Mambo 3 yanayogombaniwa na wenzi ndani ya mahusiano au ndoa | Uponyaji wa Familia | Deo Sukambi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Karibu katika kipindi cha UPONYAJI WA FAMILIA na Deo Sukambi,
    Karibu katika uzinduzi wa kitabu cha USICHOKIJUA KUHUSU MALEZI (Jumamosi tarehe 21 Oktoba 2023), Usisahau kujisajili kuhudhuria events.deosuka...
    Kama una swali lolote unaweza kulituma kwa SMS au Whatsapp kwenye namba hii +255 746 104 034
    Unaweza Kusapoti huduma hii
    TIGO PESA 0715 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
    M PESA 0746 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
    Endelea kunifuatilia kwenye kupitia
    / deosukambi
    / deosukambi
    / sukambideo
    Usisahau ku subcribe kwa mafundisho zaidi
    www.youtube.co...
    #DeoSukambi #Familia #Malezi #Watoto #Ndoa #Mahusiano

ความคิดเห็น • 54

  • @othumanjenga9974
    @othumanjenga9974 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Sana Mtumishi.Nakufuatilia Sana Mafundisho Yako.Kwa Kweli Naelimika.Mungu Akubariki

  • @eriminashiyo1304
    @eriminashiyo1304 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wow masomo ni mazuri sana .nakusikiliza kutoka zambia

  • @JulianaOlambo
    @JulianaOlambo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nikusikiliza asanteee pamoja sana

  • @shidasyassini6457
    @shidasyassini6457 7 หลายเดือนก่อน +3

    Somo la Leo nimekuelewa Sana! Yaani umeeleweka Sana! Na hili somo linatusaidia Sana kwa kweli Mungu akubariki Sana!

  • @DominicChilijila
    @DominicChilijila 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naitwa Dominic niko Mbinga Tanzania nakusikiliza nakupata vizuri nabarikiwa sana mafundisho yako

  • @rithakiondo1099
    @rithakiondo1099 7 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @RukiaMdide
    @RukiaMdide 3 หลายเดือนก่อน

    Aisee nimecheka sana nipo Oman nakusikiliza 😂😂😂😂

  • @JeremiahMashini-hs2xz
    @JeremiahMashini-hs2xz 5 หลายเดือนก่อน

    Kitabu hicho ni bei gàni na mikoani kinatufikiaje kwa bei gani?

  • @jaquelineligundaklay8817
    @jaquelineligundaklay8817 6 หลายเดือนก่อน

    1m jaqueline nakupata nipo goba

  • @IngabireAisha3813
    @IngabireAisha3813 10 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂ukweli mtu yani nakupemda hadi basi mie nimubirundi nagufatilia nikiwa dubai❤❤❤

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  10 หลายเดือนก่อน

      Asante sana nakupenda pia

  • @MPENVIRONMENT
    @MPENVIRONMENT 5 หลายเดือนก่อน

    🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @JeremiahMashini-hs2xz
    @JeremiahMashini-hs2xz 5 หลายเดือนก่อน

    Mwànza kitabu kinafika kwa bei gani?

  • @nightlaurent5086
    @nightlaurent5086 6 หลายเดือนก่อน

    Leo inabidi ni comment 😅😅😅😅

  • @nyiranzimami728
    @nyiranzimami728 6 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅

  • @ItsWorkingTogetherForMyGood
    @ItsWorkingTogetherForMyGood 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mchunganji Kwa kipindi hiki. Emotional abuse ipo mchunganji, I'd like you uzungumzie narcissistic personality disorder na madhara yake Kwa mahusiano.

  • @HellenBoniface-l9t
    @HellenBoniface-l9t 6 หลายเดือนก่อน +2

    😂 Ubarikiwe mtumishi, somo limeniweka huru,umenifungua sana ufahamu wangu.Asante sana

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  6 หลายเดือนก่อน

      Amen amen

  • @navojosephat656
    @navojosephat656 ปีที่แล้ว +1

    Hahah yaani Pastor the way u present this topic i LOVE IT. .MUNGU AKUBARIKI SANA , Watching from 🇺🇸 USA!

