@@atutweve4160 hii dunia wote ni wapitaji tu kushangiria vita sio vizuri ni amanitu na upendo watu wanashingiria kwasababu ayako kwetu yagekuwa ni kwetu asige shagiria mutu
Mbona kwa sasa watu wanakufa wakienda ulaya.Hadi sasa tuko utumwani tena tungekuwa tuko chini ya hao wazungu tungekuwa mbali sana kuliko kutawaliwa na hawa wakoloni weusi.
Hii sio wala ya kushabikia nani ampige mwenzake, kwa sasa sisi tunaongea tu kua wazichape lakin tuombe mung sana haya yasije yakatokea maana kama kweli wakipgana basi hata sisi tutaifeel ile ladha halisi ya vita ya wakubwa, cha msingi ni kuomba mungu huu mgogoro uishe salama ili maisha mengine yaendelee...
Mungu awasaidie kwa gani? ni SAWA atoe hizo silaha,juu Putin Ako na shida na makafiri Hao wazungu dio wanafanya binadamu kumkufuru Muuba,nani analazimisha ushoga Gender equality Wizi wa mali ya wengine Mauaji ya watu bira hatia!
Swali kwako ndugu Putin ni mwehusi ahu macho yenu aya honi?mimi najuwa ni wao kwa wao akuna mzuri kati yao wote maana wote wana huwa watu wasiyo na atia ingekuwa wana malizana Marausi kwa Maraisi inge kuwa vizuri lakini wanao kufa ni rahiya Putin na wenzake wote vichwa maji tu
Ni pumbav sema hamjui tu mpaka Leo wazungu washamuona Kama urusi ni dhaifu na Kama wangemsaidia Ukraine moja kwa moja bac Leo hii tungekuwa tunazungumza mengne
@@user-xl9so6jg1embona hawamsadii sasa huyo jamaa anawashirika wengi China, Korea kaskazini, Iran, Vietnam ni washirika wa Urusi huyo jamaa anatumia akili sana huyo hakurupuki kurupuki
BABA WAPELEKEW HAMAS, HEZBOLLAH MIFUMO YA ULINZ NA SIRAHA KALI NA MAELEMENT NA BULLET PROOF, NA VIFARU ALAFU TUONE KUMANYOKA HAO MASHOGA WANAOJIITA TAIFA LA MUNG YAAN BABA UKIWAPA SIRAH KM WAO WANAVYOWAPA UKRAINE NAKWAMBIA VIBARAK WA MAREKAN WENG MAJI WATAITA MMA KUMANYOKO ZAO
@@melkizedckhivi wewe upo kwenye dunia hii au ndio umeanza kurumia smartphone leo inamaana huoni anavyo itembezea kichapo dunia mpaka wanalia kilio cha kuku😅
Mtakatifu Putin wamemwaga mboga,we mwaga ugali.Kama mbwa Wacha iwe mbwa kiumane mpaka kieleweke tata.Bhita ni bhita ntakutemego.Ulabhugabhwi.Marekani ni mrisha TU.
@@Maxpaul-oi8pw Hamna ajabu kumsifu mkristo kwani ajabu ikiwa utafanya wema basi utasifiwa ili mradi humkashifu mungu au ushawahi kumsikia putini akasema ushoga,freemanson, au shetani ndio mungu wake tulia kijana soma usitafute chokochoko
@@yusuphmashallah3732 sihitaji shule yeyote kwako unae ona mrusi hana haki ya kujilinda dhidi ya wanao taka kuweka missile mlangoni kwake,pili huwezi kua mwalimu wangu labda uniambie baada ya mapinduzi 2014 ukraine kwa nini iliua maelfu ya warusi walioko Donbas na mariupol .
