𝘿𝙠𝙩 𝙄𝙨𝙡𝙖𝙢 / 𝙆𝙖𝙨𝙞𝙢 𝙈𝙖𝙛𝙪𝙩𝙖| 𝗛𝗼𝗷𝗮 𝗞𝘄𝗮 𝗛𝗼𝗷𝗮 (𝘚𝘦𝘩𝘦𝘮𝘶 𝘠𝘢 𝘒𝘸𝘢𝘯𝘻𝘢)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 330

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 6 หลายเดือนก่อน +36

    dr islam mwalimu mzuri sana na anaeleweka na elimu yake ni kubwa na hafarakanishi jamii na wala hajitukuzi wacheni husda na choyo

    • @SaadiaOmar-xd6qg
      @SaadiaOmar-xd6qg 6 หลายเดือนก่อน +3

      Allah amuhifadhi Dr islam, Ameen thumma Ameen

    • @AbdulqarimhassanSwalehe-sz2er
      @AbdulqarimhassanSwalehe-sz2er 5 หลายเดือนก่อน

      Naam allah amuhifadhi dr islamu

    • @adammagawila9016
      @adammagawila9016 5 หลายเดือนก่อน +1

      Sio husba ndugu hujamwelewa Shekhe kasimu Mafuta.... Ila nakushauli kasome

  • @chuggaboy9877
    @chuggaboy9877 6 หลายเดือนก่อน +17

    Dr Islam ni miongoni mwa wanaotoa Darsa safi sana…! Binafsi namkubali kuliko hao wanaomsema!!!

    • @KarneMpambaike
      @KarneMpambaike 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli kabsaa Akhy

    • @abeidsamsung
      @abeidsamsung 11 วันที่ผ่านมา

      Kabisa ni kwel kwasabab mtu aseme utoke na faida kwamba ansema tufny nini haww ni chuki tu hakuna chakufanya kwamba mtu afanye nini ili aimairishe uislam wake hakuna kwa shekh kama huy
      Zaid anaulizw swal jib lake la kitoto

  • @nassortrans12
    @nassortrans12 6 หลายเดือนก่อน +15

    Acheni husda kwa dr Islam
    ماشاء الله ماشاء الله ماشاء
    Angalieni darsa zake zaid ya saa na nusu anatoa darsa hatumii karatasi wala kusoma kitabu
    Anatoa darsa kwa kichwa
    Amehifadhi
    Allah amzidishie Elimu
    امين يارب العالمين

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu 6 หลายเดือนก่อน +1

      Wacha kupelekwa na hisia za masheikh,,,we fuata haki

    • @chabunu3367
      @chabunu3367 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa hayo kasim mafuta ya Nazi ndiyo hayawezi nakisoma pia hukosea

    • @Onlyforfun1992tube
      @Onlyforfun1992tube 6 หลายเดือนก่อน

      Dini IPO TZ saizi bana sio kenya

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 6 หลายเดือนก่อน +2

      Dr amesomesha vitabu vingapi?

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe umesoma kitabu gani kutoka kwa Dr islaam,,,

  • @NasirJussa
    @NasirJussa 6 หลายเดือนก่อน +19

    Hamumpati muhuddi Dr Islam yupo juu daimaa

  • @MozaMachinga
    @MozaMachinga 18 วันที่ผ่านมา

    Allah akulinde na akuandalie malipo yaliyokuw makubw wan kaz unayoifany ni kubw Qasim mafuta

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 5 หลายเดือนก่อน

    بارك الله فيك وجزاك الله خيراً يا شيخنا الفاضل الله يحفظك على ما كنت

  • @muhamadismail-my1do
    @muhamadismail-my1do 6 หลายเดือนก่อน +7

    Allah akufishe katika wiislam na sunnah juu ya ufahamu wa wema waliotangulia na allah akukutanishe na mtume صلى الله عليه وسلم jannah allahuma amiin

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน +2

      Usalafi gani huo wa kuwasema watu vibaya na kuwatoa kwenye dini ? Ndo njia ya walotangulia walikuwa wana watoa watu kwenye sunnah kama ninyi? Uzuri shekhe utheiminy kabainisha futna zenu hatupati shida kabisa wala hamtushughulishi na ujinga wenu

    • @adnanshaban2660
      @adnanshaban2660 5 หลายเดือนก่อน

      Tumuombee Allah amuongoze na amruzuku hekma na uongofu elmu yake ndio imeishia hapo na ujadida wake ndio huo

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 5 หลายเดือนก่อน

      @@adnanshaban2660 unaskia akhy hiki kikundi cha kina mafuta wanachekesha sana wanajiona wapo katika hakki kuliko wengine wanadai wameongoka wakati kuna mashekhe wakubwa wamekilaumu akiwemo utheimeeny kauli yake kabainisha wazi wapo karibu na kupatia lakini wamepotea baadhi ya sehemu eidha wamepotea kabisa leo imefikia kipindi mtu anakwambia kumjuwa mtu wa sunnah tz niyule anae mfata mafuta na kumjuwa mtu wa bidaa au hizb anae mpinga mafuta kwahiyo mashekhe wao ndo wamewwkwa indicator ya kujuwa ww mtu wa sunnah so mtume tena wala swahaba arafu hawasalimiagi watu hata uwe vipi umkubali shekhe wanaomtaka wao ndo utasalimiwa au kujibiwa salamu wakati mimi naskilizaga fatuwa za wanazuoni nilimsikia shekhe fawzan aliulizzwa swala la kumkata mtu inafaa kumsalimia mtu wa bidaah akajibu kama bidaah zake ndogo hazikufurishi utamsalimu au akikusalimu utaitikia ila unamsihi aache bidaa na kumkata mtu kuto msalimu mtu yule mwenye bidaah zinazomkufurisha na kumtoa kwenye uislamu mtu huyo ndo haistahiki kumtolea salamu lakini Hawa mabwana siku zinapoenda ubaya wa pote lao unadhihirika siku hadi siku

