🔴
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025
- 🔴#Live: SIRI ITAKAYOKUPA MKE, MUME SAHIHI, HIZI NDIYO SABABU ZILIZOVUNJA MAHUSIANO ya WENGI | MAPITO
KWENYE MAPITO ya wikii hii mgeni ni Deo Sukambi mwanasaikolojia, pastor na mshauri wa masuala ya mbalimbali ikiwemo mahusiano na ndoa...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@Sultanramsp
I wish watu wakuelewe zaidi hapo kwenye zawadi nakujitoa, usitoe zawadi ili upendwe toa zawadi sababu unapenda💪🏾 mnunulie mpenzi au mpe kitu mpenzi wako kwa mapenzi yako sio kwaajiri yayeye kukupenda
Da,unaweza kulikoroga bila hata kujua, asante kwa elimu
Maashaallah wewe Baba Munguakulipe heri. Manenonikwerikabisa. Wanaume akikufatamchunguze niayake hawanamapenziyakwelinipesatu
I listened twice,,, mtaalam Deo kaongea mambo ya kweli ......
Kaka deo unaongea vitu vizuri sana wanaume wangesikia wengi wangepona hali ni mbaya
Uko sahihi 100%
Mwanaume ndo kila kitu jmn,ahudumie familia
Wanawake acheni kuhonga wanaume pesa, hela ya mwanaume tamu aisee ...
📌📍Waambie pastor
Nimejifunza kitu kikubwa sana asante sana
Past deo Mungu akuongezee maarifa ili nasi tuchote kwako baba
Mungu andeley kumlinda sn huyu baba 🥰
Unaongeya Ukweli past❤
Asante sana kwa somo zuri jaman
Zari anauliza vizuriiii
Pastor Deo nimekuelewa sana sana
Asante sana kwa maelezo mazuri shida ni hawafuatilii wakasikia
Pastor DEO nimependa kipindi hiki.. Hongera sana
Yani uyu mu kaka ni fire🔥 kila unacho ongeya ni point tupu wana wake wengi tuna jipendekeza ku wana ume tukizani njo tutapendwa mana wengi nawa juwa ashwa ashwa kwenye inchi iyi ya .Marekani wana wake wa hapa wana ume awa tusamini na mana tuna jipendekeza kwaku chukuwa majukumu yasiye kuwa yetu mwishowe wana tuacha wana ende ku owa wana wake. Afrika ubarikiwe Mwana muke ata Kaye shindwa kujifunza kwa somo 👆🏿hili wewe sijuwi atakama ukipewa dawa kutoka .Chine😂😅 ita ku ponya mana muchanga nyiko wa dawa yenye ugonjwa wako iyo hapo asanteni👂🏿 ✍️🏿❤❤ God bless you Brother🫂🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Nimekuelewa sana baba mzuri nitakua mpya sasa
Aisee maneno mazuri sn👏
Somo zuri mnooo!!nondo imekaaa vzr
Nimekupenda burreee
Chukua tu maua yako🎉🎉🎉
Jamani kaka umeongea ukweli mtupu somo zuri sana ila ajiandae atakae kuja maana atalala njaa maana mtu hatoi pesa hadi umuombe hata ukiomba hadi ajishauri mwisho naamua kufanya mwenyewe sasa atajuta ajae
Ukweli mchungu jamani uiiiii sindano inauma mno ila ndo napona jamani😩😩😩pastor ubarikiwe miaka mia 🙏
God bless u man ......ukweli mtupu.jmn...
Grande applause. Loved this!
yaani dahh we kaka mungu akupe afya njema na umri mrefu unatufundisha mengi nimejifunza mengi kila unachoongea kinanigusa😢
Wee ndugu unaweza kusaidia watu wengi MOLA AWE NAWE
Uko vizuri mwalimu sukambi. Unatufundisha uharisia wa maisha.
Kaka asante sana , nimejifunza , akili inazidi kupata chakula , akili inazidi kuingiza vitu vipya zaidi
Hili somo kabisa
Jamani Mimi natetemeka mpaka najifunika, Asante Sana nimeguswa Sana yote mliyoongea yananiusu,
Hongera kw kupata elimu toshaa
Pole mno tupo wengi sio we we tu
Yaani mafundisho nizuri kweli kweli
🙏🙏🙏 baba unajibu maswali kwa husahihi Sana.
Kupona ndani kwanza 👍
Jeraha halitibu jeraha
Ubatikiwe
Mm ndani nna vidonda haswa
Really man thanks
Thx for da show
Wanawake hata hawataki kusikia kuwa wana haja ya kujitibia saikolojia zao niko nao hapa wanasema maisha yenyewe haya mafupi
Huo ndiyo ukweli ubarikiwe
Nikweli kaka
Amina
Duh nmejifunza kitu
Kweli kabisaa
Utampendaje bila kukupa anachotaka unampenda mwanamke kwa kumuangalia jamaa huyu bhana Mimi taona anakibuli na napiga chin
Waalim n weng aisee
Upon sahihi sana dkt. Siamini ktk zawadi eti ndo upendo
Kweli kabisa 😜
Hapo changanya na zako
Ana maneno mazito huyu baba
Huu ni ukweli jmn
Wanawake tumezidi kuingilia majukumu ya wanaume.
Kwakweli mwanaume ameumbwa kutoa
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
Tukielewa haya tutaishi kwa raha...
Kwakweli mwanaume anihudumie tu siwezi kumpa hela wala kuchukua majukumu yake
Usimpe mamlaka mtu ya kukunyanyasa,nimekuelewa.
Upendo na lengo 🤔
Nimekuelewa.....
Sasa mukisha zara watoto nivigumu kutupa ndowa ndomana sisi wa maman tunavumiriya. Wanaume wanatuonyesha kama ni wabaya kama tumesha kufunga ndowa. Nivigumu sana kuishi nawaume. Sisi wa mama tuko na moyo ya uruma sana.
Kweli usimtatulie mwanaume matatizo yake atatafutamwingine
Points tupuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mchungajiii
Khaaa
Unafua,unapika 🙄😳na hajakuoa😂
Sifanyi hiyo biashara
Kila mmoja apambane na Hali yake 😂
🙏🙏🙏🙏🙏
Jaman mpaka raha unaongeq ukwer kabisa
Tiba ya vikombesss tuipateeee
Sasa km tukitengeneza upendo sisi wenyew pasipo kutumia zawadi km ushawishi,je kwa upande wangu Mimi mwanamke ambaye Nina mpenzi wangu ambae mara hanisaidii wakati ana uwezo wa kunisaia ninapokuwa na shida!?kipato chake ni kikubwa na mimi uwezo wangu mdogo
😊
Madini yameturiav
Uyu baba ameongea ukweli mtupu
😂😂😂😂❤
Kama hakuna anayeweza kutatua majeraha ya mtu slijeruhiwa, wataramu wa kisaikorojia kaziyao wayayoifanya niipi?
Ume ongea puent sana kaka somolako nime jifuza kitu
Pastor DEO nimependa kipindi hiki.. Hongera sana