Kuna wapumbavu wakati vita vinaanza walaizani urusi atashindwa hawajui kua marekani hana silaha za kuizidi Urusi bali ana maneno na porojo nakutishia vitaifa vidogo
Tatzo hujui Ukrein yuko vipi na urusi iko kama Zanzibar na tanganyika kwaiyo huwez piga nchi nzima maana Zanzibar kua wabongo na wazanzibar na urusi na Ukrein ndivyo ilivyo
Naanzaje kumpinga kuhusu Hilo nawakati anawashuulikia mashoga yaan kwa Vladimir Putin watakunywa maji kwenye karai, namtegemea sana uyu mwamba kwa usalama wa vizazi vyetu
ili kumfahamisha tu mchambuzi kuwa, silaha zote zikiwemo vifaru vya Abrahams wamepewa ukraine lakini wanajeshi wa Ukraine wanakiri kuwa vifaru hivyo vilitengenezwa kwa ajili ya kupigana na watu wenye silaha ndogo ndogo vifaru hivi kwa kweli havina maana nyingi sasa hivi vinawasilishwa moscow kwa ajili ya watu.
UYU MWAMBAA PUTIN HUWA NAMKUBALI SANA HAPA DUNIANI KUSHINDA RAIS YEYOTE YAANI
Msimpe kichwa vita haina macho uwa inageuka ni kuomba amani tu maisha ya hendere
@@MajutoElliasi USIMFUMBUE MACHO MJINGA 🤣🤣🤣ANAMKUBALI? AU MSHABIKI MAANDAZI TU
@@atutweve4160 hii dunia wote ni wapitaji tu kushangiria vita sio vizuri ni amanitu na upendo watu wanashingiria kwasababu ayako kwetu yagekuwa ni kwetu asige shagiria mutu
Wewe ndio mjinga
Kama bado kaka sasahivi hujajua unwell wa Marekani kua ndio anaesababisha vita Finish basi wewe utakua mjinga.
@@minicooper9642 udini unasababisha vita sio mmarekani 🙄
Najua nchi ya urus haikupenda kuchukua watumwa inapenda sana haki kwahiyo natto wanachezea shilingi kwenye tundu la choo
Mbona kwa sasa watu wanakufa wakienda ulaya.Hadi sasa tuko utumwani tena tungekuwa tuko chini ya hao wazungu tungekuwa mbali sana kuliko kutawaliwa na hawa wakoloni weusi.
Alie sikia mbwa akibweka na mtoto akilia, gonga like hapa, ...
😅😅 nilikuwa natafuta hii comment 😅😅
@@RamadanPaul kaka unazingua😂😂
😅😅😅😅😅
NA UGANDA NAO WAPEWE HIZO SILAHA😂😂😂 MANA MZEE MUSEVEN NAE HATAKI UPUMBAVU😂😂😂.
mapema sana tunaomba mana kenya wanajifanya wao wanawapenda wamagharibi
😅😅😂😂
Piga hao mashoga marekani ni washenz,dunia bila marekan ni amani mungu awaondoe marekani wanaitesa dunia
😂😂😂😂 kweli Akili una 😅
Ww dvoice na ww shoga au
D pambana n'a muziki achana n'a siasa marekani ni ovyio Sisi wa Congo 🇨🇩 tuna juwa match Zao n'a Rwanda
@@Jgjgjggjaieifhfvpoleni ila muda utasema mungu yupo
Hii TH-cam ni ya hao Marekani saa wakiondoka sijui utatumia mtandao gani kutukana 😂😂
Apeleke silaha palestine na yemen
M/mungu mlinde putin
HAWEZI HATA MUOMBE DUNIA ZIMA 🤣
Kweli Mungu amlinde putin maan amekaribia kufa.
Hii sio wala ya kushabikia nani ampige mwenzake, kwa sasa sisi tunaongea tu kua wazichape lakin tuombe mung sana haya yasije yakatokea maana kama kweli wakipgana basi hata sisi tutaifeel ile ladha halisi ya vita ya wakubwa, cha msingi ni kuomba mungu huu mgogoro uishe salama ili maisha mengine yaendelee...
Hii ni mbaya Sana ...mungu ajalie Kila la heri..hii hali sio nzuri kabisa ...mwenyezimungu tusaidie Kwa hili
Mungu awasaidie kwa gani? ni SAWA atoe hizo silaha,juu Putin Ako na shida na makafiri Hao wazungu dio wanafanya binadamu kumkufuru Muuba,nani analazimisha ushoga
Gender equality
Wizi wa mali ya wengine
Mauaji ya watu bira hatia!
