MCH. NDACHA AWAKABA KOO WAHADHIRI WA KIISLAMU, UST SHAFII, BAKOZI, KINYOGORI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • MCHUNGAJI NDACHA ALIRUDI TENA JUKWAANI KUCHUNGUZA MADAI YA WAISLAMU KUHUSU YUPI WA KUMFUATA KATI YA YESU KRISTO NA MTUME MUHAMMAD SAW

ความคิดเห็น • 201

  • @MatikoJames-c8m
    @MatikoJames-c8m 18 วันที่ผ่านมา +8

    Mchungaji ndacha mungu akubariki wafundishe

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 20 วันที่ผ่านมา +15

    Yesu ndio njia kweli na uzima , ipo siku watajua ukweli kwamba Yesu ni nani .maana wanajua ukweli ila wanadanganya watu bule sababu watu wao hawajui maandiko

  • @EmmanuelNahimana-k4x
    @EmmanuelNahimana-k4x 19 วันที่ผ่านมา +7

    Mchungaji ndacha Mungu akubariki sana

  • @robertgeofrey4118
    @robertgeofrey4118 20 วันที่ผ่านมา +23

    Barikiwa sana Mwinjilisti Ndacha ❤

    • @AbasHabimana
      @AbasHabimana 20 วันที่ผ่านมา +1

      Ndacha hana lolote hoja zinamshinda wakristo mbona mnapenda kudanganywa kueni makini sana nahao wachungaji wenu huyo Ndacha anawapoteza kwa maslai yake

    • @silvesterojanji2007
      @silvesterojanji2007 20 วันที่ผ่านมา

      ​@@AbasHabimanaunajua nyani halioni la kudule

    • @JaneKyusa-xy9xz
      @JaneKyusa-xy9xz 19 วันที่ผ่านมา

      Mnadanganywa nyie mnao abudu jiwe

    • @robertgeofrey4118
      @robertgeofrey4118 19 วันที่ผ่านมา

      @@AbasHabimana Toa Hoja zenye mantiki unasema Tunadanganywa na hujaeleza tunadanganywa nini..!!
      Au unataka tumuamini mtume aliyemuoa mtoto wa miaka 6 na kumvunja Bikira akiwa na miaka 9...🧐

    • @AbasHabimana
      @AbasHabimana 11 วันที่ผ่านมา

      @@robertgeofrey4118 Kua na Adabu ww kafiri unamtukana mtume kweli kafiri mkubwa ww ungali unakwenda namakaratasi chooni

  • @BernardChesoli-rj3nw
    @BernardChesoli-rj3nw 20 วันที่ผ่านมา +17

    Ndacha unafundisha vizuri sana Mungu akulinde

  • @Kimug-25
    @Kimug-25 19 วันที่ผ่านมา +5

    God bless you Ndacha, teach them Muslims why don’t you understand really??

  • @user-mq4ln8ds2r
    @user-mq4ln8ds2r 3 วันที่ผ่านมา

    Que Dieu tout-puissant vous augmentez la sagesse tu es vraiment docteur messieu ndacha

  • @SylvesterAngego
    @SylvesterAngego 20 วันที่ผ่านมา +12

    Ndacha ukweli ubaki ukweli 🙏💯

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchungaji ndacha nabarikiwa sana na mafundisho yako Yani napenda sana mafundisho yako yani nakuombea uahi zaidi mwalimu ndacha mungu akulinde .

  • @dasilvajr9647
    @dasilvajr9647 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akubariki sana mwalimu ndacha

  • @njuhinyararaofficial
    @njuhinyararaofficial 20 วันที่ผ่านมา +11

    Mwalimu Ndacha,mungu azidi kukubariki zaidi na kukupenda.

