LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU "Usiende Dodoma, Utapigwa RISASI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU "Usiende Dodoma, Utapigwa RISASI"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 709

  • @KipazaOfficial
    @KipazaOfficial ปีที่แล้ว +18

    Nikiziangalia hizi sura naona Kabisa kuna siku zitachoka maisha magumu na propaganda za watawala na kuaminishwa umaskini ni haki yao…naomba siku hiyo Mungu asimame upande wa wananchi🙏🏿🙏🏿😢😢

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 ปีที่แล้ว +27

    Eti ... Nimerudi Kwa wito wa kuipigania nchii.....Eti nikampigia Kikwete.....Eti wasiliana na Mama....
    Siku Moja mtamtaja tu aliye..muua JPM... Katika maneno ya siasa zenu za kutaka kuiiba Tz... Iwe heri Kwa watz

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 ปีที่แล้ว +2

      WATASEMA TARATIBU

    • @neemamwandoto8293
      @neemamwandoto8293 ปีที่แล้ว +1

      Wauwaji hao hawana lolote wenyewe naona walitaka wamuue mapema alivowagundua walitaka atafute mbinu gani wanabahati hao ipo siku yao

  • @dickaugustino8238
    @dickaugustino8238 ปีที่แล้ว +23

    Ila lema unapaswa kuja na mipango mizuri ya namna ya kuikomboa nchi kiseera na sio kusema habari za magufuri, coz he was the best than ever to most of tanzanian 75%

    • @japhetkasenga8686
      @japhetkasenga8686 ปีที่แล้ว +1

      Hujawahi kuwa humiliated ndio maana unaongea huu upumbavu

    • @ibrahimsengo2506
      @ibrahimsengo2506 ปีที่แล้ว +2

      Kwann cdm mtu akiwa tofauti nanyi lazima neno mpumbavu, mjinga nk yaan mnataka uhuru ambao amtak wengine wawe nao

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +1

      @@japhetkasenga8686 humiliated?
      tunaelewa uzito wa hilo neno?
      watanzania wengi wamekuwa humiliated kiasi cha kutosha. hivi utasamaje mtu anapochukua hela za walipa kodi anazichezea na familia yake na watu wake? mtu unalipa kodi halafu ukienda hospital unadhalilika huduma hakuna mara dawa hazipo wakati kodi unalipa. halafu unawaona wengine wakiugua kidogo wanakimbilia nje ya nchi kutibiwa kwa pesa hizo hizo za wananchi wengine. hayo si yainatokea na yanaeleweka? huo ni nini kama siyo udhalilishaji?
      yapo mengi ya udhalilishaji yanafanywa hatuwezi kuyataja yote hapa.
      jamani tuacheni wengi wetu tumevurugwa. tunauguliwa na mzazi wetu mzee halafu ameenda hopt matibabu hakuna.....unataka mtu tujisikiaje? wakati kodi na hela za miamala tunakatwa kila siku.
      si afadhali huyo yuko ughaibuni na family wanakuja raha na matibabi ya bure?

    • @dorisfabian4776
      @dorisfabian4776 ปีที่แล้ว +1

      Yaani wewe ni mpumbavuuuuu natamanigi wafuasi wa magufuli nao wamfate huko aliko wakachomeke pa1 na mshenzi yule

    • @chundabadsingasinga3130
      @chundabadsingasinga3130 ปีที่แล้ว

      Huna akili

  • @teddyshedafa2940
    @teddyshedafa2940 ปีที่แล้ว +5

    Pole baba mungu akupe maisha marefu zaidi sipo kilimanjaro bali nipo pamoja na bawacha wenzangu toka kanda ilala kata segerea pepooooossss

  • @mokiaolenaputu7648
    @mokiaolenaputu7648 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kamanda Lema. Herode amekufa, Yesu amerudi Galilaya injili inaendelea

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +4

    watanzania wamechoka maneno matupu wanataka maisha bora yenye uhakika wa chakula, elimu bora, mavazi na matibabu bora.
    Porojo hazisaidii lolote zimeweza kusaidoa wewe kuishi vizuri na familia yako ughaibuni. watu wengine nao wanataka maisha mazuri pia.
    Lets sera zenye ubora na ubunifu kaka Lema. Tumechoka hadithi.

  • @robinsonrespicius2713
    @robinsonrespicius2713 ปีที่แล้ว +15

    JOHN WAS A DECISIVE MAN A HIGH CALLIBER MAN
    NO ONE IN CHADEMA OR IN CCM HAVE THE STRENGTH THE RITHLESSNESS OF JOHN
    JOHN MAGUFULI IS AFRICA ITSELF
    KUJARIBU KUMSEMA ETI NI MWENDAZAJE SIJUI NI NINI
    NA HUKU MAMBO YAMEBADILIKA MIFUMUKO YA BEI KUSHUKA THAMANI KWA SHILLING , MAISHA MAGUMU
    HUWEZ KUICHAFUA OIL CHAFU ULISHAAMBIWA NA KONK MASTER
    VIVA JOHN

  • @nice58765
    @nice58765 ปีที่แล้ว +28

    Did not know Prof W was involved in helping him, God bless you Prof.

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 ปีที่แล้ว +2

    Duuu!!! Wajakoya ni mwamba saanaaaa , Asante Prof wajakoya

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +6

    ulishafanikiwa kujenga nazingira ya kwenda nje kupata ukimbizi wa kisiasa na familia yako mko poa saa hizi...elimu bure chakula na mavazi bure na malazi bure. Wengine hapa kwetu wanateseka namna ya kupata milo miwili kwa siku.
    Njoo na sera zenye ubunifu wa kupata unafuu wa maisha. watu wamechoka maneno.

