LISSU AREJESHA FOMU AKIWA AMEVALIA BULLET PROOF "NIMEANZA KUJIRINDA MAPEMA, POLISI WAMENITENGA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 284

  • @GabrielOmassawe
    @GabrielOmassawe 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +24

    Mungu mwenyezi azidi kukulinda kiongozi wetu upo kwa sababu ya taifa.

  • @KitokiSospeter
    @KitokiSospeter 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +36

    Tundu Lisu,anatufaa sana,kuliko Mbowe.Asante.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Usilete ubaguzi wako wa kijinga.wote wanatufaa cha msingi wanadi sera na wajumbe ndio watakaoamua.

  • @elishamkasu5191
    @elishamkasu5191 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +59

    😂😂😂😂😂.jeshi la mtu mmoja...hili zee linafaaa sana

    • @lovenessvisent9408
      @lovenessvisent9408 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

      Kweli

    • @BIGCHENDREADLOCKS
      @BIGCHENDREADLOCKS 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakika❤

    • @leoncerobert6237
      @leoncerobert6237 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😅😅❤

    • @ErnestLaiza-f3l
      @ErnestLaiza-f3l ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉​@@lovenessvisent9408

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +36

    TUNGEKUWA NA WATU WATATU TANZANIA KAMA LISSU HII NCHI TUNGEISHI KWA RAHA NA AMAN SAAAAAAN GO MAN TUNDU LISSU GO .

    • @EmmanuelMandela-f7k
      @EmmanuelMandela-f7k 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kweli watanzani sisi nimabwege yaani eti watu watatu kama lisu tutaishi kwa raha swali anakupa Nini au anakuletenini nyumbani kwako

    • @salehemsumi615
      @salehemsumi615 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyo ni chizi na inawezekana ni shoga pia. ​@@EmmanuelMandela-f7k

    • @mturielias2053
      @mturielias2053 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbona hukuwa na sababu ya kutoa matusi

    • @AnociathaChuwa-cb5nk
      @AnociathaChuwa-cb5nk 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Raha na amani gani???
      Ndio nchi ingekuwa hovyo kabisa
      Lisu ni msemaji wala si mtendaji
      Ni mtu anayependa kusikika

    • @AnociathaChuwa-cb5nk
      @AnociathaChuwa-cb5nk 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sasa mbona huwa unaongelea hayo hayo kilawakati!!!

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +23

    Kiongozi haogopi huyu ndio kiongozi

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Acha wakatae kukupa huo ulinzi wao wa Duniani!
    Tundulissu,wew ni muujiza unaotembea, Mungu aliyekuokoa na kukuponya na zile Risasi zote ulizopigwa! Mungu atakulinda kila hatua yako uendayo,Amina.
    Tundulissu usihofu-utalindwa na Munguĺ,Ameni.

  • @sittatungu5340
    @sittatungu5340 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ni vyema Mhe. Mbowe safari hii asigombee ili tupate mwenyekiti mwingine aongoze tuone tofauti.

  • @lucianakweyunga8187
    @lucianakweyunga8187 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +29

    Huyu ndiye kiongozi anayetakiwa Sasa , wise man

    • @AnociathaChuwa-cb5nk
      @AnociathaChuwa-cb5nk 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kiongozi wa maneno yaleyale tu ya risasi 16 kila wakati
      Huyu ni msemaji mlalamikaji mkosoaji lakini si mttendaji

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@AnociathaChuwa-cb5nkww mjinga nini ,hivi ingekuwa ww ndio umeshambuliwa idadi ya risasi hizo ungekaa kimya.yaani ukimsikia Lissu anataja kapigwa risasi 16 ww unateseka na kuumia kweli kweli.

  • @MwamendySalumu-qb8rz
    @MwamendySalumu-qb8rz 56 นาทีที่ผ่านมา +1

    lisu uko sawa🎉🎉

  • @RichardHologo
    @RichardHologo 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Hongera kwa kurudisha fom

  • @maribaisack2097
    @maribaisack2097 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mm naona mbowe huwa yupo kimaslahi yake binafsi, lakini lissu huwa yupo kimaslahi ya wananchi na ndio maana huwa anajihamini sana na ana kauli...Hongera mzee wangu, wewe ndo kiongozi!! Kiongozi haogopi....

