MBINU NNE (4) ZA KUWA NA FURAHA | DEO SUKAMBI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Karibu katika kipindi cha UPONYAJI WA FAMILIA na Pastor Deo Sukambi. Leo tunajifunza MBINU NNE (4) ZA KUWA NA FURAHA.
    Kwa ushauri nasihi piga +255 746 104 034 au e-mail booking@deosukambi.com
    Unaweza Kusapoti huduma hii
    TIGO PESA +255 715 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
    M PESA +255 746 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
    Endelea kunifuatilia kwenye kupitia
    / deosukambi
    / deosukambi
    / deosukambi1
    Usisahau ku subcribe kwa mafundisho zaidi
    / @deosukambi
    Deo Sukambi is Counselor | Mentor | Pastor | Public Speaker | Corporate trainer | Author
    #DeoSukambi #Familia #Malezi #Watoto #Ndoa #Mahusiano

ความคิดเห็น • 21

  • @ALESIACHIJOKA
    @ALESIACHIJOKA 6 หลายเดือนก่อน +4

    Nakufuatilia nikiwa marekani. Najifunza .familia yangu .

  • @SimonGwandu
    @SimonGwandu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mwl ujumbe wa muhimu sana

  • @debrawilliam7534
    @debrawilliam7534 2 หลายเดือนก่อน

    Nimesikiliza hii nimelia sana only to come to realize napitia nachopita cause uwanamke wangu ulipigwa tangu utotoni kwa kweli struggle yake sio rahisi kuelewa unless na wewe ulipitia ivo. Wazazi tuwe makini na malezi ya watoto tuchunge sana maneno ya kuwambia watoto . Trauma nayopitia kama grown up ili niwe kawaida au nipate peace najikuta natumia nguvu nyingi sana. 💔

  • @ModesterRuguzye
    @ModesterRuguzye 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mtumishi mm nakupata sana yani Mungu akuweke miaka mingi umeniponya nilikuwa mbali sana yani nilikua nimeshapotea ila mafundisho yako yamenijenga sana

  • @antusajoseph9360
    @antusajoseph9360 5 หลายเดือนก่อน +2

    Furaha yangu ni kusudi la kuumbwa kwangu

  • @rebeccakasanga1903
    @rebeccakasanga1903 3 หลายเดือนก่อน

    Daa Asante kaka nimekuelewa vema kuhusu furaha

  • @MonikaAsedi
    @MonikaAsedi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakufuatilia kutoka Lindi , Asante kwa mafundisho mazuri ,ubarikiwe sana

  • @KASOLENYAMUGENDASimon
    @KASOLENYAMUGENDASimon 6 หลายเดือนก่อน +2

    Naitaji naomba yako ya watsap Mze MCH,ni Simon ,USA

    • @DeoSukambi
      @DeoSukambi  6 หลายเดือนก่อน +1

      +255746104034

  • @annammbaga7483
    @annammbaga7483 6 หลายเดือนก่อน +1

    Daa hii kali.somo limeniponya sanaaa

  • @eriminashiyo1304
    @eriminashiyo1304 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli tunabarikiwa sana

  • @ZawadiKasekwa-mm4vu
    @ZawadiKasekwa-mm4vu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa mtumishi

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 6 หลายเดือนก่อน +1

    mimi namini kwali akuna 👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻

  • @jameskalugo4583
    @jameskalugo4583 6 หลายเดือนก่อน +1

    Great job

  • @princessleonard9522
    @princessleonard9522 6 หลายเดือนก่อน

    Nakufwatilia niko Kilimanjaro

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 6 หลายเดือนก่อน

    napenda mafuso sako sana mnda ndio nakoza tu

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 6 หลายเดือนก่อน

    Nikweli awana furaha

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 6 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kabisa

  • @nguvuyamaonomedia
    @nguvuyamaonomedia 6 หลายเดือนก่อน

    Great brother 💪

  • @BeatriceJosephshafuri-pd3yp
    @BeatriceJosephshafuri-pd3yp 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi nimefunguka niache kusudi linipeleke