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 21 วันที่ผ่านมา +33

    Asante yesu wakristo wenzetu gonga like twende sambamba

  • @ShufaaZeinab
    @ShufaaZeinab 9 วันที่ผ่านมา +1

    Ndacha mungu akubariki Kwa kutufunza ukweli

  • @CharlesMbise-hc2sz
    @CharlesMbise-hc2sz 19 วันที่ผ่านมา +3

    🔥🔥🔥ndacha genius

  • @danielndiwa-x8k
    @danielndiwa-x8k 3 วันที่ผ่านมา

    contunue teaching

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s วันที่ผ่านมา

    Asant sheikh!! AWO WAMELAANIWA TUU

  • @JacobMakwilo-u6e
    @JacobMakwilo-u6e 20 วันที่ผ่านมา +6

    Ndacha waonee huruma utawatoa udenda hawana wanachojua hao

  • @melvoLedin-cs6mr
    @melvoLedin-cs6mr 11 วันที่ผ่านมา +1

    Barikiwa sana ndacha hulinifanya nikaokoka juma from kenya

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 20 วันที่ผ่านมา +6

    Njia ya kweli uzima wa milele ni Bwana wetu yesu kristo, njooni kwake.

  • @PeterJackson-uh2ik
    @PeterJackson-uh2ik 20 วันที่ผ่านมา +7

    Kuna Aya za Quran anazozisoma Ndacha, Waislamu hawazirudii Wala kukanusha. Lkn wao wakitumia Aya za Biblia kimakosa Ndacha anawarekebisha na wanatulia. Hii inaonesha Ndacha ni Mwalimu mzuri. Honestly Ndacha is heading to be a real servant of God. Ndacha Mungu azidi kukupa hekima, ili ukapate rehema siku Ile.

    • @JosephGodfrey-jv8hz
      @JosephGodfrey-jv8hz 19 วันที่ผ่านมา

      @@PeterJackson-uh2ik Kama aya zipi waislamu hawaziludii Wala kukanusha..

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 19 วันที่ผ่านมา

      Taja aya moja tu? Haijatolewa ufanunuzi

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 19 วันที่ผ่านมา

      Joshua 7:12 waisrael wamelaaniwa hivi hili andiko kwenye biblia ndacha aligusa?!😃😃

  • @MonikaKhayesi
    @MonikaKhayesi 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu ni mwaminifu

  • @shepherd1x84
    @shepherd1x84 20 วันที่ผ่านมา +4

    Wamekiraba kweli kweli..Yesu ni bigwa wa mhitaji wa majinni!

  • @JacobMakwilo-u6e
    @JacobMakwilo-u6e 20 วันที่ผ่านมา +5

    Halafu wanabebana na makaratasi kama sijui nini😂😂 hamuoni mwenzenu ndacha anatumiwa na roho mtakatifu ila nyie makaratasi mengi hamna tofauti na wanafunzi wanaoingia darasani na vibomu inaashiria kichwani hamna kitu

  • @barazamatibila8412
    @barazamatibila8412 18 วันที่ผ่านมา +2

    Mtume waIslamu nimajanga alierogwa akapata wazimu miaka 2 akajaribu kujinyonga kwakujirusha juu yamlima namwishowe akafa kwakula nyama yenye sumu Alaah hakumutaarifu akala nakuugua uchungu alisema ooh Aisha sumu inanikata utumbo. Muhammad alimchukua Zainabu mke wa Mwanawe Zaid kwajina Zainabu . Huyu ndie Nabii waIslamu hatarisana

  • @user-fm5md9xn5g
    @user-fm5md9xn5g 10 วันที่ผ่านมา

    😢waislamu mnazingua kwa hiyo Muhammad atawapeleka watu wake

  • @HakizimanaYakini
    @HakizimanaYakini 4 วันที่ผ่านมา

    Barikiwasana muzeendaca tunakuitaji burundi

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 20 วันที่ผ่านมา +1

    Amen mtumishi

  • @PaulAsaaba
    @PaulAsaaba 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli abarikiwe ndacha

  • @barackmsabila
    @barackmsabila 20 วันที่ผ่านมา +1

    Aminà

  • @user-zp9gb5rs7e
    @user-zp9gb5rs7e 11 วันที่ผ่านมา

    Hatuwezi kuwa na Mungu alietahiriwa kama mm.

  • @shkaladdintv1896
    @shkaladdintv1896 19 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu ni Greek goddess of healing.(The scriptures bible , foot note).
    Jesus ni kuabudu shetani.
    Yahshua Messiah is the true saviour.

