MGOMO KARIAKOO! "NITAKUJA KUMPA ADABU MBELE YENU" RC CHALAMILA AFOKA KWA UKALI WANAOTISHIA MGOMO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 473

  • @Jurbeg
    @Jurbeg 7 หลายเดือนก่อน +23

    Poleni saana mlioko nyumbani tz 😢🇿🇦🇨🇩🇿🇲🇿🇼

  • @tridabalira5992
    @tridabalira5992 7 หลายเดือนก่อน +2

    Lean from Kenya

  • @yoshuajuma4952
    @yoshuajuma4952 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu fanya Jambo uliwezalo sisi hatuwezi kwasababu sisi hatunadola musaada wetu umebaki kwakomungu wetu

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 7 หลายเดือนก่อน +42

    Kifupi afai kuwa kiongozi kabisa asilimia 💯💯💯

    • @FulgenceNgamesha
      @FulgenceNgamesha 7 หลายเดือนก่อน

      😊k. 😊😊
      0k.
      .lu.
      K
      P0
      0uk .hoy. K
      .
      0k
      U
      😊

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 7 หลายเดือนก่อน

      eti mkuu wa mkoa..wananchi wangapi wa mkoa wa dar es salaam walimchagua Chalamila ili awe kiongozi wao..!!!?

    • @Mohamedychilungu-t7y
      @Mohamedychilungu-t7y 7 หลายเดือนก่อน +3

      Sio uyo tuu kiufupi ccm yote aitufai tuwang'oe tuu madarakani

    • @siamnyone8403
      @siamnyone8403 7 หลายเดือนก่อน

      Ukifa wewe ndo itawezekana ​@@Mohamedychilungu-t7y

    • @mussamalekela2107
      @mussamalekela2107 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@Mohamedychilungu-t7ykinakufaa chama gani? Fanya biashara acha siasa ndugu, hivyo vyama havitakusaidia nao ni wapigaji tu fanya yako

  • @bonifaceselis9611
    @bonifaceselis9611 7 หลายเดือนก่อน +2

    Good LEADERSHIP

  • @Jaythabit
    @Jaythabit 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana usubutu ndio unatakiwa kujiamini pia mdogo mdogo ndio mwendo yupo atakae kukubar pia atakuwepo 😊

  • @alvezog_3836
    @alvezog_3836 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Sio Serikali Bali Ni kiongozi Wa Serikali Pia Tambua Kuna Maisha Baadae Ya Uongozi Kuisha..

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 7 หลายเดือนก่อน +34

    Mkuu mbona unawapiga biti ... wasikilze wadau acha mkwara

    • @PascasMathew
      @PascasMathew 7 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli kabisa

  • @jullythedone8615
    @jullythedone8615 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu bwana kapatwa na nini miaka ya 2019.../21 alikuwa kiongozi Bora Sasa Kawa Bora kiongozi

  • @maryprejoofficial6846
    @maryprejoofficial6846 7 หลายเดือนก่อน +13

    Naomba Watu Wakenya Wahamie Tanzania dadeki wangenyoooka

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 7 หลายเดือนก่อน

      dah Mungu wangu hiyo ingekuwa hatari kubwa sana. hao ni ngangari hawatishiki kwa kweli wale ndugu zetu

    • @mussamalekela2107
      @mussamalekela2107 7 หลายเดือนก่อน

      Acha kutamani ujinga wewe! Kama umeshiba kalele maandamano yanafaida gani!

    • @maryprejoofficial6846
      @maryprejoofficial6846 7 หลายเดือนก่อน

      @@mussamalekela2107 soma, elewa alafu jibu swali usikurupuke🙌

  • @Masebrain
    @Masebrain 7 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amnaaa kiongoz hum kashakulaa kashibaaa anajambajambaa tyuu

    • @OmaryZuberi-o3b
      @OmaryZuberi-o3b 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @SilasNdaisabha-gx8jo
    @SilasNdaisabha-gx8jo 7 หลายเดือนก่อน +9

    Tz🇹🇿 mkuu wa mkoa ni mr p makonda❤

  • @SebushahuEzekiel
    @SebushahuEzekiel 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hufai kuwa kiongozi kauli zako ni mbovu sana

  • @elias.e.urassa
    @elias.e.urassa 7 หลายเดือนก่อน +1

    People tend to Whisper when they say the truth and raise their voice when they lie.

