MV Tanga yarejea kutoa huduma kwa wananchi wa Pangani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2022
  • Baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa kwa kivuko cha MV Tanga kwa sasa wakala wa ufundi na umeme Tanzania TEMESA imekirejesha tena kwa wananchi ili kiendelee kutoa huduma .
    Awali wananchi wa Pangani walikuwa wakipata adha kutokana na kivuko hicho kuharibika mara kwa mara na kuleta usumbufu kwa wananchi kuvuka kwenda ng'ambo ya pili.

ความคิดเห็น •