TOFAUTI YA MKE NA MSAIDIZI | DEO SUKAMBI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.พ. 2024
  • Karibu katika kipindi cha UPONYAJI WA FAMILIA na Pastor Deo Sukambi. Leo tunajifunza TOFAUTI YA MKE NA MSAIDIZI
    Unaweza Kusapoti huduma hii
    TIGO PESA 0715 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
    M PESA 0746 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
    Endelea kunifuatilia kwenye kupitia
    / deosukambi
    / deosukambi
    / deosukambi1
    Usisahau ku subcribe kwa mafundisho zaidi
    www.youtube.com/@DeoSukambi?s...
    Deo Sukambi is Counselor | Mentor | Pastor | Public Speaker | Corporate trainer | Author
    #DeoSukambi #Familia #Malezi #Watoto #Ndoa #MahusianoUnaweza Kusapoti huduma hii

ความคิดเห็น • 70

  • @HamidakomboKombo-xs2ju
    @HamidakomboKombo-xs2ju 4 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana tumekuelewa Dr ila baadhi ya wanaume Huwa hajui majukumu yao,na mukipata watoto Huwa anazidi anakuachia watoto na inabidi upambane Ili watoto wale ! Kuliko kuanza kukimbizana na mwanaume mjinga ndio hapo tunapoumia SS wanawake kwa ajili ya watoto

    • @LuciaBenedictor-xr6qb
      @LuciaBenedictor-xr6qb 2 หลายเดือนก่อน

      Pengine hawa wawili walifanya haraka kabla Mungu hajafunulia siri hii( msaidizi na mke)

  • @ItsWorkingTogetherForMyGood
    @ItsWorkingTogetherForMyGood 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana, haswa unapozungumzia Yesu ambaye alizungukiwa na wanawake hapo mwisho. Nmepata ufunuo.

  • @haphsahsaeed6654
    @haphsahsaeed6654 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 dr. Salute 🫡 kweli tuna viherehere haswaa, nawala hatujatumwa na mtu kusema kweli, tubaki kwenye position zetu, asante sana sana, Mungu akubarik zaid na zaid uzidi kutupa elimu

  • @elizabethproches6761
    @elizabethproches6761 3 หลายเดือนก่อน

    Nashukur Sana Pastor! SoMo Ni zuri Sana hapa kila mtu ajitambue tu 'position' yake.

  • @user-cq5rs9di2z
    @user-cq5rs9di2z 4 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana mtumishi kipindi chako kinanibariki sana sana Anna Joephath goba

  • @elizabethfrank3083
    @elizabethfrank3083 4 หลายเดือนก่อน

    Ahsante Kaka Deo Honestly nimejifunza vingi sana🙏

  • @user-ng2ot8uz5j
    @user-ng2ot8uz5j 4 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa Mada nzuri, nimejifunza kitu,nipo Burundi.

  • @mimamnete6283
    @mimamnete6283 4 หลายเดือนก่อน +1

    This speak volumes aisee kuna alot of my friends wameolewa ila wanafanya majukumu ya waume zao in the name of mke ni msaidizi sasa outcome ya hii ni migogoro kila siku

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน +1

      Wanawake wengi wameingia kwenye migogoro mibaya na waume zao katika jina la msaidizi

  • @delinevamwakapasa6948
    @delinevamwakapasa6948 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana baba

  • @chrissg4026
    @chrissg4026 2 หลายเดือนก่อน

    Kupitia maandiko sasa tumeshafunuliwa kwamba kumbe uyu aliumbwa kuwa msaidizi! Pamoja na kwamba hakutamkiwa kumbe sasa tumeshajua kusudi la Mungu kumuumba uyu mwanamke! Na inabidi sasa aishi kulingana na kusudi la Mungu hata kama hakuambiwa! Tuangalie kupitia maandiko kusudi la Mungu lilikuwa ni nini? Kumbe sasa tunatakiwa kuishi kwa kusudi ilo baada ya kufumbuliwa na biblia(Neno la Mungu)

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 3 หลายเดือนก่อน

    God blessed you doctor sukambi ❤

  • @user-cj8zh8jj2s
    @user-cj8zh8jj2s 4 หลายเดือนก่อน

    Na mke Yuko kwenye shimo umwache.leo umetoa mafundisho potofu kabisa

  • @neisamartin4087
    @neisamartin4087 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa Mada hii Deo, Marekani

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana..salamu zangu huko Marekani

  • @LacksonTungaraza
    @LacksonTungaraza 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hii ni YA moto sana 🎯🎯🎯

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน

      Dawa yakuponya

  • @tumainselestine3398
    @tumainselestine3398 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimevutiwa sana na hii mada.