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 7 หลายเดือนก่อน +8

    Chalamika kaka mm huwa nakukubali sana. Lkn kuongelea awamu 5 kwamba haikufanya vizuri. Unaongea kwa mhemko wasikilize wafanyabiashara, usiwatishie. Umepaniki mh Chalamila.

    • @a2core-wn2wk
      @a2core-wn2wk 7 หลายเดือนก่อน

      Hajielewi anachoongea siku moja ale bakora ndo aone kumbe wananchi wana hasira na hii TRA

  • @carolihando6271
    @carolihando6271 6 หลายเดือนก่อน

    Walifikia awamu ya tano ni wale mafisadi, rais wote tulimpenda na bado tunampenda sana hata hayupo, ila wewe sasa unaonyesha your true color. Hakuna anayekubali kuonewa kwa vijisenti..pole sana chalamila

  • @MohamedKinega-jt4vi
    @MohamedKinega-jt4vi 7 หลายเดือนก่อน

    Hivi msaada wa kutatuliwa tatizo la kodi kwa viongozi wetu liko wapi?

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 7 หลายเดือนก่อน +8

    Ndio maana Makonda anawafunika mbaya mbovu, hekima yenu wateule sifuri.

  • @Ambwene
    @Ambwene 7 หลายเดือนก่อน +8

    Huu ni Mzigo mwingine serikalini Hafai kuwa kiongozi analeta ukomedi kwenye mambo ya seriously

  • @BarakaMagonya
    @BarakaMagonya 7 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli mh kitu ambacho umekizungumza ni kweli hongera mh🤝🤝🤝🤝

  • @Jafaryamily
    @Jafaryamily 7 หลายเดือนก่อน +25

    Bure kabisa bora angekuwa mtt wangu ndio kiongozi kuliko hii hasara samia toa hii kitu

  • @EsterSamwel-io9zq
    @EsterSamwel-io9zq 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani najisikia hasira😢😢😢

  • @sportsnewjs4330
    @sportsnewjs4330 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nikweli kuna viongozi wakoserikalini kwa bahati mbaya sana
    Hawana uwezo wakutatua changamoto badalayake wanauwezo wakuongeza changamoto

  • @Keyjop
    @Keyjop 7 หลายเดือนก่อน

    Tunakoelekea Tanzania sijui ni wapi?

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 7 หลายเดือนก่อน

      Pazuri tu tukisemezana, hakuna shida. Lazima tutatue matatizo yetu. Wakati tunakimbia viwandani, hatukujua kumbe na uchuuzi nao una karaha zake. Umachinga ni uchuuzi. Turuudishane viwandani na mashabani kibiashara. Machinga na dada, kaka poa tutawapunguza.

  • @sebastianmwantuge5597
    @sebastianmwantuge5597 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe siyo kiongozi wa kisiasa lakini maadamu umewekwa na mwanasiasa basi na wewe ni mwanasiasa.
    Hivyo ni vitisho,watu hawawezi kugoma bila sababu,wekeni mambo vizuri na si vitisho.
    Tanzania bado sana,kuna majitu yanapiga makofi hapo.

  • @Jafaryamily
    @Jafaryamily 7 หลายเดือนก่อน +32

    Pumbavu kabisa aliyemwambia tatizo machinga ni nani? Au wachina wengi ni nani? Raia wanagoma kodi kubwa na nyingi.