  • @mwitamhono6499
    @mwitamhono6499 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +14

    Tundu lisu anatufaa Sana hasa katika nyakati hiz,kuliko Mbowe

    • @KaraniBonge
      @KaraniBonge 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tatizo hatupgi kura

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Lissu. Kiboko Yuko jasiri kwelikweli. Mungu akutunze.

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mungu hasipoulinda mji wakeshao wafanya kazi bure.Mungu atazidi kukulinda na kuwalinda watu wote.

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Staili ya mwenyekiti kila uchaguzi😂

  • @FaridSaleh-i8b
    @FaridSaleh-i8b 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mr Lissu wewe ndie Rais tunaekutaka kutokana na akili, uzalendo, vision ,ushujaa, uaminifu, ukweli, na kaliba yako, kwa ukweli kabisa hakuna Mtu ye yote anaefaa kuwa Rais wa TZ ispokuwa wewe Mr Lissu.

  • @AFRICANVILLAGE-l8x
    @AFRICANVILLAGE-l8x 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mwamba hajawahi kufeli 😅😅😅😅

  • @PaulNsabi
    @PaulNsabi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    hongera lisu kwa kujitokeza ktk kupambania haki na maisha ya wote ktk demokrasia ya chadema ya watanzania bara na visiwani

  • @FaridSaleh-i8b
    @FaridSaleh-i8b 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Myself nakukubali sana Mr Lissu na nakuelewa sana unafikisha ujumbe wako lakini naamini sio wote wanaokuelewa ujumbe zako so Mr Lissu ushauri wangu hata wale wasiokuelewa wapende na wasemehe buree kwa maana sio watu wote wanaweza kufikiri sawa, wengine huona mbali sana, na wengine huona karibu sana.

  • @lumumbasembuli7807
    @lumumbasembuli7807 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +16

    Waandishi wa habari ni wachache kwakua huyu ndie threat wa kweli wa mfumo, sasa shubiri mugabe aje kuchujua na kurudisha fomu uone mafuriko ya waandishi

    • @fathermore9772
      @fathermore9772 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unaweza kua sio mfano mzuri ila hata mwendazake hakuna alie mtarajia kipindi anachukua nakurudisha foam ilikua hivi hivi..

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwa kweli lissu hawa jamaa hawampendi sijui kwa nn

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    jesh la mtu mmoja✌️🙏

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Pamoja Lisu mungu akurinde sana

  • @aabedi541
    @aabedi541 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Kulinga navyo mskia tundu lisu kwakweli anayo mengi ya kuhongeya tena anazo siri ngingi. Tumpe mda ipo siku ataongeya kama alivyo ongea Dr slaa

  • @RichardbituroMakole
    @RichardbituroMakole 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    😁😁huyu jamaa ni hatari mpeni umwenyekiti chadema itakuwa imara sana

  • @williamnkuhi6166
    @williamnkuhi6166 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wasaka tonge ulimwenguni..😅

  • @joelthomas-mx6gm
    @joelthomas-mx6gm 54 นาทีที่ผ่านมา

    Huyu mwamba ni kama maji usimpomnywa utamuoga au utamnawa ,😅. KAMA HAKIIII ITATENDEKA WALAH TUTARAJIE KUONA MABADILIKO

  • @ukweli255
    @ukweli255 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Mtu kama huyu hawezi kuja kukisaliti CHAMA

    • @ErnestLaiza-f3l
      @ErnestLaiza-f3l ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama babaako alive msaliti mamaako

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +15

    Jamani Nchi yetu inatisha hadi Lisu amevalia Bullet proof Mungu akulinde Lisu

    • @ismailabdallah4362
      @ismailabdallah4362 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Weeee kichaa kabisa

