Wakithubutu tu wachache kumdanganya Mbowe, naye akadanganyika na kung'ang'ania madaraka, kuanzia mwakani ACT-WAZALENDO kitakuwa chama kikuu cha upinzani.
Umarufu wa mboe umeshuka na chama kimepoteza mvuta...hata yeye haaminiki......ili kujenga imani kwamba demokrasia ipo aachie wenziee.naaamini baad ya huu uchaguzi utatokea mpasuko mkubwa sana
Tunashukuru kwa kukifikisha chama hapa kilipofika Mh mwenyekiti mbowe MUNGU akubariki sana,ila tunaomba saizi ubaki kuwa mlezi namshauri wachama wakupokee wengine tuwaone nao.
Chama Cha chadema kinaenda kuwa kati ya vyama kumi nne visvyo na wafuasi.gombea uone,huo ndio ushauri sahihi.watu wa kawaida wanaomba uondoke Kwa heshima
Mh.mbowe MUNGU akubariki Kwa uongozi wako mwema lakini Kwa Sasa miaka 20 inatoxha tunakuomba🙏Kwa sasa mwachie lisu anaweza Heshima Yako itaishi hasa kwa wanchama mana na uking'ang'ania utaonekan umenunuliwa na ccm kam akin halima mdee busara Zako bado tunazihitaji ila uwe mxhauri zaidi ❤✌️
Ombi lina mawili, kukubaliwa au kukataliwa.Wote wana haki ya kugombea, haijalishi mmoja amekaa muda gani.Hatutakiwi kuishi kishabiki zaidi.Tuache sheria, kanuni na taratibu zifanye kazi.Kwanini tugawane fito wakati tunajenga nyumba moja?.Tuombe Mungu hekima itawale.
Mbowe tunahamini wewe ni kiongozi Ila baba tunakuomba kwa heshima tulinde hii tasisi kila sehemu ukiangalia Kuna watu wanavuruga chama kwakusema ubaki madarakani ili iwe hakuna democrasia tuache lisu angalau miaka mitano tumjaribu tu baba yetu,
Mbowe kwa busara ya kawaida fanya inatosha sasa miaka ishirini ni mingi kwa ushauli wangu nibora ujiuzulu kuliko kugombea tena kumbuka utapoteza wana chama wengi sana kwani wataona kama wewe ni king'ang'anizi wa madalaka ,kumbuka hao wana kujaza kichwa ina tosha huna jipya
Mimi nadhani, wakati umefika mh.Mbowe pamoja na mazuri yote aliyokifanyia CHADEMA, aseme, enough is enough. Miongo miwili kuwa madarakani wewe tu, haileti afya hata kama kutakuwa na maneno matamu kiasi gani.
Angepumzika TU apishe wengi ne.kwa sababu wao ndio wanatuongoza kwa ajili ya kuwatoa walio madarakani kwa muda mrefu Sasa yeye miaka 20 Bado akigombea Tena nasi tutabakia na Ile zana kuwa kumbe hata waliopo madarakani wanatakiwa waendelee kuwepo .
MBOWE tunaomba mwachie LISU nae aongoze tunashukuru ulipotufikisha pana tosha ukigombea tena chadema inakufa tunaona usizoee yaliyopita hii ni kubwa kuliko
Haupo hapo kwaajili ya kihukumiana tumia hekima na ukomavu wako kisiasa kunyanaza nako ni hekima hivyo kwa maslahi ya chama jifunze kunyamaza pia kaa pembeni wengine wakupokee Kijiji hicho ndiyo demokrasia
Kiukweli Mbowe ni kiongozi mwenye hekima na anajua sana siasa,,,ila kwa sasa inaonekana ili kulinda heshima aliyoijenga,,angestaafu kwanza abaki kuwa mshauri wa chama,
Mh mbowe tunakushukuru sana kwa kukijenga chama chetu kwa mateso makubwa na jasho jingi sna,tunakuomba sana mzee wetu hii Legance uloijenga kwa miaka hii yote ungesitaafu tu kwa heshima mzee wetu.,maana hata mzee nyerere aliwahi kushawishiwa hivi hivi na watu walojiita wanampenda Ili asing'atuke kumbe walitaka washibishe familia zao🙏
Uwongo unaousema ni uwongo gani Mh. Mbowe??? ....ninakukubali sana kiongozi wangu, lakini sasa inatosha, pumzika kwa busara zako na uachie kiti kwa wengine nao wakiendeshe chama kutoka ulipokifikisha kwenda mbele zaidi.