  • @abubakarIddi-vf3bz
    @abubakarIddi-vf3bz 5 หลายเดือนก่อน +1

    بارك الله فيك يا شيخنا خيراً الجزا سيعرفون بعد قليل إنشاء الله

    • @SuleimanYakoub
      @SuleimanYakoub 4 หลายเดือนก่อน

      May Allah bless you too

  • @abuukarata9653
    @abuukarata9653 6 หลายเดือนก่อน +6

    Dk ana hekima sana, Allah amjalie

  • @SaidiMbega-j4n
    @SaidiMbega-j4n 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe qaasimu mafuta huna hoja ila nimpokwaji tu na usipotubia utakufa vibaya sana kwaku wachafua mashekh mche allah qasimu

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 5 หลายเดือนก่อน

    Dr islam Allah amlipekher huo mwalim muzur na anawaweza masarafijadida kwahio dr islam tunampenda kwajili ya Allah

  • @bassamawadhi7951
    @bassamawadhi7951 6 หลายเดือนก่อน +7

    Ukifata Darsa za islam unataka kumsikiliza kila siku na mawaidha yake yanakubadilisha ALHAMDULLAH kwa kutuletea Huyu sheikh EastAfrika masalafi masalafi washamba tu nyinyi mnakuja Yemen kusoma mkitoka mnarudi na Elmu bila Hekma mnasumbua watu, SALAF Ndio njia yetu sisi waislam lkn nyinyi mnajiita masalafi Darsa zenu kazi kujisifia tu kuwa ndio watu wa peponi na wengine wote motoni ALLAH atuhifadhi na atuongoe tuache kujigawa kwa makundi tusimame na QURAN NA SUNNAH AMEEN YA RABB WALLAHY JIANGALIE MPO KWNY HAKI LKN KUJIONA SHEKHE WAKO NDIO BORA KULIKO WENGINE HII INAWAHARIBIA NA KUKOSA HEKMA

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 6 หลายเดือนก่อน

      Maneno yako mengi lakn hakuna point ya kuchukua, hebu tafuta history ya sheikh Qasim mafuta.

    • @MohamedHassan-kk5te
      @MohamedHassan-kk5te 6 หลายเดือนก่อน

      Kasim mafuta unabalabala nyingi huna hoja hapa wacha ushamba ww huwez kuwa salafi salafunaswaleh hawatukana hata kidgo

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 6 หลายเดือนก่อน +2

      @@MohamedHassan-kk5te
      😁 Ushabiki utawauwa, ni TUSI gan Sheikh Qasim mafuta amemtukana daktar wenu? , huyu daktar Islam kasema Qasim mafuta Ana tabia za kike sio TUSI hilo? Tatzo lenu mmekaa kishabiki mpaka kwenye dini.

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@MohamedHassan-kk5teTusi Ili liwe tusi unaona litolewe na mbaya wako sio mzuri wako au sio?

    • @SaeedMohammad-sw7jq
      @SaeedMohammad-sw7jq 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@ibnayub2374mbona hajamtaja mtu Ductor, lakini ndio daawa ilivyo, hufichua lile lililokusibu

  • @YusufuMustafa-c5m
    @YusufuMustafa-c5m 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh Qassim Mafuta allah akuzidishie umri wenye manufaa kwani juhudi unazozifanya za kutuzindua ktk dini yetu ya uislamu ni kubwa sana

  • @mikekhalifaali7510
    @mikekhalifaali7510 6 หลายเดือนก่อน +3

    Dr Islam Muhammad ni Sheikh anatoa Darsa na anafunza vizuri sana sio Jadida

  • @Abdulrashedalhilaly
    @Abdulrashedalhilaly 6 หลายเดือนก่อน +7

    DUKTUUR ISLAM ALLAH AMHIFADHI NA KILA SHARI SISI TULO KAA CHINI YAKE NDIO TWAMJUA
    ALHAMDULILLAAAH DUKTUUR AMETULIA NA ALLAH AMEMPA HIKMA NA BUSARA KATIKA KULINGANIA
    SHEIKH AMENYOOKA NA UMMA WASHUDIA HILO ISPOKUWA ANAE JIZIMA DATA

  • @NasoloMheto
    @NasoloMheto 6 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akuhifadhini wote na akuongozen kwa huruma yake

  • @chabunu3367
    @chabunu3367 6 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂 Islam hawezi wajibu nyinyi kumbavu ama kweli huja jibu kasim mafuta ya Nazi Islam Hana time ya upuzi songa mbele sheikh Dr Islam Allah akuhifadhi

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 6 หลายเดือนก่อน

      Tukanatu. Ila sikuyasitlku utajuta

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu 6 หลายเดือนก่อน

      Ikiwa maneno ya sheikh qassim yana utata, ili watu wasipotezwe muambieni duktur ayarudi,,, hana haja,,,na wala hawezi kuyajibu maana ni ya haki

    • @chabunu3367
      @chabunu3367 6 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@HanifaOman-oo4plna nyinyi pia mutakuja juta pakubwa kushukisha heshima za masheikh mambo matatu ya hifadhiwe juu ya mwislamu heshima,damu Mali hatutiweza kuona sheikh Dr heshima yake ikipakwa matope

    • @MussaTendwa
      @MussaTendwa 6 หลายเดือนก่อน

      Hawezi kujibu vipi Sasa katika mazungmzo yake si alisema leta hoja za ki'ilmu ziekwe juu ya meza si ndio zimeekwa Sasa au

    • @chabunu3367
      @chabunu3367 6 หลายเดือนก่อน

      @@MussaTendwa mjoomba hoja hazijibiwi hivo muambiye kasim mafuta Kuna masheikh kibao wanataka mdahalo hoja kwa hoja yy awe upande wakulia na sheikh upande wa pili kuwe na ummah hapo ndiyo sawa ila kwa hivi nikama anajielewa mwenywe