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa

  • @user-cj8zh8jj2s
    @user-cj8zh8jj2s 4 หลายเดือนก่อน

    Leo umenunuliwa Wala sio ukweli .haya ni mafundisho yalio maono ya wanadamu

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 2 หลายเดือนก่อน

    Utasababisha ndoa za watu zivunjike siku wakiacha kutoa pesa na ndoa zao zinakufa maana hao wanaume wanademand sana wapewe hizo pesa 😊 wasipopewa wana hali inakuwa tete

  • @user-eo8wi2is7t
    @user-eo8wi2is7t 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwamaonyo mazur

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa

  • @user-cj8zh8jj2s
    @user-cj8zh8jj2s 4 หลายเดือนก่อน

    Today's umeongea kwa mamlaka za Giza kabisa .tafakari njia zako

  • @mamii7935
    @mamii7935 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran sana kaka

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa

  • @HabiyambereFaheem-fk3nz
    @HabiyambereFaheem-fk3nz 4 หลายเดือนก่อน +4

    Rwanda tupo

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน +3

      Woow..sijawahi kuwaona Rwanda..karibu sana

    • @ruterarose6025
      @ruterarose6025 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @user-cj8zh8jj2s
    @user-cj8zh8jj2s 4 หลายเดือนก่อน

    Umeamua kupotosha biblia wazi .hii sio concept Mungu alikusudia .

    • @chrissg4026
      @chrissg4026 2 หลายเดือนก่อน

      Kupitia maandiko sasa tumeshafunuliwa kwamba kumbe uyu aliumbwa kuwa msaidizi! Pamoja na kwamba hakutamkiwa kumbe sasa tumeshajua kusudi la Mungu kumuumba uyu mwanamke! Na inabidi sasa aishi kulingana na kusudi la Mungu hata kama hakuambiwa! Tuangalie kupitia maandiko kusudi la Mungu lilikuwa ni nini? Kumbe sasa tunatakiwa kuishi kwa kusudi ilo baada ya kufumbuliwa na biblia(Neno la Mungu)

  • @felixshikiro7065
    @felixshikiro7065 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sielewi
    Mwanzo 2:18
    Mwanzo 2:23-24
    Nitofauti na nayo unayo yasema

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน

      Unasoma kilichoandikwa au unasoma ulichonacho kichwani?
      23-24 ni concept ya ndoa na mwanaume ndio alisema
      18 ni concept ya msaidizi na Mungu ndio alisema
      Hakuna mahali Mungu alimwambia mwanaume concept ya kufanya msaidizi na hakuna mahali mwanaume alimwambia Mungu suala la kumfanya mwanamke(sio msaidizi) kuwa mke wake.

  • @bahatikiwambe2390
    @bahatikiwambe2390 4 หลายเดือนก่อน +1

    Following from Njombe

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน

      Asante sana Bahati

  • @user-cj8zh8jj2s
    @user-cj8zh8jj2s 4 หลายเดือนก่อน

    Usaidizi unaenda na utii.mtumishi hapa umepotoka soma mithali 31

  • @imanimwakinga4934
    @imanimwakinga4934 4 หลายเดือนก่อน

    Mi nakuelewa, sasa kwanini nasoma DEO 😂😂😂 kama nikija kuwa mke halafu nikakutana na mwamba mambo ni haya

  • @loycemalach9662
    @loycemalach9662 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ninekuelewa nnooo Deo

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน

      Asanteeee sanaa

  • @happiness_713
    @happiness_713 4 หลายเดือนก่อน

    "Both" we are doing vice versa..😢

  • @imanimwakinga4934
    @imanimwakinga4934 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa si ungesema jamani toka mwanzo 😂😂😂😂😂😂 Yani dakika ya 22 ndio nakuja kuelewa kuwa msaidizi ni WA kiroho , mke ni WA kimwili ungesema sasa 😂😂😂😂😂 umezunguka weeeeh aaaah

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน +1

      Wala sijazunguka nilikuwa nafundisha tatizo lako ulikuwa unajipa majibu kichwani badala ya kumaliza kusikiliza somo lote kwanza..ukitaka kunifurahia uwe unasikiliza somo zima kwanza😃😃😃😆😆

