JE KUNA MUNGU WATATU?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 มิ.ย. 2024
  • Ni swali linaloulizwa na kujadiliwa na watu mbalimbali Duniani leo, Katika majadiliano haya kati ya Fransis Ndacha na Fabiani utaweza kuongeza kitu kipya katika ufahamu wako juu ya Nafsi tatu za Mungu yaani Mungu mmoja kujifunua katika nafsi tatu (TRINITY), Mungu Baba, Mwana wa Mungu na Mungu Roho. Pia utajifunza juu ya Mungu mmoja yaani BABA, kisha mwana wa Mungu na Roho wa Mungu.
    Karibu kwa Maswali na hoja zilizonamizizi ya neno la Mungu.

ความคิดเห็น • 81

  • @MusaMsaki-b8b
    @MusaMsaki-b8b 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakukubali sana mwalimu respct

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 15 วันที่ผ่านมา +5

    Unaelezea vyema ndacha

  • @user-dt5wp5qo4n
    @user-dt5wp5qo4n 14 วันที่ผ่านมา +1

    Elimu yako nzuri,umenifanya sasa ninaelewa bible vizuri

  • @DanielErnest-nn2zj
    @DanielErnest-nn2zj 14 วันที่ผ่านมา +1

    Asante kwa maelezo yako mazuri , baeikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @SuzanKonya
    @SuzanKonya 13 วันที่ผ่านมา +1

    MUNGU Awabariki kwa ujumbe na ufafanuzi makini.

  • @YoungAslam11
    @YoungAslam11 13 วันที่ผ่านมา +1

    Sawa mungu amemuita yesu mwanae. Wewe ndacha je mwanao anayomamlaka yako .na je mtu ukiwa mfalme je mwanao nae mfalme ataitwa mwanawa mfalme. Yesu sio mungu. Kutumia jina haimaanixh kuwa mungu .umejb vyema yesu sio mungu

  • @iddyhassan7666
    @iddyhassan7666 14 วันที่ผ่านมา +3

    Mwalimu upo Sawa kabisa

  • @stephensena7195
    @stephensena7195 9 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa Sana Mwalimu Ndacha

  • @shadyz9208
    @shadyz9208 7 วันที่ผ่านมา

    Sasa toa andiko pia linalosema Yesu ni Mungu kwa sababu ni mwana wa Mungu..

  • @kiarienjire5595
    @kiarienjire5595 13 วันที่ผ่านมา

    Yesu kazaliwa lini Kawa Mungu lini

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 13 วันที่ผ่านมา

    Yani hata kama huelew mandiko ndacha amefundisha vzuri sana barikiwa Sana mtumishi

  • @user-eu8jz4jl3u
    @user-eu8jz4jl3u 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mnakata kata sana mahojiano, mmevuruga wenyewe waandaaji, ila mchungaji anaeleza vzr mungempa mda awasomee maandiko

  • @EmmanuelMoses-pb1zh
    @EmmanuelMoses-pb1zh 14 วันที่ผ่านมา

    Mimi hii hoja ya utatu inanitatiza tu sehem moja pale kwa Roho Mtakatifu

  • @janejoseph561
    @janejoseph561 13 วันที่ผ่านมา

    Alisema pia mumuombapo baba yangu neno lolote kwa jina langu nae atawapatia

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 13 วันที่ผ่านมา

    Hoja za ndacha ziko Sawa kabisa

    • @YoungAslam11
      @YoungAslam11 13 วันที่ผ่านมา

      Hoja hanaa mada anayozungumzia inabedhi kuwa yesu n mwanawamungu

  • @adam-sr9jk
    @adam-sr9jk 13 วันที่ผ่านมา

    Hueleweki juu mara unasema utatu hauukubali na yesu unamwita mungu,sasa ukweli upi unachanganya,

  • @user-fu3cg3gv9g
    @user-fu3cg3gv9g 9 วันที่ผ่านมา

    Ndacha kanisa lako wapi baba staki kuburuzwa huku mimi

  • @donaldmwahalende4841
    @donaldmwahalende4841 13 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 14 วันที่ผ่านมา

    Ndacha wew ni kiboko

  • @YoungAslam11
    @YoungAslam11 13 วันที่ผ่านมา

    Yesu sio mungu mwenyewe unajikanyaga umetoa andko umesema uzima wa milele ni huu then ukasema kumjua mungu wa kwel na yesu uliemtuma. Sasa kama yesu ndomungu vipi ajitume mwenyewe

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 8 วันที่ผ่านมา

    MUNGU ni mmoja TU. Nukta.Mwalimu ninakuelewa Sanaa Tena ninakuheshimu SANA.Hauna ubabaishaji Wewe ni MTU unayefundisha Kweli ya MUNGU wa Kweli haufundishi mapokeo.

