BISHOP NGONYANI ATOAA ELIMU JUU YA SABATO NA KUJADILI ANAYOYASEMA MCH. NDACHA JUU YA AMRI ZA MUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 536

  • @KisotuKareesi
    @KisotuKareesi 3 หลายเดือนก่อน +3

    Congratulation Bishop NGONYANI kwa fundisho nsuri sana

  • @maximilianswitbert2826
    @maximilianswitbert2826 5 หลายเดือนก่อน +6

    Yohana 5:15-18Yesu anaponya mtu siku ya sabato ila Wayahudi wanataka kumuua lakini Yesu anajibu"Baba yangu anatenda kazi hata sasa(yaani ktk sabato) kwahyo wote wanaomwamini Yesu Kristo hawashiki siku wala amri kumi bali katika upendo iliyo amri mpya na kuu n sheria ya kifalme kwa watoto wa ufalme Mungu wa mbinguni.Yakobo 2:8.Yahweh Elohim awabariki sana

    • @jjtm164
      @jjtm164 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli

    • @williamjamanda8892
      @williamjamanda8892 5 หลายเดือนก่อน

      @@maximilianswitbert2826 kutenda kazi ya kuokoa nafsi siku ya sabato mm naona sio makosa

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน

      Na Haina maana tuabudu siku
      Kuslai ni Kila Wakati,Kila siku
      Hakuna siku maalumu kwenye agano jipya

  • @MichaelNgusa-fl5xv
    @MichaelNgusa-fl5xv 3 หลายเดือนก่อน +4

    Aminaa kubwa,huu ni ukweli mtupu lakin Kwa mtu ambaye hayuko rohon ni ngumu kuelewa kabisa asomaye naafahamu.

    • @RAZAROCHUMA-h9g
      @RAZAROCHUMA-h9g 2 หลายเดือนก่อน

      Mh jamanii

    • @petrofabian4523
      @petrofabian4523 16 วันที่ผ่านมา

      Ukimsikiliza utadhani ni ukweli kumbe hamna kitu kama huyu ndio mwalimu basi hapa Kuna shida

  • @PascasMathew
    @PascasMathew 6 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sama leo umeliweka sawa , mwenye kuelew atakuwa ameelewa

  • @Moses-t7t
    @Moses-t7t 6 หลายเดือนก่อน +4

    1 Yohana 5:3
    [3]Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kwamba tuzishike amri zake; wala amri zake si nzito.
    For this is the love of God, that we keep his commandments: and his commandments are not grievous.

  • @BrianBayaMusic
    @BrianBayaMusic 24 วันที่ผ่านมา

    Huyu bishop Yuko na ufahamu mzuri.ubarikiwe mtumishi wa Mungu.

  • @MikaMika-ve1ip
    @MikaMika-ve1ip 4 หลายเดือนก่อน +4

    Sabato ni ya Mungu siyo ya wayahudi wayahadi walipewa tu. Usimwingilie Mungu au Yesu.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huelewi kitu
      Yesu alipowajibu kuwa ,'mimi ndie Bwana wa sabato ' unaelewa nn?

    • @adamsonkyando-l4i
      @adamsonkyando-l4i 2 หลายเดือนก่อน

      Yesu ndo sabato , mbona Yesu ndo Neno amri,Yesu ni Mungu ,kwo ukimwamin yeye Umepata vyoote

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 6 หลายเดือนก่อน +5

    Duh Bishop ubarikiwe sana kwa ufafanuzi uliotoa. Mtu wa kawaida tu ambaye hajafika hata darasa la saba amekuelewa ambao hawajakuelewa ni wale wenye hofu ya mnyama wamekula sumu ya fundisho la mnyama kiasi cha kushindwa kuelewa maandiko mengine. . Tuombeane mungu azidi kutufungua.

    • @StellahGirgis
      @StellahGirgis 5 หลายเดือนก่อน

      Hakuna kitu hapo hajui chochote huyo

    • @Last403
      @Last403 5 หลายเดือนก่อน

      Hujui lolote huyu anapotosha watu ameegemea kwenye dhehebu la sabato kuliko maandiko,

    • @Last403
      @Last403 5 หลายเดือนก่อน

      Muulize akwambie andiko lipi linalosema siku ya sabato ni jumamos uone kama hajaanza kuleta adithi kuliko kukuonesha hilo andiko, halipo hilo andiko yeye katoa wapi

  • @JoshuaMutesa
    @JoshuaMutesa 4 หลายเดือนก่อน +3

    Bishop hakosei wanaokosea walio shika amli moja tu wakati zko 10 Kama kweli watu washike amri zote 10 watu wanatenda zambi mno halafu wanajificha kwenye sabato mungu anataka roho Safi ukiwa na roho safii hutotenda zambi na mungu atakupenda hatokuuliza kuhusu sabato

    • @vincentnyabuto4605
      @vincentnyabuto4605 2 หลายเดือนก่อน

      Andiko gani hiyo inasema hivo😅

    • @enochonsomu1924
      @enochonsomu1924 23 วันที่ผ่านมา

      Bali pia huwezi kutoa hata Moja ama hata herufi ile mdogo kabisa

  • @WelldanneSiwatu
    @WelldanneSiwatu 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki saaaaana Bishop

  • @mussaamani4468
    @mussaamani4468 5 หลายเดือนก่อน +7

    Ukinipenda utazishika amri zangu... Hili nimojawapo ya fundisho alilolifindisha Yesu...acha kupotosha watu... Kwa kutumia uongo ukichanganya na ukweli kidogo....hata shetani alotumia tu neno "eti". Kua na hofu na Mungu 😊

  • @GeorgeMbwambo-m1e
    @GeorgeMbwambo-m1e 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sabato inawahusu watu wa Mungu Ebr4:9 siyo Wayahudi peke Yao , someni maandiko wapendwa . Mruhusuni Roho wa Mungu awafundishe. Siyo kukubali tu maneno ya wanadamu

    • @rockymanson3774
      @rockymanson3774 หลายเดือนก่อน

      Wee hujui kitu hpo kinaongelewa ktka ebr 9:4 hebu anzia mstari wa Kwanza Kwa utulivu ndio utaelewa, usome mpaka huo wa 9 na kuendelea

  • @khalidmyaule6187
    @khalidmyaule6187 12 วันที่ผ่านมา

    Mungu anavunja vipi tena amri za Mungu!!!

