WAZIRI MKUU AMALIZA SAKATA LA KARIAKOO ,WAFANYABIASHARA WAKUBAKUBALI KUFUNGUA MADUKA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 51

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 ปีที่แล้ว

    Asante mh majaliwa hawa watendaji wanatuchosha common wananchi kwa rushwa....

  • @jacksonmrisho5650
    @jacksonmrisho5650 ปีที่แล้ว

    Jamani ingependeza sana kasim mjariwa Awe Rais wa Tanzania inchi ye2 ingekua vizur sana

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde Wazilimkuu majaaliwa. Mpenda haki kilanikikukumbuka nitakuombea Dua wasikuzuru maadui Na Mungu akufanyuewepesi kwenye utendajiwako wakazi ijitahidi kutenda haki. Mungu atakukipa sababu kuna mwishowakazi kabuliniiii. Allah atujaalie mwishomwema🤲

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Majaliwa......muongozo mzuri saana, wenye akili waufanyie kazi .

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani ndo maana nasemaga nampenda sana huyu kassim anatufaa sana watanzania mungu kampa hekima busara anafaa kuwa raisi yaani ningekuwa nina mamlaka ya kumteua raisi ningempitisha kasim majaliwa mengine akina mkuu wa mkoa wa dat hakuwajibu vinzuri wafanyabiashara wa kariakoo anatishia watu haipendenzi

  • @felisterjoseph4312
    @felisterjoseph4312 ปีที่แล้ว +2

    Wewe kuna siku utakuwa Rais wetu yaani hiyo ni lazima👍

  • @ShabaniOnyango-gm3vz
    @ShabaniOnyango-gm3vz ปีที่แล้ว

    Nipeni maua yng niyanuse kabla sijafa Roma fursa nyingine hiyoooo my brother

  • @doricefrimat3125
    @doricefrimat3125 ปีที่แล้ว

    Asante mheshimiwa

  • @BundalahNgassa
    @BundalahNgassa ปีที่แล้ว

    Hakika baba wa 2 wa taifa tutamkumbuka milele mungu ampumzishe vyema

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 ปีที่แล้ว +1

    Hawa TRA wanaweka utaratibu wa kimtego mtego ili watengeneze mchongo

  • @johndela7435
    @johndela7435 ปีที่แล้ว

    Mnakula maneno tu hapo sheria zinabaki vile vile na zinaendelea kung'ata lakin saiv watang'ata kwa upole

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 ปีที่แล้ว

    mungu hamlemu magufuri toka hafe yye nch imekuwa ya hovyo ya watu wachache wanajifanya haunijui mimi nan imerud na rushwa kwa wazi tushachoka waray, we waziri mkuu mungu hakubariki sana na uje kuwa rais wetu in sha allah biashala bila ya kina mama bado wapo wanauza chakula maisha magum jmn msione nyie mnakaha kwa exi wananch wanapata tabu aisee kod mnashindwa kuwabana wagen na wanaoiba madin yetu iri mpate kod mnawabana wananch wa hari ya chin nimefurah sana wafanya biashala kwa mamuzi mrio ya chukua viongoz wa sasaiv hawafanyi kaz mbaka hakishen ifanyike mgomo ndio viongoz wanafanya kaz aisee ni shida sana waziri tatuweni kero izo huchumi unanyumba jmn

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 ปีที่แล้ว +1

    Vitenge vinapita Dar vinaenda Congo Kisha vinaletwa Dar Kwa matumizi

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 ปีที่แล้ว

    Uyu mzeee atakufa jamani mpka muonea luma anachoka jamani majaliwa daaaa😥

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo watumishi wa TRA ni watoto wa vigogo wa nchi yetu ni vigumu kuwaadabisha