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 2 หลายเดือนก่อน

    Huwezi kukaa kama mke wakati huyo bwana anataka pesa nusu kwa nusu kila kitu

  • @samwelilucas1970
    @samwelilucas1970 4 หลายเดือนก่อน +1

    Daah aisee hapa duniani kuna mafundisho mengi tena uongo ni mwingo😂😂 daah saizi nikisikia watu wanaongea najua huu ukweli na hii si kweli. hapa ni mahali ambapo najifunza na kiukweli Pastor Deo umebadilisha mtazamo wangu na Maisha yangu yanabadilika kila siku Mungu azidi kukubariki❤

    • @user-cj8zh8jj2s
      @user-cj8zh8jj2s 4 หลายเดือนก่อน

      Hapa umepotoka ndugu yangu

  • @user-cj8zh8jj2s
    @user-cj8zh8jj2s 4 หลายเดือนก่อน

    Mke mwema nani awezaye kumwona kima chake chapita kima cha marijani

  • @user-oj6qq8up7f
    @user-oj6qq8up7f 4 หลายเดือนก่อน

    Na kama n single mother sinilazima ujukumike ama

  • @imanimwakinga4934
    @imanimwakinga4934 4 หลายเดือนก่อน

    Mi naomba niulize , nisamehe kama nakuwa nje na mada, mkeo anafanya kazi au anakusaidia kwenye maono yako??

  • @user-cj8zh8jj2s
    @user-cj8zh8jj2s 4 หลายเดือนก่อน

    Wapi kwenye biblia imeandikwa mume amtunze mke .

  • @user-cj8zh8jj2s
    @user-cj8zh8jj2s 4 หลายเดือนก่อน

    Hili suala la usaidizi kama unalikataa.ni wapi iliandikwa mume atakuwa provider wa nyumba yake iko wapi

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน

      Sikiliza somo lote kwanza ndipo ucomment ndugu yangu..utavurugika sana ukiwa unasikiliza huku una comment..hakuna mahali nimepinga suala la mke kuwa msaidizi..tulia usikilize mpaka mwisho

    • @chrissg4026
      @chrissg4026 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@DeoSukambiUsaidizi wa mke umeuongelea kana kwamba ni kitu ambacho siyo cha lazima sana! Umesahau mme atatakiwa kusaidiwa kufuliwa, kupikiwa na mengineyo! Pia mke kumsaidia mme siyo kwenye swala la pesa tu!

  • @livingstonemwambapa8887
    @livingstonemwambapa8887 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa mtumishi mwanzo 2:18 aliambiwa nani?

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน +1

      Mwanzo 2:18 18 BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
      Bwana AKASEMA sio Bwana AKAMWAMBIA

    • @chrissg4026
      @chrissg4026 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@DeoSukambiKupitia maandiko sasa tumeshafunuliwa kwamba kumbe uyu aliumbwa kuwa msaidizi! Pamoja na kwamba hakutamkiwa kumbe sasa tumeshajua kusudi la Mungu kumuumba uyu mwanamke! Na inabidi sasa aishi kulingana na kusudi la Mungu hata kama hakuambiwa! Tuangalie kupitia maandiko kusudi la Mungu lilikuwa ni nini? Kumbe sasa tunatakiwa kuishi kwa kusudi ilo baada ya kufumbuliwa na biblia(Neno la Mungu)

    • @chrissg4026
      @chrissg4026 2 หลายเดือนก่อน

      ​​​@@DeoSukambiMungu akitamka na litakuwa kama alivyotamka! Hata kama hakukuambia! Mbona Mungu hakutamkia Adamu ampende na kumhudumia mkewe? Lakini ni kupitia neno la Mungu tumefunuliwa mambo haya! Mungu hakumtamkia Eva kumtii Adam lakini ni kupitia neno la Mungu tunajua anapaswa kufanya hivyo! Mungu hakumwambia Eva kwamba wewe ni msaidizi lakini ni kupitia neno la Mungu kwamba sasa tunatambua kwamba Eva ni msaidizi na ilo limeumbiwa ndani yake! Mwanaume ni kichwa na ilo limeumbiwa ndani mwake! Sasa kazi za kichwa ama kiongozi zinajulikana! Na uyu mwanamke sasa anatakiwa kumsikiliza kiongozi wake! Akiambiwa mguu pande anatakiwa kuwa mguu pande! Akiambiwa mguu sawa anatakiwa kuwa mguu sawa! Akiambiwa mshahara wako mwezi huu utalipa kodi anatakiwa kusema naaam bwana! Iyo ndo maana ya kuwa mme kiongozi na mke kutii!