  • @AlphonceLugutu
    @AlphonceLugutu 2 หลายเดือนก่อน

    Mbao. Zilikuwa mbili mojaa ilihusu kumheshimu mungu mbao yapili ilihusu shheria za kuheshimianna binadamu

  • @DenisEliya_4
    @DenisEliya_4 5 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu bishop CV nyingi maarifa zero ,YESU mwenyewe anasema Yohana 14:15 ,mkinipenda mtazishika amri zangu,pia YESU alifundisha kuhusu amri soma Mathayo 19:16-17.Anajikinga katika kivuli Cha neema ,pasipo kujua neema yenyewe inatukataza kataa ubaya ,ubaya unatokana na nini kama sio amri😀😀.Huyu anawelewa mdogo katika maandiko.Pia Mathayo 20:24 Yesu mwenyewe anasema "Ombeni kukimbia kwenu kusiwe siku za baridi au SIKU YA SABATO."Hiyo hapo sabato sasa YESU ameitaja.

    • @AbbahCostaabbahCostaabbah
      @AbbahCostaabbahCostaabbah 5 หลายเดือนก่อน

      Huyu jamaa anapotosha

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 4 หลายเดือนก่อน

      Kama unajiamini nenda kafanye nae hoja, au mdaharo kama ajakunyoa sharubu

    • @Masotastv1389
      @Masotastv1389 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@francisjoseph1074
      Naomba namba yake ya cm nahitaji kuongea na mtu huyu ambaye anapotosha ukweli.

    • @Masotastv1389
      @Masotastv1389 2 หลายเดือนก่อน

      Naomba namba ya huyu mtu wapendwa

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 2 หลายเดือนก่อน

      @@DenisEliya_4 wewe ndo unaakili finyu , kama unajiamini nendambezi bich jogoo wapo TV, ukafanye nae mjadara , kama ujakimbia, hayo maandiko yote uliyotoa ni ya kipindi cha sheria , kabla Yesu ajafa , na neema NI baada ya Yesu kufa na kwenye agano jipya hakuna Fundisho la Amri kumi, then unakuja kusema eti wanaoambiwa waombe kukimbia kwao kusiwe wakt WA sabato, kwani kwa akili zako wanaoambiwa hapo ni wayahudi ?au watu wamataifa? au kanisa? , jibu jibu ni kwamba NI wayahudi na ndo wenye sabato ya

  • @frankmock4928
    @frankmock4928 5 หลายเดือนก่อน +3

    Na mwazilishiwa sabato ni mungu sio elen g

  • @PeterMurahai
    @PeterMurahai 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bishop Ako sawa kabisa, ni kweli sabato ilivunjwa na sasa hatuabudu siku Wala tarehe sasa bwana yesu ndiye wa sabato ni pst peter kutoka Kenya mombasa

  • @amedesamki425
    @amedesamki425 6 หลายเดือนก่อน +4

    Bishop ngonyani anapotosha watu Yesu alishuhudia kwamba hakuja kubadilisha amri za Mungu bali kutimiliza na wakatoliki ndiyo walipiga maarufu sabato kwenye a.d. 364 halafu Yesu alikufa Jumatano saa 9 siyo Ijumaa na kufufuka jumamosi saa 9 na sabato siyo ya wayahudi ni ya Mungu mwenyewe

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 6 หลายเดือนก่อน

      @@amedesamki425 hapo hakuna mchungaji wa Bishop ni mnafiki tu

    • @paschalsafari9747
      @paschalsafari9747 6 หลายเดือนก่อน

      Acha bangi wewe

    • @adamsonkyando-l4i
      @adamsonkyando-l4i 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@msemakweli243 Unahitaji msaada wa kiroho Huyo mtumishi ni mlokole anacho kijibu ndo sahihi Kunavitu vingine Kama hujaokoka Huwezi kujuwa ,mfano Nikuulize hili swali wewe!! soma andiko hili na unipe jibu unalielewaje hili hili andiko Matendo 8:14-16 Matendo 19:1-6 Kwanza muulize baba yako wa kiroho halafu waulize Walokole uone majibu yake !!! Baba yako wa kiroho hawezi kukupa jibu fasaha ni Walokole TU watakupa jibu sahihi

    • @adamsonkyando-l4i
      @adamsonkyando-l4i 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndo unapotea Bado hukafunguliwa ,aYesu ndo sabato au Amri za Mungu Yeye ndo Mwenye Sheria,UkimpatavYeye Umepata vyote,umepokea mafubdisho na umeyaanini,lakin Bado Unahitaji msaada kwa Walokole wakusaidie,Achana uko nyumba sana

  • @RobertNdurya
    @RobertNdurya หลายเดือนก่อน

    Nduguzangu dini nikitu cha kuheshimiwa sana nawaomba msilete ugombi juu yaa neno la mungu someni vzuri bibilia na muelewe sio mufanye siasa

  • @BanyangaMohammed
    @BanyangaMohammed 2 หลายเดือนก่อน

    Amin

  • @costantineevarist5110
    @costantineevarist5110 6 หลายเดือนก่อน +8

    Wanaompongeza wengi Awasomi Bblia wanasomewa tu:

    • @Emmatz26
      @Emmatz26 3 หลายเดือนก่อน

      kwer

  • @ayengobenjamin8014
    @ayengobenjamin8014 5 หลายเดือนก่อน +2

    Unamsingizia Yesu kuvunja Amir ya Mungu. Umekufuru kuliko!!

