Kwa mafundisho haya,🙌 basi asante sana mume wangu kwa kunionyesha upendo, kuhusu mapenz, nitapunguza haya matarajio, eeh Mungu tupe afya njema kama familia🤲...baba Emma📢📢📢📢📢🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ out with my head down
Hata mimi umenifurahisha sana Mr Sukambi umewatoa Watu wengi upofu. Wadada wengi kwa kweli they cant tell the difference katika Upendo na Mapenzi ndio maana ndoa zinachechemea. Kumbe expectations zao zinakuwa off🙏🏾
Nimekuelewa pastor ila kuna mwanaume anaupendo sana na mm ila tumeachana wazazi wamemtafutia mwanamke mwingine ila nahisi ana upendo sana bado na mm na bado nina upendo na mm je inawezekana aliyemuoa anamuonyesha upendo au ndo mapenzi tu
@@OmanOman-c9d sasa kama upendo wake kwako haukutosha yeye kusimama upande wako ina maana gani? Wazazi wanamuamulia mke wa kuoa? Sifikiri kama huyo anajua maana ya kuwa mume
@@OmanOman-c9d kama ana kupenda ni jambo jema hata bible inasema pendaneni. Ila swala la mapenzi ni hisia na hisia huwa zinaisha ila upendo ndio kinacho dumu. Kama Mke alietafutiwa anampenda basi ndoa itadumu ila kama ni Mapenzi tu hisia huwa zina expire.
Asante baba nimejifunza japo sina mtu ila naogopaaa maaana hiyo engo inahitaji msaada wa mungu inshaallah khery ya allah anipe kilicho bora kwangu nami niwe bora kwakeee amin ❤❤❤❤❤shukran sana
Asante sana Pastor Kwa Somo zuri, tangu nimeanza kufuatilia vipind vyako Kuna kitu napokea siku Hadi siku ambavyo ni msaada San ktk familia yangu!!! Mungu akubariki sana
@@DeoSukambipasta ninachangamoto kubwa katika maisha yangu kuhusu mahusiano sina wakunishauri wala kunifariji naisi kwako nitapata kitu sjui nakupata vipi kimawasiliano
Mwenzangu tulipendana tuna mwaka wa 14 hatujafunga ndoa ila tuna mpango lkn tutafanya biashara pamoja na tuko vizuri hakuna shida tunashirikiana kwa mambo mengi na ananishauri mambo mazuri hata yanayohusu familia yangu.napia tunafanya miradi kwa ajili ya maisha yetu ya baadaye.
@@DeoSukambi Amina pastor nafaidika sana na mafundisho Yako na tayari Nina majibu ya maswali niliypkuwa najiuliza kwa kukusikuliza Kila wakati Mungu akubariki sana.
Kuhusu Uvamizi wa Mizimu ktk mahusiano Kupitia mila potofu unaonaje? Kuna kiburi kumbe si MTU anafanya. Mie Heri Halisi Niko Songea Kanisa Halisi. Hongera kwa kujitoa
Mm ni mgonjwa aiseee pastor hapo mwsho umeongea nimimi kabsa lakin mwanaume nilienae hawezi kabisa....pia if possible naruhusiwa kukupigia cm kwa namb hzo nikuelezee kitu kidogo tafadhal
Nilidhani ananipenda kumbe ilikuwa ni mapenzi tuu baada ya muda mfupi tukaachana .mtumishi Sasa nimeelewa asante sana be blessed.from Saudia
Kwa mafundisho haya,🙌 basi asante sana mume wangu kwa kunionyesha upendo, kuhusu mapenz, nitapunguza haya matarajio, eeh Mungu tupe afya njema kama familia🤲...baba Emma📢📢📢📢📢🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ out with my head down
Anafundisha vizuri sana nimekubali unaelimisha jamii vizuri hata mb zangu kula tuu
Haleluyaaa
Uko vzr baba
Najee,mtu,mwenye,alitaka,kuniuwa,nilipomwuliza,aliniambia,ati,nikunipenda,ni,ukweli,
Asante mtumish ......JE KIPI TUZINGATIE ZAIDI MAPENZI AU UPENDO .from Mombasa kenya
Zingatia Upendo achana na mapenzi kwanza yatakuja badae
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, Yesu aendelee kukupatia mafunuo ili uwasaidie watu wa Mungu kwa sababu hiki kizazi kinahitaji mafundisho sana.