  • @allykarupa1411
    @allykarupa1411 ปีที่แล้ว

    Mweshimiwa waziri nasisi madereva tunanyanyasika

  • @juliussuleiman3999
    @juliussuleiman3999 ปีที่แล้ว

    Majaliwa ww ni watu wawili kasorobo, big up Mungu azidi kukulinda

  • @charleselijah-vq3hq
    @charleselijah-vq3hq ปีที่แล้ว

    Mweheshimiwa Waziri Mkuu Kasim Majaliwa na huo ndio ukweli siku zote kuna tatizo. Waziri wa fedha nae atumbuliwe haifai

  • @hidayajuma7946
    @hidayajuma7946 ปีที่แล้ว

    Kama mtu akilala na mkewake akiamka anatunga Shelia yake kichwani basi hakuna viongozi katika taifa hilo basi kiongozi kabaki majariwa pekeyake

  • @GreceMwalende
    @GreceMwalende 5 หลายเดือนก่อน

    Waurize waziri nani amewai goma kuripa mapatoo

  • @omarihussein6945
    @omarihussein6945 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mwamba mungu aendelee kumuweka

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 ปีที่แล้ว +1

    yan tunajitafutia pesa zetu nch zingine hunarud nyumban ukazishe biashala ikukamue kimaisha mtu anakunyonya kod tozo mbaka mtaji hunakufa kama waritupa iyo pesa wao roho mbaya tu imezid kutokupendana sisi kwa sisi tz nch ya hovyo sana mbaka tunaogopa kufanya biashala kaz hakuna hamtuajiri na mtu akijitaid kujihajiri bado mnakandamiza nyie serekari ya haina gan

  • @NoelNick-z9v
    @NoelNick-z9v ปีที่แล้ว

    MW MUNGU AKUTUNZE BABA YETU WASAIDIE WATANZANIS

  • @akberyuda5950
    @akberyuda5950 ปีที่แล้ว

    MHESHIMIWA MAJALIWA TUNAKUTEGEMEA IKIBIDI PANGUA TRA MUNGU AKUBARIKI

  • @ismailaebecha3884
    @ismailaebecha3884 ปีที่แล้ว

    Kero yangu ni kuusu reseni ukienda kukata reseni unaombwa nida mpinga kura hawataki

  • @swaibuiddy1502
    @swaibuiddy1502 ปีที่แล้ว

    Mh shimiwa waziri mkuu unafanya mkutano Mahali ambapo wakamataji wa pikipiki na bajaji wanapo kamata wanazileta sehem hiyo anatogo sasa iyo ijumaa tano wape sehem yakuweka pikipiki na ukiweza zungumzia kuhusu uwo mladi wa mtu binafsi umekaaje

  • @luganomgeni
    @luganomgeni ปีที่แล้ว

    Kukomesha lushwa ni ku weka mfumo wa mpya waukusanyaji kodi. Zote uwepamoja .lakini mfumo uliopo ni kandamizi. Mtu a na lipia kodi zaidi ya 8. Zige wekwa pamoja sawa na maka kadilio.aliyo kadiliwe mlipakodi.

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 ปีที่แล้ว

    KATIBAAAAA MPYA NDO ITAWEZA KUREKEBISHA HAYO YOOOTE NCHINI.

  • @reaganhassan156
    @reaganhassan156 ปีที่แล้ว +1

    Wakiyaona maono yako lazima watakuuwa

  • @Ashreystar8465
    @Ashreystar8465 ปีที่แล้ว

    waziri mkuu shkamoo

  • @alitwaqwa739
    @alitwaqwa739 ปีที่แล้ว

    nyinyi watu waserekalini sisi wavuja jasho ndio mabosi zenu

  • @charleselijah-vq3hq
    @charleselijah-vq3hq ปีที่แล้ว

    Waziri wa fedha atumbuliwe anausiku achunguzwe na hafai anatngeza ubadhirifu ndani ya Ujenzi wa Taifa letu la Tanzanian. Ni mbadhirifu s
    Atoke anatafuta hela ili kesho na keshokutwa agombee Urais. Hatoke Waziri wa fedha.

