Mwenyeketi wewe ni big up usiofu chochote wewe ni kiongozi wetu tuko nyuma yako kwa asilimia mia moja mijitu imeka kwenye ic inazunguka na vitu vya kuzunguka theni yanasubiri mitozo ili ijichulie inafikiri itaishi milele inakosa ata hofu ya mungu ata sijuhi kwa nini mungu asiishukie hiyo migugu iliyoka kama ndezi hapo Dodoma inasubutu kukuambia una hamazisha mgomo mbona Mimi nimefunga biashara alafu ilo lijitu lillo kuambia una amazisha maandamano tafuta jina lake peleka kwa kaka yetu lifukuzwe kama jambazi sugu
Mungu nakuomba umlinde dungu huyu na kila baya watakalo mzushia liwarudie wenyewe na kila kaburi watakalo mchimbia waingie huko Wawo na familia zao. Damu ya Yesu ikuzunguke usiku na mchana wewe na familia yako.
Pole ndugu yetu kilio chetu hakina mwenyewe ukithubutu utasokotwa na wasokotaji wazoefu kwa kazi hiyo !!mungu ametuweka hapa nae atatusaidia maana ndugu zetu wametugeuka kabisa hawana huluma na sisi
Yeah, wewe ni kiongozi, sifa za kiongozi kwanza ni kuwa na ushawishi kwa unaowaongoza, hekima na busara, usiwe muoga, na uwe na misimamo itakayoleta utatuzi wa shida iliyopo. Kiongozi hutakiwi kuamua mambo kutokana na mihemko ya wale unaowaongoza bali uamue kwa kufuata njia ambayo unaona ndio sahihi itakayoleta solution ya shida iliyopo na kubwa zaidi kiongozi unatakiwa uwe mzuri ktk kujieleza na kuwasilisha kile unachotakiwa kukiwasilisha kwa watu wako kiufasaha na busara na hatimae wakielewe na kukubaliana nacho - Kwa hili bro naona haya yote umekuwa nayo na kwa kweli approach uliyoitumia ya kuwashawishi viongozi wakuu wa serikali wao wenyewe kuja kutoa majibu mbele ya wananchi wako hiyo ndio imekuwa kete kubwa sana iliyokupa nguvu na kukuweka huru mbele ya wale unaowaongoza - hongera sana sana uko vizuri mno !
Huyu ni kiongozi na nusu. Mnapompa kazi. Mpimeni kwa muda huo alioumba. Kama hamtaki, mtoeni mwekeni mtu mwingine au endeleeni na harakati zenu mpimane nguvu na serikali mpaka mmoja atakapo surrender. Tutajua nani anamtegemea nani. Yetu macho.
Hongera mweshimiwa
This man is a people's true leader.
Hongeraaaa sanaaaa Mwenye kiti safiii yote. Maneno ya busara na hekma. Nduo uongozi.
This man is apple 🍎
Mwenyekiti uko sawa sana big up
Brother wewe ni zaidi ya mwanaharakati
Mungu akulinde,kwa pamoja tutashinda
We love you
Mwenyeketi we we ni kiongozi unayejitambua
Kaka we we usiogope kaka mungu yuko na we we hayo magugu yameka tu kusubiri kodi zetu
Mweshimiwa mwenyeketi wewe usiogope mungu yuko na wewe usiofu kaka hayo majini yaliyojikalia tu kwenye viyoyozi ayajuhi shida watu wanazopata kariako
Mwenyeketi wewe ni big up usiofu chochote wewe ni kiongozi wetu tuko nyuma yako kwa asilimia mia moja mijitu imeka kwenye ic inazunguka na vitu vya kuzunguka theni yanasubiri mitozo ili ijichulie inafikiri itaishi milele inakosa ata hofu ya mungu ata sijuhi kwa nini mungu asiishukie hiyo migugu iliyoka kama ndezi hapo Dodoma inasubutu kukuambia una hamazisha mgomo mbona Mimi nimefunga biashara alafu ilo lijitu lillo kuambia una amazisha maandamano tafuta jina lake peleka kwa kaka yetu lifukuzwe kama jambazi sugu
Kuwaamini watu haraka ndo ugonjwa unaowatesa watanzani. Yaan bingo ukiwa na ufasaha wa kutunga uongo tu umetoboa
Nimekuamini sana kupitia maongezi yako, Mungu wetu akutangulie katika safar hii ya usuluisho.
