BOTI MPYA YAKISASA YAWASILI TANGA - SAFARI TANGA,PEMBA NA UNGUJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Mkuu wa Mkoa wa Tanga Waziri Kindamba amepokea Boti ya kisasa ya Mwendokasi kutoka Kampuni ya Zan Fast Ferries kwa ajili ya Usafirishaji wa abiria itakuyokuwa ikifanya safari kutoka Tanga kuelekea Unguja na Pemba ikiwa ni mara ya kwanza katika Historia ya mkoa huo kupokea Boti aina hiyo.
    Waziri Kindamba amepokea Boti hiyo katika Bandari ya Tanga mara baada ya kuwasili kutokea Visiwani Zanzibar ambapo amesema kuwasili kwa boti hiyo ya kisasa ni kutokana na mazingira rafiki ya uwekezaji wa biashara ambayo yanafanywa na kusimamiwa na serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe Dkt.Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt Hussein Mwinyi.
    Amesema boti hiyo itakuwa ikifanya safari zake za kutoka Tanga kwenda Pemba na Pemba kwenda Unguja kwa siku za Jumamosi,jumatatu, na jumatano
    Aidha Kindamba Amesema uwekezaji uliofanywa na Kampuni hiyo si chini ya Dollar Milioni 10 hadi 15, ambapo ameipongeza kampuni ya Zan Fast Ferries kwa uwekezaji huo katika Sekta ya Usafirishaji mkoani Tanga ambapo amewahakikishia Ulinzi na Usalama wa uwekezaji huo

ความคิดเห็น • 28

  • @Sidik-d7e
    @Sidik-d7e 10 หลายเดือนก่อน

    MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ I AM PROUD OF PEOPLE OF ZANZIBAR AND TZ. PEMBA. AND TANGA .REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM UK 🇬🇧 LONDON. I AM LIVING IN UK 🇬🇧 LONDON BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA MOMBASA

  • @SwalehHafidh-on1kv
    @SwalehHafidh-on1kv 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman pia meli ya mizigo

  • @MasudiSuleman-ui5wh
    @MasudiSuleman-ui5wh 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kila la kher mungu aibariki meli yetu hii ndo gar yet inshallah

  • @Mauya23
    @Mauya23 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mkuu wa mkoa naweka rekodi sawa, boti hii sio ya kwanza kuliwahi kuwepo boti inaitwa M.V SEPIDEH alitoka Znz-Pemba-Tanga-Mombasa

    • @jamesngalahinzano3464
      @jamesngalahinzano3464 11 หลายเดือนก่อน +4

      Kweli kabisa kaka, wakati huo huyu mkuu wa mkoa alikua baado anasoma shule ya msingi.

    • @issanassor6795
      @issanassor6795 11 หลายเดือนก่อน

      Nd lkn haikuw n speed km hh

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 11 หลายเดือนก่อน

      Ngoja nikupe ratiba ya juzi ilivo fanya kazi

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 11 หลายเดือนก่อน

      Juzi ilitoka pemba 11:30 nakwenda unguja ikafika 1:30 na ikaondoka unguja 3:45 na kufika pemba 11:45 na kwenda tanga 7:00 na kwenda tanga imefika 8:10 na kuondoka tanga 9 imefika pemba 10 :10 na imeondoka pemba 11 kwenda unguja sepide haikifanya ivo😅😅😅

  • @hmedoggftherljih199
    @hmedoggftherljih199 11 หลายเดือนก่อน

    MegaSpeedLine MS

  • @saidsaleh-oo1iw
    @saidsaleh-oo1iw 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ya kwanza ilikuwa sepide ilikuwa inatoka dar,znz,pemba,msa

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hii ni private sector sio mali ya serikali.

  • @samirsaid2087
    @samirsaid2087 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mheshimiwa ww naona ni mgeni kulikuwa na speed boat inaitwa sepide hyo ilikuwa ni hatar

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 11 หลายเดือนก่อน

      Sepide ilikuwa inatembea knot 27 hio zanzibar 3 inatembe knot40 sasa utajuwa wewe hapo

  • @mohdkhamis5687
    @mohdkhamis5687 11 หลายเดือนก่อน

    Mm naomba tu upande wa Nauli Ufanyiwe Marekebisho Nauĺi Ipo Juu SIO Utani

  • @SuhailaSamir-zs2ze
    @SuhailaSamir-zs2ze 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni one hour na nusu so ni historia

  • @Filamumaridhawa
    @Filamumaridhawa 11 หลายเดือนก่อน +2

    Walitunze na vyoo wajitahid viwe usafi

  • @hassanmassud7198
    @hassanmassud7198 11 หลายเดือนก่อน

    Ni boti ya pili yamwanzo ilikua sepidee lakini baadae kidogo nnaomba iwepo na nyengine boti ya 3

  • @drabdi6806
    @drabdi6806 11 หลายเดือนก่อน +1

    Aliyeskia muhindi akisema janjiba nani

  • @SuhailaSamir-zs2ze
    @SuhailaSamir-zs2ze 11 หลายเดือนก่อน +1

    But haikuwa speed boat ni boat ya kawaida

  • @rashidnassor5608
    @rashidnassor5608 11 หลายเดือนก่อน

    Sio kweli ulikua wapi wakati MM SEPIDE inakuja tanga?

  • @hbtv4169
    @hbtv4169 11 หลายเดือนก่อน

    Yaani watu hawana jema pemba walikuwa wanalalamika kuwa hakuna usafiri leo waneletewa boti ya haraka wanalalamika nauli

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 11 หลายเดือนก่อน

      Yaani umesema, sisi twataka vitu vizuri lakini kuvigharamia ndio Mtihani.

  • @salma0000
    @salma0000 11 หลายเดือนก่อน

    Mkikosa abiria mtajua sababu kwa nn boti nyengine zimeacha safari za Tanga, shoot me kwa kusema hivyo.

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 11 หลายเดือนก่อน

    Mbona incline ni kubwa kiasi watu wanashindwa kupanda na kuteremka? Sasa Tanga na Janjibar si itakuwa kazi 🤣

  • @thabitiseapower4499
    @thabitiseapower4499 11 หลายเดือนก่อน

    Mnaiba mnawapa makabachori wajifanye zakwao kenge nyinyi atuwataki waindi mufrisi

  • @mohdkhamis5687
    @mohdkhamis5687 11 หลายเดือนก่อน

    Mm naomba tu upande wa Nauli Ufanyiwe Marekebisho Nauĺi Ipo Juu SIO Utani