  • @fisabillah-o7r
    @fisabillah-o7r 6 หลายเดือนก่อน +3

    Sheikh Mafuta muogope Allah, wanazuoni ninyi ndio chanzo cha faraka na mipasuko ktk kamba ya Allah... Wallah mtaulizwa kwa kila mlichokichunga, sahii ni husda kubwa mwafanyiana mkishaona watu wanapenda darsa za Sheikh Fulani basi utatamani wale watu wote waje kwako wakufuate wewe... Wallah mtihani na Allah atawauliza, moto wa Allah ni mkali mno jamani

  • @Fatma.mahmod.abdallah
    @Fatma.mahmod.abdallah 6 หลายเดือนก่อน +7

    Naomba pia Duktur ajirekebishe namna kujibu hoja mie nimeskia akitusi hao masalafi na ametowa maneno machafu sana hakutoa jibu kwa hoja zozote za huyo kasim mafuta

    • @SaidKessy-f5p
      @SaidKessy-f5p 6 หลายเดือนก่อน

      Ajibu hoja gani wacheni hasadi za shehe kasema semeni kala rasulullah na kala llahu taala wacheni chuki na hasadi na kusemanasemana kama wanawake

    • @sadofaraji5999
      @sadofaraji5999 6 หลายเดือนก่อน

      Sema hoja gani hakujibu nikuoneshe.

    • @sadofaraji5999
      @sadofaraji5999 6 หลายเดือนก่อน +1

      Salafi imekuwa dini,kila dakika salafi,salafi nani atazungumzia uislam

  • @ahlulhadeeth
    @ahlulhadeeth 6 หลายเดือนก่อน +4

    Tunasubiri sehemu ya pili sasa.Allah awahifadhi mashekhe wetu kwani tumebainikiwa Barakallahu fykum.

  • @ABASIRAMADHAN
    @ABASIRAMADHAN 18 วันที่ผ่านมา

    Allah amhifadhi shekhe kasim mafuta kabainisha na pia Allah atungoze sote sisi Dr islam maana shekhe Dr islam amekataa kubainisha majibu yake nimatusi lazima daawa hii yakisalafi ibainishwe ujilikane wewe ninani marafiki zako nikina nani mbona hadithi ziko nyingi sana juu jambo hili ivi katika makundi 73 bila kubainisha kwa misingi utajijua kama wewe uko kundi gan? Jamani mbona inakua hivi shuleni tulivo kua tunasoma ilikua darasa moja imegawanyika kuna A B C D E nakila kundi lina watu wake na sifa zake na mambo yake ubainisho huu niwawazi na inajulikana kwakusemwa kama kundi fulani sifa yake ni hii

  • @Abdulrashedalhilaly
    @Abdulrashedalhilaly 6 หลายเดือนก่อน +7

    NIMEHUDHURIA DARSA ZA MASHEIKH MBALI MBALI TANZANIA NA KENYA
    LAKIN DARSA ZA DUKTUUR WALLAHI WAHISI RAHA YA ELIMU KUSOMA CHINI YA SHEIKH ZAAHID TAQIYY نحسبه كذلك والله حسيبه

    • @abuukarata9653
      @abuukarata9653 6 หลายเดือนก่อน

      Ni msomi kwa mafuta ni wivu tu na husda

  • @Nature-xe7lu
    @Nature-xe7lu 6 หลายเดือนก่อน +5

    hmmmm kasim mafuta yupo level nyengine... acheni mchezo jamani😮😮

    • @abrahmanhamad3253
      @abrahmanhamad3253 6 หลายเดือนก่อน

      Hana level yyte hn hekma

    • @abrahmanhamad3253
      @abrahmanhamad3253 6 หลายเดือนก่อน

      Anasema watu vbya

    • @saidali9255
      @saidali9255 6 หลายเดือนก่อน

      Level gani hiyo?.Kassim Husda kibao!

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      Level ya kijadida sawa ila ukisema usalafi wa kweli hamna kitu pale guruu matamanio na fitna yupo vzr kwa majadida hapo tutakubali

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 6 หลายเดือนก่อน

      @@saidali9255 husda kivipi yani,,,yani ilmu anayosomesha huoni,,,

  • @HakizimanaZainabu-f8d
    @HakizimanaZainabu-f8d 6 หลายเดือนก่อน +9

    Allah akimpa mja wake neema hakuna kiumbe yeyote ambae yuko na uwezo wa kumuondoshea neema hiyo Sheikh Kassim wallah uko na maradhi ya hasad,fitna,khila na khiyana Allah akuongoze na awuponye moyo wako na maradhi hayo aamiin

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 4 หลายเดือนก่อน

      Ipi dalili yako juu ya hili? Je? Una ilimu yoyote ututolee? Au ni maneno matupu tu?

    • @MahmoudAli-rs5mi
      @MahmoudAli-rs5mi 24 วันที่ผ่านมา

      ​unataka dalili ya aya na hadith dah ww kiboko

  • @spares-repair
    @spares-repair 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kabla kutuma comment sikiza video mpaka mwisho. respect kwa dr Islam na sheikh Mafuta kwani hivi ni vita zenu sisi kama wafuasi wasia wetu shikamaneni mufunze dini na mueneze dini ❤

  • @OthumanHamisi
    @OthumanHamisi 3 หลายเดือนก่อน

    Masalafi acheni shokoshoko fanyen kazi ya ALLAH. Shekhe Kasi bazi ya mambo kaa kimya. Ushakua

  • @YusufuShaibu-t5e
    @YusufuShaibu-t5e 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh Kasim Allah amuongoze na amsimamie katika kila jambolake la kheri, kwakweli ANAPAMBANA SANA japo wajinga hawamuelewi

  • @faridsaid60
    @faridsaid60 6 หลายเดือนก่อน +2

    Shekh kassim yuwasema ukweli japo kua ni uchungu kwa wangine haya mambo ni ya allah siya kikabila jamaa