  • @elizabethfrank3083
    @elizabethfrank3083 4 หลายเดือนก่อน

    Kila mwanaume anaweza kuwa mume kwa mtu yoyote yule na kila mwanamke anaweza kuwa mke wa mwanaume yoyote but si kila mwanamke anaweza akawa msimamizi wa mwanaume yoyote maana mwanamke aliumbwa ili kumsaidia mwanaume ambae ako na vision na anaesimama katika lile kusudi la Mungu ndani yake

  • @sofiarugoye7929
    @sofiarugoye7929 4 หลายเดือนก่อน +1

    Swali je? Inaruhusiwa kumsaidia mwanaume ambae anajishugulisha Ila ameyumba kidogo yaani amepungukiwa

    • @boniphacebukombe5911
      @boniphacebukombe5911 4 หลายเดือนก่อน

      Najifunza mengi kuhusiana na mada hii.barikiwa

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน

      Ndio inaruhusiwa ikiwa tu anaelewa kuwa hayo ni majukumu yake na unamsaidia kwasababu ameyumba..msaada wako usimfanye ahisi kuwa ni wajibu wako kufanya ikifika hapo basi limekuwa ni tatizo

  • @user-cj8zh8jj2s
    @user-cj8zh8jj2s 4 หลายเดือนก่อน +1

    Concept ya usaidizi hata kama ni ya kiroho.roho ndiyo itiayo uzima mwili haufai kitu
    Ila suala la usaidizi umeshindwa kulielewa kabisa .nilikupa credit sana mada zako za kwanza .hii umepotoka kabisa.umeongea kama wapagani kabisa

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa mtumishi naheshimu maoni yako sasa ungefanya nawe ufungue channel ya youtube ufundishe hii concept vizuri ili upinge upotofu wangu uwaokoe watu kutoka kwenye huu upagani wangu..ukicomment hivi unakuwa unanisaidia mimi kuwafikia watu wengi zaidi hivyo unakuwa unasambaza habari za upotoshaji badala ya kuhubiri habari njema kwenye channel yako..

    • @J_Pabloescobar0806
      @J_Pabloescobar0806 4 หลายเดือนก่อน

      ⁠@@DeoSukambi Nakupata vizuri kabisa nikiwa South Africa 🇿🇦 mimi nakufatilia sana kaka nabadilika kila siku vizuri nakushukuru sana mungu akulinde sanaa

    • @elizabethproches6761
      @elizabethproches6761 3 หลายเดือนก่อน

      Pastor msamehe tu bure inaonekan huy hajajiidentfy him self,

  • @user-cj8zh8jj2s
    @user-cj8zh8jj2s 4 หลายเดือนก่อน

    Leo umeenda kinyume na biblia kabisa ..Hawa watu ni mwili mmoja.kama christo alivyo kichwa cha kanisa

    • @chrissg4026
      @chrissg4026 2 หลายเดือนก่อน

      Upo sahihi kabisa! Leo kajichanganya! Kumsaidia mme siyo swala la pesa tu! Kumfulia na kumpikia huko nako ni kumsaidia pia!

    • @chrissg4026
      @chrissg4026 2 หลายเดือนก่อน

      Kupitia maandiko sasa tumeshafunuliwa kwamba kumbe uyu aliumbwa kuwa msaidizi! Pamoja na kwamba hakutamkiwa kumbe sasa tumeshajua kusudi la Mungu kumuumba uyu mwanamke! Na inabidi sasa aishi kulingana na kusudi la Mungu hata kama hakuambiwa! Tuangalie kupitia maandiko kusudi la Mungu lilikuwa ni nini? Kumbe sasa tunatakiwa kuishi kwa kusudi ilo baada ya kufumbuliwa na biblia(Neno la Mungu)

  • @HamidakomboKombo-xs2ju
    @HamidakomboKombo-xs2ju 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana tumekuelewa Dr ila baadhi ya wanaume Huwa hajui majukumu yao,na mukipata watoto Huwa anazidi anakuachia watoto na inabidi upambane Ili watoto wale ! Kuliko kuanza kukimbizana na mwanaume mjinga ndio hapo tunapoumia SS wanawake kwa ajili ya watoto