  • @MashakaSimon-e6h
    @MashakaSimon-e6h 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yohana 14:15 mkinipenda mtazishika amri zangu sasa kama hakuna amri Yesu anasema tukimpenda tutazishika amri zipi km hakuna amri

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 5 หลายเดือนก่อน

      Amri za YESU ni mbili nazo ni upendo

    • @adamsonkyando-l4i
      @adamsonkyando-l4i 2 หลายเดือนก่อน

      Amri ni Kumwanini Yesu ,ukimkataa Yesu huna Mungu,ukimwamin Yesu Sheria zote zinazo husu utakatifu zinakuwa moyon mwako

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanadamu mwenye akili ndogo hawezi kuzijua siri za Mungu,mpaka Roho wa kristo amfunulie, ndiomana walimu wengi wa neno la Mungu watapata hukumu kubwa mno kwasababu walitafrisi neno la Mungu kwa akili zao ndogo sio Roho mtakatifu,Neno la Mungu ni siri za Mungu, ni Roho wa kristo ndie anaweza kukufunulia siri za Mungu ,katika neno lake,msikulupuke kuwa walimu wengi wa Neno la Mungu,kama huna nguvu za Mungu,niatari mno kwa walimu wa uongo ,mwisho wao,waliopewa thamana ya kufundisha neno la Mungu ,niwale tu waliokolewa na Yesu kristo na wakapokea nguvu za Roho mtakatifu,
    Hambae hajaokolewa na Yesu kristo,alifu anafundisha neno la Mungu huyo ni Muongo,anapotosha watu,maana wao wanatafrili Ukristo kama Dini , Ukristo sio Dini bali niuweza unaomfanya mwamini aishi Hapa Duniani kama Mungu,ukristo unamfanya mwamini kuwa mtawala kuwa mmiliki katika ulimwengu wa roho ,hata katika mwili, mkristo halisi kapewa nguvu ya kutisha na kutawala ,falume zilizokinyume na utawala wa Mungu katika ulimwengu wa roho,

  • @zakazakazi-fn6zy
    @zakazakazi-fn6zy 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu habadiliki akiswma amesema je unaandiko lolote kuhusu kuabudu j pili plz lete andikoo

  • @PeterMulwa-s1q
    @PeterMulwa-s1q 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu alisema yeye ndiye Bwana wa sabato

  • @zakazakazi-fn6zy
    @zakazakazi-fn6zy 5 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo amri aliandikiwa nan na sheria za Mungu aliletewa nan duuuuuuh

  • @gilbertmahembasise1011
    @gilbertmahembasise1011 5 หลายเดือนก่อน

    Bi shop usipotoshe watu wa Mungu,,juma pili haikuwahi kuwa siku ya ibadani kwa wakristo isipokuwa ilikuwa Ni siku ya mungu jua

  • @EzekielZacharia-yl4eg
    @EzekielZacharia-yl4eg 3 หลายเดือนก่อน

    Digrii 3 na Biblia ni vitu viwili tofauti hii inatia huruma sana MUNGU amsaidie sana huyu baba.

  • @OscarSifuna-x8k
    @OscarSifuna-x8k 4 หลายเดือนก่อน +1

    Siku ya sabato ni ya mungu, na haifai kubadilishwa, yesu kristo hakuibadilisha bali alihubiri acha uongo ata shetani ameamsha wasomi wake wanao hubiri uongo kuhusu biblia, usijichanganye

  • @tacysage
    @tacysage 6 หลายเดือนก่อน

    Ezekieli 20:19-20
    [19]Mimi ni BWANA, Mungu wenu; endeni katika amri zangu, mkazishike hukumu zangu, na kuzitenda;
    [20]zitakaseni sabato zangu; zitakuwa ishara kati ya mimi na ninyi, mpate kujua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.

    • @jonasdaniel1025
      @jonasdaniel1025 5 หลายเดือนก่อน

      Hii! Kumbe sabato ziko nyigii?

  • @Shindikahelmani
    @Shindikahelmani 5 หลายเดือนก่อน

    Umejitahidi sana ngonyani kumkana YESU na haki yake ya kulipia dai la dhambi

  • @musalalakambale1689
    @musalalakambale1689 2 หลายเดือนก่อน

    Acsante nimeona kweli ni kweli,kusema sheriya imeisha pâle ndiyo umeanguka kabisa,kwa sababu magereza zinafungua mulango kwa wale wanao vuja sheriya

  • @olweyokennedy266
    @olweyokennedy266 6 หลายเดือนก่อน +1

    Revelation 14:14; here is the patience of saints; here are those who keep the commandments of God and the faith of Jesus

    • @AdiemoFrenardB
      @AdiemoFrenardB 5 หลายเดือนก่อน

      hapo ni wakati wa dhiki kuu ndugu soma sura yote uielewe.

  • @enockosoro336
    @enockosoro336 3 หลายเดือนก่อน

    Natafautiana na maereso yako YESU diye mwasirisi wa jumabili .

  • @elishasilas723
    @elishasilas723 5 หลายเดือนก่อน +4

    We bi shop kumbe we ni kiongozi wa vipofu utakuja juta siku ya hasira yake Mungu Ukweli unaeleza wazi halafu baadae unazipinga umejitam ulisha kwa elimu nyingiii za kidini kumbe we ni wakala wa shetani

    • @Emmatz26
      @Emmatz26 3 หลายเดือนก่อน

      nime cheka kwer et we bi shop😆😆😆😆

    • @mikewamwati117
      @mikewamwati117 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe na matusi ndio utaingia kwenye ufalme

    • @GSELgodoni
      @GSELgodoni หลายเดือนก่อน

      Ndugu wakristo wenzangu.Sisi ni ndugu katika Kristo bila kujali madhehebu yetu.Tufundishane kwa upendo siyo matusi.