Mungu akubariki sana tena azidi kukujaliza hayo madili nimechukua nondo hizo da! Hakika umenitoa upofu god bless you pastor
Hata mimi umenifurahisha sana Mr Sukambi umewatoa Watu wengi upofu. Wadada wengi kwa kweli they cant tell the difference katika Upendo na Mapenzi ndio maana ndoa zinachechemea. Kumbe expectations zao zinakuwa off🙏🏾
Barikiwa sana ndugu
@@DeoSukambishukurani sana
Nimekuelewa pastor ila kuna mwanaume anaupendo sana na mm ila tumeachana wazazi wamemtafutia mwanamke mwingine ila nahisi ana upendo sana bado na mm na bado nina upendo na mm je inawezekana aliyemuoa anamuonyesha upendo au ndo mapenzi tu
@@OmanOman-c9d sasa kama upendo wake kwako haukutosha yeye kusimama upande wako ina maana gani? Wazazi wanamuamulia mke wa kuoa? Sifikiri kama huyo anajua maana ya kuwa mume
@@OmanOman-c9d kama ana kupenda ni jambo jema hata bible inasema pendaneni. Ila swala la mapenzi ni hisia na hisia huwa zinaisha ila upendo ndio kinacho dumu. Kama Mke alietafutiwa anampenda basi ndoa itadumu ila kama ni Mapenzi tu hisia huwa zina expire.
ASante kwa Ujumbe huu mzuri Jamani😊🌻, nimejifunza Mengi saana. Lazma kurudi kwenye asilia, kama mababu zangu.
I really. Admire you Pastor
Umebarikiwa mnooo
Unatusaidia sanaaaa
Asante baba nimejifunza japo sina mtu ila naogopaaa maaana hiyo engo inahitaji msaada wa mungu inshaallah khery ya allah anipe kilicho bora kwangu nami niwe bora kwakeee amin ❤❤❤❤❤shukran sana
Mungu atakujalia aliye bora na kufaa. Endelea kujifunza
@@DeoSukambi amin
Daah masomo mengine yalipaswa kufundishwa miaka kadhaa nyuma but somo nzuriiii nimejipatia kipande changu barikiwa Pastor Deo
Amen amen ndugu
Bravo pastor somo zuri sana nimejufunza kitu ,barikiwa sana mtu wa Mungu
Asante sana Pastor Kwa Somo zuri, tangu nimeanza kufuatilia vipind vyako Kuna kitu napokea siku Hadi siku ambavyo ni msaada San ktk familia yangu!!! Mungu akubariki sana
Ameeeen
Uko vizuri Pastor Uko sawa kabisa. Hongera kwa Kipawa hicho.
Asante..utukufu kwa Mungu
Nimefurahi sana kwa somo Asante sana ubarikiwe sana ❤❤❤
Mimi Loyce niko Marekani nabarikiwa na mafundisho haya na nimejifunza kitu
Barikiwa sana mchungaji
Amen Loyce
Kweliiii unafundisha vizuli,nakupenda ten napend gisi unafundisha ❤from burundiii
Asante kwa mafundisho mazuri ,ubarikiwe sana
asante sana bro Mungu akubariki,hakika umenipa ujasiri wa kujua na kutoka ktk madhila
Asante kwa mashauri kuhusu ukimia wamwanaume
Asante sana unafundisha vizur sana .nipo oman jazila
Shukran sana nimejifunza mengi sana.from oman
Asante Sana pastor kwa mafunzo
Shukuruni Sana nime ji funza upendo na mapenzi
Nashukuru nimeelewa pastor
Asante sanaa,nimekuelewaa
Papa ubarikiwe unanifadha kujuwa mapenzi na upendo ✊
Amen..barikiwa sana
@@DeoSukambipasta ninachangamoto kubwa katika maisha yangu kuhusu mahusiano sina wakunishauri wala kunifariji naisi kwako nitapata kitu sjui nakupata vipi kimawasiliano
Holy Spirit Amen 🙏🏼
Asante sana mwalimu Joel, God Bless you, Amen 🙏🏼
Asante kwa somo zr barkiw
Asante sn pastor 🥺, very educative ✍🏼🙏🏼😊❤
Ahsante kwa nondo za uhakika unatutoa tongotongo kwakweli
Asante sana
Unakuta mtu anakuchunguza unaishi wapi mara nakukubali Sana ina Manisha nini
Very interesting glory to God 👏😢
Asante sana mafundisho ya maana
Asantee sana Kuna sehemu umenipeleka
Barikiwa
❤ thank you kwa somo pastor🎉
Yanu una madini sanaaaa kaka ubarikiwe sanaaaa
Ameeeeeen
Asate sana kwa mafundisho nyako hakii nimejifuza mengi sana kupitia haya mafundisho GOD BLESS YOU 🙌
Amen amen ndugu
Asante Sana tunajifunza mengi kupitiya wewe
Karibu sana
Bora upendwe kuliko mapenzi
Uko vizuri mtumishi .niko Arusha tunakupata
Hasante mchungaji umenisaidia namimi mungu akubariki
Mwenzangu tulipendana tuna mwaka wa 14 hatujafunga ndoa ila tuna mpango lkn tutafanya biashara pamoja na tuko vizuri hakuna shida tunashirikiana kwa mambo mengi na ananishauri mambo mazuri hata yanayohusu familia yangu.napia tunafanya miradi kwa ajili ya maisha yetu ya baadaye.
