Hapa mzee baba amewakata mambanga wote jox jocholo coz ni mweli yeyote anaeimba ana watu wake so kusema ati MC flani anazingua nikumkorogea gape lake so kila mc ana watu wake wanaomkubali....big up kwa majanabaaaaaaaa
Damn ma Nicca these is another ancient rap language which is going to make ancestors come back to life all in all he looks very intelligent person,these happens when a smart man wants to look funny
Hii ndio Arusha Jombaa. Mtoto wa nguruwe kwenye oven nambandua tu pyaaaaaa😆😆😆. Hii kichwa ya kisimiri bhana. Afu bro anaonekana alikua na kichwa mzuri sanaa😊#Vibekamaloteee💪
Ambao wanaamin huyu jamaa, anakitu tujuane kupitia like
Kitu gani
Albeleen Alberto 0692811625 nicheki nikuambie🙏
@@Mahonda8080 😂😂😂😂
Mh
Kama umependa anavyo chana gonga like ku show love😂😂😂
this guy kajibu swali lamwisho kama vile proffesa! he is a legend!
Huyu jamaa anajiona Yuko Jamaica kabisaaa😂😂😂😂
Aisee huyuu jamaa yuko vizuri sana, yaani anajua kabisa kila mtu na watu wake wampendao, unaemkataa yupo anemkubali
Alaf jamaa nachomkubali zaid anajitambua pia ni mtu peace sana
Yuko peace kinyama
Artist mzuri sana mradi ajipange tu vizuri.. Lots of love from Mombasa Kenya.
Ambaye anaamini kuwa huyu jamaa anastahili kuitwa kwenye tamasha Wasafi feistival
Jamaa Lina akili kakwepa swali technical @ rapa gani humwelewi wote nawaelewa 😄😄😄
Hapa mzee baba amewakata mambanga wote jox jocholo coz ni mweli yeyote anaeimba ana watu wake so kusema ati MC flani anazingua nikumkorogea gape lake so kila mc ana watu wake wanaomkubali....big up kwa majanabaaaaaaaa
Asante kunitoa sterss jmn😂😂😂
Diana Mkuna meonaaa eeh unaeza paliwaaa
Duh huyu kipaji...hilo swali la mwisho...genius..
This man is the best comedy
" This man is the best comedian "
Sawa ??
🤣🤣🤣🤣 majanaba nimemuelewa sana asee
Gongo ya mama veeee anaweka na vitamini"U"
Hahaha huyu jamaa kaniondolea stress za 2019
Yaniiiiii huyu anajikuta yupo Jamaicannnnnn kabisaaa 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🤣
Mm huyu jamaa namkubali sana, kwanza hajui kutukana, anajua kujibu maswali vizuri sana, best and talent comedian
Jamaa ana bonge la talent he's a A star. BongoSTAR search ingeenda mbali zaidikuna talents kubwa za ma actors na comedians wanawaacha.
Nilikunywa gongo kalii. Dahhh
R chugaaa ni fuluuuu yedede I love Chuga mzee dingideee
Nimemula mtoto wa nguruwe namubandua tuu bandaraaa
Chezea vitu vyote lkn c bangi aisee😂😂😂
Akili Mbovu balaaa
🇹🇿🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🇹🇿Naipenda nchi angu ina kila k2🇹🇿🇹🇿🔥
👍👍👍
Hahahhaa
Natoka uko orkokola kisimiri ngaramtoni😂😂😂😂
Jamaa anachana kichaga
Mtangazaji kaa mbali asije kukukopoa macho😆😆
Fireeee........pimpiiiiiii
Damn ma Nicca these is another ancient rap language which is going to make ancestors come back to life all in all he looks very intelligent person,these happens when a smart man wants to look funny
Boi im here....
