Testimony Tv
Testimony Tv
  • 8
  • 25 364
Je Mungu BABA ni nani?
Kutana na waalimu wabobezi wa neno la Mungu, FRANSIS NDACHA NA DANIEL MWANKEMWA Katika mdahalo huu uliyofanyika Bunju A jiji Da es salaam.
Mdahalo huu uliyojaa elimu utajifunza kwa kina juu ya Mungu Baba mmoja namna unavyotafsiriwa na kuaminiwa na Wakristo wengi kutoka katika vyanzo vya Biblia pamoja na mapokeo.
มุมมอง: 4 014

วีดีโอ

JE KUNA MUNGU WATATU?
มุมมอง 5Kหลายเดือนก่อน
Ni swali linaloulizwa na kujadiliwa na watu mbalimbali Duniani leo, Katika majadiliano haya kati ya Fransis Ndacha na Fabiani utaweza kuongeza kitu kipya katika ufahamu wako juu ya Nafsi tatu za Mungu yaani Mungu mmoja kujifunua katika nafsi tatu (TRINITY), Mungu Baba, Mwana wa Mungu na Mungu Roho. Pia utajifunza juu ya Mungu mmoja yaani BABA, kisha mwana wa Mungu na Roho wa Mungu. Karibu kwa M...
NDACHA NA PR. CEASER MASISI
มุมมอง 3.5Kหลายเดือนก่อน
NDACHA NA PR. SIZZA MASISI Karibu katika muendelezo wa mdahalo wa amani kati ya Pr. Ndacha na Pr. Sizza Masisi wakiongozwa na Mwenyekiti Jaffari Massawe mada ikiwa ni SEHEMU YA 4.
NDACHA NA PR. CEASER MASISI
มุมมอง 2.1K2 หลายเดือนก่อน
Karibu katika sehemu ya tatu ya mdahalo huru kati ya Pr. Ndacha na Pr. Sizza Masisi wakijadiri juu ya neema na sheria za Mungu. mwenyekiti akiwa Muinjilist Jaffari Massawe. karibu ujifunze uzoefu huu.
NDACHA NA PR. CEASER MASISI
มุมมอง 9K2 หลายเดือนก่อน
Karibu katika muendelezo wa mdahalo wa amani kati ya Pr. Ndacha na Pr. Sizza Masisi wakiongozwa na Mwenyekiti Jaffari Massawe mada ikiwa ni SHERIA NA NEEMA na hii ni sehemu ya 2.
NDACHA NA PR. CEASER MASISI
มุมมอง 7202 หลายเดือนก่อน
Mdahalo huru kati ya Pr. Ndacha na Pr. Sizza Masisi wakijadiri juua ya neema na sheria za Mungu. mwenyekiti akiwa Muinjilist Jaffari Massawe. karibu ujifunze uzoefu huu.
ANA KWA ANA MUINJILISTI FRANSIS NDACHA NA DR. SULE.
มุมมอง 4452 หลายเดือนก่อน
Karibu upate taarifa ya Mdahalo wa elimu kati ya Ukristo na Uislamu unaotarajiwa kufanyika tarehe 1-2/06/2024 katika ukumbi wa Flamingo moja kati ya kumbi za SUN SET zilizopo mbezi Bichi kituo cha MAKONDE.
PR. MALEKANA - MWANAKONDOO ANAYESTAHILI/SIMBA WA JINA LA DAUDI
มุมมอง 913 หลายเดือนก่อน
IBADA YA MAHUBIRI

ความคิดเห็น

  • @user-mh9hj3lx7q
    @user-mh9hj3lx7q 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe pr aujui lolote kwa mingu tulia ufundishwe

  • @user-mh9hj3lx7q
    @user-mh9hj3lx7q 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe pro, nenda kalale unasimbuliwa na elimu ya dunia hii auwezi kuelewa mambo za kiroho

  • @McharoMshana-x6p
    @McharoMshana-x6p วันที่ผ่านมา

    Asanten waalimu

  • @sophiaesmarcharo9775
    @sophiaesmarcharo9775 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤝

  • @AdamusonKomba
    @AdamusonKomba 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu nimamulaka yautendaji kazii na baba nimumiliki wa nafusi tatu hai mwana nimamulaka naloho nimamulaka yautekelezaji haionekani hatambinguni ila inatendaaa

  • @salimchimwaga8384
    @salimchimwaga8384 2 วันที่ผ่านมา

    Kikiwa na Mungu baba lazima kuwa na mungu mwana na mung mama. wakristo funguen akili zenu acha kjitia vipofu waa akili.