    • @erastojhn
      @erastojhn ปีที่แล้ว

      Tatizo kuu sio wazir ni ccm na viongozi wake

    • @frederickmaringo8014
      @frederickmaringo8014 ปีที่แล้ว

      Vikao vya pamoja na elimu ya haki ifanyike kupunguza mlundikano wa matatizo miongoni mwa wafanyabiashara na Serikari yetu. Ashante kiongozi Mkuu wetu kwa kuyatambuwa mengi ya matatizo walionayo wafanyabiashara.
      Tunawatakia mafanikio ya haraka ili tusimuudhi Mama yetu wa Kazi.
      Ashanteni saana.

  • @jescasamson6060
    @jescasamson6060 ปีที่แล้ว

    Hata mugambo anafanya ukaguzi tunaelekea wapi kama nchi ingekuwa daladala wengine tungeshuka twende nchi nyingine

  • @barakanestory3521
    @barakanestory3521 ปีที่แล้ว

    Rushwa sasahivi zimejaa ,too much,Kila Kona,sasahivi hawaogopi.Zamani sawa,siomuda huu, MUNGU atusaidie,vituoni,hatari

  • @laisangaikuyan1172
    @laisangaikuyan1172 ปีที่แล้ว

    Mh waziri Mkuu tatu wa na sawala la ngorongoro

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 ปีที่แล้ว

    Dah! Siasa ni mchezo mchafu, Muheshimiwa hatutendewi haki nchi ni yetu lkn manyanyaso kibao, kazi tunafanya sisi kipato tunachokipata hakiendani na biashara zetu, pesa zote zinapelekwa TRA na RUSHWA tupu. Yaani! Hakuna kitu hapa tutahama nchi kwa misingi hii.

  • @4hestatecompany20
    @4hestatecompany20 ปีที่แล้ว

    Umepndz sn kua rais

  • @beatusraphael-gq2lu
    @beatusraphael-gq2lu ปีที่แล้ว

    Katiba mpya

  • @nurukimu7368
    @nurukimu7368 ปีที่แล้ว

    Tuangalie na sisi wamachinga

  • @udiabdullah5261
    @udiabdullah5261 ปีที่แล้ว

    Kwakwel raha😂

  • @barnabaslushenshe523
    @barnabaslushenshe523 ปีที่แล้ว

    Kwanini mtu anafanya kazi TRA MIEZI 6 anakuwa na NYUMBA ZA KUTISHA NA MAGARI? AMEKOPA WAPI?

  • @abdulmdamu-fz8pn
    @abdulmdamu-fz8pn ปีที่แล้ว

    Tra Inaongoza kwa Rushwa

    • @monicambossa4937
      @monicambossa4937 ปีที่แล้ว

      Mimi nilikuwa naumwa nikamwagiza kijana apeleke hela TRA Mafinga,afisa 1akamwambia mtoto wangu kuwa yet hapokei hela mpaka niende mwenyewe,siku nilipokwenda akanitoza faini eti nimechelewa kulipa Kodi,hivi huyu afisa hajaikosesha serikali mapato

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis9991 ปีที่แล้ว +1

    Hii nchi inasitaili iwe na Rais kama magufuli wafanya kazi wengi wa serikali ya huyu mama ni majizi yote

    • @thomastarimo
      @thomastarimo ปีที่แล้ว

      Mweshimiwa waziri mkuu kwa sasa hivi hapa tulipofikia nchi hii ni pabaya sana kwanza wenge mfukuzisha kwanza kamishina wa t r a theni mengine yafate la kama ataendelea kubakia hapo itakua shida ni ilele shida kubwa iko kwenye makadirio sasa utmkuta .mtu yuko t r a ajawahi kuhuza ata maji

  • @josephcharles6315
    @josephcharles6315 ปีที่แล้ว

    2025 hatuwataki madarakani

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 ปีที่แล้ว

    ATLEAST WE'RE BREATHING..THANK..