#TAZAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 มี.ค. 2023
  • Bandari ya Tanga Kwa mara ya kwanza imepokea meli yenye urefu wa meta 179 iliyokuwa imebeba mzigo wa magari pamoja na shehena na nyingine za mizigo zaidi ya Tani 9488.8 kutoka nchini China.
    Akiongea wakati wa upokeaji wa shehena hiyo ya mzigo Mkuu wa mkoa wa Tanga Waziri Kindamba aliwataka wafanyabiashara kuitumia bandari ya Tanga Kwa ajili ya uhakika wa usafirishaji wa mizigo yao.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: habarileo_tz?ig...
    SpotiLeo: spotileo?igshid...
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 2

  • @luganomwaipaja-bj6qz
    @luganomwaipaja-bj6qz ปีที่แล้ว

    Mpaka hapa Tanga siyo hii tunayiona tayari imekwenda mbele

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว

    Tunahitaji barabara ya Pangani mpka Dar Tanga ikamilike pia tunaomba wawekezaji waonyeshwe maeneo ya Tanga