +3

    Wese la bure dingi gafla dishi limeyumba😆😆

  • @Gody360
    @Gody360 ปีที่แล้ว

    😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @dottoomary8087
    @dottoomary8087 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndio mana anazid kupewa kipenz cha watu

  • @irakozejclaude7087
    @irakozejclaude7087 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh ila simba amemjuwa aje majanaba nauwengi wawatu hivo

  • @snetiengineeringltd8246
    @snetiengineeringltd8246 ปีที่แล้ว

    Baunsa bhana

  • @wilherywiliamkadwela5890
    @wilherywiliamkadwela5890 3 ปีที่แล้ว

    Waitaji was misaada in weki ila tunatofautiana na shida,Ngum kutoa msaada kwa wote ila akunaga kiasi kidogo cha msaana.ONGELA SAMA

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 3 ปีที่แล้ว

    Mzee kqchangamka htr

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 3 ปีที่แล้ว +2

    majanaba. mbona. umewekwa nyuma 🤣🤣

  • @jumasaimon8652
    @jumasaimon8652 3 ปีที่แล้ว

    Mamae wexe ununue makofi upigwe

  • @aishakhamis8270
    @aishakhamis8270 3 ปีที่แล้ว +1

    Mandi wewe baba lawooooooo san

  • @shakuruisaac8384
    @shakuruisaac8384 3 ปีที่แล้ว

    Babalao

  • @kottaflavour4908
    @kottaflavour4908 3 ปีที่แล้ว +1

    Mond

  • @mohamedchorah8514
    @mohamedchorah8514 2 ปีที่แล้ว

    .

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 ปีที่แล้ว +1

    Chezeya mafuta ya bure wewe

  • @japhetjairos2983
    @japhetjairos2983 3 ปีที่แล้ว

    Mafuta to apo

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 3 ปีที่แล้ว

    Una lolote pesa za mashart baba yako hata Mia unashindwa kumpa

    • @issackjoseph6436
      @issackjoseph6436 3 ปีที่แล้ว

      Una hakika?je kama mzee kapangwa aendelee kudaka tension kihivyo