  • @laboratorykibahadc
    @laboratorykibahadc 7 วันที่ผ่านมา

    Yohana (st jJohn 10:30 kjv) I and my Father are one tafsiri hiyo swahili ni Mimi na Baba tu mmoja na si umoja, kama ni umoja basi biblia kizungu ingesema I and my Father are once.

  • @AgnesMhanzi
    @AgnesMhanzi 10 วันที่ผ่านมา

    Hilo fundisho la utatu ni mpango wa shetani na linatula wakirsto wote ulimwenguni ni lauongo

  • @McharoMshana-x6p
    @McharoMshana-x6p 11 วันที่ผ่านมา

    Asante ndacha mm Niko Kilimanjaro nakuomba uje huku kwetu mm ni mkiristo

  • @IrishuraIshmael
    @IrishuraIshmael 11 วันที่ผ่านมา

    Hakuna Mungu zaidi ya yesu ndugu bando haujaele bado jifunze dhidi ya Yesu na Baba yake maana haujapata kujabata kijuwa maana Mungu alivaa mwili ili apate kufa

  • @benardmwamboneke9612
    @benardmwamboneke9612 12 วันที่ผ่านมา

    Ndacha na mwankemwa nawaombeya roho awape wepesi maada hii msiwachanye wakristo wachanga mtawapoteza ila mwankemwa yuko sahihi ndo mana yesu nae alificha ukweli ili asiuwawe

  • @benardmwamboneke9612
    @benardmwamboneke9612 12 วันที่ผ่านมา

    Nawapenda watumishi wa mungu na mungu awabariki ujumbe maada hii mwankemwa amenyosha

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 20 วันที่ผ่านมา

    Ndacha hajui maana ya neno MUNGU ndo mana anaona kwamba yesu akiitwa Mungu nisawa kwa sababu ni mwana wa mungu . Anafikiria kibin🎉adamu na ndio mana hakubali tatu kuwa moja Kwahiyo NDACHA Pia hakubali kuwa ndoa ina mwili mmoja kama Mungu anavyosema kutokana na akili ya kibinadamu . Ni akili hi hii ya kibinadamu inayosababisha kuona kwamba tatu haiwezi kuwa moja . Lakini kiukweli maandiko yanathibitisha kuwa Yesu ni Mungu Isaya na Tito Yesu ni Mungu Mkuu na inasema yesu ni Mungu baba wa Milele tena inasema niMfalme wa wafalme pia yanathibitisha kuwa Mungu ni Roho . Shida ipo kwenye akili ya kibinadamu ambayo haikubali kwamba tatu inaweza kuwa sawa na moja au mbili kuwa sawa na moja jambo ambalo kwa Mungu inawezekana kabisa na mfano mzuri ni ndoa ambayo ina miili miwili ambayo ni mmoja..

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 21 วันที่ผ่านมา

    Ndacha anasema yesu kuitwa Yehova ni sawa kwa hiyo yesu ni yehova ikiwa Ndacha unakubali yesu kuitwa yehova basi yesu ni mungu kwa vile jina Jehova ni jina la Mungu Muumbaji

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 21 วันที่ผ่านมา

    Aaah Ndacha Yesu ni sawa na Mungu lakini sio Mungu hii kauli yako unajichanganya kwa vile Neno Sawa linaonesha ulinganifu wa pande mbili zinazolingana na ikiwa pande mbili hazilingani Neno SAWA Haliwezi kutumika unaposema YESU NI SAWA NA MUNGU huwezi tena kusema mmoja anamzidi mwenzie kwahiyo Unapo sema yesu ni sawa na Mungu unamaanisha yesu ni Mungu

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 21 วันที่ผ่านมา

    NDACHA tafuta jina la Mungu . Jina baba sio jina la Mungu utapata kufahamu vizuri mahusiano ya mwana na baba . Je aliye baba jina lake ni nani