  • @AbdulSaid-l9k
    @AbdulSaid-l9k 5 หลายเดือนก่อน +2

    Allah atuongoze

  • @chuggaboy9877
    @chuggaboy9877 6 หลายเดือนก่อน +5

    Allah amuhifadhi Dr. Islam

  • @maulidympembeta6045
    @maulidympembeta6045 4 หลายเดือนก่อน

    Dr.Islam Assalamualaikum. Allah amekujalia unakubalika Kwa hekma ulonayo katka darsa zako na da'wah Yako Sasa kuwa makin na hawa masalaf wasije wakakutoa kwenye mstari , usipende kuwa jib wenzako ndio wanapenda hiyo mipasho . We fundisha watu dini na walinganie . Anayekushambulia Allah atakujibia , kumbuka ile hadith Allah akimpenda mja bac yeye ndiye Huwa macho yake ,miguu yake mdomo wake ........

  • @HuseniChina
    @HuseniChina 3 หลายเดือนก่อน

    Shekhe kasim anapotosha watu na ataenda kuulizwa

  • @keazi9638
    @keazi9638 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wote mawahabi sisi tukopembeni

    • @SHOMARYHIMIRY
      @SHOMARYHIMIRY 4 หลายเดือนก่อน

      Nini maana ya wahabi maalim?

  • @mwanajumanassor9579
    @mwanajumanassor9579 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu sheikh anatabu sana hata masalafi wenziwe wamjua anatabu sana Allah amuongoze

  • @Bamatraf-gn5js
    @Bamatraf-gn5js 3 หลายเดือนก่อน

    Tumcheni Allah, haya mambo ya kujeruhi waachieni ULAMAA. Matulabu ilmu na maàwamu kama sisi hatutaulizwa kwa nini hujamtahadharisha fulani kwa sababu hiyo haiko katika mustawaa wetu. Wale waliobainishwa na ULAMAA kama mashia, masufi n.k. endeleeni nao.

  • @HamidaMohamed-be5kg
    @HamidaMohamed-be5kg 6 หลายเดือนก่อน +5

    We qassim wafuta ya nazi unapenda sana kupinga mashekh wenzio we inakuhusu na nn ili hali we mwenyewe hukai mombasa hiii

    • @Eidd.Killo-jw4wm
      @Eidd.Killo-jw4wm 5 หลายเดือนก่อน

      Kassim mbabaishaji tu hyo

  • @MohamedParata
    @MohamedParata 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tunakuomba Allah utuhifadh sote Waislamu na waumin

    • @twahambowe440
      @twahambowe440 6 หลายเดือนก่อน

      Aamiin Aamiin Aamiin

  • @hassanmohdally5217
    @hassanmohdally5217 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe kasimu mafutaa kilaa siku kusemaa wenzio unahusdaa sanaaa unasemaa umsikilizii sasaumejuwaje kamaa haongelei hayoo mambo achaa hizoo mambo shekhe mafutaa kilaa siku

  • @mengihashimu1081
    @mengihashimu1081 6 หลายเดือนก่อน

    جزاك الله خيرا يا شيخ

  • @mareeabdalla5739
    @mareeabdalla5739 6 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mafuta niwale wanao dhani wao washabashiriw pepo

    • @allykayanda6930
      @allykayanda6930 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kwanza jiangalie mwenyewe ulivo kisha mzungumzie mafuta,wewe umevaa kapelo na suti kama mgaratia namna hiyo 😂😂😂

    • @IdrisaAbdallah-ze2cq
      @IdrisaAbdallah-ze2cq 4 หลายเดือนก่อน

      Urivo kama twauhnguti

    • @IdrisaAbdallah-ze2cq
      @IdrisaAbdallah-ze2cq 4 หลายเดือนก่อน

      Kahachin usome kwanza

  • @jumakhamis5448
    @jumakhamis5448 6 หลายเดือนก่อน +1

    A.alaykum tunaomba muendelezo wa hii please

  • @MohammadSilimu
    @MohammadSilimu 5 หลายเดือนก่อน

    Sheykhe ALLAH. akuongoze ila we upon mbali kabisa na ufaham salafi umebeba misimamo ya ma sheykhe. Zako. Na sio hujielewi sheykhe

  • @rajabTaratibu
    @rajabTaratibu 6 หลายเดือนก่อน

    Allh awaongozen ila jihatadn kuacha ushabik katika din

    • @SHOMARYHIMIRY
      @SHOMARYHIMIRY 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabsa point aisee

  • @IsmailFeruz-bw8hk
    @IsmailFeruz-bw8hk 6 หลายเดือนก่อน

    Kwanza huyu ukianza kumtaja jina lake lazima uanze na herufi ya Dr.halafu ndo uendelee wewe sasa unatajwa na kama mafuta ya kupikia shee mafuta 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @NasirJussa
    @NasirJussa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shekhe Gani ata kuonekana haonekani 😂😂😂😂 shida ni uso mbaya ata shauku hana... We umeona wapi mtu anaongea halafu haonekani.. eti picha haramu basi na pesa pia msitumie leteni pesa izooo tuzitumie sie..😂😂😂 majuhhaal wakubwa na upuuzi tu mjuayo basi

  • @qassimkc5898
    @qassimkc5898 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona mmoja mmempa dakika nyingi kujieleza na mwengine mumemuonea ?

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu 6 หลายเดือนก่อน +1

      Punguza maneno ya huyo mwengine alafu ubakishe ya mwingine! Wala hautoweza maana hapo ni hoja baada ya hoja,,,, kwa dalili

    • @rahmahsaidomar9111
      @rahmahsaidomar9111 6 หลายเดือนก่อน

      Na hakuna anachoeleza wamwache Dr. Islam atupe elimu. Na kama hamjui asiongelee mtu hamju sifa zake. Dr. Islma ashawai jibu kubusu Salafi na akatoa fatwa ya Ibn Baaz. Sasa wewe mafuta kajipake ututokee hapa.