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf 7 หลายเดือนก่อน

      Mzee tatizo sii machinga tatizo tra

    • @a2core-wn2wk
      @a2core-wn2wk 7 หลายเดือนก่อน

      Ww mkuu wa mkoa ongelea kinachojiri usiongelee serikali ya awamu ya tano.au umetumwa

    • @hadijauledi6995
      @hadijauledi6995 7 หลายเดือนก่อน

      Kodi kubwa daaah 😭😭😭😭

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hapo umekosea sana tulikuwa tunakukubali lakini hapo umakosea huko ni kuwatisha watu wanaodai haki yao ss turiridhia kuwekeza bandari ili angalau kupunguza hizi kero za kodi zinazopa kila kukicha sasa faida ni ipi ya kuwa na wawekezaji na haya madi ndio unasababisha maisha kuwa magumu

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni serikali ipi??

  • @StevenNyanguye
    @StevenNyanguye 7 หลายเดือนก่อน +4

    Ndio tatizo la viongozi wa bongo vitisho vingi kulikon elimu

  • @Davidmalunga-1992
    @Davidmalunga-1992 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwan mkuu ulivoitwa umeambiwa kariakoo kuna tatizogani? Labda tuanzie hapo. Ukute wamekupa taarifa isiyo sahihi

    • @GoldenchipsChips
      @GoldenchipsChips 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂maana kalipua lipua tu mpaka umuhimu wa yeye kwenda hapo hauonekani

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mtz ni ndiyo mzee sababu za kufunga biashara elezeni siyo amri

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 7 หลายเดือนก่อน +3

    Bro hufai kuongoza Dar

  • @ChazMakavu
    @ChazMakavu 7 หลายเดือนก่อน

    Trendng no 1

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa nae anakula mshahara wa serikali 😂😂

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 7 หลายเดือนก่อน

    Kwanini Tz mpka matukıo mdıo serıkali ısımame ????????????

  • @omanmobile5746
    @omanmobile5746 7 หลายเดือนก่อน

    Badala ukae chini mlitatue tatizo unwatishia sawa kwa kuwa wewe ni kiongozi basi wengine hawana kauli jui yako ila kumbuka kuna maisha baada ya uongozi🇴🇲

  • @KitilaMndeme
    @KitilaMndeme 7 หลายเดือนก่อน

    Poleni Dar es salaam Tanzania

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni 7 หลายเดือนก่อน

    Mh!kasema sasa itakuaje?

  • @francisrutashoborwa9679
    @francisrutashoborwa9679 7 หลายเดือนก่อน

    Unafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mkuu

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 7 หลายเดือนก่อน +3

    Yaan huyu ana kibri cha madaraka na anaringia police/Dola but Yana mwisho

  • @AlfredSenkondo-mi3wf
    @AlfredSenkondo-mi3wf 7 หลายเดือนก่อน +6

    Ssa huyu kaenda kusuluhisha au kuwatishia watu mungu kamsaidia hakuwa kiongozi wakenya

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale 7 หลายเดือนก่อน

      kweli ana bahat Yuko tz

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale 7 หลายเดือนก่อน

    Kaa mezan mzungumze co kuwachimba mkwara bro!

  • @hamudseif
    @hamudseif 7 หลายเดือนก่อน +8

    Janja janja tu, musipogoma itaendelea kudanganywa na maneno ya kisiasa mpaka dunia itasimama

  • @GoldenchipsChips
    @GoldenchipsChips 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 kiongozi kalipua lipua tu 😂😂mpaka umuhimu wa yeye kwenda hapo hauja onekana😂😂😂

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale 7 หลายเดือนก่อน

    Watu wanatetea haki zao ww unasema habari ya wanajeshi kutumwa vitan?! hiyo ni siasa au watu wanatetea haki zao!