Kaka mbowe miaka ishirini katika uongozi,ni mingisana! Tunatambua mema mengi uliyofanya.Lakini wape na wengine nafasi watoe mchango wao.utakuwa umeilinda heshima yako vyema.
Kilee chama kwakuiachia nafasi kwawenzio maana kung'ang'ania madaraka nikutuaminisha kwamba kumbe upo kwenye biashala yaki siasa!Lissu hahongeki yupo neutral.
Mbona hujatamka haya mapema mpaka mlivyoanza kuparurana unaongea haya tutajua tu chama utakidondosha hicho ulitakiwa kupumzika ili kudhirisha ukomavu pia
Mkikosea mkamrudisha mh. Mbowe awe mwenyekiti na chaðema itakuwa kama NCCR CUF na vyama vingine vilivyo wahi kuwa vyama vikuu na vikapotea, mh. Lisu anafaa sana kuwa mwenyekiti asante.
Mbowe umetawala miaka 20 bila mafanikio ya Kubadili katiba ya tume ya uchaguzi Hadi Leo yatakayo tangazwa na mwenyeki wa tu hakuna kuyahoji hata mahakamani Mimi ni mchaga mwenzio nakuomba upumzike kaka
Mimi binafusi naona wangesubili uchaguzi mkuu upite ndio chama wafanye uchaguzi wa ndani sababu uchaguzi huu Bira mwenyekiti mwenye msimamo na busara na hekima mbowe anatakiwa atuvushe badae Lisu atachukua uwenyekiti anao utaka
Leo ndo nimeamini yale yanayosemwa kuwa CHADEMA ni mali ya Mbowe na genge lake. Na kama atagombea basi bila shaka hiki Chama kitakuwa hakifai kabisa. Mbaya zaidi kuwa wafuasi wake wanaongea mambo ya haibu kama hamna shida na ukomo wa madaraka basi hamhitahi ata Katiba Mpya.
Mbowe wewe ni kiongozi una sifa za kiuongozi,una hekma za kiuongozi,naamini kwa sasa bado hujatengeneza chairperson wa ngazi ya taifa mwenye weledi wa kutosha kuhudumu ktk nafasi hiyo!. Mm sio mwana chadema ila naona chadema ikiwa Salama zaidi chini ya kamanda Mbowe!.
Unayesema Mbowe amwachie Lisu ukishindwa kusemaakuachie wewe tafakali kauli za Lisu aliyeshiriki kujenga chama mpaka hapo kilipofikia anadiliki kusema chama kinatakiwa kufanyiwa maboresho kana kwamba hakuwemoNamfananisha na msigwa kauli zake mnazchukuliaje.
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kinayumba baada ya mwanachama kutangaza kugombea Uwenyekiti 😂 Ulikuwa pale 20 years and did nothing than malalamiko yasiyo na suluhu! Kura zinaibiwa wagombea wamekatwa ovyoovyo you did nothing! Leo tunabunge bovu kuwahi kutokea! Ulifanya nini? Ni kheri ungestaafu TU. Ama sivyo chama ni cha Kaskazini TU ijulikane!
Mzee hakuna mtu anapinga mema yako, miaka 20 kama unahisi kuwa bado chama kinakuhitaji maana yake unatuambia umeshindwa kutengeneza viongozi wa kurithi hiyo nafasi, unatuambia watu wasijenge hoja kwa uongo lakini hujajibu hizo hoja za msingi alizotoa wala hujautaja huo uongo aliusema na kutuambia ukweli ni upi... achana na hao chawa waliokujazia nyumba isikilize familia yako! IMETOSHA!
Mbowe chukua fomu kurandiyo zitaazoamua kuchukua fomu ni jambo moja kuchaguliwa ni jambo lingine atakayeshinda kwa kura ndiye anayefaa kura inaondoa mashindano
Unapaswa kupumzika mengi mazuri umeyafanya lakini kidemokrasia pumzika wengine waongoze image ya chama inachafuka sababu ya wewe kuendelea kuwa mwenyekiti inatosha
Mnasemaje angatuke kabla ya uchaguzi? Yaani tuikanyage Katina yetu wenyewe? Kwani kakuambia akishindwa ataenda mahakamani? Nadhani mnaofiliria kuacha uongozi kabla wapiga kura hawajaamua ni mawakala wa maadui wa Chadema. Demokrasia ni kuchaguana Kwa uhuru na haki na kukubaliana na matokeo ya haki.Msisahau kwamba siyo Mbowe na Lisu tu ndio wanaotakiwa kugombea hiyo nafasi.Chukueni fomu mkapambanishwe na wanachama. Anaweza kupatikana mwingine badala ya hao wawili na chama kikaimarika.
