NDACHA NA PR. CEASER MASISI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Karibu katika muendelezo wa mdahalo wa amani kati ya Pr. Ndacha na Pr. Sizza Masisi wakiongozwa na Mwenyekiti Jaffari Massawe mada ikiwa ni SHERIA NA NEEMA na hii ni sehemu ya 2.

ความคิดเห็น • 76

  • @LuisFaustinoLuis
    @LuisFaustinoLuis 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi mwezenu mbona sipati like

  • @nicolasnzema08
    @nicolasnzema08 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uutaua sio kumcha Mungu ni Roho wa Mungu katika Kristo kuja kukaa kwako unakuwa na UTAUA,

  • @myself4128
    @myself4128 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sheria Ya Mungu Haibadilishwi,Haihujumiwi wala haipindishwi wala kujadiliwa na Mwanadamu,Mungu Akisema Ukiua Uuliwe Unauliwa haina Mjadala,Kama Unaona Mungu ni Katili sana Basi Kaanzishe Imani yako na utafute Mungu wako wa Kuabudu,Mungu Wetu Hakosei wala Hahojiwi eti kwanini kasema hivi,Akiamua siku kuua watu bilion 1 sawa ni yeye kaamua Sababu Aliumba dunia kwa mapenzi yake Yeye na makusudi yake,Wewe unasoma Theolojia unakuja Kuleta mjadala kwa akili ndogo ulizonazo unajaribu kupotosha watu kwa kuleta Tafsiri za uongo na kweli,piga hela kwa hao mbuzi unaowachunga basi kakojoe ulale

    • @IsaacMayengo-dz6iw
      @IsaacMayengo-dz6iw 2 หลายเดือนก่อน

      wewe ndugu yangu @myself4128 na wengine kama wewe mnamjua Mungu katika MWILI na AKILI tu si katika ROHO. Kwanini: Mungu ni Roho , Yohana4:23. Ukienda ki-akili akili huwezi ukamjua Mungu. Ndiyo maana ukiona sehemu imeandikwa PANGA wewe unajua ni PANGA la dukani, ukiona sehemu imeandikwa KUPIGANA wewe unajua ni KUPIGANA vita vya mwilini- sivyo. Vita tulivyo navyo ni kwa ajili ya yule mwovu shetani katika ilimwengu wa ROHO. Aidha Bwana Yesu ndiye aliyetupatia elimu ya ufalme wa mbinguni na SiRI zote za Mungu alizotaka tuzijue, ndiyo maana hatuiti watumwa tena - Yohana 15: 14- 15. Wenzio mafarisaya na masadukayo walimwendea KIMWILI hawakuelewana naye na haya wewe nawenzio hamtamuelewa!!!!

  • @ibrahimmussa7478
    @ibrahimmussa7478 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa ndacha anafikilia uislam ni dini ya kweli hukuti utumbo kama huu😊

  • @wanejohnmsukwa6590
    @wanejohnmsukwa6590 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu alichokuwa anasema nikwamba mwenyedhambi hawezi kutoa hukumu ya haki

  • @WilliamShemu-p5h
    @WilliamShemu-p5h หลายเดือนก่อน +1

    Mbona kama huyu mch hajui maandiko haisehee ndacha Mungu akubariki sana eti hakuna hukumu ya adhabu kwa wazinzi nawao wamewekwa huru haiseee

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwasasa Africa nzima co mwalimu wakiislam wara wakikristo au kibuza anae weza kumfananisha namwalimu ndacha

  • @Theironrod9373
    @Theironrod9373 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jaamaa ni bogazi.. kabisa hajui anchotaka kukiteteaa hana points huyu!!!

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ndacha unanifurahisha,ila masisi unachanganya mada huna mwendelezo wa hoja.

  • @user-mh9hj3lx7q
    @user-mh9hj3lx7q 23 วันที่ผ่านมา

    Wewe pro, nenda kalale unasimbuliwa na elimu ya dunia hii auwezi kuelewa mambo za kiroho

  • @WTC492
    @WTC492 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe Masisi Hamna Kitu.

  • @CelestinAkili
    @CelestinAkili 2 หลายเดือนก่อน +2

    Unafafanua muzuri sana bila muzeee mina wahelewa sana

  • @BarikiMbuba-f2e
    @BarikiMbuba-f2e 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha nakekubali maana umesimamia kwelii %%%

  • @abasingaruka1872
    @abasingaruka1872 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi, Ninaufahamu kubwa kumuamini mwalimu Ngacha kwani anagafanua maandiko ulivoandikwa,, na wale wanaompinga Ndacha ni wale wapinzani wake na wasiopenda kuelewa, Usipotaka kuelewa unataka nini,

  • @AMwanjoka
    @AMwanjoka 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ukisimama na Torati inavyosema mtu ambaye sio uzao wa Yakobo kujadiri Torati nao ni aina ya ubatili
    Torati ilikuwa maalumu kwa watu maalum kwa kipindi maalum
    Kujadiri Leo mmataifa na kujifanya unajua sana jema na baya kadri ya nyakati zile nayo ni shida ya kihekima

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mchungaji nimegundua hajui maandiko eti Amri kumi kuzungumzia kwenye kanisa ni aibu ,huo ni msiba .Amri kumi za Mungu ni muhuri wa milele na ndiomaana kuna hukumu.

