Dunia ipo kwenye mpango mzito wa kuhakikisha kunakuwa na UISLAMU bila WAISLAMU - Prof.Njozi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 พ.ย. 2023

ความคิดเห็น • 64

  • @regnethmtemanyongo2237
    @regnethmtemanyongo2237 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hawataweza kwa jina la Yesu mungu ni mkuu sana

  • @user-gw2dc3ds7d
    @user-gw2dc3ds7d 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hasbunalah waneemanwakil

  • @oscarkasalile3966
    @oscarkasalile3966 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee nashukuru kwa kutupa Elimu

    • @user-sb6gy6dx1m
      @user-sb6gy6dx1m 6 หลายเดือนก่อน +1

      Una akili kaka, tofauti na watu wengine anaamua kubisha kwa mtazamo wa dini bila kuangalia ukweli

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee ana uchambuz mzuri sana hakika

  • @siasia5469
    @siasia5469 7 หลายเดือนก่อน +7

    Muwe mna mleta mara nyingi ana madini mengi Allah amuhifadhi

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 7 หลายเดือนก่อน

    Truly!!

  • @abdulbonomali6548
    @abdulbonomali6548 7 หลายเดือนก่อน +3

    Na wmefanikiwa kutufanya tusiwe na uwezo mkubwa wa kufikiri na kufanya maauzi sahihi

  • @rasheedabby2871
    @rasheedabby2871 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba ana madini sana chuma kamili

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 7 หลายเดือนก่อน

    Shukran 🙏🇹🇿

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 6 หลายเดือนก่อน

    👍✌️👊.

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 7 หลายเดือนก่อน +3

    Swadakta sheikh umenena ukweli

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 7 หลายเดือนก่อน +2

    Sio marekani tuu hata wewe myu aki inuka na kupinga maslahi yako na familia yako hata wewe hutamuelewa huyo mtu, watu wanauana hata afrika kwaajili ya maslahi yao huwezi kumtenga mtu na maslahi yake kwani maslahi ndio maisha ,usidhani kama weee ni kiongozi halafu uache kuitetea heshima ya nchi yako na watu wako utakua wewe hujitambui.

  • @mussamabawa2973
    @mussamabawa2973 7 หลายเดือนก่อน

    PROFESSOR NZOZI

  • @MohdHamad-zr8ll
    @MohdHamad-zr8ll 5 หลายเดือนก่อน

    Nikweli hata mambo ya uzazi wa mpango ni mbinu ya mayahudi.

  • @paschalcharles6097
    @paschalcharles6097 6 หลายเดือนก่อน

    Hivi hii mtu kutaka ni kitu gani????

  • @Greatamir
    @Greatamir 6 หลายเดือนก่อน

    8:38 8:55 8:57 8:58

  • @Greatamir
    @Greatamir 6 หลายเดือนก่อน

    😂😅😅😅😅

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani hawezi kuzungumza Jambo bila kutaja uislam wenye dini yao waarabu wapo kimya nyinyi mijitu myeusi mnahangaikia uarabu

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 7 หลายเดือนก่อน +1

      Unateseka ukiwa wapi?

    • @user-sb6gy6dx1m
      @user-sb6gy6dx1m 6 หลายเดือนก่อน

      Unaropoka hakuna unachoelewa. Halo kwambia uisilamu ni dini ya waarabu Nani?

  • @josephmasanja8584
    @josephmasanja8584 6 หลายเดือนก่อน +1

    Waislamu acheni kujitia mnajua saaana wakati hamtaki elimu ya duniani!!!!!

    • @saidmsuya3165
      @saidmsuya3165 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂tatizo we ni mbumbumbu

    • @josephmasanja8584
      @josephmasanja8584 3 หลายเดือนก่อน

      @@saidmsuya3165 wewe ndo mbumbumbu, unang'ang'ania kuvaa nguo za kizamani wakati binadamu hajajua kujishonea nguo inayompendeza na uhuru wa mwili kufanya kazi yoyote

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 3 วันที่ผ่านมา

      Kwenda zako wewe. Nyinyi ndio mna Elimu ya dunia mngekua na Akili finyu namna hiyo Loooo! Fyuuuuuu!

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 6 หลายเดือนก่อน

    Hao waislam tatizo ni ugaidi na ubaguzi

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 7 หลายเดือนก่อน

    Kitu Cha mwanzo ni haki maslahi ni jambo la pili ukisoma suratul al asr kwa hiyo marekani ni Wala dhalin

  • @alikamberis
    @alikamberis 6 หลายเดือนก่อน

    Una uongo tu

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 2 หลายเดือนก่อน

      Hv umeona uko sawa kiakili?

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona Waislamu wengi Mashoga? Sasa wanapambanaje na USHOGA?

    • @FeisalDoctor
      @FeisalDoctor 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂Unaharish ukiwa wap

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 2 หลายเดือนก่อน

      Lkn kwenu ushoga uko kanisani

    • @saiddgsmg
      @saiddgsmg 3 วันที่ผ่านมา

      Ushoga umeletwa na waikristo

  • @sharomdguda
    @sharomdguda 6 หลายเดือนก่อน

    Kila kitu uislam Islam too much waislamu wenyewe ni hawa hawa tunaoishi nao. Tatizo nini waislamu?