    • @mahnalamry
      @mahnalamry 5 หลายเดือนก่อน

      Hadi leo mke na watoto bado wako Canada

  • @modycadabra8721
    @modycadabra8721 ปีที่แล้ว +33

    Tupe maneno achana na Jpm mana cc hatutakuelewa hata kidogo

    • @cavonboyblogger1995
      @cavonboyblogger1995 ปีที่แล้ว +1

      Akili huna

    • @modycadabra8721
      @modycadabra8721 ปีที่แล้ว +2

      @@cavonboyblogger1995 yah inawezekana nikawa cna ila tunataka Sera co kumsema marehemu

    • @sirkingsky108
      @sirkingsky108 ปีที่แล้ว

      @@cavonboyblogger1995 asee

    • @bockerbocker8495
      @bockerbocker8495 ปีที่แล้ว +2

      Ukiwa na ubongo wa Kuku hautamuelewa

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 ปีที่แล้ว +1

      Hakika cc hatumwelew

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 ปีที่แล้ว +30

    Nawaza sana enzi za uhai wa gadafi,
    Wananchi walikua hawalipi kodi, umeme,ada ya shule na vyuo,na matibabu ni bure,na ukitaka kuoa unapewa pesa ya mahari na unapewa nyumba bure,na pesa ya kujikimu hata kama hauna kazi, ila pia libya walikua hawana huu ujinga za siasa za kihayawani! Lema punguzeni ulevi,kabla hamjaongea na watu! Maana watanzania wengi wana akili sana siku hizi!

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 ปีที่แล้ว +2

      Akili? Gan 😂😂😂

    • @truthnafact9081
      @truthnafact9081 ปีที่แล้ว +1

      Watz wote wanazo ila zako umeziacha chooni

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 ปีที่แล้ว

      @@truthnafact9081 ww ndio ulinipelekea

    • @evancemapunda9512
      @evancemapunda9512 ปีที่แล้ว +1

      Na walipojaribu siasa za kihayawani ikala kwao mazima.

    • @truthnafact9081
      @truthnafact9081 ปีที่แล้ว

      Moto hapana ulipelekewa na watz wengine

  • @mwitawambura2548
    @mwitawambura2548 7 หลายเดือนก่อน +5

    Chadema mnatakiwa mmteuwe God bless lema awe karibu wa itikadi na uwenezi wa Chama chenu
    Huyu jamaa ana madini mengi kweli kumzidi yule mlie nae
    Huyu ndo ataweza kupelekeana moto na makonda

  • @khatamiyusuphsakala-wi8sc
    @khatamiyusuphsakala-wi8sc ปีที่แล้ว +18

    Hapo Kwa kikwete na lema na mama Kuna jambo katikati yaan unapigiwa simu kuambiwa mwenda zake ameenda nataka kurudi nyumbani hayo maneno yana ulakini ndani yake mtalipwa kama mlimfanyia rais wetu sisi wanyonge

    • @japhetkasenga8686
      @japhetkasenga8686 ปีที่แล้ว

      Liseme hilo jambo, unalolijua acha porojo,

    • @ibrahimsengo2506
      @ibrahimsengo2506 ปีที่แล้ว +1

      Mungu atalipa

    • @neemamwandoto8293
      @neemamwandoto8293 ปีที่แล้ว

      Wauwaji hao wewe kuwapa kula hao Bora ni sawa na umempa kula simba

    • @mustaphamasobe8343
      @mustaphamasobe8343 ปีที่แล้ว

      Hata Yesu alikimbiziwa misri mpaka Herode alipo kufa

  • @jeradbendiliba3828
    @jeradbendiliba3828 ปีที่แล้ว +35

    Gwajima he is man of God

    • @mbwanarajab4756
      @mbwanarajab4756 ปีที่แล้ว

      No he is a man of sattan

    • @ahz6907
      @ahz6907 ปีที่แล้ว +1

      Are u sure?😅

    • @jeradbendiliba3828
      @jeradbendiliba3828 ปีที่แล้ว +1

      @@mbwanarajab4756 😂😂😂 Oky time will tell us

    • @mwigarleysaid5406
      @mwigarleysaid5406 ปีที่แล้ว

      @@ahz6907 Ok What about you 🤦🏼‍♀️🤦🏼‍♀️

  • @pendojeremiah1023
    @pendojeremiah1023 ปีที่แล้ว +2

    Muacheni RAISI WETU KIPENZI MAGUFULI apumzike kwa amani ukweli huwa unachelewa ila uongo ni rahisi kutapakaa mnamuhukumu mtu pasipo jua,kwa kazi aliyoifanya magufuli hawezi kukosa maadui kwasababu ni mtu alikuwa na maamuzi bila kuyumbishwa na kupelekeshwa pls mmeshamuua basi mwecheni Apumzikr time will tell R.I.P MAFUFULI😢🙏

  • @turabiturabishekilindi1210
    @turabiturabishekilindi1210 ปีที่แล้ว +13

    Wote njia moja.angalieni Mambo ya kujadili maisha magumu huku hatutaki hayo Mambo yenu tena mnatutonesha vidonda r I p uncle magu tutakukumbuka daima, dad ata mungu alimwambia mtume ole wako upendwa na kila mtu

  • @happymwaluko8779
    @happymwaluko8779 ปีที่แล้ว +5

    Prof Wajackoya salute kwako

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +34

    Ama kweli siasa ngumu. Yaani JPM ameondoka miaka miwili sasa lakini watu bado wanaweweseka hawaachi kutafuta namna ya kupanda ngazi kwa kutumia mgongo wake. kweli JPM hutaweza kufa akilini mwa watu...utaishi milele.