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 21 วันที่ผ่านมา

    DACHA Unasema hakuna andiko lililosema Mungu Roho wakat andiko hilo lipo MUNGU NI ROHO NAO WAMWABUDUYE WAMWABUDU KATIKA ROHO

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 21 วันที่ผ่านมา

    Hapana ni hiv ww jina lako ni NDACHA Lakini katiba ni jina la baba yako . NDACHA HILO LA GATIBA SIYO JINA LAKO

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 21 วันที่ผ่านมา

    Ndacha neno Mungu si jina ufahamu hivyo kwanza . Mungu maana yake ni muumba wa mbingu na nchi vyote vilivyomo. Jina la Mungu baba ni BWANA kwa lugha ingine ni Yehova je hujasoma sehemu yesu anaitwa BWANA? NDACHA pia uliwahi sema kuwa hakuna neno MUNGU MWANA hili andiko Mungu mwana nalo lipo . NDACHA anasema yesu ni mungu kwa asili maana yake nini sasa ni hii Muumbaji kwa asii maandiko machache brother

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 21 วันที่ผ่านมา

    Kama Mungu ni baba .mbona andiko la lamtaja Yesu ni baba andiko lipo ndacha Soma Isaya inasema hiv atatakayezaliwa ni MSHAURI WA AJABU, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE Nabii Isaya anamtaja yesu kuwa ndiye Mungu baba. Andiko lipo kwenye biblia huwezi kukataa kuwa yesu si Mungu maandiko zaidi mia moja yanamtaja yesu kuwa ni Mungu baba . Hiv Ndacha unafahamu kuwa lipo andiko linaloonesha yesu yupo katikati ya kiti cha enzi mbinguni. ww una maandiko machache

  • @joshualutengamasomwakilawa1025
    @joshualutengamasomwakilawa1025 23 วันที่ผ่านมา

    Ndacha wewe unachanganya watu ingawa unafikiri unamaelezo yanatosheleza labda wewe una elewa , je yesu anafaa kuabudiwa? Halafu wako watatu washuhudiao mbinguni baba mwana na Roho na hapo anamaanisha nini kama hizo siyo nafsi

    • @joshualutengamasomwakilawa1025
      @joshualutengamasomwakilawa1025 23 วันที่ผ่านมา

      Mimi sijaelewa maana mara yesu ni mungu nahuyo ndiye anakuja kwa mzee wa siku anakuja kama nani kama mungu au kama kiumbe?

  • @majanja420
    @majanja420 24 วันที่ผ่านมา

    Da mpaka moyo umenima,, kuzini sio dhambi!! Kweli tutaona mengi

  • @user-dy4pw8ts9p
    @user-dy4pw8ts9p 24 วันที่ผ่านมา

    Mwankemwa haeleweki ,ahsante ndacha mim nilikuwa mwana utatu lakini hivi leo hii nimebadilisha mtazamo wangu potofu wa kuamini utatu

  • @chenzhenlee7633
    @chenzhenlee7633 27 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu Daniel Mwankemwa anajua kufyndishs lakini Somo halielewi yeye anaongelea Uungu wa Yesu

    • @copylababa
      @copylababa 27 วันที่ผ่านมา

      Wendo hujamuelew

  • @user-mc2xd4eu2p
    @user-mc2xd4eu2p 27 วันที่ผ่านมา

    A LOT OF CONTRADICTION IN THE BIBLE😢

  • @user-mc2xd4eu2p
    @user-mc2xd4eu2p 27 วันที่ผ่านมา

    Huyu nae anasema yesu ndio yeye huyo baba kwa hiyo kajizaa mwenyewe hii imani kama huna moyo wa upofu ndani yako huwezi kuifuata abadan

  • @fredykiluka6606
    @fredykiluka6606 27 วันที่ผ่านมา

    Ndacha mungu akubaliki kwanza umetufunguwa macho ...tumekuelewa❤❤❤ ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @KasiteDominic-bz7rn
    @KasiteDominic-bz7rn 27 วันที่ผ่านมา

    Munaanza Ku geuza mambo. Nyinyi muta potosha vipofu

  • @KasiteDominic-bz7rn
    @KasiteDominic-bz7rn 27 วันที่ผ่านมา

    Jamani ivi munafunza watu nini?