    • @mkamimtatiro3449
      @mkamimtatiro3449 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe umevaa

    • @InnocentCharles-hm3ff
      @InnocentCharles-hm3ff 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Daahh! Mie badala nisikilize anachosema, nimebaki nikishangaa bulletproof 😢...yaani nimejiuliza maswali lukuki lkn hatimaye...swali kubwa ni kuwa haya ndo maisha tunapaswa kuishi? Tumefikia stage hii kwl.? Mbona watu hujifanya kumjua mungu lkn hawajui thamani ya uhai wa wengine....unafki wa kumcha mungu na uchu wa madaraka is all about this world...😢😮

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@InnocentCharles-hm3ff Mungu atamlinda dhidi ya hao mashetani waliyotaka kumuua na watakaotaka kumuua Tundulissu wafe wao kabla yake,Ameeeni.

  • @MinskBelarus-il2tl
    @MinskBelarus-il2tl ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tundu Lissu bwanaa,😮😮😮😮 MHESHIMIWA nakwambia hivi,wale waliokushambulia wakati ule, ni walengaji wazuuuuri wa KICHWA,hiyo BULLET PROOF uliovaa ni kama umejiremba tu mzee. Unachekesha sana ila UBELGIJI wamekutumia hilo vazi bila kulipia Ushuru😅😅😅

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Chama chenye wagombea wanaovaa bullet proof kwanza nicheke

    • @mwlekartiesmwankenja3602
      @mwlekartiesmwankenja3602 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Ungeanza kumcheka Mkapa maana alikuwa anavaa tshert ambayo ni bulletproof

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe mjinga sasa ajiache tu asijiongeze???

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Usiogope kunyimwa Ulinzi MUNGU atakulinda BWANA asipolinda Nyumba walindao wafanyakazi Bure No fear No hate

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbona Mnakufa kila siku na Mungu yupo? Tangu lini Mungu ameanza kulinda viumbe?

    • @florencejohn6427
      @florencejohn6427 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Haswaaa. Tena wasimpe. Wakimpa wanaweza kumpa fake security

  • @davidmwandiga3465
    @davidmwandiga3465 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mungu ametenda

  • @djurio
    @djurio 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyu Lissu mtata sana. Hilo gari hadi leo hamna matengenezo. Analitumia kama LOGO 😂😂😂

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Lissu for chadema

  • @ShamsaIddi-b9p
    @ShamsaIddi-b9p ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uko vizur kiongozi

  • @jeremiahmuimo7232
    @jeremiahmuimo7232 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lissu rais wetu mpendwa Mungu akulinde wewe ndio kiongozi wetu wa kweli

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Raisi wa manzrese au!!!😅😅😅

  • @LucasDando-ru8lg
    @LucasDando-ru8lg 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Lisu mwamba sana

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyo haikosi ana laana au huenda ana faili milembe na hiki kipindi cha mawingu mawingu sio sawia kwa watu wenye mafaili milembe.

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Maagizo kutoka juu kwa mama Abdull atakua anahusika kumnyima ulinzi wa Polis tundu lissu

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mama anahusikaje hapo broo acha chuki

    • @ErnestLaiza-f3l
      @ErnestLaiza-f3l ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@cath-ef7wd one hundred pasent nikweli

  • @tinukamlowe2134
    @tinukamlowe2134 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Kumbe na ninyi mnamagari ya nguvu hongera

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Chadema ni chama cha matapeli

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tundulissu ulindwe na Mungu, Ameni.