  • @MuhammadShariff-ji9ye
    @MuhammadShariff-ji9ye 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ikiwa hufatilizi darsa zake ulijuaje kama hazungumzi usalafi ilmu ndogo ina shida

  • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
    @ExcitedCricketHelmet-wr4sq 6 หลายเดือนก่อน +4

    Tandika kisawa swa mpaka warudi swa hawa mahizbi na makhurafi hakuna kuwapa nafasi hawa

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      huo ni ujinga na so usalafi wa kweli ninyi ndo mrudi katika sawa ndomana shekhe utheiminy Allah amrehemu kataja fitna za kundi lenu hilo na dalili zote mnazo hapo amkimbii teteeni ile hojja kimya mpk mpk leo amna alokuja kutetea iyo hoja mnaruka ruka tuuh shekhe islamu yupo kwenye hakki kuliko ninyi majadida

    • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
      @ExcitedCricketHelmet-wr4sq 6 หลายเดือนก่อน

      @@AbdulIssa-o7e Sasa ww hizbi nikuulize Mambo mapya gni walileta salaf kama hulingani watu tawheeed na bidaa umerudiwa kwa sababu huu uwanja mnaukimbia kwa kuiangalia maslahi ynu miaka kumi na Tano mtu anafunza vitabu vitatu tu mbona mnahangaika mkae chini mufunze nyinyi mahizbi

    • @twahambowe440
      @twahambowe440 6 หลายเดือนก่อน +1

      Dkt Islam ni salafiyya halisi, na yupo vizuri sana ktk kutangaza daawa salafiyya

    • @nasilukilawaga2021
      @nasilukilawaga2021 6 หลายเดือนก่อน

      Duh!​@@twahambowe440

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah sheikh Qassim mafuta Allah akuhifadhi sheikh wetu Abuu Fadhil

  • @hamudseif
    @hamudseif 6 หลายเดือนก่อน +1

    Leo nimejua huyu(Mafuta) mtupu kabisaaa

    • @harithmenza
      @harithmenza 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @Munir-yi8gn
    @Munir-yi8gn 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kusomesha watu Riyadh salihin na kutafsiri Quran itakua sawa na kuchambua watu kua yupi ni salafi unatia mtu kwa usalafi mwengine wamtoa wahukumu watu kwani we mungu! Neno salafi ni hilohilo sunnah musije kujipata makhawarij kwa kujiona wachamungu sana!

  • @AdamuYusufu-z2c
    @AdamuYusufu-z2c 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Dr alaakuhifathi

  • @SaidKatuga-qx1xr
    @SaidKatuga-qx1xr 6 หลายเดือนก่อน +4

    We kassim mafuta huna kitu Ni fujo tu Dr. Islam anazungumza vitu vya maana Sana twampenda usiwe na wivu Kama kakuzidi kubali tu we mzee dawa zako we mafuta hazieleweki vituko vitupu.

  • @ahmedabdulwahab5444
    @ahmedabdulwahab5444 6 หลายเดือนก่อน +7

    Wacheni Chuki ,Hasad na wivu zenu. Daawa etaendelea bila Nyinyi. ALLAH Subhana wataala amhifadhi .

  • @Abdulrashedalhilaly
    @Abdulrashedalhilaly 6 หลายเดือนก่อน

    ALLAH AKULINDE DUKTUUR ISLAM MWALIMU WETU NA AWATIBU MARADHI YAO HAWA WENYE MARADHI NA HASADI WAKIJIFICHA CHINI YA KIVULI CHA MANHAJ SALAF BILA KUJUA KUWA WANAYO YAFANYA HUKHALIFU MANHAJ SALAF

    • @ahmedrage9664
      @ahmedrage9664 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe Bado mwanafunzi soma dawaa'waah salafiyaaah kwanza, sio maneno ya majihizibi unao tembea nao

    • @HarunaOmar-ip5iv
      @HarunaOmar-ip5iv 6 หลายเดือนก่อน

      Nam shekh wangu ningekuomba kama unawez kunisaidiya la groupe doctor islam wasap ili niwez kupat Fawaidu namimi

  • @MuhammadShariff-ji9ye
    @MuhammadShariff-ji9ye 6 หลายเดือนก่อน

    Alhamndulilahi tumejua haki Iko wapi

  • @MohammedShehe-x8p
    @MohammedShehe-x8p 5 หลายเดือนก่อน

    Ni vizuri awa wawili wakakutana ukae kwa munakasha wa live bila ya fujo za mashabiki wa mtandao ili tujue nani yupo sahihi zaidi

  • @khamiskhamis9947
    @khamiskhamis9947 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii Da'awah mm mwenyewe siilewi, chuki nyingi dhidi ya Masheikh, sijuwi wanataraji nini hawa mbele ya Allah. Kwa sababu hichi wanacho kifundisha kipo kinyume na mafundisho ya Mtume صلى الله عليه وسلم

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 6 หลายเดือนก่อน +2

      Tatizo lako hujui misingi ya daawatu salafiya,,sasa ndio maana waona kutatizwa, ,,,wewe kwa kutokufaham kwako waona ni chuki, unawahofia kukutana na Mola wao vibaya ,,,matatizo unayo wewe usiyejua kuwa usalafy ni nn ،،kwahio kaa chini ndugu yangu usome ndio utajua hii Daawa sio chuki bali ndio Daawa ya mtume, ,,,lkn Faham zikiwa ndogo utabaki kukashifu tu na Hali Tatizo utakuwa nalo wewe.,,angalia haki usijawe na huruma isio na faida,,

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 6 หลายเดือนก่อน

      Tatizo nyinyimnaangalia kumpendamtu ampomakini naanacho kielimisha mnakibebatu naatamkilekebiswa hamkubali