    • @wiseboy9054
      @wiseboy9054 17 วันที่ผ่านมา

      @@shkaladdintv1896 sijakupata is there different btn yehua sheghua and Jesus

  • @duniawaziri1001
    @duniawaziri1001 16 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe

  • @ernestbensonmwamengo1642
    @ernestbensonmwamengo1642 20 วันที่ผ่านมา +1

    Muhammad ni kwa waarabu tu siyo kwa wanadamu wote. Hao waarabu hawakuwa na muonyaji. Yesu ndiye njia...na mtu haendi kwa baba ila kwa YOHANA. 14:1-3

    • @saudaumar3354
      @saudaumar3354 20 วันที่ผ่านมา

      soma Muhammad nimtume wa mwisho wakati wa yesu kilikuwa hakuna mtu mweusi kabisaaa ni waisrail tu ulizia ujue ilimu

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 16 วันที่ผ่านมา

      Yesu ni Mtume wa Wanaezraeil soma vizuri Bibilia yako

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ndacha ni kiboko ya waislamu

  • @ElsantosElMashallah
    @ElsantosElMashallah 10 วันที่ผ่านมา +1

    Ndacha ww. Ninoma

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 15 วันที่ผ่านมา +1

    Ndacha ni kiboko ya wafuga Majini hata hicho kitabu cha waarabu Kurohan hamkijuwi poleni

  • @BarakaAkech-r9q
    @BarakaAkech-r9q 20 วันที่ผ่านมา +1

    Akuna sehemu mungu kasema
    Ametoa kitabu kwa muamed mmerogua

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 20 วันที่ผ่านมา

      Wewe hujitambui kabisa,unazungumzia kitabu gani ambacho akisemi kuwa Mtume Mohammad hakupewa Kitabu?Kisha nipe ayah katika Bibilia nani alipewa Bibilia au Ni Mtume gani alipewa Bibilia?

  • @Kimug-25
    @Kimug-25 19 วันที่ผ่านมา

    Teach them

  • @AdamMnyambwa
    @AdamMnyambwa 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu A akupemaisha maelfu ndacha uzidi kutoa elimu wataelewa ao waslam😂😂😂

  • @TRIPLE.3Rs
    @TRIPLE.3Rs 20 วันที่ผ่านมา +1

    Ndacha hamna quality uluolizwa ulijibu...mtupu

  • @NicodemBarantanda-ud7qy
    @NicodemBarantanda-ud7qy 20 วันที่ผ่านมา +1

    Pastor Ndacha Roho wa Bwana Yu juu Yako elimisha wapotevu hao wanaomwamini Mhamadi aliyewahi kuoa ka Binti ka miaka 6.waislam hatuwatukani ila vitabu vyenu.

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 20 วันที่ผ่านมา

      Issac alioa Rebecca akiwa na miaka mitatu na ndio mnajifahari nae au hamjui hilo ?

    • @NicodemBarantanda-ud7qy
      @NicodemBarantanda-ud7qy 20 วันที่ผ่านมา

      @@mhogomchungu7168 Issac ni mtume panorama na kwamba unadanganya na Rebeka aliolewa na miaka mingapi au nikupe usome hapo mpokee Yesu wewe mwenyew pa kukupeleka

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 20 วันที่ผ่านมา

      @@NicodemBarantanda-ud7qy toa ushahidi , hio issue hata marabai wa kiyahudi hawakatai na ukitype TU TH-cam wayahudi wenyewe utaona wanaelezea

  • @lucasjames2102
    @lucasjames2102 13 วันที่ผ่านมา +1

    Nikwel ndacha hao waislam yan wavyokuag wanajib kuikwel ni commed tu awako serious

  • @tetritetrino693
    @tetritetrino693 20 วันที่ผ่านมา +2

    Duuu kumbe Mohamad alifanyiwa mpaka operation, akatolewa shetani Ndo kabisaaa mnataka eti nimfuate Mohamad nooo noooo

  • @josetausimk7824
    @josetausimk7824 8 วันที่ผ่านมา

    Waisilamu hawasikii hakidogo

  • @walesjulius5493
    @walesjulius5493 19 วันที่ผ่านมา +3

    Ndacha Bora ww ungekuwa ndio Allah Mana unajua kuliko Allah mwenyewe

    • @AliMohamed-bs9ph
      @AliMohamed-bs9ph 17 วันที่ผ่านมา

      @@walesjulius5493 ☠️

    • @Failuna
      @Failuna 15 วันที่ผ่านมา +2

      Acha kufananisha Allah na wapumbavu wako ukome shetani ww ukome tena ukome

    • @user-nr8gx1vs6t
      @user-nr8gx1vs6t 12 วันที่ผ่านมา

      Kwakweli

    • @edwardmandela6276
      @edwardmandela6276 12 วันที่ผ่านมา

      Haina haja ya lugha Kali kama hiyo jamani

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 3 วันที่ผ่านมา

      Jmn Kawaida ya kafiri hawez Kuwa na akili timam kwahyo acha waendelee kukufuru tu