    • @nicolasnzema08
      @nicolasnzema08 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 Kaka ULIFUNDISHWA VIBAYA

    • @elifasinimpagaritse7902
      @elifasinimpagaritse7902 2 หลายเดือนก่อน

      @@nicolasnzema08kuua sio dhambi Kama ku Zinaa sio dhambi

    • @nicolasnzema08
      @nicolasnzema08 2 หลายเดือนก่อน

      @@elifasinimpagaritse7902 Anachosema mchungaji siza ni sio kuzini au kuua sio DHAMBI maan matendo ya mwili ni dhahiri alichosema ni kwamba mtu aliyeamini akizini kwa kutaka au kwa kutotaka bado anauzima wa milele HASEMI KAMA SIO DHAMBI kwa lugha rahisi kaongea ukweli wa kiroho ni kama wanavyosema usivute sigara ni hatari kwa afya yako hapo wamekwambia ukweli kuhusu uvutaji wa sigara HUJAAMBIWA UVUTE SIGARA.

  • @elifasinimpagaritse7902
    @elifasinimpagaritse7902 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa Ana sema kuzini sio dhambi 😂😂😂😂 hatari

  • @rashidmohamed1949
    @rashidmohamed1949 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wakristo
    1.hawamjui Mungu Muumba
    2. Hawamjui yesu
    3. Hawamjui musa
    4. Hawaijui biblia.
    5. Hawajui lolote
    6. Ŵanaongozwa na akili zao ambazo hazina uwezo wa kupambanua CHOCHOTE.
    Hapa hata wanachohoji hawajui wanahoji nini, hawajui wanauliza nini..hawajui jibu ni nini
    Hawajui kosa ni nini?
    Wanaongozwa na utashi wa akili zao na tamaa zao.
    Wangeisoma biblia na kuielewa wangemjua Mungu japo imechakachuliwa baadhi.
    Hili ni balaa.
    Yesu mwenyewe aliruhusu kuua...
    Luka 19:27
    Ufunuo 19:11
    Mathayo 10:34
    Kumb 13:1 - 6
    TORATI BADO INAHESHIMIWA HADI LEO...
    YESU MWENYEWE ANA RESPECT TORATI
    Mathayo 5:17
    Huyu mchungaji mvaa pensi anasema torati ni aibu.
    Huyu hana sifa ya kuzungumzia dini

  • @bethaniahemalautukufu-np3so
    @bethaniahemalautukufu-np3so 2 หลายเดือนก่อน +2

    Enendeni katika roho ili tushinde tamaa ya mwili

  • @wanejohnmsukwa6590
    @wanejohnmsukwa6590 2 หลายเดือนก่อน +1

    Walio ndani ya Kristo hawawezi kuzini tena ila akizini lazima torati itamuhukumu

  • @mazagazagaonlinetv9775
    @mazagazagaonlinetv9775 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ndacha namkubali

  • @MussaLuswetula
    @MussaLuswetula 2 หลายเดือนก่อน +1

    Niye ni majoka na matepeli 2, hyo anayeongea anasopoti ushonga

  • @mozesisembe1882
    @mozesisembe1882 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha NIKIBOKO YAO,

  • @barakakibuti3324
    @barakakibuti3324 2 หลายเดือนก่อน +1

    Somo zuri sana

  • @user-wl9ry9tk7p
    @user-wl9ry9tk7p 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha huyo ni mdogo sana kwako, siyo size yako wala hana cha kutueleza usiwe unaenda kwa watu kama hawa hata maandiko hawayajui kabisa wanaenda kichwa kichwa.

    • @nicolasnzema08
      @nicolasnzema08 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 Ndacha ni mwl mzuri ila anatakiwa afundishwee

  • @bethaniahemalautukufu-np3so
    @bethaniahemalautukufu-np3so 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna Sheria ya roho na Shelia ya mwili

  • @yamungummungulo633
    @yamungummungulo633 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hy n nzur maan inajenga

  • @Josephmwamafupa-ry3zh
    @Josephmwamafupa-ry3zh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ufunuo 21:8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na WAZINZI, na wachawi na hao waabuduo sanamu, na waongo wote,sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti.Hii ndio mauti ya pili. UZINZI NI DHAMBI. NB:TUJIHADHARI NA MAKRISTO WA UONGO NA WAALIMU WA UONGO MAANA SIKU HIZI NI SIKU ZA MWISHO.