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 7 หลายเดือนก่อน +16

    Ww kenge kwahiyo unataka kufananisha utawala wa magu na WA mama Ako hata ukimkataa magu kwasababu mama kakupa kibarua lkn magu bado tunampenda japo yupo kaburin

    • @Ambwene
      @Ambwene 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mpumbavu huyu mkuu wa mkoa

    • @faithstephen3690
      @faithstephen3690 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@Ambwenekwa hiyo ndio atishie wananchi we mpuuzi sana

    • @lightmashauri1725
      @lightmashauri1725 7 หลายเดือนก่อน

      Magu hafananishi na Hawa njaa,njaa

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe upo kisiasa apo sio kutetea wanainchi huna jipya kanye ulale😂😂

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 7 หลายเดือนก่อน +3

    Wakenya wanajielewa sio kama watanzania

  • @emanuelkilinga9196
    @emanuelkilinga9196 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sana rc

  • @user13375
    @user13375 7 หลายเดือนก่อน +5

    Biashara inakuhusu wapi ww😮😮😮???

  • @andrewkilulu
    @andrewkilulu 7 หลายเดือนก่อน

    Aseeh leo umemgeuka magufuli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Burange666
    @Burange666 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi maana anaongea ushuzi ushuzi anaongea kwa ukali utadhani anaongea na mbwa, kiongozi hatakiwi kuwa mkali anajifanya mtemi sana hajui kuwa wafanyabiashara wanaumia kwa kodi kubwa.

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 7 หลายเดือนก่อน +5

    Acha porojo za kusingizia vyama vya siasa, kwani hivyo vyama ndivyo vinawaletea chakula?

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jifunze kwa Jerry slaa jins ya kutatua changamoto sio kubweka tu

  • @davidsika5292
    @davidsika5292 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu mkuu wa mkoa safi sana hasa kwa wale wanao deka deka

  • @MarcoMarki-wo5lg
    @MarcoMarki-wo5lg 7 หลายเดือนก่อน

    Angalia Mzee sisi watoto wa 2000 tupo

  • @samasob8233
    @samasob8233 7 หลายเดือนก่อน

    Eti sheria na biashara ilianza nini? JIbu "sheria" waaapi??? 😆😆😆

  • @JumaRamadhani-uv1il
    @JumaRamadhani-uv1il 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwamba ndio alisema una fikisha miaka 40 huna hela mbona leo anataka watu wasitafute kimango

  • @salmakirundu2076
    @salmakirundu2076 7 หลายเดือนก่อน +13

    Ttz sio wachina bhana ni kodi ya service lev

  • @mekin8684
    @mekin8684 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu Jamaa ni nani, he is old school type of politician, all he is doing is intimidation, someone let him know that doesn't work nowadays.

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 7 หลายเดือนก่อน

    huyu mkuu sijamuelewa hata kidogo jee ww umemuelewa kwel😊

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 7 หลายเดือนก่อน +1

    Umeongea point sana mkuu hakika wewe ni mkuu mkoa muwazi hutishwi

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 7 หลายเดือนก่อน

      Anaongea pumba tu, vitisho vingi vya nini? Magu aliwakaba wafanya biashara wakubwa hawa wadodo aliwalegezea. Daktari na hawa kuna uhusiano gani. Ujinga tupu

  • @taaonlinetv1820
    @taaonlinetv1820 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa anazingua na anawadharau wananchi nadhan ajui nguvu ya umma huyu kenge

  • @bunzaristeven5772
    @bunzaristeven5772 7 หลายเดือนก่อน

    Tanzania watu wengi wanaogoma huwa hawaelewi wanagomea nini!!

  • @ObedMtui-o1z
    @ObedMtui-o1z 7 หลายเดือนก่อน

    😮 mgomo mgomo

  • @JaliwaAdamu-wy4zi
    @JaliwaAdamu-wy4zi 7 หลายเดือนก่อน

    Unatisha wa2 mh mikwala mingi kwa tanzania hii mmetuweza

  • @diratechs
    @diratechs 7 หลายเดือนก่อน

    Subili mkeka wa rais samia umeona Kenya

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 7 หลายเดือนก่อน

    Tanzania nchi ya hovyo sana yan wanyonge ndo wanakandamizwa makodi kodi kibao ipo siku wananch watachoka wajichukulie sheria kama kenya