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@ABUUJAAFAR92Usitudanganye daawa ya mtume ndo kuwatoa watu kwenye sunnah? Kwani mtu akilingania kitabu na sunnah na wema walotangulia maswahaba huyo ni salafi hata bila kujitangaza mimi salafi ulinganizi wake tosha kukujulisha yule salafi sasa na ndo kauli za wanazuoni wetu shekhe utheiminy nae kasema usalafi so kikundi cha mtu binafsi au chama cha watu fulani yeyote nwenye kupita mipito ya quruani na sunnah huyo salafi tatizo linakuja ninyi mmefanya usalafi ni hizbi ya watu maalumu yeyote aso katika ninyi huyo mnamtoa kwenye manhaji ya wema walotangulia ninyi mmekuja na usalafi mpya mapito yenu tofauti na masalafi swalehe awakutoana kwenye njia kama ninyi leo hilo kundi leenu mmeingia cha kike msitufanye sis hatujui maana ya usalafi eeeboo!!!

  • @nurdinhoza
    @nurdinhoza หลายเดือนก่อน

    D islam halinganii chama chamafuta analingania wema usalafi

  • @IsmailFeruz-bw8hk
    @IsmailFeruz-bw8hk 6 หลายเดือนก่อน

    Umesikia hayo maneno ya swahaba omar pale alipoulizwa من هو الرجل!!؟

  • @muniramauj6336
    @muniramauj6336 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kasomeni hamna elmu muacheni dr islam

  • @ahmedabdulwahab5444
    @ahmedabdulwahab5444 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mtachoka na husband, chuki na wivu yenu.
    Sheikh Islam Allah Subhana wataala amhifadhi na nyinyi Hizbi Salafi Jadida

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      Hawa jamaa usipo piya mipito yao we so salafi kaa mipito yao mipya kabisa so ya wema walitangulia yani Allah katupa mtihhani kweli juu ya Hawa watu

  • @IsmailFeruz-bw8hk
    @IsmailFeruz-bw8hk 6 หลายเดือนก่อน +5

    Wewe usimtambue ila East Africa nzima inamtambua kuwa ni عالم معتبر 🤍

  • @abousumayyahhassandjuma1332
    @abousumayyahhassandjuma1332 6 หลายเดือนก่อน +1

    Masheikh wataambiwa maneno machafu na kutukanwa sababu ni wewe ilo tambuwa na uandaye majibu utampa mola wako hiyo siku.

  • @AllyKame-rx2zd
    @AllyKame-rx2zd 6 หลายเดือนก่อน +1

    Umesema neno Shekh Kasim na kulipinga papo hapo, Kwa maana ni kama hujalisema: waarabu wasema: انكنت كذابا فكن ذكارا
    Jambo ulosema: ni kwamba husikii darsa za Doktoor, siali, ulijuaje mapungufu na manhaj yake?
    Pili: mbona ni Doktoor Islam pekee umefuata hatua zake?
    Ujue watu wana akili, usijifungie kwako unadhami ulimwengu umeufunga katika fikra za kuta nne zilizo zunguka chumba chako.
    Kuna mashekhe wangapi mbona mno Doktoor Islam, au ni sababu ya umaarufu wake?
    Ni kweli twaona umaarufu wake unaumiza moyo wako, ila kwa inswaaf tosheka na alicho kupa Allah, kubali kama walivo tii malaika ubora wa Nabii Adamu Alayhi Salaam, na usipinge kama alivo jiona bora iblis kuliko Nabii Adamu Alayhi Salaam kwa kitendo cha kutomsujudia na kupinga amri ya Allah

  • @Abdulrashedalhilaly
    @Abdulrashedalhilaly 6 หลายเดือนก่อน +5

    Umetutisha na picha za movie za kituruki Tuh Halfu Hamna lolote 😅

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mumekaa kama wanawake.kazi kuongelea watu badala kufundisha.

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 6 หลายเดือนก่อน

      Hakuna wanaofundisha na kutoa ilmu kama kina sheikh qaasim mafuta,,,ama kina dr kufundisha wameshindwa ,,,

    • @YusufAli-gc9cu
      @YusufAli-gc9cu 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani wewe hapo wafanya nini,,,si waongelea watu,,,kinachozingatiwa je wazungumza kwa haki???

    • @IdrisaAbdallah-ze2cq
      @IdrisaAbdallah-ze2cq 4 หลายเดือนก่อน

      Ujui uritendaro ndomana unamtukana shekhe kasim mafuta

  • @mirajiyombe1601
    @mirajiyombe1601 2 หลายเดือนก่อน

    Kasim mafuta ndo anakibali cha usalaf wa watu

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera TZ kenya lazma waje kusoma bongo

    • @mahatmamgenge
      @mahatmamgenge 6 หลายเดือนก่อน

      Huyo qasim mafuta hakusoma Kenya?

    • @Onlyforfun1992tube
      @Onlyforfun1992tube 6 หลายเดือนก่อน

      @@mahatmamgenge subiri uoneshwe kazi wewe wa TZ tuna elimu hio zamani nyinyi mkisoma unguja

    • @Onlyforfun1992tube
      @Onlyforfun1992tube 6 หลายเดือนก่อน

      Tanzania kila elimu Iko nyinyi vilaza tu subirin na madogo wanapiga shule saizi mtajionea

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mahizbiy hapa hawana hoja kabisa ,,usulu wao umebaki kutumia huruma tu ,,,ukiona mtu yeyote analeta hoja za kuwa masalafy wana chuki,hasadi,sijui mwakataa picha mbona mumeeka ya dr ,,jua tu huyo hana hoja na haqi ameiona kwa sheikh qaasim lkn kwa sababu ya ushabiki wake anatafuta njia za kutetea baathl