  • @user-qo2xd3hb8l
    @user-qo2xd3hb8l 13 วันที่ผ่านมา

    Je waebrania ni injili ya yesu?

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 14 วันที่ผ่านมา

    ✌️🙏

  • @user-dw5hs9if6n
    @user-dw5hs9if6n 11 วันที่ผ่านมา

    Mie huyo mungu mwingine simuhitaji aisee alishindwa kujitoa kuja kufa kwa aajili yangu mpaka Yesu ndo akajitoa kwa ajiili yangu.Yesu ndo Mungu wangu mmoja ambaye aliumba kilakitu

    • @opujejoshmahjoshmah1432
      @opujejoshmahjoshmah1432 10 วันที่ผ่านมา

      Upungufu wa Uwelewa Upendo aliyo kuwa nayo Baba kwetu ndio akamtoa mwanae kutufia hata huna haya unless wewe ,ni mwislaam wezi elewa Jhn3:16

    • @user-dw5hs9if6n
      @user-dw5hs9if6n 10 วันที่ผ่านมา

      @@opujejoshmahjoshmah1432 hakuna kitu kama hiko,mie nachojua Yesu anaitwa mwana kwasababu TU alizaliwa ila ni Mungu mwenyewe alifanyika mwili akaja kukaa kwetu

  • @benardsonga6597
    @benardsonga6597 14 วันที่ผ่านมา +2

    ndugu Ndacha hili somo la utatu linakutatiza sana.

    • @user-zp5oo9gf1r
      @user-zp5oo9gf1r 14 วันที่ผ่านมา

      Wewe ndo linakutatiza,,,hiyo ni doctrine,,
      Soma 1corintian 8:6

    • @user-tz8zu2gt6u
      @user-tz8zu2gt6u 14 วันที่ผ่านมา

      pia NAMI simuelewi kaka

    • @user-tz8zu2gt6u
      @user-tz8zu2gt6u 14 วันที่ผ่านมา

      Tunaona anaongozwa na roho wamungu alipokuwa katika majaribu hapo Hilo somo limekupika Jenga kubwa sana

    • @user-tz8zu2gt6u
      @user-tz8zu2gt6u 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-zp5oo9gf1rKwa Hilo linamtatiza sana

    • @user-dt5wp5qo4n
      @user-dt5wp5qo4n 14 วันที่ผ่านมา

      Unaeza toa aya ambayo inaashiria utatu wa mungu,haiko na haitawahi patikana toka mpaka mwisho haimo

  • @alonmusse4729
    @alonmusse4729 10 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna miungu mitatu.bali Kuna Mungu mmoja katika nafsi tatu

    • @Ufahamu-01
      @Ufahamu-01 7 วันที่ผ่านมา

      Unakwama ndugu yangu fanya tafiti makini zaidi..

    • @user-cs5dh3qx1u
      @user-cs5dh3qx1u วันที่ผ่านมา

      kumwelewa Mungu kuko nje ya ufahamu wetu ni machache yememfunua yeye katika Neno lake hivyo utatu bado ni siri kubwa

  • @YoungAslam11
    @YoungAslam11 13 วันที่ผ่านมา +1

    Saut imetoka mawingun na sio mbinguni .na je hyo sauti ilikuwa ya nan?

  • @annanjoki6826
    @annanjoki6826 12 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu alipo kufa pale msalaba ni mamlaka yote alipewa na Baba yake na jina lake kikapewa nguvu kwa kina lake tutoa pepo kwa jina lake tutaponya wagonjwa na kwa kina lake tutafanya miujiza na maajabu lakini atakapo rudi kutuchukua kutupeleka kwa Baba yake ndipo atakapo regesha mamlaka yote kwa Baba yake ndipo akamwambia Baba kazi ulio nyuma nimemaliza hawa ndio nilio wapata duniani lakini kwa sasa tunamuita Mungu hata yeye mwenyewe anasema ukiniona mimi umemuona Baba yangu kwasababu mimi na Baba yangu ni kitu kimoja

  • @SylvesterMakenzie
    @SylvesterMakenzie 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Natuwaumbe watu kwa mfano wetu hebu ndacha niweke vizur hapo hao wanaomuumba mtu kwa mfano wao ni akina nani katika kitabu cha mwanzo

  • @pastoralexanderofficial6023
    @pastoralexanderofficial6023 14 วันที่ผ่านมา

    Ninacho hoona mungu nimmoja watu nimajina wamemjumuisha ilamungu nimmoja majina ndio walitaka kutumia kwajili wautukufu waliotaka kumuita basi