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 ปีที่แล้ว +2

      Mmh maovu hayasauliki, hawa pia ni watanzania

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 ปีที่แล้ว +3

      Mtu kuwa mzuri kwako haina maana ni mzuri kwa wote. Je maguful hakutoa tamko vichomw vifaranga

    • @innocentmtashobya1257
      @innocentmtashobya1257 ปีที่แล้ว +2

      Wajinga ni wengi nchi hii..mtu anaelezea yaliyomkuta ww unaleta mahaba uchwala..ma Rais wamepita wangapi?.kwa nn ni Magufuri ndo anasemwa vibaya peke yake..acheni uzuzu..Tatizo ni ukayumba..haya ni masuala yanayoitaji uelewa

    • @godsson5954
      @godsson5954 ปีที่แล้ว +2

      mtoto wako akibakwa utasahau aliyembaka hata ikipota miaka kumi? omba Mungu tunapaswa tuipende sana nchi yetu na Raisi wetu wa sasa ana upendo wa dhati sana na sana tofaut na aliyepita

    • @troyano_22
      @troyano_22 ปีที่แล้ว

      Ataishi kwako tu.

  • @meddymushmaz551
    @meddymushmaz551 ปีที่แล้ว +11

    Wewe ukianza kungea mambo ya JPM hapo ndipo mnapokwama shenzi, kwanza sisi hatuwatambui nyinyi ni matapeli wakisiasa

    • @happinessmwenda2773
      @happinessmwenda2773 ปีที่แล้ว

      MUNGU HAONGWI WALA HATUKUZI MWANADAMU

    • @Omary_Mjema
      @Omary_Mjema 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli ujinga mwingi sana aisee yani mmeanza kuabudu watu sasa na mabaya yao aiseee

  • @abednego3876
    @abednego3876 ปีที่แล้ว +4

    NYIE NA MAMA SAMIA NA KINA KIKWETE NI KITU KIMOJA, HI MIKUTANO MMERUHUSIWA ILI MUMMSEME JPM ILA TAMBUENI MWAKA MMOJA WA URAISI WA JPM NI SAWA NA WA SAMIA MIAKA 10

    • @pendojeremiah1023
      @pendojeremiah1023 ปีที่แล้ว

      NImepata picha kwann raisi wetu alikufa ila Mungu atatulipia

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +1

    Jamani chadema hivj like neno lenu mliloanzisha la UFISADI limeishia wapi?
    Mbona huo msamiati umetoweka kabisa midomoni mwenu. Habari yake ikoje?
    Kwanini mnaliogoa kulitamka hilo neno? Au mnataka kusema ufisadi umeisha?
    Tupeni majibu jamani hatujasahau.
    Ilikuwa neno lililowapa umaarufu nchi nnzima.
    Sasa limeishia wapi?
    mnatuacha na maswali tutayafufua kipibdi cha uchaguzi sababu hamjatoa majibu.

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +1

      wanajipoteza sababu wao wenyewe ndiyo ma..... wenyewe. neno limewageukia wenyewe

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 ปีที่แล้ว +6

    Yaan kwa sasa hv ukitaka kuwatibua watanzania mkashifu magufuli

  • @yusuphchankwa4759
    @yusuphchankwa4759 ปีที่แล้ว +19

    Hata mumseme vibaya vipi magufuli wetu au magufuli wangu hamuwezi mkamfuta ndani ya moyo wangu

  • @BGHaule
    @BGHaule ปีที่แล้ว +29

    Professor Wajacko is the real man

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 ปีที่แล้ว +15

    ASALI MMELISHWA NYIE
    USITUPIGIE KELELE
    SI UMERUDI WALIOKUITA
    WAMEKUAGIZA UJE KUTUPIGIA KELELE. KWENYE MAJUKWAA YA SIASA
    MAGUFULI NI KIPENZI CHA WATANZANIA WALIO WENGI ACHA KUMCHAFUA JINA .

    • @lukemelyemposola885
      @lukemelyemposola885 ปีที่แล้ว

      Hawa ndiyo wanafiki kweli nahisi ndo waliyo muua kwanini mnazungumza na mtu ambaye Wala hayupo halafu Dunia nyie hamjaona mataifa yaliyo mwaga damu hayo mbona utani sana maendeleo nikazi kubwa sana siyo hivyo vimaneno acheni kutudanganya magufuli hata afufuke Leo tunampa kura siyo nyie mwacheni rais Samia aongoze nchi nyie Bado hamjakomaa yenu makelele tu hamnajipyaaaaa Hanna sera njaa tu

    • @deogratiuswambura7597
      @deogratiuswambura7597 ปีที่แล้ว

      Lema aya unayo yasema usizani magufuli akuacha watu hapa inchini ipo siku nyie na uyo kikwete wako mtaondoka

