Unataka mumeo/mwanaume akuamini na akupe siri zake? Fanya hivi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @romanuskunzugala2096
    @romanuskunzugala2096 ปีที่แล้ว +4

    Asante Kwa somo unacho ongea kama unaniongelea mm, na unacho ongea ndyo uwalisia WA mwanaume kamili

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 ปีที่แล้ว +3

    Somo zuri sn alichoongea ndugu Deo ni Ukwl kbs 👏👏👏👏👏 haya Mambo yanahitaji kwanza umpate Mtu Sahihi sn wa kumwambia Siri zako

  • @priscaaugustino5803
    @priscaaugustino5803 ปีที่แล้ว +3

    Asante ubarikiwe

  • @brysonmutinda5280
    @brysonmutinda5280 ปีที่แล้ว +2

    UKWELI KABISA

  • @hilderbusinge130
    @hilderbusinge130 ปีที่แล้ว +2

    Daaah hapo nikwer kabsa Kwa wanawake ilaa swali langu nihili nikwann wanaume wanakuwa na upuuzi Sanaa hata kwenye vitu vya userious?

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  ปีที่แล้ว

      Asante kwa swali lako..nitalijibu kwenye kipindi cha KLINIKI YA MAHUSIANO, kinaruka jnne saa moja usiku hapa youtube live endelea kutufatilia

  • @judithkatabaro3294
    @judithkatabaro3294 6 หลายเดือนก่อน

    Jaman nimeshaata ilo jaribu nipo nanmpenzi wangu ndio amefika dar miaka mitano hatuja onana eti a msicia mwana mke wa mbele yetu ana matako uyo sasa yeye alik nita kasirika😂nika mkimbilia yule dada nika mwambia mpenzi wangu ana kusifia una matako yule dada wachcheke

  • @raphaelsteven3799
    @raphaelsteven3799 ปีที่แล้ว +1

    NAKUKUMBUKA SANA MWAMBA DEO EEMC ULITUPATIA NONDO SANA

  • @julianajulius4246
    @julianajulius4246 ปีที่แล้ว +1

    Good and understandable

  • @GEBOMichael
    @GEBOMichael ปีที่แล้ว

    Sawa brother deo kazi nzuri Sana kaka

  • @LightnessAnderson
    @LightnessAnderson 9 หลายเดือนก่อน

    Du kaka ni kweli

  • @officialmagreth479
    @officialmagreth479 8 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 11 หลายเดือนก่อน

    Asantee

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤

  • @boobohhh3029
    @boobohhh3029 ปีที่แล้ว +1

    👌🌷