Mke wangu akishika Simu yangu akatafute pakulilia | Nikiwa Sheikh Mkuu nafanya haya - Masoud Kipanya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2024
  • Katika hii Episode,Msanii mashuhuri Afrika Mashariki,Masoud Kipanya anampitisha Aisha katika namna jicho la mwanaume linavyoitazama ndoa

ความคิดเห็น • 71

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 6 หลายเดือนก่อน +6

    HAYA MAJIBU NI MAJIBU YA KINA SANA ,HAWEZI KUJIBU MTU MWENYE MIHEMKO YAKE ,HONGERA SANA MY BROTHER.❤❤❤

  • @ummahmed3354
    @ummahmed3354 6 หลายเดือนก่อน +4

    absolutely 💯... Uislam ndio solution to the world problems...

  • @jumalikonwa8078
    @jumalikonwa8078 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tabasamu la huyu dada wallah allah kamjalia sura yenye nuru, naomba allah anamnusuru na husda na kama hajapata mume basi allah ampe mume mchamungu na mwenye huruma na kama ana mume basi muwe wake awe mwema kwake

  • @aishamdinku9129
    @aishamdinku9129 6 หลายเดือนก่อน +5

    Masha'Allah nampendaga masud jmn ❤

  • @NdayisabaKarim
    @NdayisabaKarim 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ahsante saaana sheikh umeongea vizuuri Mheshimiwa

  • @ummahmed3354
    @ummahmed3354 6 หลายเดือนก่อน +3

    Maa shaa Allah... my brother Masoud is full of wisdom... we need an official podcast in shaa Allah
    Barakallah fiiki

  • @manjumsambya17
    @manjumsambya17 5 หลายเดือนก่อน

    Masoud Kipanya namuomba Allah akuhifadhi na akuongoze njia iliyonyooka.Umeeleza kile kinachotakiwa kutendwa na mja anaejitambua nakutambua kuwa hapa duniani ni mapito tu;hivyo tuishi kiadilifu kwa maslahi ya maisha ya milele tutapohitajika na Muumba wetu.Amin.

  • @shazyahya4121
    @shazyahya4121 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kinachoharibu jamii siku hizì Kuna taasisi moja ya kipumbavu inaitwa Haki za binadamu hawa watu nuksi sana Africa ndio wanaoharibi jamii yetu

  • @yussuphsultan1400
    @yussuphsultan1400 5 หลายเดือนก่อน +2

    Angekuwa analngelea jambo jingine la kishabiki, ungeona "likes" hizo!

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 5 หลายเดือนก่อน +1

      Umesema,yani mambo yasio msingi ndio hupendwa...Astaghfirullah

  • @hasaabdi7199
    @hasaabdi7199 6 หลายเดือนก่อน +2

    Maashallah respect my brother Masoud for proud of your religion

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 6 หลายเดือนก่อน +31

    🤔Mke wangu mwili wangu, mali zangu na chochote ninachomiliki ana haki ya kujua, kukiona na ana haki sawa na mimi. Sina siri ambayo mke wangu hajui kwasababu amenivumilia na anavumilia mengi kiasi kwamba sioni sababu ya kuwa msiri na kumficha.

    • @angle3600
      @angle3600 6 หลายเดือนก่อน

      Mashallah

    • @user-fq3gs2jx8h
      @user-fq3gs2jx8h 6 หลายเดือนก่อน

      Maashaalla maashaalla❤❤

    • @MahraMansoor5969
      @MahraMansoor5969 6 หลายเดือนก่อน +4

      Hongera ubarikiwe na mungu atazid kukufungulia kwasababu umekuwa muwazi kwa mkeo watu wanatakiwa wawe na mfano kama weye nice one 👍👍

    • @amourmtungo623
      @amourmtungo623 6 หลายเดือนก่อน +2

      @@MahraMansoor5969 asante mpendwa 🤝

    • @mohamedally121
      @mohamedally121 6 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 6 หลายเดือนก่อน +2

    👌Kipanya'' Kichwa kipana👊

  • @Baba-JJ
    @Baba-JJ 6 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani tunapokomenti tukumbuke kuna Sudan, kuna Libya, kuna Afghanistan, kuna Syria, kuna Yemen, kuna Iran, kuna Iraq. Tuweke na akiba ya maneno.