Swali kwako ndugu Putin ni mwehusi ahu macho yenu aya honi?mimi najuwa ni wao kwa wao akuna mzuri kati yao wote maana wote wana huwa watu wasiyo na atia ingekuwa wana malizana Marausi kwa Maraisi inge kuwa vizuri lakini wanao kufa ni rahiya Putin na wenzake wote vichwa maji tu
Nakupenda sna dj smaa
Huyu jamaa anahisabu rahisi sanaa
Ni pumbav sema hamjui tu mpaka Leo wazungu washamuona Kama urusi ni dhaifu na Kama wangemsaidia Ukraine moja kwa moja bac Leo hii tungekuwa tunazungumza mengne
Sip kweli,,,,,siaha zaNATO zimechakazwa Sana uwanja was vita😂
@@user-xl9so6jg1embona hawamsadii sasa huyo jamaa anawashirika wengi China, Korea kaskazini, Iran, Vietnam ni washirika wa Urusi huyo jamaa anatumia akili sana huyo hakurupuki kurupuki
Kuna jambo? Nahisi sio kuzuri hata kidogo. Maana najua nuclear sio kitu cha mchezo. Hii silaha mbaya kwelikweli inatisha vibaya!! Usiombe!!
BABA WAPELEKEW HAMAS, HEZBOLLAH MIFUMO YA ULINZ NA SIRAHA KALI NA MAELEMENT NA BULLET PROOF, NA VIFARU ALAFU TUONE KUMANYOKA HAO MASHOGA WANAOJIITA TAIFA LA MUNG YAAN BABA UKIWAPA SIRAH KM WAO WANAVYOWAPA UKRAINE NAKWAMBIA VIBARAK WA MAREKAN WENG MAJI WATAITA MMA KUMANYOKO ZAO
Yaan ata urusi mwenyewe hathubutu kuanzisha vita ya moja kwa moja na israel maana wale wana uwezo na akili ambayo sio ya kawaida
Sauti ya dhahabu shukrani mtangazaji
Hii sasa ndo inaitwa COLD WAR
Absolutely 💯 💯 💯
Time wii tell
Nilisubira sana uchambuz wenu juu ya taarifa hii
Sana tu
Mwamba Putin namkubali sana
Urus wamechoka, vitisho tu.
@@melkizedckhivi wewe upo kwenye dunia hii au ndio umeanza kurumia smartphone leo inamaana huoni anavyo itembezea kichapo dunia mpaka wanalia kilio cha kuku😅
@@stevenlugojeremia2323 watamkoma mwamba
Mtakatifu Putin wamemwaga mboga,we mwaga ugali.Kama mbwa Wacha iwe mbwa kiumane mpaka kieleweke tata.Bhita ni bhita ntakutemego.Ulabhugabhwi.Marekani ni mrisha TU.
,swedy swedy kama mbwayi na iwe mbwayi 😅😅😅😅😅😅
Mtakatifu tena????
Nafurah sana mwislam unavyomsifia mkristo
@@Maxpaul-oi8pw Hamna ajabu kumsifu mkristo kwani ajabu ikiwa utafanya wema basi utasifiwa ili mradi humkashifu mungu au ushawahi kumsikia putini akasema ushoga,freemanson, au shetani ndio mungu wake tulia kijana soma usitafute chokochoko
@@melanialeonard4031mtakatifu kwasababu hajawahi sapoti ushoga kama wale wengine
Bro sky tupe gps ya hii topic 🙏
Safiiiiiiiii
Hii ni mbaya Sana ...mungu ajalie Kila la heri..hii hali sio nzuri kabisa ...mwenyezimungu tusaidie Kwa hili vita isitokee kwamana sio powa ujuwe
Kule gaza mnongea au ni Ukraine tuu
Vita uwanjani imeshindana inakua tena zenlekys kushambulia urusi 😂😂😂😂
wakati unaanza kuipiga Ukraine ulizan Dunia itakaa kimya
Safiii wape
Hii ni shida kweli, we unasherehekea vita unathani hutaathirika? Fikiria tena
Mbona hamfikirii kuhusu Gaza
gaza acha wafe mbona auwazi kongo
Mwnangu putin usisahau nami kunipa hata bomu moja la nyuklia
Athumani kakaangu unalipeka wapi au g......