  • @user-zp5oo9gf1r
    @user-zp5oo9gf1r 14 วันที่ผ่านมา +1

    Kumwelewa ndacha hd uiache biblia iongee

  • @annanjoki6826
    @annanjoki6826 12 วันที่ผ่านมา

    Neno la Mungu ni Mungu mwenyewe tena neno la Mungu ni Biblia na hiyo Biblia kwa wasio amini ni ujinga lakini kwa hao wanao kuamini ni hekima na akili za Mungu kwa hivyo hili Biblia kama huna roho mtakatifu imefungwa utaisoma tu kama kitabu cha historia ya Yesu na haitakufanyia kazi

  • @user-bh5cu2jy6c
    @user-bh5cu2jy6c 13 วันที่ผ่านมา

    Kwenye miti Kuna jinsia mbili ya kike na kiume

  • @GunduaTV-et4nb
    @GunduaTV-et4nb 13 วันที่ผ่านมา

    Dacha ukae na mtagazaji huyo visuri ndiyo ameweka amejua kuweka maneno msuri na kiswahili yake ni mnono

  • @musamagulu2023
    @musamagulu2023 7 วันที่ผ่านมา

    Okay sawa,na Yesu aliposema sitawaacha ninyi yatima nitawaletea msaidizi Roho Mtakatifu.
    Je huyo Roho ni nani na yupi?

    • @user-yz5uj3jd5y
      @user-yz5uj3jd5y 2 วันที่ผ่านมา

      MTUME MUHAMMAD

    • @user-cs5dh3qx1u
      @user-cs5dh3qx1u วันที่ผ่านมา

      ​@@user-yz5uj3jd5y Roho wa Mungu ni nafsi iishiyo ndani yetu sio huyo ndugu

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 12 วันที่ผ่านมา

    Ndugu zanguni wakirusto kaeni chini mtafakari hii dini ya mchongo mnapoyea jamani bibilia haitambuliki kabisa ni maandiko ya wanaadamu kwa matamanio yao ya dunia sikilizeni maelezo mnaambiwa yupo mungu mmoja amabe pia ni mungu wa yesu jamani someni quran mjie ukweli

  • @patrickwasesa4495
    @patrickwasesa4495 14 วันที่ผ่านมา

    mimi nilikua namtegemea ndacha kuamtetezi mzuri waumungu wayesu-kristo kumbe sivyo! imani yandacha njo ileyakiislamu

    • @Ayyub_Semtawa
      @Ayyub_Semtawa 14 วันที่ผ่านมา +2

      Jaribu kumsikiliza tena ukiwa na "fikra huru" na sio kimapokeo uliambiwa na viongozi wako wa dini...,utamuelewa

    • @user-zp5oo9gf1r
      @user-zp5oo9gf1r 14 วันที่ผ่านมา

      Umemjibu vzurii huyu mjolii,,,ili umwelewe ndacha inabidi utoee fikra ulizokuwa nazo za dini yako

    • @japhetndoro6533
      @japhetndoro6533 13 วันที่ผ่านมา

      Ndacha akosawa niww huelewi

    • @willymwaipaja6783
      @willymwaipaja6783 4 วันที่ผ่านมา

      Mie naona hujamuelewa tu Ndacha. Hebu pata hiii th-cam.com/video/vWcebEvrDss/w-d-xo.html

  • @pastoralexanderofficial6023
    @pastoralexanderofficial6023 14 วันที่ผ่านมา

    Mi kwangu akuna kinachonzunguka akuna

    • @opujejoshmahjoshmah1432
      @opujejoshmahjoshmah1432 10 วันที่ผ่านมา

      Ukiwa wewe ni mkristo au pstr kula kibano Isiah56:10-11

  • @williams979
    @williams979 13 วันที่ผ่านมา

    Amri inasema "Usiwe na miungu mingine ila mimi," Kutoka 20:3. Sasa je, utajuaje kuwa Mungu wako ndiye sahihi? Jibu ni Yohana 8:54. Katika Aya hii Yesu aliwaambia Wayahudi kuwa wanenaye wao kuwa ni Mungu wao, huyo ni Baba yake, yaani ni aitwaye Baba (soma pia Yohana 3:16; Waefeso 4:6). Hapa Wayahudi hawakujua kuwa Mungu wao waliyeelekezwa, kupitia Musa, katika Kutoka 20:2-3 ana Mwana, Yesu ndiye aliyewafahamisha. Baba ndiye Mungu wa pekee wa kweli (Yohana 17:1,3; 1 Wakorintho 8:6). Hata hivyo, kinyume na Mungu wa Wayahudi aliyeelezwa na Yesu, wanautatu hunena kuwa Mungu wao mmoja ni Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu, umoja wa nafsi tatu za milele. Je, Mungu watatu (Mungu Baba, Mungu Mwana, Mungu Roho Mtakatifu) wanawezaje kuwa mmoja! Umoja unawezaje kuwa Mungu!