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      Amna hakki yeyote huko bado ni mpo kwenye mapote kama mengine tuuh ghuruu na kutupa mipaka huyo boss wenu mwemyew nae ashatolewa kwenye sunnah na hiko kikundi chenu kina taabu kila mtu amjeruhi mwenzie Allah awasamehe na awaongoze katika sawa mafuta mwenyewe ahesabiwi kashatikewa kwenye sunnah yani toka mmekuja ninyi tz mmevuruga safu za ahlsuna tumeingiliwa kwakweli mtihani alotupa Allah mkubwa kweli juu ya hilo kundi na uzuri shehe utheiminy kasema na kabainisha upotovu wa kundi lenu hilo atupati tabu

    • @chabunu3367
      @chabunu3367 6 หลายเดือนก่อน

      Masjid luta reyyadul swalhin masjid jundah kwa ustadh swadik pia huyo hiyo Alhamdulilah faida ni nyingi

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 6 หลายเดือนก่อน

      @@chabunu3367 miaka mingapi amefunza hicho kitabu ?,,

    • @abuuyasir1253
      @abuuyasir1253 6 หลายเดือนก่อน

      Kwa hivyo shehe lako ni salafi kuzidi waalimu wa Saudi wake ambao picha zimejaa kwa mitandao,acheni fujo na ujinga aty ma hizb mm ni hizb Allah kwani ww ni hizi shaytwan

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      @@abuuyasir1253 ukifata fatuwa ya ibn utheemeny wao ndo mahizb sabu mipito wanayopita nayo na tabia zao so salafi walotangulia utakuta wanapasuwa safu ya ahlsunna wanagawwa vikundi wakati ni haramu makundi katika uislamu kinacho bidi kupita katika njia ya mtume na wema walotangulia sasa ukija na fikra za kikundi chako kipya kingine chenye fikra mpya tofauti na wema walotangulia ni hizbi sabu siumeacha njia ile ukaja na mpya hivyo salafi ni wajibu wa kila muislamu afate njia hii lakini ukianzisha kikundi chako ukafanya kama ni chama cha watu maalumu huwo so usalafi kitu utakuwa ww ndo hizbi kwaaiyo shekhe kafafanuwa vzr wasome Hawa wanaodai usalafi kisha wanawatoa wenzao katika man hajji ya kweli na kuwa nasibisha na majina ya makundi ya dhwalala huuu so usalafi wamsome shekhe utheimeen watamuelewa warudi katika mstari maana wao ndo wameoinda

  • @ibrahimmsabah440
    @ibrahimmsabah440 6 หลายเดือนก่อน

    Hapa ndipo ninaposikitishwa na mashehe zetu wa kisalafi,hawapambani na makafiri na wanafiq ila hupambana na mashehe wenzao wenye mitazamo tafauti na usalfi,hebu jitasminini hivi mnajenga ama mnauvurua uislam?

  • @SadaAbdallah-z9t
    @SadaAbdallah-z9t 5 หลายเดือนก่อน

    Kasim mwalim wangu

  • @abumuhammad7802
    @abumuhammad7802 6 หลายเดือนก่อน +5

    Dr. Islam yuko sawa kabisa.

  • @AbdulSaid-l9k
    @AbdulSaid-l9k 5 หลายเดือนก่อน

    Duu sisi watu wasuna sijui tunashida Gani maana kazi yetu kukosoana

  • @bamoclimber4186
    @bamoclimber4186 6 หลายเดือนก่อน

    Daawa zenu nyote Hazina Athari Kwa Makafiri kazi kushambuliana wenyewe Kwa wenyewe

  • @WakaliFashionTz
    @WakaliFashionTz 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hii channel ya kimbea mbea San kwann mnapenda kugombanisha watu km kweli hao kina mafuat wanataka Haq siwamfuate wamnakish kwann au ndo kuogopa??

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน

      Awa kilichowauma dr alipobainisha fitna za kundi lao muhadhara wake ule tanga sabu dr islamu alitumia hoja za shekhe saleh utheiminy Allah amrahamu amebainisha dalili la hili kundi la kina mafuta usalaffi wao sasa si wamradi shekhe yeye alisoma fatuwa zake

  • @abuukarata9653
    @abuukarata9653 6 หลายเดือนก่อน

    Kwani mafuta ana elimu ya kiwango gani? Nataka kujua kama ni zaidi ya doctori sawa

  • @nurdinhoza
    @nurdinhoza หลายเดือนก่อน

    Dkt islam analingania usalafi usalafi siompakaujitangaze

  • @AbuuKhadija04
    @AbuuKhadija04 6 หลายเดือนก่อน +3

    Muhadhara niliusikia wakati ulipotolewa na leo nimeusikia ni kama sijawahi usikia mpya kabisa maa shaa Allah hii ndio manhaj salaf ni elimu tupu uadilifu wa hali ya juu kutoka kwa sheikh Abul Fadhl Allah Amuhifadhi

    • @HusseinAbdul-is9xq
      @HusseinAbdul-is9xq 6 หลายเดือนก่อน

      Allah s.w.t tujarie elimu yenye manufa Duniani na ksho akhera. Na utujarie ufahamu aàmin

  • @HassanSalim-hl8qs
    @HassanSalim-hl8qs 6 หลายเดือนก่อน +4

    Muache shekh wetu Doctor Islam Muhammad

  • @nurdinhoza
    @nurdinhoza หลายเดือนก่อน

    Shida yamafuta kajipa cheo chakusajiliwa2

  • @DicksonLutende
    @DicksonLutende 3 หลายเดือนก่อน

    Shekhe unaongea sn, lete hoja sawasawa, au kwakuwa Allah amekujaalia ufasaha wa kuongea? Lete hoja ya msingi acha faraqa

  • @abuuaisha6110
    @abuuaisha6110 6 หลายเดือนก่อน +18

    Sasa wewe wasema hujui anaongea nini Dr. Islam husikilizi darsa zake, kisha ulijuaje kama halinganii dawa salafiya? Tumuogopeni Allah