@@MiriamAbdallah😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Tena kalipue israhell mamae
Wape na cuba wawanyoshe marekani pale ndo karibu
Ndio maana hakusema Tampa nani ila nchi nyingi zitakuwa za kiarabu
@@soudmoshmnyika5813 Cuba pia ina asilimia kubwa tu
Tayali
Safi sana wachambuzi... Putin ana experience ya vita hakuna wa kumtisha apeleke silaha jule parestina tuongee mengine
Mwenye uzoefu anaogopa silaha za masafa
Awape tu
Huyu ndie kiboko wa marekani
🙄🙄🙄
so raia wa urusi ni bora kuliko raia wa Ukraine
Uliza Zelensky kwanini anatumiwa ili kuiandama urusi ,hata kama nini niweke siraha mlangoni kwako utafanyaje.
Yeah uko sahihi urusi ni bora zaid ukihitaji shule mm n mwalim
@@yusuphmashallah3732 sihitaji shule yeyote kwako unae ona mrusi hana haki ya kujilinda dhidi ya wanao taka kuweka missile mlangoni kwake,pili huwezi kua mwalimu wangu labda uniambie baada ya mapinduzi 2014 ukraine kwa nini iliua maelfu ya warusi walioko Donbas na mariupol .
Putin anatumia sana akili,,, tuombe mungu tu putin amekataa vita kuanzia mda sana wanamtaka ,,ila mungu is with you
Sns mnatisha kwa habar
Putin yupo Sahihi kabisa
The situation is getting worse than ever...
Faza watandike hao mashoga wa magharibi
Na hawa mashoga wa kwetu vipi kule mafia
wapewe au wahipige wingereza napia waige marekani napenda iyo
Good hope for Africa.❤🎉🎉
Safi sana😂😂putin nakukubar mkuu
Ndio
Na inshallah Atafanye vizuri
Huu
Akishindwa Ulimwengu inaharibika
Sana Sana Sisi wa Afrique Na Asie
Tutakuwa watumwa wa kwanza
The greatest of all time
MWAMBA XNA PUTIN Namkubali xna VIVA RUSIA
Tunaomba na makala kuhusiana na silaha maaana tunaziskia tu
Lakini tunawakubali sana
Hivi hii vita haijaisha tu!! Kila siku jamaa anaonya tu!!!
Maneno mengi vitendo ziro hakuna wakumshinda us
US alishamchunguza Putin na hakuna nchi inapigana kwa akili na tafiti kama USA
Kabisa aisee
Apewe hizo siraha kwanza Iran Cuba na Syria
Im warning USA
Vita ya dunia inakuja
Sauti ya sns inanikosha unajua kusimulia hadi kero, msukuma watu piga kaz
Kuna wapumbavu wakati vita vinaanza walaizani urusi atashindwa hawajui kua marekani hana silaha za kuizidi Urusi bali ana maneno na porojo nakutishia vitaifa vidogo
Weeeee tusubir tuone 🤣
Sasa kwani urusi kashinda?unaota nini ww
Urusi bado hajashinda na wenzake washamweka kwenye tageti na akijichanganya tu wanammaliza.
Urusi hana uwezo wa kupambana na NATO hata kidogo
@@MathewNathan-yb2bz hata hivo 😉
Putin ni mtu asiyekiwa na masihara
Amefanya nini toka vita ianze mbona ni maneno tu
Poga hao wafe manyangau
Putin 🎉🎉🎉
Kiufupi mmarekani safari hii ameyakanyaga
kivipi na uku raia wake wako salama
Marekani kubwa sana akuna wakuwasumbua
Kwahiyo urus ni ndogo
Kabisa
Pige mashoga hao
Kiduku km namuona anavosubiri kifurushi chake cha gawio
Congo 🇨🇩 ❤️atupe sisi hata sasa ivi tuh sisi na Rwanda tu malizane mara moja
Piga USA na EU wanauza minerals zenu na ma campun ya Apple,Tesla na Microsoft
Resources zenu zinauzwa Eu na USA
Ndiyo
Awape silaha yemeni na houth uone watakavyo choma dunia
Hisabati
Fredrick bundala🔥🔥🔥
🇹🇿❣️🇷🇺
Uyo mbwa vipi😂😂 nae anajambo lake asikilizwe
Hili swali la mwamba Lina zaidi ya utata.
