USIYOYAJUA JUU YA MELI KUBWA YA MBOLEA ILIYOTIA NANGA BANDARI YA TANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2023

ความคิดเห็น • 10

  • @musamusa6213
    @musamusa6213 7 หลายเดือนก่อน

    Hiyo gatha au hiyo bandari bila magufuli msinge sifu leo sifa kwake magufuri!!na hongera mama kwa mwendelezo.

  • @saidyenzi7813
    @saidyenzi7813 7 หลายเดือนก่อน

    Elimu itolewe kwa watanzania Co wengi hawajui kuhusu mbolea za mgodi so hamujui copper inahitaji nin ili iwe copper tumefanya kazi kwa pamoja kushusha mzigo Simba logistic p1 na Simba terminal Simba bigwa ✊

  • @Zenny89
    @Zenny89 7 หลายเดือนก่อน

    Ammonium Nitrate??🤔🤔 Hawa jamaa wanalipua nini..eti mbolea ya migodi🤣🤣

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 7 หลายเดือนก่อน

    Sema salfa mborea inauaga watu

    • @ImaniImani972
      @ImaniImani972 7 หลายเดือนก่อน

      sulphur na amoniam ni tofaut

  • @nickylyanga2139
    @nickylyanga2139 7 หลายเดือนก่อน

    Mbolea ..migod ..kama sielewi ivi

    • @saidyenzi7813
      @saidyenzi7813 7 หลายเดือนก่อน +1

      Copper inahitaji chokaa,sulfa, ammonium, Magazineum nk ili iweze kuwa copper

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 7 หลายเดือนก่อน

    Mborea hutumika kwenye migodi Tena?

    • @ImaniImani972
      @ImaniImani972 7 หลายเดือนก่อน

      hii kwa zambia inatumika kama mbolea kweny mahind na pia congo inatumika kweny migod kwa kulipulia miamba hvy ina kazi nying tofaut tofaut

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanini hawezi ku ongea bila ku mshukuru raisi kila saa tuko north Korea hayo ni maendelo sifa kila saa ume skia mtu kenya ana shukuru ruto awe mu Amerika ana shukuru Biden to ache ushamba wa tz aibu!!!