  • @chage97
    @chage97 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    MWAROBAINI WA CCM

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Hongera Muheshimiwa Tundu lissu

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani lisu jasiriiiiiiiiiiiiiiiii

  • @LloydsTech
    @LloydsTech 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Something ambayo watu wanashindwa elewa ni the fact kwamba chadema haiwezekani ikaongozwa na mtu ambaye sio M kaskazini so Tundulissu he will never stick up there and if akaweza then his days are numbered
    with facts i speak

  • @FrankShoo-yi8ez
    @FrankShoo-yi8ez 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Big up mshua Mungu akutangulie

  • @rahimsadru-ct4ot
    @rahimsadru-ct4ot 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Lisu n lulu alindwe dhid ya mashetan hawa

  • @NeemaGumbo-k5n
    @NeemaGumbo-k5n 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ujue ni vandame mzeeeer😂😂😂😂😂

  • @medystarter
    @medystarter 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe lisu ADUI yako yupo ndani ya chama chako

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Hakuna chawa yeyote anaeweza fuata uadilifu wako

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 48 นาทีที่ผ่านมา

    Kama unataka kulindwa si umtaje huyo alie kuambia ili akamatwe awataje hao wanao taka kukua itakuwa ni vizuri zaidi

  • @GeraldBahegwa-rn3vb
    @GeraldBahegwa-rn3vb 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akutetee lisuu dhidi ya waovu😢

  • @allymkamba1054
    @allymkamba1054 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi sana muheshimiwa

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mnaomtukana Lisu ni vichaa wote Lisu ana akili timamu

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Hawa si vichaa, lengo ni kuporomosha chama.

    • @EmmanuelMandela-f7k
      @EmmanuelMandela-f7k 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Akili yake Iko makalioni

  • @HASSANMKUYASALUM-wu4ey
    @HASSANMKUYASALUM-wu4ey ชั่วโมงที่ผ่านมา

    LISSU ACHA USANII WAKO MAANA WEWE HUCHOKI UONGO MAANA WEWE NI MUONGO MZANDIKI MKUBWA

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Waandishi bongo hamna kbs Kuna majina ya waandishi tu swali kumuona mtu amevaa hivyoi?ujinga mtu kutaka kufukunyua yalioongeleka tyl 😡😡😡😡

    • @jamesmapenzi1319
      @jamesmapenzi1319 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Inasikitisha sana, Mtu anapata nafasi ya kumhoji mtu kama huyu anahoji maswala ya bullet proof 😢

  • @aishakhatib3107
    @aishakhatib3107 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Allah ndio kila kitu , atakuwa na ww km alivyokulinda na cc waja tutaendelea kukuombea inshaAllah utavuka salama

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂mbona kama uwenyekiti ni vita sasa

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mh lisu waga nakupinga lakin kwa sasa nimekukubar kwa kutaka kusafisha chama

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Huyu mwamba kaamua

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kila la heri Tundu Lissu.

  • @iddyekanda6456
    @iddyekanda6456 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sniper anadungua jicho akiwa umbali wa Mita 300 lisu ni muhuni wa kisiasa anataka Kura za uenyekiti kwa huruma

    • @mnamamnama2732
      @mnamamnama2732 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sniper Tz ukiwa nayo unanyongwa

  • @JumaNtwangi
    @JumaNtwangi ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tueleze susla la focus hilo si wakati wake

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kushinda ni lazima

  • @DensonKaboneka
    @DensonKaboneka ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maana bullet proof amuelewi uyo sniper akilenga jicho kuna magnet inavuta kuipeleka kwenye proof yan sumaku

  • @omarsaid7153
    @omarsaid7153 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ninani alie Escot Abdul Hadi nyumbani kwangu kwalengo la mm kupokea Pesa??? Whose the hell is he ??? 😂😂😂

  • @songombingo108
    @songombingo108 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni matumaini yangu kwamba Mbowe akae pembeni na amsaidie Lissu kwenye Kampeni ya Uenyekiti

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r ชั่วโมงที่ผ่านมา

    One man army

  • @christopherkibona3579
    @christopherkibona3579 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapa ametumia hand grunet, kwa kusema yule aliyemleta Abdul ndiye mgombea umakamu,

  • @TallTallest-e2v
    @TallTallest-e2v 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nani akupe nchi kichaa wewe TANZANIA SISI NI WAJINGA ILA SIO KWA HILI......KAfie ughaibuni huko

  • @BossiLaizer
    @BossiLaizer 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu ni zaidi ya mapolisi ya Dunia yote

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nadhani nafasi ya kumpa Lisu nafasi ya kugombea uraisi hakupenda!!