Dah mwenyekiti nimekupenda bure uko vizuri sana
Upo vizuri
Mungu nakuomba umlinde dungu huyu na kila baya watakalo mzushia liwarudie wenyewe na kila kaburi watakalo mchimbia waingie huko Wawo na familia zao. Damu ya Yesu ikuzunguke usiku na mchana wewe na familia yako.
Hakika huyu ni mtu na nusu nimemkubali
Nimekuelewa sana mwenye kiti wangu❤❤❤
Safi sana wafanyabiashara wa kariakoo, mmeonyesha nguvu ya umma.
bright sana
Huyu baba nimempenda Ana point Sana Allah akulinde
Waziri mkuu ni mwelewa sana, nimemuelewa na anaelewekaga..kiongozi
Ur true leader
Safi sana kiongozi uko sawa kabisa
Kweli wèwe ni kiongozi safi
Mungu akuinue kaka,na akulindee aiseee
Mungu akupe afya njema na uzima, ulinzi
Pole ndugu yetu kilio chetu hakina mwenyewe ukithubutu utasokotwa na wasokotaji wazoefu kwa kazi hiyo !!mungu ametuweka hapa nae atatusaidia maana ndugu zetu wametugeuka kabisa hawana huluma na sisi
19:20 tunamupasuwa😂
This man is a leader
Kweli
Fact brother uko sahihi
TRA ni wasumbufu sana sana kuanzia mipakani na SI kweli serikali kama hawalitambui ila viongozi kuanzia waziri wa fedha ndio kiini Cha matatizo
Safi sana yy c anatwambiaga twende burudy😂😂😂
*Mungu akubariki sanaa kaka kuendelea kutusema ss tunaodhulumiwa*
Wamezoweya nikuondoka wote watafute kazi nyingine kibuli Cha ccm mungu anawaona tu ipo siku wabongo wataamuka
mkuu,
Safi Sana.
Dawa kukusanya machine za efd kuwarudishia
Big Brain and very persuasive
Dah
Watanzania tukipendana hivi tutaendelea mungu akulinde mwenyekiti
Upo vzr mwenyekiti, mihemuko ikemee upo vzr sanaaa
Nimependa tuna watu wazuri sanaa nchi hii,huyu jamaa yupo safii mtii
Loh! Nakuaminia kiongozi, hawajakosea kukuchagua, wakuombee Mungu sana wakati unapambana na hao wasio na utu wako kama simba wala watu!
I repeat again the guy is more than smart itself....
Kinacho endelea ni mgomo kwanini wamechoka safi sana 😂😂😂 MUNGU akulinde aiseeee
Asante sana kiongozi upo sa hihi sana
This man is powerful
Hapo sawa MWENYEKITI
Good job brother ❤❤❤❤❤❤
Kiongozi umeongea kiutu uzima sana Mungu akulinde
Mmetisha msilainike mpka kieleweke
Yeah, wewe ni kiongozi, sifa za kiongozi kwanza ni kuwa na ushawishi kwa unaowaongoza, hekima na busara, usiwe muoga, na uwe na misimamo itakayoleta utatuzi wa shida iliyopo. Kiongozi hutakiwi kuamua mambo kutokana na mihemko ya wale unaowaongoza bali uamue kwa kufuata njia ambayo unaona ndio sahihi itakayoleta solution ya shida iliyopo na kubwa zaidi kiongozi unatakiwa uwe mzuri ktk kujieleza na kuwasilisha kile unachotakiwa kukiwasilisha kwa watu wako kiufasaha na busara na hatimae wakielewe na kukubaliana nacho - Kwa hili bro naona haya yote umekuwa nayo na kwa kweli approach uliyoitumia ya kuwashawishi viongozi wakuu wa serikali wao wenyewe kuja kutoa majibu mbele ya wananchi wako hiyo ndio imekuwa kete kubwa sana iliyokupa nguvu na kukuweka huru mbele ya wale unaowaongoza - hongera sana sana uko vizuri mno !
Waziri wa fedha ni tatizo,naishangaa sana serikali hasa mamlaka ya uteuzi kuendelea kumvumilia waziri wa fedha kwa kuboronga kila pahali
Wanamaslah nae ndio maana wanamlea lea
Ni timu moja
good bro
Hata Mimi nimeichoka Serikali...