    • @deogratiuswambura7597
      @deogratiuswambura7597 ปีที่แล้ว

      Lema kwa maneno hayo hauna rorote unabwatuka turetee siasa ulio jifunza uko

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว +20

    MNAJISUMBUA HAMUWEZI KUFUTA LEGACY YA NYERERE +JPM LAANA ITAWATAFUNA. NA HUYO BI TOZOOOO WENU.,NONSENSE

  • @solomonpeter1824
    @solomonpeter1824 ปีที่แล้ว +69

    Hapa ndo utajua mbivu na mbichi. Na kukimbia kote kama unavyotudanganya, hakuna ulilojifunza umerudi kwenye nchi yako bado unamtukana na kumdhihaki Hayati Magufuli. Mungu hadhihakiwi cha msingi ukipata nafasi ya kutoka kujifunza nenda jifunze rudi tuambie cha maana na nn cha kusema. Huo umati wote wanakushangaa sana kaa chini tafuta namna ya kuongea na watu. Pia epuka kuwachonganisha viongozi wastaafu kama walikusaidia ni jambo la kusema asante na siyo kuweka hadharani, mm cyo mwana siasa bali mzalendo naipenda nchi yangu but sipendi kusema uongo na nawaheshimu viongozi waliopo na waliotangulia

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 ปีที่แล้ว +3

      Pole

    • @samsonfulgence5553
      @samsonfulgence5553 ปีที่แล้ว +11

      Mfuate Chato kama unamtaka.

    • @WildStanley01
      @WildStanley01 ปีที่แล้ว +16

      @@samwelimoshi5614 Amekudanganya nini sasa..kwenye hii dunia kunamtu ambae hajui kua mwendazake alikuwa anaonea upinzani ?

    • @geofreylucas7870
      @geofreylucas7870 ปีที่แล้ว +3

      Hawawezi kukuelewa hawa bado watakupinga sana

    • @simonballu1124
      @simonballu1124 ปีที่แล้ว

      nenda chato mpumbavu wewe na usenge wako.

  • @minskbelarus7255
    @minskbelarus7255 ปีที่แล้ว +8

    CHADEMA bana, unaweza kuwasikiliza na ni sawa na kuangalia OTTOMAN 😝😝😝😝😝😝

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 ปีที่แล้ว +2

    Ukitaka kujua Watanganyika wengi Mazezeta soma comments Ukitaka kuwatawala watu wanyime elimu bora watie umaskini 🤣🤣🤣😅

    • @margrethvegula-wc7px
      @margrethvegula-wc7px ปีที่แล้ว

      Kuwa na elimu haimaanishi una busara Kuna watu wengi tu Wana pesa na elimu ila bado ni bogus

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 ปีที่แล้ว

      @@margrethvegula-wc7px umefahamu nilichokiandika??

  • @kilalamuhumba4612
    @kilalamuhumba4612 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kama mnataka uongozi ombeni kistaarabu acheni uongo bwana! Mama anafanya kazi vizuri mbona! CCM OYEEE

    • @Imaniamockgmail
      @Imaniamockgmail 6 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +5

    Bwana Lema we mwache JPM amepumzika kwa amani. Sikufichi wapo wengi walimpenda sana na bado wanaomboleza kuondoka kwake. bado watu wana maumivu rohoni.
    Hii inakuondolea ushabiki.
    we kazania na mambo yajayo achanna na yaliyopita hayakujengi.

    • @BGHaule
      @BGHaule ปีที่แล้ว

      Aisee watu wengine ni heri wakae kimya,kwani hakuna mtu alikuwa anaona nini kinaendelea

  • @luganojohn2673
    @luganojohn2673 ปีที่แล้ว +40

    Leta mpango kazi wa kutatua matatizo ya watanzania acha story nyingi mambo yamebadilika

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 ปีที่แล้ว +3

      LAZIMA APIGE KITU KIZITO KWANZA VICHWANI MWA WAJINGA KISHA ALETE POROJO SIASA

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 ปีที่แล้ว +3

      Kaa na matatizo yako mbwa ww mbn ww hutaki kusikiliza matatizo yake

    • @machintangachibwena5922
      @machintangachibwena5922 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 ปีที่แล้ว +1

      @@jeunajuatv817 hayatuhusu

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 ปีที่แล้ว +2

      @@mohammadoman8963 yenu pia hayamuhusu

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 ปีที่แล้ว +3

    Dah! Hivi kumbe baada ya Magu kufa Rais alibaki kikwete? Ukiunganisha haya ya Lema na ya Kikwete msibani chato unapata maruweruwe... Bora waanze ukurasa mpya, kuendelea kumtaja JPM watajikuta wamesema yote waliyoyafanya na nchi itakuwa ya moto

  • @ramadhanimtambo6755
    @ramadhanimtambo6755 ปีที่แล้ว +22

    Watu wamepata taabu sana halafu wakiambiwa ubaya uliopita hawakubali. Tuombe mungu sana tuwe na amani

    • @kawiche4911
      @kawiche4911 ปีที่แล้ว +7

      Na mkiambiwa uzuri hamuamini
      Jpm
      Shujaa wa Afrika Acheni kumchafua jina
      Kauzeni madini mdanganye ni Mchanga
      KAUZENI BANDARI YA BAGAMOYO KWA WACHINA
      WATANZANI SIO WAJINGA

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 ปีที่แล้ว +3

      ​@@kawiche4911 wewe ni mjinga kuliko mwendazake

    • @joegemihayo8625
      @joegemihayo8625 ปีที่แล้ว +2

      @@marcokaroje8980 Sio mjinga tu ni mpumbavu wahedi

    • @otmanmbwilo9117
      @otmanmbwilo9117 ปีที่แล้ว

      @@marcokaroje8980 ww unaakili kwahiyo

    • @lukafbbwebelof3874
      @lukafbbwebelof3874 ปีที่แล้ว +3

      Wanao kataa kazi za MAGUFULI, wanalinganishwa na mzimu ulio hai

  • @emmabrownmissana6996
    @emmabrownmissana6996 ปีที่แล้ว +21

    Kumbe we ni zaidi ya mjinga!