Tunaitajii lisu ndo mpinzani wa kwelii mbowe umepooza sanaa upinzani ni heka heka ww mpole tunamtaka lisu chizii 😅😅😅
😂😂😂
Wakithubutu tu wachache kumdanganya Mbowe, naye akadanganyika na kung'ang'ania madaraka, kuanzia mwakani ACT-WAZALENDO kitakuwa chama kikuu cha upinzani.
Mbowe ukichukua fomu uta shinda lakini wanachama utatupoteza wengi utabaki na walio kupigia kura
Mbaya zaidi wanaomuunga mkono hawapimi hata maneno yao. Huwezi sema hauna shida na ukomo wa madaraka alafu ukasema unahitahi Katiba Mpya.
Umarufu wa mboe umeshuka na chama kimepoteza mvuta...hata yeye haaminiki......ili kujenga imani kwamba demokrasia ipo aachie wenziee.naaamini baad ya huu uchaguzi utatokea mpasuko mkubwa sana
Wewe nikolo
Upo sahihi kaka kunywa gongo ulipo nitalipia🙏🏾
Tunashukuru kwa kukifikisha chama hapa kilipofika Mh mwenyekiti mbowe MUNGU akubariki sana,ila tunaomba saizi ubaki kuwa mlezi namshauri wachama wakupokee wengine tuwaone nao.
Chama Cha chadema kinaenda kuwa kati ya vyama kumi nne visvyo na wafuasi.gombea uone,huo ndio ushauri sahihi.watu wa kawaida wanaomba uondoke Kwa heshima
Mh.mbowe MUNGU akubariki Kwa uongozi wako mwema lakini Kwa Sasa miaka 20 inatoxha tunakuomba🙏Kwa sasa mwachie lisu anaweza Heshima Yako itaishi hasa kwa wanchama mana na uking'ang'ania utaonekan umenunuliwa na ccm kam akin halima mdee busara Zako bado tunazihitaji ila uwe mxhauri zaidi ❤✌️
Nakuunga mkono apumzike abaki kuwa mshauri wa chama inatosha
Ombi lina mawili, kukubaliwa au kukataliwa.Wote wana haki ya kugombea, haijalishi mmoja amekaa muda gani.Hatutakiwi kuishi kishabiki zaidi.Tuache sheria, kanuni na taratibu zifanye kazi.Kwanini tugawane fito wakati tunajenga nyumba moja?.Tuombe Mungu hekima itawale.
Mbowe tunahamini wewe ni kiongozi Ila baba tunakuomba kwa heshima tulinde hii tasisi kila sehemu ukiangalia Kuna watu wanavuruga chama kwakusema ubaki madarakani ili iwe hakuna democrasia tuache lisu angalau miaka mitano tumjaribu tu baba yetu,
Mbowe kwa busara ya kawaida fanya inatosha sasa miaka ishirini ni mingi kwa ushauli wangu nibora ujiuzulu kuliko kugombea tena kumbuka utapoteza wana chama wengi sana kwani wataona kama wewe ni king'ang'anizi wa madalaka ,kumbuka hao wana kujaza kichwa ina tosha huna jipya
Miaka 20 yatosha waachie wenzio... ubaki mshauri wa chama
Ww huna lolote unatuingiza chaka unavyochukua hongo
Mbowe wasikudanganye hao viongozi ,, watanzania wamekuchoka huna mvuto
Salum tena kachokwa kwelikweli hana jipya njoo mitaani uwasikie wanachama wao huyo kazi yake kulamba asali
MH. FREEMAN MBOWE STAFU ULINDE HESHIMA YAKO, UMEONGOZA CHAMA MUDA MREFU
Kama umepigwa mishale wachiye na wengine mbona unang'ang'aniya sasa.
Acha ujinga wewe tunakufaha ni kada was fisiem
Mimi nadhani, wakati umefika mh.Mbowe pamoja na mazuri yote aliyokifanyia CHADEMA, aseme, enough is enough. Miongo miwili kuwa madarakani wewe tu, haileti afya hata kama kutakuwa na maneno matamu kiasi gani.
