MashaAllah, MashaAllah, leo na juzi mwanafunzi wa Team, ame pewa na fasi yakuwa Somea Ma Ustad, Vitabu zinazo taki kana! Mazoezi Mazuri sana yakuwa DAEE in Future! Well done team. MashaAllah, watu wana endelea ku OKOWA Nafsi yao. Karibu ISLAM, Bro Ali! Ai watu wa Kiambu wana Hamu yaku pata mafundisho Top Class from hii Team! Very intelligent control from Ustad SALIM and Team. Na Kijana aki anzia na kusema "Audu billahi mina Shetani rajeem", ONCE, basi mimi nafikiri, hana haja kui repeat the next time aki endelea, au aki CONTINUE kama msaomaji mpaka mwisho! Akishai soma Once, basi tosha. My ordinary opinion. TabarakAllah Team
@@salimdaawah123 Masha'Allah, idea nzuri sana ku anza ku Train vijana wetu! Hapo ndipo wata toka Future DAIES! Hii Training Programme pelekeni mbele sasa, Insha'Allah. Well done Team.
Haki vile napenda daawah, siwezi lala sija sikiza nikikosa new post narudia ya kitambo, Allah awafanyie wepesi wakufundisha kila wakati inshaAllah, tunafaa kushare kwa wingi haya mafundisho pia yafikie wengi zaidi Jazzakallahu-Kheir
Alhamdullilah kua muislam kua mkristo ni mtihani mkubwa kutamka kwa kinywa yesu ni muislam halaf niwe mkristo ni mtihani mkubwa Tumshuru mungu kutu epusha na mtihani wa ukristo alhamdullilah alhamdullilah
Naam Shekh wangu jambo ambalo tunahitaji tudumu nalo ni ibada ya salaa maana ndio mtihani kwa Waislamu Wengi nyakati hizi Tupo katika haaki lakini hatumuabudu aliyetuumba Mtihani kweli kweli
Hiyo ni dini ya kupenda muziki tu na kuimba vitu hata havieleweki mbele mbele nyuma nyuma na nyimbo mpya inasema Yesu ninyandue Yesu ninyandue unitie mimba ya imani
Gurale sio matusi kwanza, it means "none cushitic" na ni neno ya kiborana. Pia hakuna mtu anadhulumu gurale in Mandera or Garissa, that's a lie, tayari wako wengi huko na we live in peace and harmony
MashaAllah kakangu uliye silimu karibu sana katika dini ya mwezi Mungu haki
Masha Allah
Asalamu aleykum. Huyu msomaji mdogo ni poa sana. Mungu awape nyinyi wote na sisi janaatul firdaus
Amine bado haja komaa sauti yakutetemeka sio mungu awape kila lakher
Amiin sisi wote
Amyn kwa sote inshallah
Swadakta.
Ameen sote.
MashaAllah, MashaAllah, leo na juzi mwanafunzi wa Team, ame pewa na fasi yakuwa Somea Ma Ustad, Vitabu zinazo taki kana!
Mazoezi Mazuri sana yakuwa DAEE in Future!
Well done team.
MashaAllah, watu wana endelea ku OKOWA Nafsi yao.
Karibu ISLAM, Bro Ali!
Ai watu wa Kiambu wana Hamu yaku pata mafundisho Top Class from hii Team!
Very intelligent control from Ustad SALIM and Team.
Na Kijana aki anzia na kusema "Audu billahi mina Shetani rajeem", ONCE, basi mimi nafikiri, hana haja kui repeat the next time aki endelea, au aki CONTINUE kama msaomaji mpaka mwisho!
Akishai soma Once, basi tosha. My ordinary opinion.
TabarakAllah Team
Huyu atakuwa mwalimu mzuri sana inn shaa Allah hapa kiambu county wanahamu sana kujua uisilamu
@@salimdaawah123
Masha'Allah, idea nzuri sana ku anza ku Train vijana wetu!
Hapo ndipo wata toka Future DAIES!
Hii Training Programme pelekeni mbele sasa, Insha'Allah.
Well done Team.
Alhamdulillah imefika, huwa siendi kulala mpaka niangalie dawah 🤲🏾
Tunakupenda kwa ajili ya Allah
HatamieNdyo.rahazangu
Huyo.kachanganya.nimakanisayao.ndyo.yanaUbaguzi.syo.waislam.Sema.BISM..MAsha.Allah.shekh.wetu.Salm.Allah.Awaifadh
Mashallah Mungu awazidishie Barka Nyingi Masheikh wetu
Aameen ameen ameen
Assalamualaikum maustadh kanzi nzuri naona kijana amepiga luku kali sana
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh hahaaaaaaa
Haki vile napenda daawah, siwezi lala sija sikiza nikikosa new post narudia ya kitambo, Allah awafanyie wepesi wakufundisha kila wakati inshaAllah, tunafaa kushare kwa wingi haya mafundisho pia yafikie wengi zaidi
Jazzakallahu-Kheir
Masha Allah yeah watu wa share kwa wingi inn shaa Allah
MashaAlla.hatamiendye..ugonjwa.wangu.napenda.napendampaka.napenda.tena.nahisi.kunenepaHaswaa.na.raha.yauislam.mashaAlla.Allah.awalipe.malipo.mema.mashehe.wetu..naummat.Muhammad.Swalallahu.alyh.wasam.tujaaliwe.yarabi.tufe.mwisho.mwema
Mashallah tabarkala...Allah awazidishie kanxi mzuri
Aameen ameen ameen sote
Mashallah.