  • @mishlay8164
    @mishlay8164 7 หลายเดือนก่อน

    Ninyi vipi viongozi muwe na kauli ni nzuri

  • @shabaniramadhani8026
    @shabaniramadhani8026 7 หลายเดือนก่อน

    Kachukue mawazo ya usuluhisho kwa Jerry Slaa yuko vizuri

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe mungu anakuona

  • @tielyelibariki8958
    @tielyelibariki8958 7 หลายเดือนก่อน

    Hichi cheo apewe Jiri Muru huyu hajui kuwatetea wananchi wake kabisa mi sijapenda alichoongeabkabisa 😮

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 7 หลายเดือนก่อน

    Albert chalamila bro nakwambia ukweli kuna maisha mengine nje siasa au uongozi wako angalia bro majivuo yanamwisho

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 7 หลายเดือนก่อน

    Africa kuna viongozi waginga sana ivi ninani kailoga africa

  • @carolihando6271
    @carolihando6271 6 หลายเดือนก่อน

    Ruleby iron hand lasts in chaos. Chalamila unaongoza au inatisha?

  • @ballackmasungura6753
    @ballackmasungura6753 7 หลายเดือนก่อน

    Achakutudanganya broo maisha nimagumu acheni kujidanganyia na siasa alie soma bajeti nichama kingine au niwaziri wa fedha maisha ayaitaji mzaa

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nionavyo hapatakua nakiongozi hata 1 ataekua bora kwetu ,mana hata Magu alikua mbaya kwawengine ,ila nionalo kila mbuzi ale kwaurefu wakamba yake ,napia kunawtu wasiotutakia amani yanchi ,ndio wanashawishi wtu wajipotezee mda kw maslahi yao ,wala hamna lolot hata wakipata wao ,tuangalie wenzetu walijihashua hawa raha ktk nchizao

  • @Jafaryamily
    @Jafaryamily 7 หลายเดือนก่อน +6

    Anazungumzia siasa biashara haitaki siasa

  • @rahimdeking
    @rahimdeking 6 หลายเดือนก่อน

    Anaongea pumba tu.. Badala ya kutatua tatizo anataka kutumia force..

  • @salmakirundu2076
    @salmakirundu2076 7 หลายเดือนก่อน +11

    Kodi kibao toweni servicelev achani siasa mnawanyonya wananchi wenye mitaji midogo twendeni kwenye madini tukakusanye kodi

  • @faithstephen3690
    @faithstephen3690 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu shoga hafai kuwa kiongozi kabisa kwanza anatishia wananchi, pili hana suluhuhisho la tatizo, tatu haiwezekani hao wachina ndio watuuzia mzigo kwa bei ya jumla na bado wanapewa fursa ya kufungua maduka sokoni huu ni ushoga wa hali ya juu sana

  • @marwasaid8283
    @marwasaid8283 7 หลายเดือนก่อน +10

    Ndugu mkuu wa mkoa eleza tatizo, acha kutisha watu

    • @user-Neema
      @user-Neema 7 หลายเดือนก่อน

      Yan huyu baba kha

  • @SurprisedAstrolabe-id9gc
    @SurprisedAstrolabe-id9gc 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi viongozi kama hawa Tanzania inawapata wapi?😂😂😂

    • @BonyMayunga
      @BonyMayunga 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @janethferous
    @janethferous 7 หลายเดือนก่อน

    Uyu baba nimjeul sana anamajiobu ya nyodo sana

  • @iSsaNyamaisa
    @iSsaNyamaisa 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu niliona hafai toka ile siku ya kusikiliza mgogoro wa aridhi kati ya wana jeshi na wana nchi alafu amesikiliza mwisho anasema anatengeneza hoja 😂😂😂😂

  • @frankkway5283
    @frankkway5283 7 หลายเดือนก่อน

    RC punguza kuwatishia watu bwana, Mgomo ni haki ya msingi, duniani pote mgomo ni njia ya kushinikiza matwakwa yako yasikilizwe kwa kua njia nyingine zimefeli.