    • @Ajiib-gwazai
      @Ajiib-gwazai 6 หลายเดือนก่อน +2

      Mashaallah.unaufaham mkubwa shekh.Allah akubaarik

    • @chabunu3367
      @chabunu3367 6 หลายเดือนก่อน +5

      Chuki yake nimemshangaa wao wataka Dr Islam anze kujibizana nao wakumbavu chuki zao Allah amuhifadhi Dr Islam

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 6 หลายเดือนก่อน +2

      Uwenda kunamtu kasikiloza kaona haippsawa kamsendia asikilize hiyo trip yake msimlaumu walakumtukana. Kassm mafuta Allah amlinde na maadui. Amyn

    • @AbdullaahiCbdrxmn
      @AbdullaahiCbdrxmn 6 หลายเดือนก่อน +2

      Mpaka atukane kila mtu na aliinganiye pote yao ndo atakuwa salaf

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 6 หลายเดือนก่อน

      @@AbdullaahiCbdrxmn Nani katukana

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 6 หลายเดือนก่อน

    Sisi hatupakani mafuta kwa nyuma ya mongo WA chupa wala Sisi hatuna umoja feki pamoja na shekheletu linaasili ya MAFUTA Allah amuhifadhi wallahi NI neema kubwa Sisi ilikuwa hatujui haki iko WP Allhamdulillah allaniimatilislam wassuna allamanhajusalafiy llumma

  • @mwanajumanassor9579
    @mwanajumanassor9579 6 หลายเดือนก่อน +1

    Docta Islam ni salafi Wala hajikwezi ,kama wanaojikweza Kwa elimu acheni chuki wapo wanamkubali

  • @saeedqaseem3172
    @saeedqaseem3172 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna haja kubwa Sana watu kusomeshwa hiii daawah salafiya....
    Uelewa mbaya wa hiii dawaah ndio unaoleta maneno mengi hiii daawah sio ya mtu ila ni itikadi tu Wala hakuna haja kupata kibali cha mtu au kuambiwa na mtu kuwa wewe ni salaf au sio salaf....
    Kukhitilifiana kwa dalili sahihi hakumtoi mtu ktk usalaf ila kinachowaumiza watu nikuwa na taasub ktk misimamo bila kuheshimiana ktk ikhtilaf ata zikiwa sahihi...
    Ikhlasi na heshma zikitangulia waislamu wataepukana na haya malumbano...
    Allah atuongoze sote

  • @AliyKhatib-j9i
    @AliyKhatib-j9i 18 วันที่ผ่านมา

    Kwani huyo dr islm kwanini ikwa hajui kusoma na kaenda saudi au niuhzib ndo umemshika

  • @AllyKame-rx2zd
    @AllyKame-rx2zd 6 หลายเดือนก่อน

    Wanafunzi na watafutaji wa Elimu, nawakumbusha mbinu za watu wanao tefuta umaarufu kupitia migongo ya watu maarufu.
    Wanasema: خالف تعرف
    Yani: Pinga majority, ili upate kuwa maarufu

  • @MohammedShehe-x8p
    @MohammedShehe-x8p 5 หลายเดือนก่อน

    Sheikh abul fadhwli Kasem kweli
    1 ima watu wana ujinga (wajinga)
    2.Taasubi (ushabiki wa upofu))

  • @yussufmahbub7032
    @yussufmahbub7032 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asc hii ni kawaida ya wanao Jiita salafiya kundi ya kugawanya waislamu

  • @UstaziMwenjuma
    @UstaziMwenjuma 6 หลายเดือนก่อน

    Uislamu wa namna hii sijui wapi tunaelekea jamani kiburi kimetawala nyoyo zetu na kujitakasha na kujiona huyu hayuko sawa na huyu hayupo sawa😢😢

  • @IsmailFeruz-bw8hk
    @IsmailFeruz-bw8hk 6 หลายเดือนก่อน

    Sheikh mche Allah kwani ili mtu ili aonekane alingania dawa ya salaf yatakiwa aweje huko ni kujikweza mche Allah.

  • @IssaBachuMuhammadjr-rr3ri
    @IssaBachuMuhammadjr-rr3ri 6 หลายเดือนก่อน +4

    Wewe kasim mafuta fikiria sana usidanganye bana alfu sisi tunajua masalafi ni akina nani tena vizuri sana achana na Islam.

  • @hassanmakame4382
    @hassanmakame4382 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi kuna sheikh anaewasema masheikh wenzake Zaid yako ww Kasim?

  • @muhammedaloufy4086
    @muhammedaloufy4086 6 หลายเดือนก่อน

    HASAD HASAD HASAD WALLAH HAYA NDIO MARADHI YENU HASSA WEWE MAFUTA!

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 5 หลายเดือนก่อน

    Hicho kikasimu kinajifanya yy ndo.mizani ya sunna
    Akitokea mtu akimpinga yy binafsi matatizo yake binafsi
    Anajigeuza yy ndo mwenye dini
    Kazi yake kutowa watu kwenue uislamu tuu

  • @IsmailFeruz-bw8hk
    @IsmailFeruz-bw8hk 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mwanachuoni lkn Allah amekunyima kitu kimoja ambacho ni hekima na elimu bila hekima ni sawa sawa 0

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ansari sunnah ndo masalafi wa kweli na ukitaka sunnah haswa Hawa wengine kina mafuta na wenzie ni masalafi feki ( majadida) hamna lolote guhuruu na matamanio ila ukitaka sunnh hasa na usalafi wa kweli ni kwa answari tuu nyi wengine vikundi tuuh vya ubabaishaji

  • @muhamadismail-my1do
    @muhamadismail-my1do 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi shekhe qaasim

  • @salaamibahsan3063
    @salaamibahsan3063 6 หลายเดือนก่อน

    Aah miye nishachoka bwn na hay makundi

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 6 หลายเดือนก่อน

      Yapo 73 ukichoka utaingia motoni, unalazimika kutokukata tamaa ubaki katika njia ya sawa. Ujitahidi kusoma kwa bidii