  • @user-ry9gi9rx6y
    @user-ry9gi9rx6y 13 วันที่ผ่านมา

    Kama Nyoka huza Nyoka basi yesu naye mungu.hivo msikwepeshikwepeshi mmebaki na waungu wawili mwana na babake kama mnavo Dai. Ivi mkisema mungu ni mmoja na yesu ni mjumbe wake shida iko wapi?

    • @YoungAslam11
      @YoungAslam11 13 วันที่ผ่านมา

      Swali je mtoto wa rais ni rais? Ujaona mbuz anazaa mbwaa

  • @fredkamau
    @fredkamau 13 วันที่ผ่านมา

    the transition is totally different
    1 John 5:7-8
    New International Version
    7 For there are three that testify: 8 the[a] Spirit, the water and the blood; and the three are in agreement.
    King James Version (1611)
    7For there are three that bear record in heaven, the Father, the Word, and the Holy Ghost: and these three are one. 8And there are three that bear witness in earth, the Spirit, and the water, and the blood: and these three agree in one. (1 John 7-8 KJV)

    • @fredkamau
      @fredkamau 13 วันที่ผ่านมา

      1 Yohana 5:7-8
      Neno: Bibilia Takatifu
      7 Wapo mashahidi watatu: 8 Roho, maji na damu; na hawa watatu wanakubaliana.

  • @pastoralexanderofficial6023
    @pastoralexanderofficial6023 14 วันที่ผ่านมา

    Yesu alitumwa kama mtume na anajielenza mwenyewe kua nimwana wa andamu alietumwa nayesu sijui kwanini mnakosa kumuelewa

    • @DrUno-kp8go
      @DrUno-kp8go 14 วันที่ผ่านมา

      Hujui chochote kuhusu biblia kma yesu n mwana wacadamu kwann zaburi 110:1 daudi anamuita bwana?

    • @user-dw5hs9if6n
      @user-dw5hs9if6n 11 วันที่ผ่านมา

      Pastor hao kondoo zako unawambia kuwa Yesu ni mtume tu😢

  • @user-tz8zu2gt6u
    @user-tz8zu2gt6u 14 วันที่ผ่านมา

    Mr ndacha nikutokuelewa hapo mbona tunasema wako katika utatu

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 14 วันที่ผ่านมา

    Mzee wa upako anasema yesu sio Mungu ni binadamu mtume kama alivyo kua akina Paulo vipi ww yesu ni mtu kama akina Paulo?

    • @opujejoshmahjoshmah1432
      @opujejoshmahjoshmah1432 10 วันที่ผ่านมา

      Anamuunga mkono kwa kukataa Utatu sio katika kukataa Yesu ni Mungu kwa kuwa ni mwana Wa Mungu

  • @BaruMasimango-zo2se
    @BaruMasimango-zo2se 14 วันที่ผ่านมา

    Ndacha we ni muongo saana
    Utakufa kafiri

    • @user-dt5wp5qo4n
      @user-dt5wp5qo4n 14 วันที่ผ่านมา

      Ww ndio muongo juu majini ndugu zenu walisilimu mtu yeyote ambae amesilimu ni ndugu na jini,ww utakufa tu na ukafiri wako wa Islam na majini

    • @user-dt5wp5qo4n
      @user-dt5wp5qo4n 14 วันที่ผ่านมา

      Utachomwa fanya uokoe nafsi yako mapema

    • @BarakaZabron-py2fz
      @BarakaZabron-py2fz 13 วันที่ผ่านมา

      Na moyon mwako unaamini kabisa unamtete Mungu kumbe sio

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 14 วันที่ผ่านมา +1

    Lakini kama Yesu anatumia jina baba ake basi Mungu baba ni Yesu maana jina la Yesu ni la Mungu baba according to your explanation

    • @whajavfsb5154
      @whajavfsb5154 14 วันที่ผ่านมา +2

      Wewe unatumia jina la baba yako ...je umekua baba yako?😅

    • @user-zp5oo9gf1r
      @user-zp5oo9gf1r 14 วันที่ผ่านมา

      Umemjibu vzuriii😂😂

    • @user-dw5hs9if6n
      @user-dw5hs9if6n 11 วันที่ผ่านมา

      Wewe ndo umeelewa.Mungu jina lake ni Yesu

  • @pastoralexanderofficial6023
    @pastoralexanderofficial6023 14 วันที่ผ่านมา

    Ninacho hoona mungu nimmoja watu nimajina wamemjumuisha ilamungu nimmoja majina ndio walitaka kutumia kwajili wautukufu waliotaka kumuita basi