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 21 วันที่ผ่านมา +2

    Muandae hoja na nabii isa na Yes KAZI zao na namna watakavyo kuja

  • @abdulgyver8636
    @abdulgyver8636 14 วันที่ผ่านมา

    Wakristo mkifungua mioyo kuelewa😢😢😢
    Hamtapotea

  • @lucasjames2102
    @lucasjames2102 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kwako commed waislam ndo zao utaskia tu takibhiiliii ndo imeisha hyo

  • @ernestbensonmwamengo1642
    @ernestbensonmwamengo1642 20 วันที่ผ่านมา +1

    Halafu walimu wa kikristo wanapokezana...ila MCH.NDACHA YUPO PEKE YAKE....WAMEMCHANGANIA LAKINI KAWASHINDA.....

    • @shabanidaruweshi-jw5jy
      @shabanidaruweshi-jw5jy 20 วันที่ผ่านมา

      @@ernestbensonmwamengo1642 sasa sms yako umekiongea nini au umekula mavi na wewe

  • @ernestbensonmwamengo1642
    @ernestbensonmwamengo1642 20 วันที่ผ่านมา +1

    Ndacha hana kikaratasi yote yanatoka kwa uongozi wa ROHO mtakatifu....wale waislamu wanatukaratasi... mmmmh 💊💊

    • @user-nr8gx1vs6t
      @user-nr8gx1vs6t 12 วันที่ผ่านมา

      Ahsante Kwa kufuatilia ndacha hana kibomu Ila wazee wa Kazu vibomu vya kutosha

  • @MjukuuWaYakobo
    @MjukuuWaYakobo 20 วันที่ผ่านมา +1

    Kama ww ni Muislamu na Unataka Kuuacha Uislamu Soma Quran

  • @MakameSilima-j3s
    @MakameSilima-j3s วันที่ผ่านมา

    Lete vitu sheikh maulana???

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 16 วันที่ผ่านมา

    Yesu ni njia kweli na uzima yesu wasamehe waislamu mara wanakukua mara wanakukana Hawa jamaa wamepotea

  • @tyronemofekeng7152
    @tyronemofekeng7152 21 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona mnamficha Shafii... shida nini

  • @issapetro4960
    @issapetro4960 วันที่ผ่านมา

    Waislamu wanasema katumwa na Mungu lakini hakuna aya katika qur an Allah anasema "nimekutuma muhammad uwe mtume" Hakuna andiko hilo.kama lipo toeni

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 20 วันที่ผ่านมา +1

    Hao wanajua ila shetani amewafunga ufahamu wao , kama mtu wao anaingiliwa na shetani na vitabu vyao vimeandikwa, kwahyo waislamu wanapingana na vitabu vyao

  • @edwardmandela6276
    @edwardmandela6276 12 วันที่ผ่านมา

    Comment zote mbona kuna upande una hasira sana

  • @estakenia
    @estakenia 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂 Maulana hana la kushindana na Mwalimu Ndacha.

  • @melvoLedin-cs6mr
    @melvoLedin-cs6mr 11 วันที่ผ่านมา

    Mtume wenu anangojea vile hatakavyo fanywa

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 3 วันที่ผ่านมา

    Hivi uislam ni siasa au ni dini na kweli mmefumbwa macho au kibuli tu cha binadamu

  • @Izzoh22
    @Izzoh22 6 วันที่ผ่านมา

    Na huyo msomaje anapataje vitabu that fast?

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 19 วันที่ผ่านมา +1

    Uislam unamipasho et kama hamtaki uislam mkaweke vitanzi mjinyonge😂😂😂
    hyo kuruan au hadija kopa??????