  • @constantinnicoiconoppa587
    @constantinnicoiconoppa587 หลายเดือนก่อน

    Mkutanishe huyu na Ndaca , huyu Bishop amenivuruga kichwani ila kuna sehemu anaeleweka . Akikutana na Ndaca mwanga unaweza kuonekana vizuri

  • @samsonpopat1474
    @samsonpopat1474 4 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana ngonyani kwa uelewa wako huo naamini ipo siku utadaiwa kupotosha biblia sabato itakuwepo hata baada ya watu wa Mungu kukombolewa ktk inchi mpya soma isaya66:22_23

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน

      Pole ww ulielishwa sumu
      Fikiri nje ya box sio akili za kulishwa doctrine

  • @chachatimasinyakega2201
    @chachatimasinyakega2201 6 หลายเดือนก่อน +3

    Pia katika Ufunuo 14:12 tunaambiwa kwamba "hapo ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu na iman ya Yesu." Je, ni amri zipi zinazorejewa hapa? Je, imani ya Yesu ni ipi?

    • @jjtm164
      @jjtm164 5 หลายเดือนก่อน

      Amri mbili za yesu

  • @GeorgeMbwambo-m1e
    @GeorgeMbwambo-m1e 2 หลายเดือนก่อน

    Inasikitisha sana BISHOP anasema hatuna Sheria wakati Sheria inakamilishwa ikiwa na Sheria zote 10 ,pia Sheria ilikuwepo,Yesu hakuvunja 7to,na Sheria Bado ipo,Soma Rumi 7:7

  • @DavidMatata
    @DavidMatata 6 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa vizuri sana mtumishi wa Lord Jesus Christ.. Blessed.

    • @kakamulwa5980
      @kakamulwa5980 6 หลายเดือนก่อน

      Mubiri WA uwogo wewe

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 6 หลายเดือนก่อน +2

      Kama umemuelewa huyo basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo

    • @DavidMatata
      @DavidMatata 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@msemakweli243 Thanks!God bless you!

    • @tacysage
      @tacysage 6 หลายเดือนก่อน

      Huyo anaeleweka kwa watu wasio na mahalifa ya kumjua Mungu

    • @IsackIsaya-bi2hj
      @IsackIsaya-bi2hj 3 หลายเดือนก่อน

      Yaan jmn swali moja tu huwa napenda nijibiwe na wasabato kama mungu angelikuwa haitambui siku ya jumapili iweje tunaposali uwepo wa mungu huwa unajizihilisha na kama angelikuwa hapendezwi na hiyo cku asingekuwa anaonekana kabsa au ibaada za jumapili na za jumamosi za jumamosi ndo mungu huonekana tu maana je waty wakijazwa na roho mtakatifu j pili huwa sio roho wa mungu ,na wengine wakiponywa magonjwa kanisani j pili huwa sio mungu anaponya

  • @AbigaelSaini-gr7pm
    @AbigaelSaini-gr7pm หลายเดือนก่อน

    Bas nafurahi kusikia wokovu watoka kwa wayahud maana yesu ni muyahud bishop lundi kwa mafundisho

  • @MarthaTosh
    @MarthaTosh 4 หลายเดือนก่อน

    Bishop,unandanganya plz rudi kwenye madiko

  • @RaphaelTimoth
    @RaphaelTimoth 2 หลายเดือนก่อน

    Swali lime ulizwa directly lakinii mbona jibu inakuwa ni siasa au mnarinda masrahi binafsi ilikurudisha gharama za masomo.....❤

  • @BrianBayaMusic
    @BrianBayaMusic 24 วันที่ผ่านมา

    Wassabato kumbukeni haya maneno "sassa basi, hakuna hukumu juu Yao walio katika Kristo"

  • @BanyangaMohammed
    @BanyangaMohammed 2 หลายเดือนก่อน

    Ongera mwalimu nakufwatiliyakasana Niko Congo mjini goma

  • @GeorgeMbwambo-m1e
    @GeorgeMbwambo-m1e 2 หลายเดือนก่อน

    Inatosha sana kujua nani alianzisha j2 na nani alianzisha j1 inakupa uamuzi wa nani wa kumfuata Yani Constantine au Mungu .

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @ngerejaboniface2596
    @ngerejaboniface2596 2 หลายเดือนก่อน

    Sabato sio ya wayahudi sema hujui! Lkn sabato ni agano la mungu na wanadam! Pia yesu hakuja kutengua chochote bali alikuja kutimiliza! Ww ugolo unasumbua mkuu!

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน

      Akasome biblia vzr bila kushikiwa akili
      Muulize Roho Mtakatifu achana na doctrine za kukaririshwa

    • @adamsonkyando-l4i
      @adamsonkyando-l4i 2 หลายเดือนก่อน

      Kutimiliza nini Bado hujuwi,kutimiliza Yesu ndo ukamilifu wa sheria Yeye ndo Neno ndo Mwenye Sheria UkimpatavYeye Umepata vyote,Yeye ndo sabato mana yake ukimwamin yeye Sheria Yote inakuwa moyon mwako,Huwezi kushinda dhambi kwa Kusali jumamosi!! Unashinda dhambi kwa kuzaliwa mara ya pili,Yani kumkubsli Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako

  • @Moses-t7t
    @Moses-t7t 6 หลายเดือนก่อน

    1 Yohana 5:3
    [3]Kwa maana huku ndiko kumpenda Mungu, kwamba tuzishike amri zake; wala amri zake si nzito.

  • @frankmock4928
    @frankmock4928 6 หลายเดือนก่อน +2

    😢nilikuwa sijawajuwa mabalozi wa shetani niliposoma bibilia ndonikawajuwa mabalozi wa shetani na hawa wanaojiita maaskofu

    • @marthadaniel4904
      @marthadaniel4904 2 หลายเดือนก่อน

      Ukweli ndio huo ndio maan wana makanisa yao😂

  • @mussaamani4468
    @mussaamani4468 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu mwenyewe amesema "mimi ndio Bwana wa sabato" kwahiyo achakupotosha watu kuwa wayahidi ndio wenue sabato..