  • @user-mc2xd4eu2p
    @user-mc2xd4eu2p 28 วันที่ผ่านมา

    Sasa huyu ndacha jamani anafundisha nini yesu sio sio mungu lakini yesu yuko sawa na mungu yesu ana mwili wake na yesu ana mwili wake sasa hao si wanakua mungu wawili anabaki vipi mungu mmoja kwa imani yenu hivi hii inahitaji nini ili ieleweke ?

  • @user-mc2xd4eu2p
    @user-mc2xd4eu2p 28 วันที่ผ่านมา

    Uzima wa milele ndio huu wakujue wewe MUNGU WA PEKEE NA WAKWELI pekee maana yake hakuna mungu mwengine sasa yesu anakuaje mungu wewe ndacha?? hivi inaingia akilini kweli

    • @user-dy4pw8ts9p
      @user-dy4pw8ts9p 24 วันที่ผ่านมา

      Hivi unajua ndacha anatetea kitu gan?? Acha kukurupuka bro ndacha hajasema kuwa yesu ni Mungu Wala kuukubali utatu

    • @user-mc2xd4eu2p
      @user-mc2xd4eu2p 24 วันที่ผ่านมา

      @@user-dy4pw8ts9p wewe ndio umekurupuka ndacha ana mdahalo mzima kafanya na sule anasema yesu mungu leo unasema hajasema yesu mungu yaani jitafakarini na jifunzeni bila jazba maandiko

  • @user-mc2xd4eu2p
    @user-mc2xd4eu2p 28 วันที่ผ่านมา

    Nyie watu mungu hamna maelezo mpaka leo hii huyu ndacha ana miungu wawili lakini anaficha kuna kitu anakwepa huyu yesu anaesema sio mungu leo anamtetea huyo kusema ndio mungu 😅

  • @mozesdaniel7484
    @mozesdaniel7484 28 วันที่ผ่านมา

    Sasa ndacha mbona uko palepale hajaelewa Mwankema ameelezea vzr sana. Fundisho halina utofauti na unacho kisema hapo ulicho kuelewa ni tofauti na maelezo yakina.huo utatu haupo kwnye bibilia lakini kuielewa utajua jinsi inavyofanya kazi😅

  • @mwoso
    @mwoso 28 วันที่ผ่านมา

    Mwankemwa analinganisha mungu, mwana na roho mtakatifu na jinsi yai lilivyo.

  • @mwoso
    @mwoso 28 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa sana mwalimu ndacha.

  • @mwoso
    @mwoso 28 วันที่ผ่านมา

    Mimi nakubaliana na mwalimu Ndacha. Sioni haja ya kusumbuana na akili bure!

  • @mwoso
    @mwoso 28 วันที่ผ่านมา

    Bibilia inadhibitisha uungu wa mwana kwa baba yake. Lakini haijadhibitisha kwamba huyo mwana ndiye mungu baba. Wala huwezi kuwafanya kua nafsi moja. Kwa ufupi baba ni baba na mwana anabaki kuwa mwana.

  • @mwoso
    @mwoso 28 วันที่ผ่านมา

    Mwankemwa wacha kuchanganya watu akili! Mbona kuchezacheza na maandiko yalio dhahiri.? Baba amezungumzia mwana wake na mwana amezungumzia baba yake. Mbona mnateseka kuwafanya kua nafsi moja? Bibllia yenyewe haija taja utatu ila tu kwa akili ya binadamu pasipo andiko.

  • @abelmoturi52
    @abelmoturi52 28 วันที่ผ่านมา

    Hamna jina trinity ndani ya bibilia

    • @user-mc2xd4eu2p
      @user-mc2xd4eu2p 28 วันที่ผ่านมา

      Je jina Christianity lipo?

    • @andrewnjuguna688
      @andrewnjuguna688 11 วันที่ผ่านมา

      Can we get tawheed in quran?