Mbowe tafadhali usichukue fumu
Lissu hajatukana niwasuwasi wenu kwasababu mnataka kuwaleta COVID 19
Hata kama ni Bora kiasi gani lkn miaka 20 mingi sana mzee ni heshima kushuka jukwaani huku mashabiki bado wanakuhitaji 20 miaka mingi sana daaah
Huu ni uongozi wa chama siyo wa nchi,,, wapo Marais wameongoza zaidi ya miaka 30 na Bado wapo madarakani.
MIAKA 20 BADO UNANIA TU KWA NINI USIACHIE WENZIO NDO MCHUKUE NCHI MTAACHIA KWELI KAMA CCM TU MWENYEKITI MIAKA 10 WEWE NJE HATUKUELEWI MAONO YAKO
Madaraka ni matamu sana,,, yoweri kaguta museveni yupo madarakani Kwa zaidi ya miaka 30 Sasa.
Angepumzika TU apishe wengi ne.kwa sababu wao ndio wanatuongoza kwa ajili ya kuwatoa walio madarakani kwa muda mrefu Sasa yeye miaka 20 Bado akigombea Tena nasi tutabakia na Ile zana kuwa kumbe hata waliopo madarakani wanatakiwa waendelee kuwepo .
Mamluki wengi wameornyezwa ili kuharibu huu uchaguzi. Nakuomba Mbowe hakikidha ins watu wa kukupigia kura ili hawa wasaliti tuwamalize.
Mwachilie Lissu itapendeza na kuonyesha ukomavu....
Mzee wewe ni mtu mwenye hekima hivyo tumia hekima kwa maslahi ya umma
MBOWE tunaomba mwachie LISU nae aongoze tunashukuru ulipotufikisha pana tosha ukigombea tena chadema inakufa tunaona usizoee yaliyopita hii ni kubwa kuliko
Mbowe kaa na lisu muyamalize
Mweshimiwa mbowe asante ila tunakuomba mwachie lisu
Mbowe pumzika tu waachie wengine.
Sasa wewe hutaki kustaafu au vipi au ni wa maisha?
Umesema umekwisha toa umsamaha Tena unarudia kusema ni ushamba hayo sio maneno mazuri
Haupo hapo kwaajili ya kihukumiana tumia hekima na ukomavu wako kisiasa kunyanaza nako ni hekima hivyo kwa maslahi ya chama jifunze kunyamaza pia kaa pembeni wengine wakupokee Kijiji hicho ndiyo demokrasia
Miaka 20 inatosha waachie na wengine. Mbona huna demokrasia kutwa kucha unawasema CCM mbona wanakuzid sana😎😎
Kiukweli Mbowe ni kiongozi mwenye hekima na anajua sana siasa,,,ila kwa sasa inaonekana ili kulinda heshima aliyoijenga,,angestaafu kwanza abaki kuwa mshauri wa chama,
Wote wanaimba biti za ccm
Tunashukuru sana mwenyekiti wetu ila stafu heshima ibaki kuliko kushindwa
Mzee acha kulalamika mbowe wapishe wengine pia usilipe kiasi kwakujihesabia haki shuka nyenyekea Mungu atakuinua
Swala la msingi na lenye tija Tutajuwaje swala la rushwa inayotajw na Makamu mwkiti taifa?. Je tunahitaji uchunguzi hata wa kimataifa?
Mbowe ng'atuka wasikudanganye.ukigombea tu chama kinakufia kitapoteza matumaini
Pumzisha akili kidogo bos umepambana
Hapo unamsemea nani kwenye vyombo vya habari unaongea kumfaidisha nani
Kumbe ni chama chako
Mh mbowe tunakushukuru sana kwa kukijenga chama chetu kwa mateso makubwa na jasho jingi sna,tunakuomba sana mzee wetu hii Legance uloijenga kwa miaka hii yote ungesitaafu tu kwa heshima mzee wetu.,maana hata mzee nyerere aliwahi kushawishiwa hivi hivi na watu walojiita wanampenda Ili asing'atuke kumbe walitaka washibishe familia zao🙏
Umepigana vita ila inapendeza umwachie lisu utakuwa na heshima sana kwa jamii ya watanzania
Ninachohitani kuwa wekeni upendo sawa sawa na 1kor 13:1-8
Stafu mzeee.
Nakukubali mh Mbowe staafu Kwa heshima mtakigawa chama
Uwongo unaousema ni uwongo gani Mh. Mbowe??? ....ninakukubali sana kiongozi wangu, lakini sasa inatosha, pumzika kwa busara zako na uachie kiti kwa wengine nao wakiendeshe chama kutoka ulipokifikisha kwenda mbele zaidi.