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 5 หลายเดือนก่อน

    Bishop ubarikiwe Kwa elimu ,biblia inasema wana maskio hawasikii ,wana macho hawaoni pia wtu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa.

  • @jjtm164
    @jjtm164 5 หลายเดือนก่อน +1

    Bishop anaongea kweli

  • @samuelmweipongwe140
    @samuelmweipongwe140 5 หลายเดือนก่อน

    Pendo ndio utimilifu wa sheria, Anajinadi amesomea sijui nini na nini huko ila ameshinda kujua utimilifu wa sheria unakamilika katika Pendo au je hakusoma kitabu cha warumi 13:9?
    Warumi 13:9
    [9]Maana kule kusema, Usizini, Usiue, Usiibe, Usitamani; na ikiwapo amri nyingine yo yote, inajumlishwa katika neno hili, ya kwamba, Mpende jirani yako kama nafsi yako.
    Ikiwa kama amri hizo zimeingia katika kumpenda jirani je zile nne hazipo katika kumpenda Mungu? Mafundishe watu Neno la Mungu kwa matakwa yenu ili muonekane mna uhodari wa neno hilo, mtachomwa moto kwa kupotosha maandiko, na tena niwaambie mtaingia sana ka ajili ya mliowapotosha. Badilikeni acheni mihemko ya kiitikadi

  • @Moses-t7t
    @Moses-t7t 6 หลายเดือนก่อน

    Mathayo 19:17
    [17]Akamwambia Kwani kuniuliza habari ya wema? Aliye mwema ni mmoja. Lakini ukitaka kuingia katika uzima, zishike amri.
    And he said unto him, Why callest thou me good? there is none good but one, that is, God: but if thou wilt enter into life, keep the commandments.

  • @ManasséMzaliwa
    @ManasséMzaliwa 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hakuna andiko hata moja inayosema kuwa mitume wali abudu siku ya kwanza ya juma ahipo.

    • @DrN.DJ_Master
      @DrN.DJ_Master 5 หลายเดือนก่อน

      @@ManasséMzaliwa siku ya 49 baada ya kufufuka kristo ni siku gani ?

    • @KambaleEboma
      @KambaleEboma 2 หลายเดือนก่อน

      Soma Act 16:13,Act 17:1-2,Act 18:1-4,Act 13 :42-44 ww soma Biblia

    • @KambaleEboma
      @KambaleEboma 2 หลายเดือนก่อน

      Soma Biblia ,Act 13:13-14

    • @KambaleEboma
      @KambaleEboma 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo PST ni muongo,omba Roho takatifu akufundishe

  • @Pastorsteverotali
    @Pastorsteverotali 2 หลายเดือนก่อน

    Wote wanao sisitiza juu ya siku hao hawana Roho mtakatifu.
    Mungu amechagua siku mbili za kupumzika. KUTOKA 12:16
    Aliye kuwa gwiji wa sheria Mtume Paulo anakataza watu wasifungwe na siku wala sabato. Colosai 2:16-

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 หลายเดือนก่อน

      muongo wewe siku ni Moja tu warima wamefoji jumapili .... Israel wapo Hadi Leo Hana siku mbili...kifupi jumapili ni Mungu ya Roma , sabato ya Jehova MUNGU WA YAKOBO, Ibrahim na Isaac na Allah MUNGU WA WAARABU anaabudiwa ijumaa

    • @MuunganoChrisanth
      @MuunganoChrisanth 2 วันที่ผ่านมา

      Nawewe ni miongoni hata huyaelewi maandiko hueleweki ni mswalia mtume au BWANA Yesu upo katikati kama ulimi

  • @DennisWaweru-ml4lf
    @DennisWaweru-ml4lf 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amesema yesu hakufunza amri kumu .ebu someni (marko10:19)muone muongo wa mchana

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 5 หลายเดือนก่อน

      @@DennisWaweru-ml4lf hayo maneno Yesu alizungumza kipindi cha sheria , au kipindi cha neema

    • @jjtm164
      @jjtm164 5 หลายเดือนก่อน

      Yesu hakufundisha amri kumi Bali aliuliza swali kuonyesha upungufu wa Sheria na vile isingeweza kumkamilisha mwanadamu. Marko 10:19 soma uone ni nini kilochotokea licha ya kwamba alikuwa ameshika sheria (usisome kipengele kimoja)

  • @hassanmbojelah934
    @hassanmbojelah934 4 หลายเดือนก่อน

    Yesu anasema ukinipenda utazishika amri zangu, kama amri ziliondolewa kwa nini Yesu aseme hivyo, nadhani Bishop unajipotosha kwa Yesu aliyetoa amri, pia tutahukumiwa kupitia amri sasa ikiwa amri hazipo basi hakuna hukumu. Waambie watu wa ukweli, kuna ukweli umesema wazi kuwa ibadan ni jumamosi, unajichanganya unaposema kuwa Yesu alivunja sabato, Yesu ndiye Bwana wa sabato alikuwa anawaonyesha wayahudi kuwa siku ya jumamosi ni siku ya kutenda mema, aliuliza swali having ng'ombe wako akitumbukia ktk shimo utamuacha, jibu ni kwamba haiwezekani, Yesu alikuwa sahihi kuponya siku ya sabato, sabato ya millennium kama Nabii Isaya 66 alivyosema, wewe kiongozi dini wafundishe watu ukweli wa Kristo, Yesu alisema hajaja kutangua torati, Mungu akusaidie mtumishi.