    • @Aida-qh3jq
      @Aida-qh3jq ปีที่แล้ว

      Huyu Mzee ana akili zilihama au ukimwangali hivi hayuko sawa

    • @hilaliusjohn8386
      @hilaliusjohn8386 ปีที่แล้ว

      Kumbe wewe ni zaidi ya kahaba

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 ปีที่แล้ว +2

    🤔, makubwa pole, Mungu ni mwema 🙏

  • @charlesmazigo8106
    @charlesmazigo8106 ปีที่แล้ว +6

    Lakini Cha ajabu lissu mwenyewe aliulizwa kuhusu kuambiwa na gwajima kwamba asiende Dodoma na atapigwa risasi ,na alikana kuambiwa jambo hilo,so Mimi sielewi

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 ปีที่แล้ว +14

    Watz hapo wanasikiliza story

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +1

    yaani kwenda kote nje tulidhani amrkuja na habari za maana atupe maarifa ya kuboresha hali zetu za kimaisha kumbe karudi kama alivyoondoka ni maneno yaleyale yasiyo na mpango kwa wananchi. Hizo story zake sisi zianatuhusu vipi jamani?
    Lete sera za maendeleo ulizojifunza huko kwa wenzetu.

  • @rajihijarajihija8371
    @rajihijarajihija8371 ปีที่แล้ว +10

    Polesana kaka yetu

  • @simonlulenga7062
    @simonlulenga7062 ปีที่แล้ว +2

    Hii nchi bwana! Mlikosea sana kumkabidhi rungu chizi. Shukuruni Mungu aliwaona watanzania akamlaza pema peponi.

    • @rechalbarama6758
      @rechalbarama6758 ปีที่แล้ว +1

      kila mamlaka yatoka kwa MUNGU ,,, ukituliza akili utagundua una matatizo ya kuto fikili vema na kutoa majibu sahihi

    • @gilmangeorge366
      @gilmangeorge366 ปีที่แล้ว

      @@rechalbarama6758 acha zako ww unataka kusema iddi amini,adolf hitler,benito musoni,wale madikteta walioua watu nao mamlaka zilitoka MBINGUNI

  • @juliusjames4768
    @juliusjames4768 ปีที่แล้ว +1

    Acheni kutumia hisia na matako kufikiri kwenye mikutano yenu...someni alama za nyakati,..Njooni na strategies mpya za kuwakomboa watanzania..Mkikaa kumuongelea magufuli mtaangukia pua.

  • @philipngeso8883
    @philipngeso8883 ปีที่แล้ว +13

    Mungu bariki wajakoya

  • @lovierlion-vs9rn
    @lovierlion-vs9rn ปีที่แล้ว +12

    Ila mbowe n jasiri na ana Mungu

  • @omaryidd4373
    @omaryidd4373 ปีที่แล้ว +16

    lema mungu akuongoze

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 ปีที่แล้ว

    Wewe Unazengua jambo Moja tuuuu kushambulia watumishi wa Mungu

  • @anisabassedondi5513
    @anisabassedondi5513 ปีที่แล้ว +6

    Poleni sana,kwa yote yaliyowapata.

  • @gaspercharles4242
    @gaspercharles4242 ปีที่แล้ว

    People's power nichama kilichotupa uhuruna kilichopomadarakani hadisasa kwaridhaa yawanachi walio wengi wenyekusema power....naonimbumbukama kamahuyo heis likemoving shedow.

  • @robinsonrespicius2713
    @robinsonrespicius2713 ปีที่แล้ว +4

    yaaani sema vyote ila ukimsema JPM hapo unaonekana hauna kitu chochote

    • @WildStanley01
      @WildStanley01 ปีที่แล้ว

      Asiseme kwamba alikuwa anaonea upinzani?

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว +5

    Daah aisee kumbe huyu jamaa ame ponea kufa😭 magu alikua katili mno

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +1

      Usiwe kama benders fuata upeo bana. fikiria kwanza.
      Mbona wengine hatukufa?
      Sanasana tulifurahia tupata haki zetu mahakamani, polisi, mitaani ziilizokuwa zimeporwa na wajanja wenye nguvu. miajali ilipungua baranarani? hospitalini huduma bora na dawa zilikuwepo Nile ubaguzi, ujambazi ulitoweka na vifo vilipungua sana tena sana. Masikini na sisi tulifurahia kula chakula milo mitatu kwa siku. Matabaka ya wenye pesa na wasio nazo yalipungua kwa kiasi kikubwa haijawahi kutokea....uonevu kwa wasionacho uliondoka,
      maofisini nidhamu ilikuwepo huduma kama kazi. Unadhani hiyo ilikuwa kazi ndogo? Au hiyo kwa kutafsiri yako ni uonevu? jamani fikiti na utumie akili kabla ya kutoa comments. tusiwe kama "maji fuata mkumbo"

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 ปีที่แล้ว

      Janja yenu hiyo ya kwenda kutafuta maisha mazuri na familia zenu ughaibuni. kule mkimbizi nyumba bure, matibabu bure, chakula bure na elimu za watoto wenu bure. Mbona hamarudishi watoto wenu hapa kwenye vumbi? mnawapeleka kupata maisha bora halafu nyie mnarudi kutupiga pororjo tupu watanzania.
      Tuna macho na akili zetu jamani.

  • @hoseastephen4508
    @hoseastephen4508 ปีที่แล้ว +1

    Jiwe alikuwa nyoko wallah! Kiukweli kabisa kama angekuwepo hadi sasa wapinzani wengi either wangekuwa jeala maisha au wameaga dunia!