Mwenyekiti safi sanaaaaaaaaaaaaa
Upo vzr
Big up brother Kwa msimamo wako
Huyu jamaa anajua sana kuwaandaa watu, kaanzia mbali sana hahahaahah, alafu kawarudisha dhamira yake ni maduka yafunguliwe
Powerful man we love you brother
M/Kiti wa wafanyabiashara kariakoo umepevuka akili
Hakika unaongea points
Chalamila akitoka hapo dar es salaam unatakiwa wewe ndiye uwe Mkuu wa Mkoa wa hapo
Uko vizuri kiongozi
Mungu akulinde mwenyekiti wetu
Uko sahihi sana, malaika wa bwana wakulinde,wasiojulikan a wasikuone, na baada ya yote ukavalishwe taji
Upo saw kabisa
Kweli kk massage ww ni mwamba
Safi sana namungu awabariki hakuna kurara
Mungu nakuomba umlinde huyo mwenyekiti maana hawajui kujitetea wanaishia kufa na mapresha
Huyu jmaaa Yuko vizuri
Ur true a leader
Baba mbarikiwa alisema mwanadamu Kwa upole wowote ukimugusa sana atatumia nguvu yake ya mwisho kutatua tatizo lake
Huyu jamaa kichwa sana
Leo nimeamini serikari Inatumia wanasaikolojia vizuri sana
Kivipi ndg
Plz nipe madini insha’Allah
Hivi kwnin huyu Waziri wa Fedha asitenguliwe,uwaziri wake
Peke yangu nawaza yani usipokuwa na hadhi fulani hata kama una fact huwezi sikilizwa
Akipotea huyu tunawaambia nchinzima tutaandama.Ole wenu apotee
Ha haaaa, hadi machozi yamenitoka.
Hawezi kupotea kwa serikali hii
una ongea ww kiongozi naumia mm pole sana
Kiongozi mzuri huyu safari sana
I love penina wangu❤❤❤
My God protect you 🙏
Daah yesu akulinde
HAPO MWISHO, TULIOSOMA QUBA TUMEMUELEWA MWENYEKITI😄😄😄😄
Achen ujinga na upuuzi makufuri mngemfanyia hivi???????
Tanzania na Kenya inabahati ya kuwa na viongozi sio watawala awamu hii lakini waongozwa wanatest
charlz lomo unachokiongea hata hakieleweki
Kenya kinaturamba bwana wewe hujui unasema nini
Good 👍
huyu jamaa Mungu amlinde maana inaonesha wazi hapendi uchawa!
hyu jamaa n kiongozi kwel
Huyu ndio mfano wa kiongozi anatakiwa awe hvi kiongozi ndio njia
kuna watu wamejificha kwenye carpet lakini DMI
Bro big up......
Safi sana mwenyekiti
Safi sana
Hatuitaki selikali ambao wapo nami gonna like acha uwoga 👍
Huyu jamaa ilifaa kua kiongozi mkubwa au kua bungeni maana anaonekana ni mtu Alie ishi na uhalisia wa maisha ya kawaida
Wenye akili kubwa kama hizo huwa hawapewi nafasi
Mwenyekiti Anastahili Kuwa Mkuu Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam
Upumbavu
Wewe ni zaidi ya kiongozi🙏🙏🙏🙏🙏
Ndo hivo, Kiongozi unapaswa kuongea hivo kwa misimamo!
Aya mambo ni ya mda mrefu.. na Serikali inayafahamu. Iyo wiki ni ya nn zaidi ya viongozi kutoa maamuzi..!?
Basi wavunje uongozi wao waendelew kugoma kila mtu ashinde mechi zake
Jamani tumusikilize mwenyekiti jamani amepambana sana
Kweli uongea kama kiongozi safii sana na mim nakuombea wakupe kweli huo mda
Safiiiiiiiii
Umoja ni nguvu 💪💪💪💪
Mfikwa tumepaa juu zaid
Mwenyekit uish
💯💯💯💯💯
wafanya biashara mumepingwa na kitu kizito na mwenyeketi 🤣🤣😂😂
Bravo kariakoo.
Tuko pamoja mpaka kieleweke.
TRUE LEADER
Huyu jamaa apewe ububge
Huyu ni kiongozi na nusu. Mnapompa kazi. Mpimeni kwa muda huo alioumba. Kama hamtaki, mtoeni mwekeni mtu mwingine au endeleeni na harakati zenu mpimane nguvu na serikali mpaka mmoja atakapo surrender. Tutajua nani anamtegemea nani. Yetu macho.
Nimesikia sauti nampasua🤣🤣🤣🤣
Massawe kweli ww ni jembe kk yangu