  • @TimelyInspiration-qp7yi
    @TimelyInspiration-qp7yi 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo mjinga akuje Kenya aongee hivo

  • @FredMwambenja
    @FredMwambenja 7 หลายเดือนก่อน

    Serikali tatueni haraka huu mgogolo tusipende kuwa na maneno mengi hayatusaidii

  • @chachansemba2876
    @chachansemba2876 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani ww hufai kua kiongozi kabisaaa katika inchii yeyote , kwani madaktali hawajawai kugoma ? Huliza watu wakuambie

  • @mollohankabonde3593
    @mollohankabonde3593 7 หลายเดือนก่อน

    Hivi serikali ni sisi wananchi au viongozi tuliowateua? Sasa kama tukisema tozo na kodi zinatuumiza na hatuzitaki kwanini hawa viongozi tuliowapa dhamana wanakataa? Tozo zimezidi huo ndio ukweli habari za kutishana sio vizuri na sisi ni wanaume pia tukikasirika wote patakalika hapa? Na msituletee watu wasiojua kero za wafanya biashara wanaharibu zaidi ya kujenga.

  • @drallan6879
    @drallan6879 7 หลายเดือนก่อน

    be diplomatic usiwatishe!

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi 7 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anavopiga mkwara utadhani mtaji alitoa yeye😂😂😂.Vikosi vya Congo au Darfur ni ulinzi wa mipaka hilo ni jeshi la kulinda nchi. Police ndio hulinda mali na usalama wa raia. Hafu anavoongea utadhani hamna watanzania wamehamia DRC, Zambia, Malawi kwa kero za aina hii. Hao TRA kamata kamata faini zinaenda wapi? Na kwanini mambo yanajirudia, Sasa Manji katokea wapi tena?

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 7 หลายเดือนก่อน +6

    Nguvu ya madalaka mmmmh apa mama akufanya chaguo sasahihi 😂😂😂😂😂 Tanzania yetu hiii

    • @omariKalyango
      @omariKalyango 7 หลายเดือนก่อน

      Kaka sheria ni msumeno kiukweli Tanzania ukwepaji wa kodi nimkubwa

    • @shaibukhamis863
      @shaibukhamis863 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@omariKalyangowew unafanya biashara wapi

  • @godynyoni3539
    @godynyoni3539 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye awamu ya 5 ndo tiketi ya laana. Subiri matokeo

  • @kwayugeneral2192
    @kwayugeneral2192 7 หลายเดือนก่อน

    mzee shida ni kodi sio machinga wala WA China Sisi tunalalamika kubambikiwa kodi kubwa na kufungiwa akaunti zetu za benki kiholela hatujaongelea ishu ya wamachinga wala wachina, hilo ndo tunalisikia saa leo 😂😂😂😂

  • @JaphetJairos-n4l
    @JaphetJairos-n4l 7 หลายเดือนก่อน

    Amna serikal imekuwa kikwazooo sana

  • @jacobwarieba5841
    @jacobwarieba5841 7 หลายเดือนก่อน +6

    Unaongea hivyooo ufainkuiongoza daresalaamu hata rais wetu samia ajifikirie

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 7 หลายเดือนก่อน

      Mlete baba yako awe mkuu wa mkoa.

    • @faithstephen3690
      @faithstephen3690 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@sskondopoleani9616 babake anaingilia wapi hapa shoga mpevu wewe watu kama nyie ndo manafanya watanzania wanakandamizwa

    • @dennismwakilembe5800
      @dennismwakilembe5800 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@faithstephen3690 anakula kwa mama analala kwa baba atayajulia wapi huyo bwabwa

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 7 หลายเดือนก่อน

      @@faithstephen3690 uvccm hiyo vijana wa hovyo.

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 7 หลายเดือนก่อน

    Hapa anatafuta kura pasipokujua kuwa anatengeneza bomu la wasiolipa kodi!

  • @YugoAlly
    @YugoAlly 7 หลายเดือนก่อน

    Afai kuwa kiongozi