    • @user-mc2xd4eu2p
      @user-mc2xd4eu2p 11 วันที่ผ่านมา

      @@andrewnjuguna688 quran surah 112

  • @MoiseMsh
    @MoiseMsh 28 วันที่ผ่านมา

    Ndacha acha kukwepa ukweli. Elewa vizuri maandiko. Mwakemwa akufundishe.

  • @bellingtonlyimo6467
    @bellingtonlyimo6467 28 วันที่ผ่านมา

    Ukweli upo palepale utatu ni fumbo la kiroho na Mungu peke yake ndie anaeweza kulifumbua fumbo hili. Ifahamike katika sifa nyingi za Mungu kwa mfano kutokuwa na mwanzo wa uwepo wake, kuwa na nguvu zote, kuwepo mahali pote, kufahamu yote, nk. na hili la kuwa katika nafsi zaidi ya moja na bado akabakia kuwa mmoja hii nayo pia kati ya sifa zake, na sifa zote hizi akili ya kibinadamu ni lazima ichanganyikiwe na ndio maana Mungu hajidhihirishi moja kwa moja kwetu. Pale maandiko matakatifu yanapokaa kimya tusitumie akili zetu kujadili huo ukimya siyo kila kitu Mungu anakiweka dhahiri kwetu. Kwa nafasi na uwezo alionao Mungu anaweza kuwa katika nafsi zaidi ya moja na akaendelea kubakia Mungu mmoja huo ni uwezo wake na katika hali hii imani ndio njia pekee ya kupokea ukweli huu. Fundisho la kweli la utatu mtakatifu halijawahi kufundisha uwepo wa miungu mitatu isipokuwa linafundisha Mungu mmoja anaejidhihirisha katika nafsi tatu.

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 28 วันที่ผ่านมา

    Hadi leo hii Mungu wa kweli hamjamjua waulizeni waislamu watawaambia Mungu wa kweli ni nani Mungu wa kweli ni yule aliyeumba kila kiumbe na ndiye aliyeumba mbingu na ardhi nayeye Mungu wa kweli hajazaliwa wala hajazaa na uwezi kumfananisha na kitu chochote kile huyo ndiye Mungu wa kweli wakristo hacheni kudanganyana

  • @jameskilasa759
    @jameskilasa759 28 วันที่ผ่านมา

    Jina la baba ni nani

  • @nassoroyahaya821
    @nassoroyahaya821 29 วันที่ผ่านมา

    Hapo ndipo Quran inpokuwa Master formular ya dunia kuwafundisha watu wote mbele ya wakati wote ya kuwa Quran 112:1-6 Sema yeye mwenezi Mungu ni mmoja tu ,anaekusudiwa kwa kila jambo na viumbe vyake,hakuzaa wala hakuzaliwa ,wala hana anaefanana naye hata mmoja

  • @nassoroyahaya821
    @nassoroyahaya821 29 วันที่ผ่านมา

    Upo vizuri shida hapo kwako ni Yesu naye kuwa sawa na Mungu wakati Mungu katika Isaya Mungu anauliza je nipo sawa na nani ?

    • @TestimonyTvshuhuda
      @TestimonyTvshuhuda 28 วันที่ผ่านมา

      Isaya ngapi mtu wa Mungu?

    • @user-dy4pw8ts9p
      @user-dy4pw8ts9p 24 วันที่ผ่านมา

      ​@@TestimonyTvshuhudaisaya 46:5

  • @AmuaTV-nt3kp
    @AmuaTV-nt3kp 29 วันที่ผ่านมา

    nahitaji kujifunza zaidi kuhu mada hii

  • @abasingaruka1872
    @abasingaruka1872 29 วันที่ผ่านมา

    Mwakemwa muelewe Ndacha, unayosema hayakatai wewe unabadilisha kutafuta u ishi

  • @husseinkiruta1712
    @husseinkiruta1712 29 วันที่ผ่านมา

    Mnachekesha Sana Mungu Ni mmoja tu na yesu syo Mungu katumwa tu

  • @clewis520
    @clewis520 29 วันที่ผ่านมา

    … Leo nimedhibitisha hakuna miungu mitatu bali miungu ni mikumi.

  • @JamesMoses-jd1yq
    @JamesMoses-jd1yq 29 วันที่ผ่านมา

    Siwezi mpinga ndacha maanake hana mpinzani