  • @AliSaid-yw7jp
    @AliSaid-yw7jp 13 วันที่ผ่านมา

    Hapa kishwahili kimemchenga mwalimu wetu. 😂
    Kusubiri- kungojea kitu
    Kusubiri- kufanya subra (to be patient) 👍🏽

  • @samuelnditu339
    @samuelnditu339 18 วันที่ผ่านมา

    kati ya yesu na muhammad..
    yesu hakuoa muhammad akanyaganya mpaka mtoto wake bb..yesu akafukuza mapepo muhammad alisalimisha majini..yesu hakua muhammad akaua..kati ya hao unaweza fùata nani??

  • @subiralema
    @subiralema 20 วันที่ผ่านมา +1

    Uzuri wa uislam uwezi kudanganya watu kila kitu kiko wazi siyo kila siku watu wanajiita manabii wanawauzia udongo maji kukosa akili

    • @mwlpierre
      @mwlpierre 18 วันที่ผ่านมา

      Hayo ni mambo binafsi sisi tunaongea kitabu

  • @walesjulius5493
    @walesjulius5493 19 วันที่ผ่านมา

    Kunavitabu waislamu wameomba visitumike du nimecheka

  • @abdulgyver8636
    @abdulgyver8636 14 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂
    Hii mbona ilijibiwa vizuri
    Mmeikata ngoja mjipe moyo

  • @ernestbensonmwamengo1642
    @ernestbensonmwamengo1642 20 วันที่ผ่านมา

    Yesu hakuendesha vita ya jihadi ila yesu NDIYE mpole na mnyenyekevu mathayo 11:28-29

  • @heavens9451
    @heavens9451 18 วันที่ผ่านมา

    HII CAMERA IKO VIZURI... PIA SAUTI TUNAIPATA VIZURI

  • @Kimwaga-b8p
    @Kimwaga-b8p 20 วันที่ผ่านมา

    Shekh umedanganya soma Joshua 7mstari wa kwanza mpaka 12 utakuta sababu ya mungu kusema hivyo Akani aliiba vitu vitakatifu Acha kukatisha maandiko shekh unadanganya

  • @abdulgyver8636
    @abdulgyver8636 14 วันที่ผ่านมา

    Eti walio laaniwa😂

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 19 วันที่ผ่านมา

    Ndacha quran 10:112 unapotosha huongei ukweli unapotosha

  • @EnockKibona-x9z
    @EnockKibona-x9z 20 วันที่ผ่านมา

    Sisi ndio tunaosikia ila Mwalimu NDACHA tumemuelewa ktk mafundisho yake yupo vizuri anafundisha mpka tumemuelewa

  • @christopherwami2006
    @christopherwami2006 21 วันที่ผ่านมา +4

    Waislam mkijua tu vyote vilivyoandikwa kwenye Quran mtaondoka mumfate Yesu

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ 21 วันที่ผ่านมา

      Wapii bibilia yenu inatosha ku wachapa nayo wenyewe 😂😂😂

    • @abuuhassani497
      @abuuhassani497 21 วันที่ผ่านมา

      Nani amfate mwizi

    • @ibruzah001
      @ibruzah001 20 วันที่ผ่านมา

      Yesu mwenyewe ni mwisilamu. Sisi waisilamu tunampenda Yesu na kumwamini kabisa. Wewe mkristo Yesu hakujui, wala hajui Ukristo kabisa. Utabaki nyuma ushangae 😂😂😂

    • @AbasHabimana
      @AbasHabimana 20 วันที่ผ่านมา

      Ukristo ni upagani

    • @loysamwel6308
      @loysamwel6308 18 วันที่ผ่านมา

      Safi mwalimu

  • @estakenia
    @estakenia 4 วันที่ผ่านมา

    😅😢😂 maulana wewe ni mwongo, hakusema hivyo. Hakuna mwalimu wa kiislam anaweza hoja za wakristo.

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 18 วันที่ผ่านมา

    Mleteni mazinge,hao hawamwezi ndacha, coz hata mazinge huwa anashindwa sasa hao wataweza kweli.

  • @samwellekuraa32
    @samwellekuraa32 18 วันที่ผ่านมา

    Ujube umefika SAWA na swari

  • @majomasliman7856
    @majomasliman7856 15 วันที่ผ่านมา

    Ndacha acha sifa unaweza kumbatiza Nani

  • @shkaladdintv1896
    @shkaladdintv1896 19 วันที่ผ่านมา

    Ndasha hatumiwi na Muuba bali ni mjumbe wa Shetani kama WaIslamu tu. Alifukuzwa SDA baada ya kukataa trinity .Saa hii anahubiria waIsilamu awapeleke wapi ?