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  11 หลายเดือนก่อน +1

      Thank you Navo

  • @annasasi8924
    @annasasi8924 ปีที่แล้ว

    Let me sit back and relax.,,,kumbe hata kipato na uhuru wa kiuchumi siyo big deal.
    Moyo wangu tulia.😅

  • @joycekasabu5596
    @joycekasabu5596 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hicho kinaleta maana

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza mengi kaka asante sana from sweden

  • @joycekasabu5596
    @joycekasabu5596 7 หลายเดือนก่อน +1

    Twangojea hayo

  • @joycekasabu5596
    @joycekasabu5596 7 หลายเดือนก่อน +1

    Twangojea hayo

  • @J_Pabloescobar0806
    @J_Pabloescobar0806 ปีที่แล้ว

    Nakupata vizuri nikiwa South Africa uku mtumishu wa Mungu ni Joseph cyprian

  • @johnathumani6891
    @johnathumani6891 6 หลายเดือนก่อน

    I'm john nakufatilia kutoka Missouri US

  • @RitaLoice
    @RitaLoice 10 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks alot pastor for cancelling us and good advice.. God bless you

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  10 หลายเดือนก่อน +2

      Thank you too

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn 9 หลายเดือนก่อน

    Sure 😂😂 broo point namba 2 wanawake wengi kujikuta tukiwa single alafafu nje tunaonekana tuko kwa ndoa daaah inauma wanawake tunapenda careful lakin ndo aiwezekan asilimia ya weng wanaume wakishaoa care inakwisha sasa ifike muda enjoy tujifunze kujipenda wenyew furaha ya kwanza ni wew mwenyew then mwengine afate

  • @pillykinabo8722
    @pillykinabo8722 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wapi vitabu vyako vinapatikana plz

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  7 หลายเดือนก่อน

      Piga 0786903727

  • @MwajumaRamadhani-g1m
    @MwajumaRamadhani-g1m 9 หลายเดือนก่อน

    Natoka tanga mumewangu anamchepuko na anadai hayuko nae lkini bado yukonae nafanyaje

  • @jenithandyetabula3805
    @jenithandyetabula3805 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Mchungaji somo tamu sanaaaaaa💃💃💃

  • @magrethgodwinlekashu
    @magrethgodwinlekashu 8 หลายเดือนก่อน

    Nakusikiliza tokea Arusha Tzd

  • @VivianAudax-f1l
    @VivianAudax-f1l 7 หลายเดือนก่อน

    Hasante sana mimi nimekuelewa vizuri

  • @RosePaul-z5b
    @RosePaul-z5b 11 หลายเดือนก่อน

    Umeniinua san Mungu akupe maarifa zaidi utuponye

  • @PeterKidendei
    @PeterKidendei 7 หลายเดือนก่อน

    Hakika umenikosha

  • @Sharifarajabudebe
    @Sharifarajabudebe ปีที่แล้ว

    😂😂Mwalimu yan mimi it's okay

  • @rachelelimeleck8820
    @rachelelimeleck8820 ปีที่แล้ว

    From Tanzania ..it is very perfect

  • @rehemaedward9494
    @rehemaedward9494 ปีที่แล้ว

    nkupta mchungaji,nipo wrudstarn iraq,naitwa Blandina

    • @MaryAddam-my8nh
      @MaryAddam-my8nh ปีที่แล้ว

      Dah! Najisikia kupona
      Asante sana
      Na ubarikiwe sana.

  • @متعبالصيعري-ك2ي
    @متعبالصيعري-ك2ي 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤kwel kabisa 😅

  • @PeterKidendei
    @PeterKidendei 7 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa,

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 ปีที่แล้ว

    Video zako zina Kelele kwa nyuma. From Italy

  • @fatumaabdallah-ui7pj
    @fatumaabdallah-ui7pj 11 หลายเดือนก่อน

    Asante sana somo zuri

  • @Sharifarajabudebe
    @Sharifarajabudebe ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa

  • @universalgospelministriesh8751
    @universalgospelministriesh8751 7 หลายเดือนก่อน

    thanks

  • @juliusndossa201
    @juliusndossa201 11 หลายเดือนก่อน

    Very true

  • @loycemalach9662
    @loycemalach9662 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mr Deo una speech nzur ila hii imefunika.umeongea uhalisia wa maisha kando ya hayo tunadanganyana tu!!
    Take your time husbands,wives-dont rush each other.
    Yaan umenikosha cn!!!
    Be blessed men--!

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  10 หลายเดือนก่อน

      Asante sana kwa kunifuatilia, endelea kujifunza