Kwa nini apumzike
@@anastahiliutawala3879kupisha damu changa iendeshe chamba
Inatosha kweli umekaa sana kwenye chama waachie wenzio sasa
Mzee wetu pumnzika
Uenyekiti wa chama tu hung'atuki. Je ukiingia ikulu?
Mbowe muachie lisu tuone. Akishindwa utaendelea
Sehemu kubwa umevuruga chama kaa pembeni linda heshima yako umetosha
Si utoe jibu unasababisha ugomvi. Mbowe una drama nyingi
Muache mwenzako ajaribu tena kama unaipenda hikichama
Mwenye akili timamu hawezi kubaki kwenye hiki chama tena, Kwa sasa kinakera HABARI ya mjini ni MAMA SAMIA
Kaka mbowe miaka ishirini katika uongozi,ni mingisana! Tunatambua mema mengi uliyofanya.Lakini wape na wengine nafasi watoe mchango wao.utakuwa umeilinda heshima yako vyema.
Sasa mbn unamuharas lisu muache naye agombee we hurizk
Kilee chama kwakuiachia nafasi kwawenzio maana kung'ang'ania madaraka nikutuaminisha kwamba kumbe upo kwenye biashala yaki siasa!Lissu hahongeki yupo neutral.
Mzee mbowe usiigawe chadema tafadhari sana
Chame boy na Saccos yako endelea Kuwa-hadaaa hao watu lakini wewe si mpinzani Bali unafanya bishara kwenye siasa.
Dw. Mbowe ni mtu mwenye busara sana. Naamini, baada ya kutafakari kwa kina, na kwa manufaa mapana ya chama, ataamua kutogombea.
Upuuzi mtupu huo fomu c kuchukua tu tatizo likowapi mpka kufanya yote hayo. C kachukue tu fomu kama Lissu. Wacheni kupotosha umma bhana
Mbona hujatamka haya mapema mpaka mlivyoanza kuparurana unaongea haya tutajua tu chama utakidondosha hicho ulitakiwa kupumzika ili kudhirisha ukomavu pia
Ukishinda uenuekiti itakuwa kiongozi wa viongozi waliokufuata kukushawishi.kila mwaka utakuwa unaongea hayohayo.tukilinse chama Kwa wivu mkubwa
Mkikosea mkamrudisha mh. Mbowe awe mwenyekiti na chaðema itakuwa kama NCCR CUF na vyama vingine vilivyo wahi kuwa vyama vikuu na vikapotea, mh. Lisu anafaa sana kuwa mwenyekiti asante.
Mungu akubariki sana
Chama siyoyako niwote kama mdaumefika wachie wengine
Mbowe umetawala miaka 20 bila mafanikio ya Kubadili katiba ya tume ya uchaguzi Hadi Leo yatakayo tangazwa na mwenyeki wa tu hakuna kuyahoji hata mahakamani
Mimi ni mchaga mwenzio nakuomba upumzike kaka
Nikiona *chama changu* kinaenda kuzamishwa kamanda naingia mzigoni
Kweli ni chama chako, huwezi kukiacha kwa mtu!
Mobutu seseko.....
Mzee uchaguzi wa mwaka huu ni uchaguzi wa huru na haki
Kama una kipenda chama pisha na kama utakomalia unakivunja mwenyewe
Maneno aliyosema anampango wa kugombea
Mimi binafusi naona wangesubili uchaguzi mkuu upite ndio chama wafanye uchaguzi wa ndani sababu uchaguzi huu Bira mwenyekiti mwenye msimamo na busara na hekima mbowe anatakiwa atuvushe badae Lisu atachukua uwenyekiti anao utaka
Hakuna sababu ya kusema kuwa umefikiwa na watu wengi
Mbowe anguko lako liko wazi
Leo ndo nimeamini yale yanayosemwa kuwa CHADEMA ni mali ya Mbowe na genge lake. Na kama atagombea basi bila shaka hiki Chama kitakuwa hakifai kabisa. Mbaya zaidi kuwa wafuasi wake wanaongea mambo ya haibu kama hamna shida na ukomo wa madaraka basi hamhitahi ata Katiba Mpya.