    • @BGHaule
      @BGHaule ปีที่แล้ว +1

      Inawezekana nchi ingechafuka,watu wangechoka

    • @BGHaule
      @BGHaule ปีที่แล้ว +1

      Mambo yalishafika shingoni

    • @adrianalex5546
      @adrianalex5546 ปีที่แล้ว

      @@BGHaule uvn0l
      Ll

  • @yawepetro2049
    @yawepetro2049 ปีที่แล้ว +6

    Jpm kumbe ulikufa kwa Sababu yetu alikufa mtetezi wetu wawanyonge😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @mbwanarajab4756
      @mbwanarajab4756 ปีที่แล้ว

      Mtetezi wa wanyonge haui wenzake

    • @dorisfabian4776
      @dorisfabian4776 ปีที่แล้ว

      Muuaji mkubwa yule na huko aliko kama hakutubuuu moto unamuwakia mshenzi kabisa magu

  • @samsonmsomi8330
    @samsonmsomi8330 ปีที่แล้ว +2

    Kwahiyo unadhani ukimsema JPM ndo tufanyeje, ngoja tukuambaie kitu ahsante kwa kuropoka, kikwete na Gwaji sio!? ngoja inyeshe tuone panapovuja

  • @nicholauspeter6278
    @nicholauspeter6278 ปีที่แล้ว

    Mnachefua sana yaan watu wazima hovyo sana hv hamuoni aibu mnayoyazungumza hapo mnajifanya watu wa Mungu kumbe utopolo tu

  • @emmanuelzwallo3933
    @emmanuelzwallo3933 ปีที่แล้ว +3

    TATIZO HAMJAJUA JINSI YA KUWATEKA WATANZANIA.WATANZANIA HAWATAKI STORY NA NGONJERA ZA KUONA ETI UMETESWA,UMEDHURUMIWA NK..WEWE WAMBIE UKICHUKUA HATAMU UTALETA MAENDELEO GANI.NA SI KUHUBILI NGONJERA NGONJERA.MAANA KILA MTU ANA HISTORY YAKE.

    • @joezeno8
      @joezeno8 ปีที่แล้ว

      Siasa za kutafuta huruma kwa Watanzania, ajenda zao wakati wa Kikwete mzee Magu alizimeza zote

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 ปีที่แล้ว +1

    God bless inform national on his living Tanzania to Canada on his arrive has spoken reality what happened on his pressure of late John pombe makufuli leadership under exelence president Samia sluu Hassan allowed them back to Tanzania now this is what God bless inform Tanzania Pablic what was happening wajacoa has play big part to solve God bless lema his life for run away from late John pombe makufuli leadership to Kenya for short time process traveling to Canada short information how he saviviving

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 ปีที่แล้ว +3

    Siasa za masimulizi.....
    Hii ni Tz bro..... Acha maneno... . Maisha yanaendelea... iwe heri Kwa watz

    • @jacksongabriel4693
      @jacksongabriel4693 ปีที่แล้ว

      Lema we nitapeli tu hamna lolote unavo mwongelea magufuli aliye acha alama kwenye nchi hii we umeacha nn kwenye nch hii zaidi ya utapel kumbe ww na kikwete lenu moja

  • @fredyosokoni7672
    @fredyosokoni7672 ปีที่แล้ว +2

    Pole Sana mpingania haki Mungu Amubariki Sana muteeesi yawengi

  • @jonaspatrick2871
    @jonaspatrick2871 ปีที่แล้ว +2

    Mlikuwa mkiuza siri za serikali kwa mabeberu ndio maana mlikimbia baada ya kushtukiwa, ongea ukweli!!!!

    • @phaustinendumbashi
      @phaustinendumbashi ปีที่แล้ว

      We ndo choko kweli,,,hizo siri za serikali wamezipata wapi au walishawahi kuiongoza nchi au unaropokwa tuh

  • @sky-wz5zi
    @sky-wz5zi ปีที่แล้ว +1

    Hawa viongozi wa Chadema wake zao wana hekaheka sana aisee 😀😀 yaan kila siku mara hili mara lile, inafikia hatua wanaukoo wanakuchoka! Ww na mumeo mkikamatwa wanaona kawaida tu 😀 najaribu kuvuta picha ingekuwa ndio mm aisee nisingeweza. Mume angeniacha abaki yeye na siasa zake.

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 ปีที่แล้ว +3

    NABII NA MTABIRI AMERUDI NYUMBA.WEWE NI YUSUFU MUNGU YUKO PAMOJA NAWE.SAUTI YA WANANCHI MAMBO YAMENOGA.MAMA OYEEEE MUNGU AKUPE ULINZI KWA WEMA WAKO.IRON LADY

  • @emmanuelkateba3545
    @emmanuelkateba3545 ปีที่แล้ว +1

    Very touching

  • @tichamawani6953
    @tichamawani6953 ปีที่แล้ว

    Kunguru mwoga ukimbiza bawale ! Pole sana dogo

  • @mariamakoye9066
    @mariamakoye9066 ปีที่แล้ว

    SIRI imeanza kutoka. mlishangilia na kuambizana aaa Lema Kikwete Samia. Mmmmm RIP JOSEPH POMBE MAGUFURI. MUNGU AKUPE RAHA YA MILELE KIPENZI CHA MIOYO YA WATANZANIA.