  • @EtiminSadallah
    @EtiminSadallah 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tatizo hunahaki wewe mwenyewe unawaseme polisi niwatekaji wauwaji sasa watakulindaje akili zako nimatope

  • @ladislausriwa7768
    @ladislausriwa7768 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani mdunguaji akilenga kichwa utaponeshwaje na hiyo bullet proof

  • @MnyasaJuma
    @MnyasaJuma 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alokushambulia kwani yuhai bado au kashakufaa

  • @mrmixedtopics1240
    @mrmixedtopics1240 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Very skillful

  • @rajabukipara3008
    @rajabukipara3008 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mzee wa risas 16😂

  • @JacksonMbites
    @JacksonMbites 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    POLICE NI WA CCM UNATEGEMEA WAKULINDE?

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe ni tapeli sisi wachaga tunajuana

  • @politicutusnyakatanga9860
    @politicutusnyakatanga9860 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa jinsi inavyoonekana tu Lisu analazimisha lakini wenzake wanachadema hawamtaki

  • @mahamedismail601
    @mahamedismail601 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu ni mbora zaidi ya wananchi au raiya wa jamhuri ya mungano wa Tanzania hapa Kuna kitu au mbinu ya kisiasa lkn sio mkumchafua mtu

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli nimeamini tundu ana matatizo, hafai kuwa kiongozi.

  • @MunirDaniford
    @MunirDaniford 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mtu wa maana sana

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haya kumbe waliohongwa ndio hao ndio maana wanataka kumuondoa Lisu ili wale mkate WA CCM wenyewe

  • @juliusringo710
    @juliusringo710 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa hiyo Bw Lisu huku walikokua wanakuombea na kuhakikisha wanachanga pesa ili utibiwe kweli unarudi nyumbani kwa kujikinga kweli?

  • @AlexChawe
    @AlexChawe 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Yes

  • @alexandermakanta9468
    @alexandermakanta9468 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni KUJILINDA na Sio Kujirinda

  • @JacksonMbites
    @JacksonMbites 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    CCM IKO SIKU UTAWALA WAO UTAANGUKA

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Very nice.

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    NILIKUWA NAMHESHIMU HUYU BABA LAKINI ALICHOKIFANYA CHA KUONGEAONGEA KASHFA ZA AJABU AJABU IMENIFANYA NISI MHESHIMU TENA
    MANENO MENGI VITENDO HAKUNA
    UNACHAFUA NYUMBA NA UNATAKA KUISHI HUKOHUKO

  • @talibsaid8096
    @talibsaid8096 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa kwa kiki sasa mbona kichwa wazi

  • @asiliyetuonlinetv5063
    @asiliyetuonlinetv5063 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Intergrety people go go go man na mtu aliyemleta abdul kwa lissu ni Wenje kwa ambao hamjui

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lisu nimmoja tuu tz

  • @MnyasaJuma
    @MnyasaJuma 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bado kichwa

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe mwandishi huna akili ya , huna maadili ya uandishi mama Abdul ni nani, tumia akili wewe mwandishi.

  • @ibba8082
    @ibba8082 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Huyu alistahili kuwa Mcheza Filamu tu,Anavituko hutaamini.kwahiyo Waliokutwanga Hizo Risasi kumbe Wapo Chadema kumbe😅😅

    • @boazkidamabi
      @boazkidamabi 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uwe unafuatilia habari ndugu yangu, na uwe unasikiliza mpaka mwisho

    • @evansdecaprio8196
      @evansdecaprio8196 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Muigizaji si yupo na ameisha to filam yake

  • @henry1933
    @henry1933 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    GO GO GO GO GO

  • @IsaackMapunda-o2y
    @IsaackMapunda-o2y 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hicho ndicho kilikuwa kinatengenezwa...

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mboe hacha tamaa miaka zote hizo bn kanun nizile zile