Saruji yaadimika Kiwanda cha Tanga, madereva wafunguka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Madereva wa malori kutoka maeneo mbalimbali nchini, wamekwama kupakia saruji kwenye kiwanda cha Tanga Cement kwa kile kilichodaiwa kwamba kiwanda hicho kimepunguza uzalishaji ambapo baadhi yao wameisotea saruji hiyo kwa takribani wiki mbilli.

ความคิดเห็น • 3