  • @josh_versal8180
    @josh_versal8180 ปีที่แล้ว +32

    Vijana huku chuo tunawakubali Chadema sana

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 ปีที่แล้ว +5

      wengi mtakubali ushoga pia huo ni mwanzo wanakuja na haki mpaka za kuwaruhusu vijana kutumia makalio yao

    • @stephanokaaya1881
      @stephanokaaya1881 ปีที่แล้ว

      Chuo Gani hicho aisee?

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 ปีที่แล้ว

      @@stephanokaaya1881 TUSUBIRI YA KENYA VIJANA WENGI WANATAFUTA KAZI KWA KIGEZO CHA ELIMU PASIPO UBUNIFU. KUKIMBILIA SIASA NI KWA MAANA YA KUPATA SULUHISHO LA AJIRA TU

    • @shubackmashinga3535
      @shubackmashinga3535 ปีที่แล้ว

      Zero akili chuo kinapokea hata vichaaa

    • @shubackmashinga3535
      @shubackmashinga3535 ปีที่แล้ว

      Pole sana chuo

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 ปีที่แล้ว +4

    Mmh😯😯😯😯!!
    Ni kweli haya??

  • @Jal210
    @Jal210 ปีที่แล้ว +1

    Kikwete enzi ya JPM aliufyata sasa kamtawala mama

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 ปีที่แล้ว +1

    Tumechoka Marudio yaleyale miaka nenda miaka rudi....we leta sera za maana za kujenga taifa na kuondoa matatizo yanayotukabili. mambo yako binafsi ambayo hata hatuwezi kuyathibitisha hayatuhusu jamani. sisi tunataka mipangokazi mipya ya kimarndeleo

  • @SuperCamle
    @SuperCamle ปีที่แล้ว

    Kama Movie hivi. Ulifanya vizuri kumpigia kwanza baba, lakini hata ungemtwangia mama mmoja kwa mmoja kusingekuwa na tatizo kwani sisi tumeshaelewa kuwa Mama Samia ni Mama wa wote.
    Huku umalila sisi tunasalamu yetu isemayo. Mama Samia Mama wa Wote.
    Ukianza na : Mama wa Wote, jibu Mama Samia!
    Karibu nyumbani bro...Hakuna Matata

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 ปีที่แล้ว +6

    Wameruhusiwa mikutano ya hadhara wanaongea upuuz hiyo ndio dhamila ya kulilia mikutano ili muhadisiane utopolo kweli nyie bure kweli

  • @ibrahimsaid4263
    @ibrahimsaid4263 ปีที่แล้ว +2

    Majamaaa waongo sana aseee dah

    • @mohamedsuleiman2785
      @mohamedsuleiman2785 ปีที่แล้ว +1

      Yanii benii sanan vip au kwa sababu sio watu wako vip lissu au kw sababu sio wewe yalio kukuta

  • @edgartz3367
    @edgartz3367 ปีที่แล้ว +8

    Duh😭😭😭😭

  • @hussainmaulatz6758
    @hussainmaulatz6758 ปีที่แล้ว

    MAMA SAMIA MUNGU AKUWEKE SANA MAMA ETU UMEKOMAA KIDEMOCRASIA UPINZANI UNA HAKI YA KUWEPO NA KUA MPINZANI SIO ZAMBI WALA SIO LAANA KWA KUA WOTE TUNAJENGA NNCHI 1 .

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 7 หลายเดือนก่อน

    Professor j kimya acha huyu mwenye nguvu sa hivi aseme ataujua mchango wawatu yakimkuta😊

  • @enockgray1410
    @enockgray1410 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa yani kwa wanaomwamini na kumuona ni mtu atawakomboa basi kabisaaaa hakuna watu hapa bongo. Anaropoka sana anongea km mtu amekula maharage ya Mbeya anongea km anaongea na watoto mama mke wake. Poleni sana Nyumbuzzz na Mifugo ya DJ Makengeza.

  • @emmanuelmasele9585
    @emmanuelmasele9585 ปีที่แล้ว +1

    Karibu Lema

  • @prudencemushi6948
    @prudencemushi6948 ปีที่แล้ว +2

    Tumetoka Mbali Mungu anaipenda Tanzania

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 ปีที่แล้ว +3

    God bless God bless lema

  • @johnnyoni3976
    @johnnyoni3976 8 หลายเดือนก่อน +1

    NAKUELEWA SANA LEMA

  • @muhidiniabdur2382
    @muhidiniabdur2382 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo munatumia muda wote kueleza matatizo ya utawala wa magufuri , kasha kufa uyo mbona nanyinyi mawazo yenu yemekufa jpm,ngumu kuchafua magu

  • @neemakillango4126
    @neemakillango4126 ปีที่แล้ว +2

    Ninapata ugumu moyoni nikikusikia unamchukia Magufuli😢..RIP MAGUFULI...

  • @prophetislael5265
    @prophetislael5265 ปีที่แล้ว +4

    Hawa jama ukiwasikilixa hawasemi nini chamaaana zaidi yakupigia watu stor zawalitaka kuuwawa yan Lisaa lizma anatoa stor duu nakunawatu wanasema sema baba

    • @emmansabu9300
      @emmansabu9300 ปีที่แล้ว +1

      Na u_prophet jina wako unashindwa kusema yanayosemwa ni kweli au Ni uongo.. ondoa iyo prophet kwanza hapo ndo u comment