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 4 หลายเดือนก่อน

    Tafri ya sabato katika agano jipya nikupumzika kabulini ukitaka kupumzika unatakiwa,ufe upumzike kama Yesu kristo alipopumzika siku ya sabato kabulini,

  • @MarySijaona
    @MarySijaona 4 หลายเดือนก่อน

    Fanyeni matendo mema tu sio kubihana kushiki na faida kwa Mungu siku zote ni sahihi

  • @elishasilas723
    @elishasilas723 5 หลายเดือนก่อน

    Na Yesu unamsingizia hakuvunja Sabato Wala hakufanya kazi yoyote zaidi ya uponyaji siku ya Sabato na ndo maana anawaswalika ni heli kutenda mema siku ya Sabato kuponya roho au kuiangamiza Roho

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 4 หลายเดือนก่อน

    Bisho na wewe na wasabato wote mupo kwenye andiko sio Roho, ,wote mumetoka nje na Neno la Jehovah,kuna msabato wa mwilini na msabato wa kiroho,musa aliongoza wasabato wa mwilini,Yesu kristo yeye anawaongoza wasabato wa kiroho, wasabato wa kiroho ndio waliopata,pumziko la Haki, kwasababu ,Mungu amewafanya kuwa wafalume na makuhani, Hawawezi tena kuwa watumwa, wa sheria,kwasababu kuhani na mfalume hao ndio wanaotunga sheria,kwajili ya watumwa,wanaofwata sheria Ya kuitunza sabato ya jumamosi au jumapili Hao ni watumwa, wapo chini ya sheria,mtumwa wa sheria anatembea na Hukumu ya mfalume na kuhani asipo shika sheria, kwa mujibu ya mandiko matakatifu ,yamewakata wale wanaojiesabia haki kwa matendo ya sheria ,maana katika sheria mwanadamu wa asili ya mwilini alianguka katika bustani ya Edeni,sasa katika agano jipya tunae adamu wa pili alietunga sheria na kuishinda sheria ambae ni Yesu kristo aliezaliwa kwa Roho, mtakatifu,Ambae ni kuhani Mkuu na mfalume wa wafalume, nikimanisha kuwa ni mfalume wa wafalume kwa wale waliopata ufalume kwake kwa kuzaliwa kwa Roho mtakatifu,sisi tuliozaliwa kwa njia ya Roho mtakatifu sio viumbe ,kama waliovyo viumbe wanadamu wa kawaida,kwasababu kwa muonekano wa nje tunaonekana kama wanadamu wakawaida lakini kwa muonekano wa ndani yetu sisi tunaonekana kama ,miungu ambao sio wa kawaida katika ulimwengu huu,wanadamu waliozaliwa na kwa mwili,hao nisawa na viumbe vingine alivyo viumba Mungu ,nguluwi sugura mbuzi, Hawawezi kufanana na kiumbe kilichozaliwa kwa Roho mtakatifu,nikodemu alitamani sana viumbe vilivyo zaliwa kwa Roho ndomaana alimwendea Yesu kristo usiku akimwambia nifanyeje ili ningie katika ufalume wa Mungu,Yesu akamwambia mtu asipozaliwa kwa Roho,hawezi kuingia katika ufalume wa Mungu,
    Sikia mpendwa,niviumbe tu vilivyozaliwa kwa Roho vitakao weza kuingia katika ufalume wa Mungu,wanadamu wanao amini Dini zao ,Kuliko kuamini nguvu ya Mungu iliyotuzaa sisi na tumefanyika kuwa wana wa Mungu ,Hawo Nivigumu kuingia kwenye ufalume wa Mungu, maana wao neno la Mungu wanalitafri kwa kili za kibinadamu ,sio kwanjia ya kufunuliwa Roho mtakatifu,

  • @paulmutuajustus5277
    @paulmutuajustus5277 3 หลายเดือนก่อน

    Yesu ni mtakatifu ,harafu unasema apunja amri. Ndio maana ,Isaya 56
    10 Walinzi

  • @PhilipoAwe
    @PhilipoAwe 4 หลายเดือนก่อน

    Amri kumi hazikuwepo embu kasome mwanzo 26:5 Ibrahim alifanyeje

  • @simonbundala6382
    @simonbundala6382 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kusoma maandiko ni jambo la kwanza na kuelewa ni jambo lingine na ndiyo muhimu sana.

  • @samwelmushi6162
    @samwelmushi6162 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ukifata sheria ujue utaji utakukalia kwa hiyo hao wanaoishika sabato giza limewafunika Yesu ndie Bwana wa sabato kushika siku ni upofu na sio msingi wa kanisa la Kristo msingi wa kanisa la Kristo ni kumwamini ya aliyetumwa😢na Mungu kwamba ndiye masihi aliyetabiriwa na manabii na torati na zaburi,sasa hivi vitu vingine ni mafundisho ya mashetani kwa sasa Yesu ni mwisho wa sheria yeye ni yote ktk yote milele na milele amina

    • @williamjamanda8892
      @williamjamanda8892 5 หลายเดือนก่อน

      @@samwelmushi6162 soma maandiko yakuongoze sio kusema mambo Yako ni Aya gani Kwa biblia inasema kushika sabato ni upofu

  • @yohanaMarco-e4j
    @yohanaMarco-e4j 4 หลายเดือนก่อน

    Ulianza vizuri kweli mkuu huku mwisho ndo umeongea pumba kabisa someni aise hawatu msipo soma hamtatoboa

  • @AlphonceLugutu
    @AlphonceLugutu 2 หลายเดือนก่อน

    Siku ya jumapili ni siku yakwanza ya juma kwahiyo sabato ya kweli ni jumamosi tiini amri ya nne

  • @onkobawesley3477
    @onkobawesley3477 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kumpenda ni kwa kusishika amri za Mungu

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 4 หลายเดือนก่อน

    Kwenye Amri hapo ndg, sijakuelewa! Unaulizwa maswali ya msingi lkn unarukaruka na kujihami sana!