Upumzike sasa.kidogo kaaah
MWANADEMOKRASI 😂😂😂
Mzee kila mmoja amhesabu kuwa ni bora
Hatukutani sisi wengine inatosha mbowe, tulia tulia husiwe kama mseven, aisee
Nivigumu sananahaowezekani kubadi kiomgozikatika mpambano yakudai uhuru hatuwezi kifanikiwa fuatlieni historia hiyoni njama ya ccm jiangalieni
Mbowe wewe ni kiongozi una sifa za kiuongozi,una hekma za kiuongozi,naamini kwa sasa bado hujatengeneza chairperson wa ngazi ya taifa mwenye weledi wa kutosha kuhudumu ktk nafasi hiyo!.
Mm sio mwana chadema ila naona chadema ikiwa Salama zaidi chini ya kamanda Mbowe!.
Nakushauri mbowe usichukue fomu.wapishe wengine
Tunahitaji umoja Mzee
kwanin usiachie kuna nn kizur zaid ya kutetea maisha ya mtanganyika
nakwambia mwasheni mbowe asingombee maana siasa yake imepowa sana na Mzee umri umekwenda
Wewe unawadanganya hao wenzako. We ni nan bhana? Achia Tundu Lisu naye akiongoze chama hicho, kwani ukifa chama nacho kitakufa?
Kinaonekana CHADEMA napitia njia iliwafikia NCCR na CUF.
Kwaiyo huyu jamaa bado anaiman hiki chama ni chake.
Nyie mnaocomment kama ni wanachama kapige kura sasa
Mzee akigombea kaua chama kama unabisha agombee wananchi tunajua tunachotaka Yeye Tunamshukuru Awe mlezi
Hizi nyimbo za kukopi kutoka chama tawala ni kiashiria tosha kuonesha Chadema mmekosa ubunifu na hatajiandaa kuongoza nchi
Lissu ndo mwenyekiti anayehofiwa na ccm
Mbowe anahekima sana
Unayesema Mbowe amwachie Lisu ukishindwa kusemaakuachie wewe tafakali kauli za Lisu aliyeshiriki kujenga chama mpaka hapo kilipofikia anadiliki kusema chama kinatakiwa kufanyiwa maboresho kana kwamba hakuwemoNamfananisha na msigwa kauli zake mnazchukuliaje.
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kinayumba baada ya mwanachama kutangaza kugombea Uwenyekiti 😂
Ulikuwa pale 20 years and did nothing than malalamiko yasiyo na suluhu! Kura zinaibiwa wagombea wamekatwa ovyoovyo you did nothing! Leo tunabunge bovu kuwahi kutokea! Ulifanya nini?
Ni kheri ungestaafu TU.
Ama sivyo chama ni cha Kaskazini TU ijulikane!
Mimi nadhani hizi ni drama tuu! Wanajua wanacho kifanya na mwisho utaelewa mchezo!! Wanafanya makusudi ili kukwepa baadhi ya mishale😂😅
Mzee hakuna mtu anapinga mema yako, miaka 20 kama unahisi kuwa bado chama kinakuhitaji maana yake unatuambia umeshindwa kutengeneza viongozi wa kurithi hiyo nafasi, unatuambia watu wasijenge hoja kwa uongo lakini hujajibu hizo hoja za msingi alizotoa wala hujautaja huo uongo aliusema na kutuambia ukweli ni upi... achana na hao chawa waliokujazia nyumba isikilize familia yako! IMETOSHA!
Mbowe chukua fomu kurandiyo zitaazoamua kuchukua fomu ni jambo moja kuchaguliwa ni jambo lingine atakayeshinda kwa kura ndiye anayefaa kura inaondoa mashindano
Kenge wewe acha kung'ang'ania chama mbwa wew
Mboe ni kiongozi Bora na sio Bora kiongozi
Unapaswa kupumzika mengi mazuri umeyafanya lakini kidemokrasia pumzika wengine waongoze image ya chama inachafuka sababu ya wewe kuendelea kuwa mwenyekiti inatosha
Mbowe kwa ushauri wangu staafu safeguard your legacy
Mnasemaje angatuke kabla ya uchaguzi? Yaani tuikanyage Katina yetu wenyewe? Kwani kakuambia akishindwa ataenda mahakamani? Nadhani mnaofiliria kuacha uongozi kabla wapiga kura hawajaamua ni mawakala wa maadui wa Chadema. Demokrasia ni kuchaguana Kwa uhuru na haki na kukubaliana na matokeo ya haki.Msisahau kwamba siyo Mbowe na Lisu tu ndio wanaotakiwa kugombea hiyo nafasi.Chukueni fomu mkapambanishwe na wanachama. Anaweza kupatikana mwingine badala ya hao wawili na chama kikaimarika.
Chadema ishakuwa ya mbowe kama cuf ya lipumba