    • @binwaridy3454
      @binwaridy3454 5 หลายเดือนก่อน

      Pia nawe ukumbuke humo ulimo taja kumepandikizwa makundi kwa lengo maalumu la kuiharibu haiba na nuru ya uislamu

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah, Nakupenda sana shekhe Masoud, nakukubali sana mno.

  • @suleysalim5260
    @suleysalim5260 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awabariki, ukumbusho bora,

  • @harunakaberukaharuna6143
    @harunakaberukaharuna6143 5 หลายเดือนก่อน

    Iyo ana sema ya baskeli ni kweli mimi nakumbuka bado niko mudogo mzee wangu alikuwa aki leta baskeli kutoka tanzania kuja burundi.....izo baskeli zilikuwa ngumu...zina itwa *SWALA*..IYO ANA SEMA NI KWELI

  • @NdayisabaKarim
    @NdayisabaKarim 6 หลายเดือนก่อน +1

    Maaanshaallah Alhamdoulillah tabbarakallahu Allahu Akbaru

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 5 หลายเดือนก่อน

    Maashaa Allah.. 💖

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu masoud ikatokea amefariki inatakiwa ubongo wake ufanyiwe utafiti maana ana uwezo mkubwa wa kiakili..!!

  • @mwajoma1373
    @mwajoma1373 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaa Allah ❤❤❤

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kipanya hili bichwa lina akili kubwa😂😂😂

  • @oman9880
    @oman9880 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah manshallah ❤❤❤

  • @ndalusanzekassim5902
    @ndalusanzekassim5902 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah!

  • @halimamasoud8258
    @halimamasoud8258 5 หลายเดือนก่อน

    Assalam aleikum,ukivaa shungi na nikabu utadamshi sana

  • @user-eo4hd8xu6d
    @user-eo4hd8xu6d 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂swali moja lkn lemejibiwa Kwa assay paper 7... ,,,mwandishi ukome😅😅😅

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 6 หลายเดือนก่อน

    Bwana Masoud upo wapi siku hizi? Nimekumiss sana. Mungu akubariki sana.

  • @hadijanapanya7499
    @hadijanapanya7499 5 หลายเดือนก่อน

    Dah akili kubwa kaka

  • @NdayisabaKarim
    @NdayisabaKarim 6 หลายเดือนก่อน +1

    Alafu tunaomba icho kipindi kieendeleee

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 6 หลายเดือนก่อน

    Jazakallah ya shekhe kipanya uko vizuri Sana

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 6 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu kamera man anashida mbona wamuonyesha sana Huyu dada uso wake, mcheni Allah.

  • @speciosermusika2009
    @speciosermusika2009 5 หลายเดือนก่อน

    Chizi wewe! Huo ni mtazamo wako 😂😂

  • @ShaabanKassuwi
    @ShaabanKassuwi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Masoud anauliza kwa nini hatuinamishi macho?? Hilo swali ungejiuiza kabla ya kipindi ungemuomba huyo dada aweke pazia baina yako na yeye

  • @charlesager8360
    @charlesager8360 6 หลายเดือนก่อน

    Mawazo mazuri mno , ni jukumu na nani kusimamia hilo?

  • @ibrahimsaleh6643
    @ibrahimsaleh6643 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada ameshapata nusra....?? Allah akimuafikisha naomba nimnusuru

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 6 หลายเดือนก่อน

    Majibu yenye hekima na busara. Huo ndio ukweli.

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 6 หลายเดือนก่อน

    Dada uwe unavaa niqab ni khery kwako

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akujaalie hicho unachokihitakji.
    Mimi nitakuwa wa kwanza kuku kubali.
    WAISLAM TUMELALA NA GOLD MKONINI WALLAH

  • @ShaabanKassuwi
    @ShaabanKassuwi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Masoud anauliza kwa nini hatuinamishi macho?? Hilo swali ungejiuiza kabla ya kipindi ungemuomba huyo dada aweke pazia baina yako na yeye