Mungu awafanikishe kwenye nia yenu hiyo ya kufunga ndoa
@@DeoSukambi Amina pastor nafaidika sana na mafundisho Yako na tayari Nina majibu ya maswali niliypkuwa najiuliza kwa kukusikuliza Kila wakati Mungu akubariki sana.
Dada umeona jibu la deo jitafakari
Kutengeneza mali pamoja bila ndoa ni riziki san
Subiri kukimbiwa tu na huyo mwanaume. Nafikiria huwajui wanaume wewe ataenda tafuta mwanamke mwingine wa kuowa na atakula hizo Mali be careful 😅
Asante kaka nimejifunza mengi sana 🎉
Barikiwa
Asante sana my dad
Mapendo umeyaeleza vizuri Deogratias, lakini pia ni ya kufanyia zoezi😂
Ubarikiwe kwa somo
Ubarikiwe sana doctor
Asante sana ,Mungu akubariki
Amen
Asante kumbe Wengiwetu tulikuwatunadanganyika na mapenzi🤭🙏🙏
Yeah wengi wanalaghaiwa na mapenzi
Upendo ninmaana kuliko mapenzi. Asante pastor
Hakika umenifunza kitu asante sana
Umeongea vema mtumishi
Mungu akubadiriki sana Pastor
Uko sawa bro
Amen mungu àkubariki
Kuhusu Uvamizi wa Mizimu ktk mahusiano Kupitia mila potofu unaonaje? Kuna kiburi kumbe si MTU anafanya. Mie Heri Halisi Niko Songea Kanisa Halisi. Hongera kwa kujitoa
Uvamizi wa roho chafu upo lakini kabla hujafikia huko ni vema kutathmini vyanzo vingine vya tabia hizo
Kama Yesu KRISTO alivyonipenda,,,,,
Ashsante Mr sukambi
Holy Spirit Amen 🙏🏼
Asante sana yupo mwanaume anaupendo na mimi lakini mimi nipo mbali nipo Oman ameniambia atanivumilia mpaka nitakapo rudi ila anasema ananipenda
Nikweli unacho kiongeaa ubarikiwe
❤❤unaongea ukweli kbsa nasikiliza nikiwa mombsa likoni
Asante sana
John vicent ,Toka singida mada nzuri
Safi mwalimu
Hap kwenye SIM shukran
Nimekuelewa
Nipo ugaibun huku gulfu ndy kufa Tulia sana deo
nakukubari sana kaka naomba kitabu chako cha usilolijua kuhusu mwanaume
Asante sana kaka..piga namba 0786903727 kukipata
Big up🎉🎉🎉
Asanteee mi wangu yuko bize lakin ananijali pale ninapo kua n uhitaji na hua ananiuliza kuusu changamoto zangu maan yupo mbali na mimi
Pastor your👍good,bravo,🙏🙏
Shukrn kakngu
Nakupata. Mkubwa
Umerahisisha sana process 😂😂😂😂😂😂😂
Mm ni mgonjwa aiseee pastor hapo mwsho umeongea nimimi kabsa lakin mwanaume nilienae hawezi kabisa....pia if possible naruhusiwa kukupigia cm kwa namb hzo nikuelezee kitu kidogo tafadhal
Sawa unaweza kupiga japo ni vizuri ukanitext whatsap ili tupange appointment
Kweli nimejifunza
Mm hana mixemixe nyingi❤
John kuyoka US nakupata vizuri
Asante sana kutoka ISA
Asante Sana kwa Somo lako nzuri
Josphine nakupata vizuri kutoka Jordan 🇯🇴
Asante sana kutoka Jordan
Asante sana barikiwa sana nimejifunza sana adi nimejikuta nina subscribe.
Karibu sana
Mwenye upendo wa dhati duniani ni mama tu🎉
sio mama wote tu
kwahiy m mme wangu sipaswi kumnunulia hata yebo za kuogea
Mnunulie haina shida kabisa
Very true
Je utajuaje kama anakupenda
🙏🙏🙏🙏🙏
Nafatilia nkiwa saud arabia am a kenyan
Hakika umenifundisha vingi mtumishi
Asante sana kwa mrejesho
Nimependa sana mafundisho yako
Amen amen
❤❤❤
Nakufuatilia kutoka Saudi
Asante sana kutoka Saudi
Nakupata viziri npo uturuki kaka salma hapa
Asante mtumishi uko vzr sanaaa
Amen amen
Somo hili liimenigusà mno, limenihusu, naitaji kufànya appointment nipone nafssi
Karibu sana
Pasta kiukweli nakuelewa sn. Ila tunavunjika sn Kuwapenda wasio tupenda.
Naelewa..Neema ya Kristo isiwapungukie
Naitwa Sophia kutoka manyara
Pastor ndoa yangu ipo ICU umenigusa sana nahitaji kukuona
Denise KAVIRA KARAFULI kutoka inzi ya congo
Jamani kihelehele kibaya
Kibaya Sana, ndicho kinachpwafanya watu wengi waumizwe kwenye mahusiano.
Mm hana mixemixe nyingi