Yupo vizur
Yupo naakili hatakama anatumiya hiyo gogo
Jamn huy kak amenifurahisha jamn 🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa smart sana .kajibu zaid hàta ya wasanii wakubwa wakiulizwa maswali kuhusu wasanii wenzao
Yaan hiyo akitengenezwa atakuwa faida sn wasimwache wamuelekeze Hizo n sauti z taifa
Gongo kaliiiy😁 anavurugu huyu pepeee😆
Noma sana
Me nampenda jamani
Mpaka siku mtu achomwe kisu hadharani, ndio mtajua ..dah
😂😂😂😂 washamuona n mental ill na wao bado tu eti kamuekea mic kw mbali kukimbia mate😁😁
Nakunywa gongo mingi na sigara nyota
😂😂😂😂😂
Namukubali sana kabisa uyu ndo wangu kwa Bongo flever kabisa
At first nilihisi kama mnara umeyumba but ulivyojibu swali la mwishooo upo vizuri sana upstairs
Hii ndio Arusha Jombaa. Mtoto wa nguruwe kwenye oven nambandua tu pyaaaaaa😆😆😆. Hii kichwa ya kisimiri bhana. Afu bro anaonekana alikua na kichwa mzuri sanaa😊#Vibekamaloteee💪
Aboi 4rm Makambako duhuuu hahaaaa ninomaaaa hiyooooo
Majanaba ungesoma ungekua mbali dah😀😀😀😀
Nomaaaaa
Big up kwa pachaaa💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Kawavalia kofia "The joker..."😂😂😂🤣🤣🤣
Ndio kubwa,nambandua tuu mbararaaa
Kaacha story mitandaon
Huyu jamaa makini sana tu
😁😁😁😁mtangazaji anaogopa mate
Daa had stress zangu zimeisha jmn duuu huu mtambo wa jiji
😅😅😅😅😅
HUYU ANAFANANA KABISA NA JCB WA WATENGWA! GONGA LIKE KAMA UNAMTAKA JCB AJE KUMCHUKUA MDOGO WAKE HAPA! LIKES 1K
Aminii 😂😂😂
Duh mnaoskia kingeleza tunaomba mniambie majanaba anaimba kingeleza
🤣🤣🤣🤣 yan hapo full vurugu aisee
Arusha ndo kwetu mazeiya
Anaongeaa Sanaa lakin hatukani hapoo tuu ndo nimempendaaa🥰🥰🥰🥰🥰
Hawa wa2 wa harusha duuuh htr kwel
Hii jamaa imetisha sana, Arusha jaman mnatuharibia vijana
Sio kichaaa anajitambua life style yake
Daaaaah jaman Yuko God Sana wote anawakubali but hiyo Mike imepata upepo wa kisulisuli 😀😀😀
Mama veeee🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Hahaha Broo sawaa
Huyu jamaa pombe imeingia hadi kwenye utosi
Bongo wanakuona chizi ila ingekua America ungepig pesa
Hahahaaa sichoki kuitazama daa chuga ni shida
Chalii yangu katisha sanaa gongo akiacha rap inakaa vizuriii
jajajajaja siku yangu umeimalizia vizuri kaka
Huyu Jamaa Anatalent xanaa...Xema chizz chizz Babuu....
Nimependa jibu rahuyu jamaa anawapenda wote wakali safu sana
Daaah
Anarusha mateeee😀😀😀😀😀
majanaba baba laaaaaaaaaaooooooooooooooo
DJ hazuu umetisha sana hapa DJ b msukumawetu
A.CITY stand up....kubabeki
Big up brooo
Anaweza sana 1 tu apunguze pombe na mibange
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂KUMAA MAKEEEE ARUSHA WAPEWE NCHI YAO HAWA SIO WATANZANIA KWELII KBSAA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umenchekesha ww cc watz bana
We ni kuma
Aseee natupewe2
Jama anaona kama mtangazaj hayuko chap dah ila gongo kitu kibaya
Mwandishi ukiuliza swali la kizushi ila jamaa kakujibu kistaarabu,acheni kuuliza maswali ya ugombanishi.
Kali
Huyu jamaaa anajua kuimba 😎
Kipaji cha kuigiza anacho😃😃😃
Jibu la swali la mwisho ni funika baba jamaa yuko vizuri
uyu jama noma semq gongo zinamzinguwa
Kumbe bongo tuna vipaji aiseeeeeee
Sahvi watu wa mikoani chugastan mnakuja na paspot
He ave talent but he need adviser na ache Congo😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hatareeee uyo chalii n mkulaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zang
Gongooo kariiiiii,ndooo moja
Jamaa liko mkide ili🤣🤣🤣
Nahuyu ndo markuba mwenyewe 😂😂😂
Atakunya mzee
Wamlipe huyu msemo wameutumia wa na nusu
Huyu Jamaa pepo lake kali aisee
Chuga sihami ng’oooo
Nimecheka bila kujizuia 🤣🤣🤣😂
Siyo gongo tu na bangi pia
Apa kweli alitumia sigara nyota
haloweeen vp hahaaa
aah hata mapengo pale anajua"
Namkubali 🤣🤣🤣🤣🤣
Bangi ni mbaya