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 7 หลายเดือนก่อน

    #fikra gani hizi? Kwamba uislamu bila waislamu?
    Ni sawa na kusema kivuli bila mwenye nacho ni dhana ambayo sio sahihi
    Pia si kweli Amerka ana angalia tu maslahi na hauchukii uislamu bali ni vyote viwili
    Nchi ya kiislamu ni inayo tawala kwa khilafah na hilo halikubali
    #Siri_ni_hii
    Uislamu ni mfumo wa kiutawala na sio dini ya kiroho pekee kama baadhi ya masheikh wanavyo somesha na kuhubiri

    • @user-sb6gy6dx1m
      @user-sb6gy6dx1m 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndo walewale wenye fikra za kimagharibi, mnataka kuishi mnavyotaka, na mnakubaliana na mifumo ya maisha ya hao wamagharibi

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mahali popote penye waislam hapakosi chuki nenda somalia, alfaghanistan, Pakistan, Sudan, Mali, Chad, Yemen kote huko wanauwa hovyo sababu ya dini, waislam wengi wanakuwa na amani wakiwa USA, UK, Canada, Australia, France, Norway na hawataki kukimbilia Saud Arabia, Iran au Kuwait

    • @ibrahimabdillah5729
      @ibrahimabdillah5729 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kwenu muwe na chuki...ila mkiwa Kwao mtaishi kwa amani?!
      Ndio unamaanisha ndg.....?!

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 7 หลายเดือนก่อน

      Bahati mbaya sana kila kitu kiko wazi kuwa huko kote kwenye migogoro katika nchi za kiislam mastermind wa migogoro hiyo ni marekani,,,labda wewe uelewa wako Mdogo ndio maana pengine hujui kinachoendelea duniani

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@jumakapilima7295Magaidi hayo acha kuweka maneno meeengi ,hio ni dini ya fujo na ya kigaidi 😅

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 6 หลายเดือนก่อน

      @@annasolomon9855 hahahaha,,,, kafiri wewe Una chuki binafsi

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@jumakapilima7295 Mimi kuitwa kafiri ndio furaha yangu 😂😂ilimradi najijua na ninawajua Magaidi Wala hawatusumbui☺️☺️

  • @michaelmillinga5064
    @michaelmillinga5064 5 หลายเดือนก่อน

    Hovyo kabisa.. pointless

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 7 หลายเดือนก่อน +1

    WIslam ndio wanaongoza kukimbilia nchi za Wakristo,hawaendi Saud au Yémen. Pia Uislamu umebakiza miaka 62 tu kutoweka duniani.soma hadithi za mtume,alisema Uislam ataishi miaka 1500 tu.Huu ni mwaka wa Kiislamu 1438.

    • @mbarakbinzoo
      @mbarakbinzoo 7 หลายเดือนก่อน +2

      Ww n maiti inayotembea

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x 7 หลายเดือนก่อน

      Alafu inakuaje

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x 7 หลายเดือนก่อน

      Shoga kama wewe huwezi penda waisilamu

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x 7 หลายเดือนก่อน

      Shukran mzee Allah akutunze

    • @lookmanlookman6297
      @lookmanlookman6297 7 หลายเดือนก่อน

      ukiona ivo ujue kiama kipo karibu maana mtu wakuongopea maswahabe wake n hadith zake ni sahihi ukiona nchi zimejiandaa kupigana vita ndo utajua hii dini haina shaka na muhamad ni mkweli

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 7 หลายเดือนก่อน

    #Njozi hakika jambo msingi na kiini cha tatizo hujakipata
    Na haijalishi wewe ni prof au laa
    Kiini ni uislamu Una mfumo wa utawala na wao wanazuia uislamu usiwe na utawala
    Don't hit around the bush
    Mazungumzo kama yako ambayo una fanya general sio tishio kwao kwani wazunguka huku na kule
    Bado prof jipinde
    Lakini على كل حال
    Allah akulipe kila la kheri

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  7 หลายเดือนก่อน +1

      Assalam alaikum Aisha,kama hutojali tunaomba kuja tukurekodi ili watu wapate faida

  • @simonnembomadola7512
    @simonnembomadola7512 7 หลายเดือนก่อน +1

    Usiwasifu wachina.Wachina ndio hawataki kabisa uislamu kwenye ardhi Yao na wanawawekea vitu maalumu vya kuwaangalia waislam chochote wanachofanya kuogopa ugaidi.
    Uislamu umejengwa kwenye chuki na siasa Kali kwa wote wasio waislamu ndio maana nchi zingine kama Poland hawataki kabisa waislamu kwenye nchi zao kuogopa ugaidi na siasa kali

    • @lookmanlookman6297
      @lookmanlookman6297 7 หลายเดือนก่อน

      tumekubali uislam hawautaki je kilichowafanya hao makafiri kuandika quran ya kwao walikua na maana gani dunia inapoelekea huwezi kujua kama wewe sio muislam chuki mmezitengeneza wenyewe ukiniuliza mimi nakupa mfano apa mwanza mwenyekiti wa mtaani alikua mchangaji mtanii makanisa yapo kama matatu ivi waislam walijengeza msikiti mchungaj akazuia msikiti usijengwe msikiti ulipojengwa walikua wanaubomoa unadhani waislam watafanyaje wachungaji na maasikofu wanaongea lolote hawachukulia hatua upande wapili masheikh wangap wangwa kwa kuongea tu nikuambie kitu haha unayoaona ya taendelea mpaka kiama

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 6 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

    • @user-nv7jg6xc8l
      @user-nv7jg6xc8l 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kasome uislam ndo uongee

    • @user-sb6gy6dx1m
      @user-sb6gy6dx1m 6 หลายเดือนก่อน

      Hakuna unachoelewa kuhusu uisilamu. Waswaili wanasema ikitaka kuua mbwa muite jina baya. Ndicho wanachofanya maadui wa uisilamu, kuwachafua waisilamu na uisilamu juu ya ugaidi. Mbona hao wanaoua waisilamu hawaitwi magaidi. .? Waisilamu tu ndo magaidi