  • @abdulgyver8636
    @abdulgyver8636 14 วันที่ผ่านมา

    Hii sio hoja mbona
    Nabii Ayoub aliguswa na shetani😂😂😂

  • @FredrickNyangweso
    @FredrickNyangweso 20 วันที่ผ่านมา

    Hawa waislamu wacha siku ya mwisho watakipata Yesu atakaporudi

  • @JohnBura-xr2hw
    @JohnBura-xr2hw วันที่ผ่านมา

    Wewe ni msomi na mtu Jasiri

  • @Elecovid
    @Elecovid 21 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂😂 waisilamu njoooo kwa yesuuuuuu anawapenda sana

    • @سعدياقوت-ت2خ
      @سعدياقوت-ت2خ 21 วันที่ผ่านมา

      Skiza Qur'an ulivyo pendeza sana na kutulia

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 20 วันที่ผ่านมา +1

      wewe yesu hata hakujui

    • @jumanjenga7682
      @jumanjenga7682 20 วันที่ผ่านมา

      Jesus was no Christian and didn't go to church.The uncircumcised Greco Roman paganism people made the Jewish Carpenter son of God or God instead of God the Creator.

  • @abubakaromar6101
    @abubakaromar6101 20 วันที่ผ่านมา +3

    Tena huyo Sheikh Shafii ndio alokukaranga alichapa mpaka hujielewi wasema nini

  • @JonasMathias-s6m
    @JonasMathias-s6m 20 วันที่ผ่านมา

    Eti kapasuliwa nakutolewa shetani😅😅😅😅😅😅

  • @abuumkota5505
    @abuumkota5505 20 วันที่ผ่านมา

    qur'an tafsiri ya hamadia ukurasa wa 16 ndio quran gani hiyo maana nlitegemea aseme quran sura kadhaa na aya kadhaa mbona kama kuna vitu mnavipindisha

  • @RaimamomedSaidi-wz1yu
    @RaimamomedSaidi-wz1yu 16 วันที่ผ่านมา

    Ndacha 😢kwani ww na kaka yako mlolaziwa tumbo moja munatabia moja?munafanana mambo munayofanya?sasa unauliza yesu na muhammad hawako sawa hujui km wao kila mtu amekuja kwa mda wake na kila mmoja anachukua magizo alotumwa na mungu aje kutekeleza,sasa unakosea kimaongez halafu unasema hujajakufanya komed wakat masual yako hayana kichwa wala miguu.

  • @AthumaniIdrisa-c6s
    @AthumaniIdrisa-c6s 19 วันที่ผ่านมา

    Wakristo wanaelewa sana tu bali wanajitoa tu ufamu , ifateni dini ya haki

    • @BOAZIMPITANYE
      @BOAZIMPITANYE 19 วันที่ผ่านมา

      Siku mtaishia jehanamu ndiyo mtafahamu

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 19 วันที่ผ่านมา

    Joshua 7:12 waisrael wamelaaniwa hili andiko ndacha hakulisikia ??😀😀 hajagusa

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 20 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂naona wakristo wanajifarij ktk comment,hv mmeusikiliza mdaharo mwanzo mwisho....????mmepigwa kila kona

  • @Kimug-25
    @Kimug-25 19 วันที่ผ่านมา

    Muslims understand, why don’t you really understand like me? Turn to Jesus Christ his the only way to heaven

  • @0badiaMwasongwe-rt1wr
    @0badiaMwasongwe-rt1wr 20 วันที่ผ่านมา

    Wakati anazaliwa alizaliwa na shetani tena akaja kuwasilimishaa majini yawe waislamu tena kuna Aya mtu akitoka kwenye uislamu Muhammad anasema anafaa mtu huyo akatwe kichwa. Tena Muhammad anasema yesu ndie atahukumu tena Muhammad anasema yeye siku ya mwisho hajui kama ataebda peponi au motoni kiukwelii MUNGU aendelee kuwafunulia labda siku moja wataelewa kwelii na kwelii itawawekaa HURU.

