SABABU 4 ZINAPOLEKEA KUSHINDWA KUSAMEHE | DEO SUKAMBI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ม.ค. 2024
  • Karibu katika kipindi cha UPONYAJI WA FAMILIA na Pastor Deo Sukambi.
    Unaweza Kusapoti huduma hii
    TIGO PESA 0715 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
    M PESA 0746 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
    Endelea kunifuatilia kwenye kupitia
    / deosukambi
    / deosukambi
    / deosukambi1
    Usisahau ku subcribe kwa mafundisho zaidi
    www.youtube.com/@DeoSukambi?s...
    #DeoSukambi #Familia #Malezi #Watoto #Ndoa #MahusianoUnaweza Kusapoti huduma hii

ความคิดเห็น • 21

  • @user-ql1fk6rw7j
    @user-ql1fk6rw7j 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nashukuru sana sana nimekwelewa sana tatizo Hilo ninalo nashukuru sa

  • @johnsylivester8412
    @johnsylivester8412 11 วันที่ผ่านมา

    Hakika wewe ni mwalimu mzuri sana sana barikiwa leo hd keshokutwa. Saluti

  • @johnsylivester8412
    @johnsylivester8412 11 วันที่ผ่านมา

    Hakika wewe ni mwalimu mzuri sana sana barikiwa leo hd kesho kutwa. Saluti kwako Teacher

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka Deo nimekuelewa sana sana ,nitachukua Hatua za mabadiliko,Asante Mungu Anaona jitiada zako za kufundsha watu wake,mimi ni mmoja wapo

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน

      Amen barikiwa sana

  • @mbanzaviolette1367
    @mbanzaviolette1367 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nina kufatilia nikiwa Marekani kwa kweli huwa una nisaidia sana

  • @BizimunguAdolphe-vp7xp
    @BizimunguAdolphe-vp7xp 4 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana mwalimu🇷🇼

  • @WinWilly4162
    @WinWilly4162 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi kundi namba 3😂Mungu nisaidie😂😂😂

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 5 หลายเดือนก่อน +1

    Niyautukufu sana mungu akutuse sana🔥🔥🔥🔥

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hataree sana Ahsante sana Apostle kwa Elimu

  • @triciamushi2080
    @triciamushi2080 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu anipe summary

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 5 หลายเดือนก่อน

    Ameeen 🙏🏻🙏🏻

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 5 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kabisa

  • @anitamwamini2646
    @anitamwamini2646 5 หลายเดือนก่อน

    Jawabu la upole hupunguza hasira Bali nenoliumizaro huchochea ghadhabu

  • @annasasi8924
    @annasasi8924 5 หลายเดือนก่อน +1

    Heeeee kumbe wanawake tumedekezwa na mifumo???!!!
    Mifumo imetuharibu

    • @barakadeusdedit8273
      @barakadeusdedit8273 5 หลายเดือนก่อน

      ha ha ha ha ha ni kweli, kuna siku nilijiuliza mbona wanasema ....... kuzuia unyanyasaji wa wanawake na watoto......, nikajiuliza kwani wanaume hawanyanyaswi?

  • @keraryosilasi-lr4kw
    @keraryosilasi-lr4kw 5 หลายเดือนก่อน

    yani kama Mimi niko hapo 3 nazani Kuna siku ataelewa kua alinikosea wapi

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 4 หลายเดือนก่อน +1

    Je ni sawa kusafri na kukaa mbali na mme wako kwa muda ata wa mwezi ili utulize akili yako?

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  4 หลายเดือนก่อน

      Sio dhambi na sio kosa ila inawezekana hilo lisilewe suluhisho la kudumu la tatizo linalowasumbua..ni vema kujua kiini cha tatizo kinachofanya hadi akili yako ichoke kuwa karibu naye..kwenda mbali naye kwa muda kunakupa tu unafuu lakini sio tiba

  • @johnsylivester8412
    @johnsylivester8412 11 วันที่ผ่านมา

    Hakika wewe ni mwalimu mzuri sana sana barikiwa leo hd keshokutwa. Saluti

  • @johnsylivester8412
    @johnsylivester8412 11 วันที่ผ่านมา

    Hakika wewe ni mwalimu mzuri sana sana barikiwa leo hd keshokutwa. Saluti