MABORESHO YALETA MAFANIKIO BANDARI TANGA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 มิ.ย. 2024
  • Meneja wa Bandari ya Tanga Masud Mrisha ameeleza kuwa maboresho yaliyofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan yameleta mageuzi makubwa yaliyo ghalimu fedha sh bilion 429.1 na sasa bandari inapokea mizigo ya Aina mbalimbali ikiwema Salfa nk.
    Hayo yamesemwa na Meneja wa Bandari ya Tanga Masud Mrisha katika maonyesho ya 11 ya biashara na utalii yanayofanyika kata ya Usagara Jiji la Tanga na mkoa wa Tanga.

ความคิดเห็น •