Asichelewe sasa maña ulaya tyr washampa ukrein na yy asichelewe
😂😂😂
Mungu mlinde puttin
Smaa mwongo yani leo unsema hamas ni wa iran si ulitudanganya ni wa izlael
Kuna jimbo kule marekani linaitwa alasaka ni mali ya urusi ile na itauchukuliwa wameanza wenyewe putin atamaliza
Ilishauzwa hiyo
Toa baba we are already Tired with America marekan niwashenz navibaraka wake
Fanya hivyo urusi dawa ya moto ni moto
Sawa tunaelewa, na huyo mbwa anaebweka, je??? 😐
🤒
Yaani anawadharau magharibi hadi raha😂😂😂😂
.. "pumba tupu!..." Hahaaa
😂😂😂😂😂amna kila kitu si afanye kama anajikubali
Anatoa tahadhari ,, msije kusema hajaonya
Maneno tu amna kitu hapo huyu urusi hii vita awezi kushinda
Piga nuklia mzee time Time befor
Hii vita si urusi na NATO bali INA athiri usalama wa ulimwengu mzima kwa hiyo tuombe visi sambae
Ila Putin ni kichwa sn...😂
Western na hela zao na silaha zao na Kila kitu chao lkn huyu jamaa amewazidi...😂😂😂
Ukitaka kujua USA ni nani mpige ndio utajua ana mabomu ya aina gani...muulize Japan ,, hawa wachambuzi ni mashabiki wa Urusi tu
Bora walikoroge tu kwani vp watu waowane potelea kwete
Putini❤❤❤
Ikitokea siku nikapata walau mwaka mmoja tu nika iongoza tz dunia inatalia mara 10 yakilio walicho lia kipindi cha magufuli 🤦🏻♀️
Jombaa agiza juice 🥤 akuja kulipa penda sana point yako 🎉🎉🎉🎉🎉
Hapa kwa smaaa ndo nakubali, habari inachangamka
Inatakiwa awape Alqaeda au Al shababu hizo zilaha, tuuone huo mtanange...
Alie skia mbwa akibwe weka comment
Nani kasikia mbwa
Yani awape hamas
Oya huyu jamaa kwanni tusimpe uraisi wa mataifa yote huyu jamaa anajuwa hesabu
Acha uruss iwatandike hao maboyo
meli ina dunguliwa?
Aimalize kwanza Ukraine ndio ashindane na Marekani. Kuvimba tu.
Sa anashindwa we unavyoona kweli???😂
Tatzo hujui Ukrein yuko vipi na urusi iko kama Zanzibar na tanganyika kwaiyo huwez piga nchi nzima maana Zanzibar kua wabongo na wazanzibar na urusi na Ukrein ndivyo ilivyo
8:12
vita ya tatu ipo
Boya uyo
Acha waliuee
Nani ss mbona usomeki
Nakubal putin
Naanzaje kumpinga kuhusu Hilo nawakati anawashuulikia mashoga yaan kwa Vladimir Putin watakunywa maji kwenye karai, namtegemea sana uyu mwamba kwa usalama wa vizazi vyetu
ili kumfahamisha tu mchambuzi kuwa, silaha zote zikiwemo vifaru vya Abrahams wamepewa ukraine lakini wanajeshi wa Ukraine wanakiri kuwa vifaru hivyo vilitengenezwa kwa ajili ya kupigana na watu wenye silaha ndogo ndogo vifaru hivi kwa kweli havina maana nyingi sasa hivi vinawasilishwa moscow kwa ajili ya watu.
Sasa wapigana vita vya nini wakati unaogopa silaha za masafa