  • @cosmassisa5256
    @cosmassisa5256 4 หลายเดือนก่อน

    Soma Waebrania 4:1-13 mtaelewa vizuri

  • @zakazakazi-fn6zy
    @zakazakazi-fn6zy 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli unapotosha soma ufunuo hapo ndipo penye subira ya watakatifu ya hao wazishikao amri za mungu na ushuhuda

  • @leonardlameck7486
    @leonardlameck7486 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi niseme hivi,siku zote ni sabato kwa mcha Mungu nikiwa na maana ya mtu kuwa ktk pumziko la kutolewa ktk maisha ya dhambi ktk maisha yake,kung'ang'ania siku na kuitukuza kama ilivyo huku unaishi ktk maisha ya dhambi sidhani kama kunamsaidia mtu.Halafu kuponda wengine kwamba hawasomi Biblia kwa sababu tu ya kuwa kinyume na sabato ya J,mosi Biblia ni bahari utasoma unachokijengea hoja sehemu zingine hutasoma,msomaji mzuri ni yule anayesoma yote Ebu someni Walawi 23:7 na Kutoka 12:16 halafu mseme hiyo siku ya kwanza ambayo Mungu anasema kuwe na kusanyiko takatifu na kazi yoyote isifanyike ni siku gani?

  • @MaryNjeri-d6y
    @MaryNjeri-d6y 5 หลายเดือนก่อน

    Yan ww kusoma kote halafu yan hujui Yesu alifundisha amri 10?😭😭😭 Fee mm nalilia😭😭 fee ilienda bure😭😭Luka 18:18 isome uone km hakufundisha. Qualifications za kumpanda Mungu nikuzishika amri zake. Yesu hakuvunja Sabato bali alimfanyia kazi Mungu kwa kuponya watu.Hata ww ukimjengea Yatima nyumba ya bure siku ya sabato utakuwa huja vunja Bunga lolo ww rudi darasan fee yako imeenda bure

  • @Moteswa
    @Moteswa 6 หลายเดือนก่อน +2

    Bishop Ngonyani hongera sana. Umeliweka hili jambo la Sabato vizuri sana. Asante kwa Elimu kubwa uliyoitoa.

    • @nyarondiajames4999
      @nyarondiajames4999 6 หลายเดือนก่อน

      Amekusaidia tu kudumu katika Dhambi.

    • @nyarondiajames4999
      @nyarondiajames4999 6 หลายเดือนก่อน

      Kama twaishi kipindi cha neema nje mwizi anafanya Dhambi au la.

    • @NICKSONMWAKHA
      @NICKSONMWAKHA 4 หลายเดือนก่อน

      Elimu tu sio bibilia

  • @davidogero9796
    @davidogero9796 หลายเดือนก่อน

    yesu akutoa pumsiko lasabato.

  • @EvansonOnyiego
    @EvansonOnyiego 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Bishop haelewi maandiko kabisa, amri ni za Mungu Wala sio za wayaudi anavyo dai . Amri ya sabato ilikuwepo kabla ya wayaudi. Je Cain alipomwua nduguye alivunja amri Gani? Yusufu alipojizuia kuzini na make wa mfalme alipojizuia kuvunja amri ipi? Wewe bishop ruhusu Kristo akufundishe Wala sio thiologia za wanadamu!

    • @joshuajohn8533
      @joshuajohn8533 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio kipofu

    • @JohnNchimbi-i8t
      @JohnNchimbi-i8t 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio HUMUELEWI mwalimu yupo vizuri sana

  • @JacksonSimbwye
    @JacksonSimbwye 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mkate utatupeleka wengi jehanam,unasema ukweli halafu unaukana,yakobo2:10

  • @Fundi12345
    @Fundi12345 5 หลายเดือนก่อน

    Yesu ndo bwana wa sabato yeye anajitambulisha na ndo mungu kwa kuwa baba yake ni mungu yesu hana d,a ,e

  • @eliasharun3273
    @eliasharun3273 6 หลายเดือนก่อน

    Katika Ufunuo 14:12 tunaambiwa kwamba "hapo ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu na iman ya Yesu." Je, ni amri zipi zinazorejewa hapa? Je, imani ya Yesu ni ipi? Yesu alifundisha kwamba sikuja kutangua torati au manabii.Bishop anafundisha mafundisho ya wanadamu lkn siyo kama MUNGU alivyoamuru

  • @bravesilubonde4350
    @bravesilubonde4350 5 หลายเดือนก่อน

    Yesu alimwambia kijana tajiri je wazijua amri usiue , usizini kamtajia pale bishop bible iache inene usitafute knowledge yako kupotosha watu haya nenda waraka wa yakobo yeye aliyesema usizini ndiye aliyesema usiue ijapokuwa hukuzini ila umeua wewe umekuwa mvunja sheria nenda ufunuo anasema hapa ndipo penye subira ya watakatifu hao wazishikao amri za MUNGU na imani ya yesu

  • @maximilianswitbert2826
    @maximilianswitbert2826 5 หลายเดือนก่อน

    Kutoka 12:16"Siku ya kwanza(jumapili) kutakuwa kwenu na kusanyiko takatifu,na siku ya saba(jumamosi)kutakuwa kusanyiko takatifu haitafanywa kazi yoyote katika siku hizo,Kumbe hata Musa ktk Torati Yahweh Elohim alimuamuru Musa awambie Israeli wapumzike siku hizo ambapo Mungu aliziwekwa kwa wakati wake.