  • @bethaniahemalautukufu-np3so
    @bethaniahemalautukufu-np3so 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kitu Cha kuacha yesu angesema kama hakusema Shelia ya roho IPO na itadumu

  • @daillyathuman4941
    @daillyathuman4941 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha anafundishwa huyu jamaa anajua bibilia Yuko sawa Ila ndacha yupo kwa kubishana

  • @mozesisembe1882
    @mozesisembe1882 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hilo jamaa masisi,linasapoti ushoga

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila hakikisha hao wanaompiga mawe,wawe hawana dhambi.Na Mungu amesema hakuna aliye mwema duniani ila Mungu.

  • @vascosalomesalome2778
    @vascosalomesalome2778 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duu masisi anamke kweli yaani kumluhusu azinifu azini na mkewe nadhambi hana

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wapendwa ni vizuri mnapojaribu kujadili someni maandiko tofautitofauti,hao ndugu wanamamlaka ya kumpiga sawa,lakini je kuna mwanadamu asiye na dhambi?biblia inasema,hakuna aliye mwema ila moja ndiye Mungu.

  • @user-ql2gw1yb3i
    @user-ql2gw1yb3i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndiomaana hata mdacha ametulia tu kwasababu anayo yaongea huyo hayaelewi ,,mpotoshaji huyo ,

    • @mozesisembe1882
      @mozesisembe1882 2 หลายเดือนก่อน

      Nikweli masisi anaroho ya ukengeufu,nimpotoshaji sana

    • @nicolasnzema08
      @nicolasnzema08 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 injili ya Kristo ni msemeno KATA KABISA

  • @ZukhelRwegoshora
    @ZukhelRwegoshora 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ndacha umekutana na mwana chuon hapo hakuna kuiunga maandiko hapo na kwenye uislamu kawahoji wanavyuon update ufafanuzi wa matatizo yooteee

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa mbona anachokiongea hakina maana yoyote mzee wa neema

    • @user-ql2gw1yb3i
      @user-ql2gw1yb3i 2 หลายเดือนก่อน

      Mzee wewe sio wakumfundisha mdachi kwanza hakuna ulilo liongea nikakuelewa ,,

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 2 หลายเดือนก่อน

      @@user-ql2gw1yb3i?????

    • @nicolasnzema08
      @nicolasnzema08 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@msemakweli243Mchungaji siza anasema ukweliii (injili ya Kristo)

    • @nicolasnzema08
      @nicolasnzema08 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-ql2gw1yb3iNashukuru kuona ndacha anafundishwa 😊

  • @CharlesMbise-hc2sz
    @CharlesMbise-hc2sz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha ni genius

  • @user-mh9hj3lx7q
    @user-mh9hj3lx7q 23 วันที่ผ่านมา

    Wewe pr aujui lolote kwa mingu tulia ufundishwe

  • @petermpenjwa1225
    @petermpenjwa1225 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ukisikia chuma hunoa chuma

  • @YeremiaKuyangwa
    @YeremiaKuyangwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duh jaman

  • @JamesMoses-jd1yq
    @JamesMoses-jd1yq 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha Hana mpinzani

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mim naona ni upuuzi tu

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ukirelate haya bas utajua uislamu umenyooka unasimamia sheria, Leo makristo wamechakachua ukristo

  • @user-ox8pc5wu7u
    @user-ox8pc5wu7u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hao wote wAnaroho wa mungu ndani yao lakini wanaongea mambo ya mungu tofauti naomba kuuliza rohowA mungu wAnatfautiana😅

    • @elifasinimpagaritse7902
      @elifasinimpagaritse7902 2 หลายเดือนก่อน

      Hapa kuna mmoja ambae ni Muongo fake na Wa kweli Original

  • @AntoniNdugu
    @AntoniNdugu หลายเดือนก่อน

    Mfalme wewe ni baraka

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanini msiseme ubaya wa uzinzi wenyewe???

  • @evaristkobelo3936
    @evaristkobelo3936 2 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu umesema tusifate maandiko, Sasa inatupasa tufate nini?

  • @OmaryKawambwa
    @OmaryKawambwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Fafanua kiasi

  • @user-wr1lu2cy9j
    @user-wr1lu2cy9j 2 หลายเดือนก่อน

    Atafuti kiki ila anafundisha wale ambao wanafundisha biblia vibaya kamauyo jamaa

  • @user-zx6wx2fc3b
    @user-zx6wx2fc3b 2 หลายเดือนก่อน

    MUSA NDIYE ALIYE SEMA WALA SIO MUNGU KWA HIO, HATA WAKISEMA MUSA ALIRUHUSU KITENDO KAMA HIKI, ADHABU YAKE NI KIFO, MUNGU ASEMA, NA NUKUU THE 6TH COMMANDMENT OF GOD, DO NOT COMMIT MURDER.

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 2 หลายเดือนก่อน

    Tusifuate maandiko tufuate nini

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndacha mimi naona anatafuta kiki ktk mitandao tu

    • @moshantoj
      @moshantoj 2 หลายเดือนก่อน

      Anatafuta akutoe ujinga kidogo 😂😂😂

  • @LuisFaustinoLuis
    @LuisFaustinoLuis 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi mwezenu mbona sipati like