    • @prophetislael5265
      @prophetislael5265 ปีที่แล้ว

      @@emmansabu9300 nisamehe ila ukweli nikwamba hawa mnao washabiki ccm wala chadema hakuna wakuleta maendeo fanya kaz zako maana naona wapiga kelele tu mm nilikuwa chadema nahata sasa nichadema ila spend hii yamtu ananiletea shidazake kunielezea alikuwa anataka afanywe hiki nakile mm hainihusu namzalendo hakimbii nch yakee et anaogopa kufa wangap wamekufa hapa au siasa za mdomo tu mzalendo hakimbii nchi yake UNATAKA KUSEMA MIKUTANO ISINGE FUNGULIWA NA LAIS HAKUNA MPIGANIAUHURU WAPIGANIA UHURU WAMEKIMBIA NCH ZAWATU HARAFU TUNAWASHANGILIA ET WAMELIDU DA NCH INAWATU WAAJABU HIInyny wengine niwashabiki

    • @patrickjohn4135
      @patrickjohn4135 ปีที่แล้ว

      prophet islael hunaakili futa prophet yko

    • @prophetislael5265
      @prophetislael5265 ปีที่แล้ว +1

      @@patrickjohn4135 wewe mwenyeakili imekusaidia nini zaidi yakushabikia vitu visivyo namaana

  • @jeradkanyuru5745
    @jeradkanyuru5745 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mama..ukaruusi..siasa..mambema..mbona ivo..mama

  • @paulseleman0604
    @paulseleman0604 ปีที่แล้ว +2

    Hayo ndo wanayohitaji watanzania simulizi za matukio ndo kukijenga chama Sera hakuna jamani elezeni basi mambo ya muhimu

  • @weredismas4498
    @weredismas4498 ปีที่แล้ว +2

    So sad,freedom not easy

  • @hamphreyhamad4971
    @hamphreyhamad4971 ปีที่แล้ว

    Ukifatilia kwa haraka unaweza kusema lema mwongo ila ,ukifatilia siasa vizuri ,ukiangalia utekaji na unyanyasaji ulofanyika kwa kipind cha miaka 5 ilopita ,nchi ilikuwa inaenda kuwa kama sudan kulikuwa hakuna aman kama saivi ,pia saiv maisha yamekuwa magumu kutokana na system ilishaanza kuharibika toka nyuma ,huwez fukuza tz bado nch ambayo inahitajika kuwekezwa sana hasa raisi ambae ww msimamizi tu unafukuza matajiri ambae tajiri mmoja katika system yake ameajiri watu zaid ya lak 5 ,mfano dangote atoke hawa watu waloojiriwa wanaenda wapi umaskin unatengenezwa na mfumo mbovu saiv analaumiwa rais wa saiv akat aliyeharb hayupo ,mnafurahia kuambiwa wamachinga na mama ntilie kweny kila mkutano

  • @BmNasary
    @BmNasary 6 หลายเดือนก่อน

    🎉❤🎉❤ wajakoyaa good bless

  • @gilbertshirima2684
    @gilbertshirima2684 ปีที่แล้ว +2

    Ninasema kuna watu wanakufa lakini kwa matendo yao na mateso waliyosababisha historia lazima iandikwe🤔

  • @mialanomangobo9356
    @mialanomangobo9356 ปีที่แล้ว

    Magu aliwanyoosha vizuri na uwongo na udanganyishaji watu
    Tazama Tz ya Mangu na ya leo
    Magu Alifanya mambo makubwa ya kimaendeleo Tz

  • @matumokimatumoki6424
    @matumokimatumoki6424 ปีที่แล้ว +4

    Nyinyi chadema mnauwana wenyewe mnasingizia serikali...

  • @raphaelcharles4949
    @raphaelcharles4949 ปีที่แล้ว +5

    Zito ametuambia mlipokea offer, acha kudanganya

    • @christophergeorge5490
      @christophergeorge5490 ปีที่แล้ว

      We nae hujielewi kwahiyo ilitolewa na offer Lisu apigwe risasi au mihadarati inakupeleka kubaya

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 ปีที่แล้ว

      KUMBUKENI YOTE ARACHUGA WENZAKE WATAJIFANYA WAMEMUELEWA!

  • @enocepaulkumba9362
    @enocepaulkumba9362 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kamanda!

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 ปีที่แล้ว +1

    13:23 ..... Kikwete ! Mama why ????????? Ukiwa na akiliii utaelewa achana na siasa chadema+ ccm ni wamojaa

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 ปีที่แล้ว

    Yake pita hayo. Lisu ana maana gani kila siku kuongelea alivyopigwa risasi. Mbona Magufuli haongelewi kwa mema aliyofanyia Tz mpaka mkamuua? Aibu kwa watanzania.

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo unapiga ngoma ya kiziwi JPM ukimsema vibaya wanainchi ata awakuelewi tupe mipango mipya ya kuitoa ccm 2025

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 ปีที่แล้ว

    Mnafanya siasa za ukanja tu.. hio kitaalamu tunaita POLITICAL IMAGE mnatafuta tu huruma ya wananchi lkn hamna ajenda..

  • @TEACHINGFUN-lj8nt
    @TEACHINGFUN-lj8nt ปีที่แล้ว

    Kumbe mnawatuwenu wa kimataifa ambao mkifanya uchale mnawategemea!!!
    Kumbe Amnesty international waliingilia swala lako ! Kweli DEMOKRASIA NI UKEKETAJI WA MABONGO YA WAPI.

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naona ikiwa tutaendelea kuongea mambo binafsi hatutatua tatizo la katiba mbya. Sababu kila mtu anahitoria ya maisha yake, watu wengi wamebambikiziwa kesi .

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 7 หลายเดือนก่อน

    Magufuli alikua katili sana na Alaah pekee ndo anajua huko kamuweka katika fungu gani