    • @maximilianswitbert2826
      @maximilianswitbert2826 5 หลายเดือนก่อน

      Kwahyo hizi siku Mungu aliziweka kwa makusudi yake yote

    • @maximilianswitbert2826
      @maximilianswitbert2826 5 หลายเดือนก่อน

      Kuhusu amri katika agano jipya..Yohana 15:12-15,.Yesu Kristo alituachia amri mpya nayo ni hii Yohana 13:34-35,Pia watu wafahamu kuwa Pendo halimfanyii jirani neno baya,basi Pendo ndilo utimilifu wa sheria.Warumi 13:10,Kwahyo Sheria na amri zote z Torati zimefingwa ndani ya Pendo katika Kristo Yesu hivyo tunapoishi ndani ya upendo wa Kristo tunakuwa tunatimiza Sheria na amri zote.

    • @raphaelsiumbu9439
      @raphaelsiumbu9439 5 หลายเดือนก่อน

      HIYO SIO JUMAPILI
      Hiyo ni siku ya kwanxa kati ya siku saba za kula mikate isiyotiwa chachu

  • @MussaDaudi-ex3ww
    @MussaDaudi-ex3ww 5 หลายเดือนก่อน

    Huwezi kuishi bila kukosea duniani hakuna mkamilifu ,huwezi kushika amri ukazitimiza

  • @paulmutuajustus5277
    @paulmutuajustus5277 3 หลายเดือนก่อน

    Yesu alihubiri amri ,yohana 14:15

  • @victorcampbell2659
    @victorcampbell2659 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani huyu Mwandishi duuuuhh!!

  • @Rastermirish
    @Rastermirish 4 หลายเดือนก่อน

    Alivunja na yeye ndio bwana wa sabato na ata walimshtaki kuwa kuvunja sabato

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 5 หลายเดือนก่อน

    Jumapili kumbe mmepewa na mpagani costantine mroma poleni sana 😢

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน

    Amri kuu ni upendo ni sahihi,kwa sbb ukiwa na upendo huwezi kumchukia mtu, huwezi kumuibia, huwezi kumfanyia vby , kwahiyo amri hii ndio kuu , zile 10 zinaingia zote kwenye upendo

  • @MarthaTosh
    @MarthaTosh 4 หลายเดือนก่อน

    Wale wananipenda wanasishika amri zangu John 14:15

  • @MarySijaona
    @MarySijaona 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu anataka Nini kwako hicho ndio ukifanye

  • @moseskatega8441
    @moseskatega8441 4 หลายเดือนก่อน

    Sisi sio Wayahudi

  • @djskadi7355
    @djskadi7355 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kama Bishop ndu yuko iviii basi ni bora kuwa chizi kuliko kumsikiliza uyuuu jamaaa ajui kitu kabisaa dah 🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️

    • @AdiemoFrenardB
      @AdiemoFrenardB 5 หลายเดือนก่อน

      hebu lete hoja ya kuthibitisha hilo.

  • @marcbiryanguze7364
    @marcbiryanguze7364 28 วันที่ผ่านมา

    Siku YA Saba ilianzishwa na Mungu akapumuzika pamoja na Adam na Hawa.Mwanzo 2:1-3.

  • @DodomaTanzania-r5z
    @DodomaTanzania-r5z 6 หลายเดือนก่อน +4

    Big up ngonyani upo vzur sana ndg yangu

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 4 หลายเดือนก่อน

    Sabato ni siku ya utukufu wa Mungu alidumba kwa siku 6. Kuifuta sabato yaani siku ya 7 ni kumwondolea mtmbaji sabato aliyoibariki na kuitakasa ni kudharau ukuu wake

  • @peteronjenga9954
    @peteronjenga9954 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mchungaji hajielewi kamwe. Yesu hajawahi vunja sabato. Wayahundi walishutumu yesu bure. hata pia walimshutumu alijitoshanisha na mungu kwa kujita mwana wa Mungu, ina maana kwa hilo yesu sio mwana wa Mungu??...Mungu aliweka pumuziko iwe siku ya Saba, Nae nwanadamu akaweke siku ya kwanza ya juma...sasa ni ju yako uti Mungu au uti mwanadamu..

    • @cosmasmwaitete5004
      @cosmasmwaitete5004 6 หลายเดือนก่อน

      Usilmaumu huyu askofu Kama una hoja lete hapa hoja sio kumlaumu wasabato acheni uzushi, sikiliza maelezo sio kulaumu wakatoliki ,costantino hakubadlisha siku Ila kutokana na wakristo waliokuwa wanasali jumapili naye akaokoka na kutoa agizo la kupimzika siku ya jumapili

    • @BartolomeuHenrique-mx1fn
      @BartolomeuHenrique-mx1fn 5 หลายเดือนก่อน

      @@peteronjenga9954 YESU ndie sábado,sio siku úkimpata YESU umepata kupumuzika

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku 5 หลายเดือนก่อน

      Hakika dini ya haki mbele ya Mwenyezimungu ni Uislam. Muendelee kufarakana na kitabu chenu kilichochakachuliwa. Mara sabato ni amri ya 4 mara ni ya 3, tumuelewe nani?

  • @domicianalipiustv9144
    @domicianalipiustv9144 4 หลายเดือนก่อน

    Ili mumuelewe huyu baba mwemde mkasome vizuri 'naye atanena kinyume na aliye juu naye atabadilisha sheria na majira, good job baba waeleze wajue ukweli wenyewe wewe nawa mikono wakubali au wakatae alio wateule watakuelewa

  • @JoelMulashani
    @JoelMulashani 5 หลายเดือนก่อน

    MIMI NAULIZA MBONA HAMUONGELEI NABII ELEN G. WHITE ALIEANZISHA SABATO BABA ASKOFU.....SASAHIV SIO MUDA WA KUTAFUTA WATU NI MUDA WA KUONGOKA UKWELI KWAHIO.......UONGO WA ELEN G. WHITE TUNAUJUA SANAA KWAHIO HATUJIIII