Mungu akuzidishieni ilmu inofaa na rizki ya halali kubwa
Aameen ameen ameen sote
Asallam allay kum nipo nyanza lac prov. Makamba burundi nawapongeza kwajuhudi zenu simpati sheikh yahya issa aliacha daawa na gerishon nawapenda
Yahya Issa, Sh Suleyman Mazinge wa Kenya na Ustad AlBashir siwaoni pia siku hizi.
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh wako wote
Ninashkur sana bado naendelea kuwafatilia...Allah awatie nguvu Inshallah
Masha Allah
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu... mazbut hapo ndani ya Githurai. Allah awahifadhi nyote
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen ameen sote
Allah'hu Akbar Allah'hu Akbar ❤❤❤🎉🎉🎉.
Watatu wa mwanzo na mm nimo 🎉🎉🎉
Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
Alhamdulillah nitajikaza mpaka kieleweke In Shaa Allah
Masha Allah kindogo kindogo tu
Kabisa@@salimdaawah123
مشأ الله تبارك الله
Ya Allah tujalie mwishomwem amin
Aameen ameen ameen
Ma sha Allah tabaraka Rahman
Musomaj wa Quoan nimemukubaliii Allah amubaliikii tufanyiy wepex kwaxhugulizet mbali mbalii atujalie mwisho mwem
aameen ameen ameen
Aaminayaarab
Walykm.msalam.warahatuh.wabarakatuh.mashehe.wetu.Allah.awalipe..janna.lnshaAllah..Masha.Allah.shekh.Salm.napenda.unavyo.semaga..SIKILIZA.HABARI🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿
😂🤣😂
Mashallah ❤❤❤
Mungu Awalipe kheri
Aameen ameen ameen sote
Mashallah Allah awazidishie kila kheir
Aameen ameen ameen
Mashaalla
Karbu ndugu uliesilim.Allah akuogoze ukifa muislam kamili
Aameen ameen ameen
MashaAllah.kaka.Kaslim.Allaha.amlrinde.ampe.mwisho.mwema
Wakristo.wamesimamaHapo.maskin.wanatiauruma.nyuso.zao.hawanatumain.naDini.yao.
asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatuh shehe wetu daawah pia mwafaa kufukisha huku Kagwe Na githunguri Inshallah Kwanza Kagwe hata Hanna msikiti😢
Inn shaa Allah tutapanga
Yaani bwana mdogo yuko vizuri katika kusoma mpaka raha jazaka llah kheri❤
Ndio tunaandaa walimu wa kesho hivyo inn shaa Allah
MashaAllah yupo.vizuri.ssaana
yani hii daawa tamu sana❤❤❤❤
Alhamdullilah kua muislam kua mkristo ni mtihani mkubwa kutamka kwa kinywa yesu ni muislam halaf niwe mkristo ni mtihani mkubwa
Tumshuru mungu kutu epusha na mtihani wa ukristo alhamdullilah alhamdullilah
Naam Shekh wangu jambo ambalo tunahitaji tudumu nalo ni ibada ya salaa maana ndio mtihani kwa Waislamu Wengi nyakati hizi
Tupo katika haaki lakini hatumuabudu aliyetuumba Mtihani kweli kweli
Amin mwalimu
Eeee wa mwanzo leo alhamdulillah
😂 umeniwahi ilikua inaganda network
Ma sha Allah
Tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
tz
SikilizaHabariii 🤣🤣🤣🤣🤣
MASHALLAH
Wote hao wanao sema hawana dini otawaona wakitetea ukristo
Wanajificha wakona wasiwasi na io dini😂😂
@@YusufOsman-ej3ic🤣🤣ukisto.niaibu.miezaman.Nilijuwa.ukisto.ni.Uchafu.semasasa.kimeongezeka.ukriso.niaAibu🤣🤣🤣🤣🤣
Asalamu aleykum akhi Islam . Ume sahau ku onyesha. Kuwa islamu ku segenya vile umbaya
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Mafundisho mazuri na yenye utaratibu wa kitabu yani mawaidha ya Koran mwenyezi Mungu amulide Allahamdhullah
Aameen ameen ameen sote
Muislam haendi jihad mpaka kuwe na zulma ilofanyika najihadi ipo nikulipiza ufisadi.
Ukweli kabisa
eeebaba korna,korna baba korna😂😂😂 kutoka zanzibar tunawapata vizuli
Hahaaaaaaa 🤣😂😂😂
Hiyo ni dini ya kupenda muziki tu na kuimba vitu hata havieleweki mbele mbele nyuma nyuma na nyimbo mpya inasema Yesu ninyandue Yesu ninyandue unitie mimba ya imani
😂😂😂 nimtiyani kabisa
😅😅😅😅😅😅😅😅😅Aaaah Wacha!!!!
Yasema hivyo kweli😮?
Wenyewe.utasikia.Haluluyaaa.Ammeen..unajiuliza.ninini.kimewafurahisha...Ataujinga.wao.ameen
Sheikh Salim , unaelewa nini Kumbukumbu 24:16 ?
Iko sawa ila wakristo kuelewa ndio shinda
Wanaume hawaruhusiwi kuvaa mapambo ya wanawake mf bangili cheni hereni nk ktk uislamu sijui dini nyengine
Kabisa
Ukristo sio dini ndo maana wakona wasiwasi
Kabisa wataelewa tu
Gurale sio matusi kwanza, it means "none cushitic" na ni neno ya kiborana. Pia hakuna mtu anadhulumu gurale in Mandera or Garissa, that's a lie, tayari wako wengi huko na we live in peace and harmony
Masha Allah kwa urekebisho huo
Natamani niwe kama nyie walimu Allah sw anijarie anifanyie wepesi
Uwe zaidi yetu inn shaa Allah