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 20 วันที่ผ่านมา

      Wewe haya maneno umetowa wapi muogo mtupu

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 20 วันที่ผ่านมา

      @@abubakaromar6101 sikilizaa zinatokaa na Aya kabisaaa

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 20 วันที่ผ่านมา

      @@abubakaromar6101 sikilizaa zinatokaa na Aya kabisaaa

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 20 วันที่ผ่านมา +1

      @@0badiaMwasongwe-rt1wr aya za kufanyia Sarakasi jukwaani achekeshe watu, hata wewe kwa ni mwalimu ukiona umeshindwa na hoja ukitaka watu wasijue kama umeshindwa unapopanda jukwaani anza sarakasi ya kuchekesha watu huo ndio mchezo na mbinu za ndacha anavyofanya ili nyinyi musifahamu kwashindwa na hoja

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 20 วันที่ผ่านมา

    Hivi huyu kinyogor amepewa sh, ngapi ili amkatae yesu,

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 20 วันที่ผ่านมา

    Quran haina shaka ndani yake wala hawawezi kushindwa na yesu pia niwetu someni mujue ilimu shafii na wote walokaa wako naelimu sio kama ndata mpiga kelele kwa mikate yenu

  • @Jamalybella
    @Jamalybella 21 วันที่ผ่านมา +1

    Wakisto wote msilimu wallah mmepotea

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 20 วันที่ผ่านมา +1

      Wapi YESU, Ibrahim, Adam, Daudi walisilimu, zaidi ujanja wa mud kuwanasibisha na uislam

    • @andrewnjuguna688
      @andrewnjuguna688 20 วันที่ผ่านมา

      ​@@FridayMwassa nice point,hawawezi jibu hiyo

    • @samxx411
      @samxx411 20 วันที่ผ่านมา +1

      Haiwezekani moto ukose makafiri, Hawa lazima wachomwe kama watakufa ktk Hali hii.

    • @samxx411
      @samxx411 20 วันที่ผ่านมา

      ​@@FridayMwassakwani walikuwa wakristo???? Kwani ukristo ameanzisha nani??

    • @HellenaMky
      @HellenaMky 20 วันที่ผ่านมา

      Mimi nimfate malehemu😂😂😂😂 Bwana YESU ndiye uzima teleeeeee

  • @davidkisale5215
    @davidkisale5215 19 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo mudi ni mwalimu wa kufundisha kuoa watoto wadogo na jihad ya vita 😂😂😂

  • @davidedward6053
    @davidedward6053 21 วันที่ผ่านมา

    Natamani ndugu zetu waislamu waache ushabiki watafute ukwel,nafsi zao zitaokoka

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 20 วันที่ผ่านมา

      Nyinyi wakiristo ndio muwache ushabiki na kudanganywa hapa Duniani ni kutafuta sio kuokoka, kuokoka ni siku ya mwisho ya kuhesabiwa

    • @abdallahdoka9173
      @abdallahdoka9173 20 วันที่ผ่านมา

      Vipy tuache dini ya mungu tuje kwenye ukafiri eti mungu watatu mara mungu kafaa msalabani😂😂 mara kwa siku yane akatahiriwa na wanaadamu😢😢

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 20 วันที่ผ่านมา

      @@abdallahdoka9173 dini ya vichesho mara mungu huyo huyo yesu amelala hana habari mashua inazama baharini mpaka yuwamshwa na viumbe vyake, mara yuwaomba chakula kipande cha mkate kwa viumbe vyake, tungelipata mungu kama huyo yesu tungelikuwa hatuko Duniani kutoka kitambo na Dunia ishapotea. Yaani eti nimfwate mungu wa kulala lala na wa kuomba omba chakula kama masikini hii haingi akilini

    • @davidedward6053
      @davidedward6053 20 วันที่ผ่านมา

      @@abdallahdoka9173 hakuna unalolijua

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 21 วันที่ผ่านมา

    Yuko wapi Robin Kesi

  • @IsaacNzai-e7s
    @IsaacNzai-e7s 10 วันที่ผ่านมา

    Hawa waislam hawana lolote kabisa😂😂😂😂😂😂

  • @BarakaAkech-r9q
    @BarakaAkech-r9q 20 วันที่ผ่านมา

    Waislamu nyie mnajua vita vya kujitolea muhanga tu