ð——.ð—œð˜€ð—¹ð—®ð—º / ð—”ð—¯ð—±ð—®ð—¹ð—¹ð—®ð—µ ð—›ð˜‚ð—ºð—®ð˜†ð—± | Kᴀᴅʜɪᴀ Yá´€ Rɪʙᴀ Yá´€ Cʜᴀɴɢᴇ ð—›ð—¼ð—·ð—® ð—­ð—¼ð˜ð—² (Mᴜᴋʜᴛᴀꜱᴀʀ)

à¹à¸Šà¸£à¹Œ
à¸à¸±à¸‡
  • เผยà¹à¸žà¸£à¹ˆà¹€à¸¡à¸·à¹ˆà¸­ 1 à¸.พ. 2024
  • ð—–ð—µð—®ð—»ð—»ð—²ð—¹ ð—µð—¶ð—¶ ð—¶ð—»ð—®ð—µð˜‚ð˜€ð—¶ð—¸ð—® ð—»ð—® ð˜‚ð˜ð—¼ð—®ð—·ð—¶ ð˜„ð—® ð—ºð—®ð—³ð˜‚ð—»ð˜‡ð—¼ ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ ð˜†ð—® ð—±ð—¶ð—»ð—¶ ð˜†ð—® ð—¸ð—¶ð—¶ð˜€ð—¹ð—®ð—ºð˜‚ ð—¶ð—¸ð—¶ð˜„ð—²ð—ºð—¼ ð——ð—®ð—¿ð—®ð˜€ð—®(ð——ð˜‚ð—¿ð˜‚ð˜€) ð˜‡ð—® ð—ºð—®ð˜€ð—µð—²ð—¶ð—¸ð—µ ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ ð—»ð—±ð—®ð—»ð—¶ ð˜†ð—® ð—žð—²ð—»ð˜†ð—® ð—»ð—® ð—»ð—·ð—² ð˜†ð—®ð—¸ð—² ,ð—ºð—®ð˜„ð—®ð—¶ð—±ð—µð—®, ð—¸ð—µð˜‚ð˜ð—¯ð—®ð—µ, ð—³ð—®ð˜ð—®ð˜„ð—® ð˜‡ð—® ð˜„ð—®ð—»ð—®ð—°ð—µð˜‚ð—¼ð—»ð—¶, ð—¤ð˜‚ð—¿ð—®ð—», ð—»ð—® ð—ºð—®ð˜€ð—µð—®ð—¶ð—¿ð—¶ ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶
    ð‘»ð’‰ð’Šð’” ð’„ð’‰ð’‚ð’ð’ð’†ð’ ð’†ð’ð’ˆð’‚ð’ˆð’†ð’” ð’Šð’ ð’•ð’‰ð’† ð’…ð’†ð’ð’Šð’—ð’†ð’“ð’š ð’ð’‡ ð’—ð’‚ð’“ð’Šð’ð’–ð’” ð’•ð’“ð’‚ð’Šð’ð’Šð’ð’ˆð’” ð’Šð’ ð’•ð’‰ð’† ð‘°ð’”ð’ð’‚ð’Žð’Šð’„ ð’“ð’†ð’ð’Šð’ˆð’Šð’ð’, ð’Šð’ð’„ð’ð’–ð’…ð’Šð’ð’ˆ ð‘ªð’ð’‚ð’”ð’”ð’†ð’” (ð‘«ð’–ð’“ð’–ð’–ð’”) ð’ð’‡ ð’—ð’‚ð’“ð’Šð’ð’–ð’” ð’”ð’‰ð’†ð’Šð’Œð’‰ð’” ð’Šð’ ð‘²ð’†ð’ð’šð’‚ ð’‚ð’ð’… ð’Šð’•ð’” ð’ð’–ð’•ð’”ð’Œð’Šð’“ð’•ð’”, ð’”ð’†ð’“ð’Žð’ð’ð’”, ð’ð’†ð’„ð’•ð’–ð’“ð’†ð’”, ð’‡ð’‚ð’•ð’˜ð’‚ð’” ð’ð’‡ ð’”ð’„ð’‰ð’ð’ð’‚ð’“ð’”, ð‘¸ð’–ð’“ð’‚ð’, ð’‚ð’ð’… ð’Šð’”ð’ð’‚ð’Žð’Šð’„ ð’†ð’…ð’–ð’„ð’‚ð’•ð’Šð’ð’ð’‚ð’ ð’‘ð’ð’†ð’Žð’”
    🪩EMAIL:
    ð—Œð–ºð—…ð–ºð–¿ð—‚ð—’ð–ºð—.ð—ð—@ð—€ð—†ð–ºð—‚ð—….ð–¼ð—ˆð—†
    #fauzproductions, #ahlulathar, #duktuurislam,
    #abdallahhumeid
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 64

  • @salafi.
    @salafi.  5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +6

    Kwa wanaojifanya hawaelewi kadhia hii, Duktur alitowa qauli kurudia change baada ya kununua bidhaa ni riba.
    Qauli hii ilitatiza watu ndio Shekh Abdallah akatowa mtizamo wa pili. (kurudia change baada kununua bidhaa ni katika mlango wa amana)
    Kisha Duktur akarudia kueleza kuwa kuna pande mbili lakini yeye bado kategemea kurudia change ni riba.
    Lau angenyamaziwa msingepata faida na kujuwa kumbe kuna mtizamo kurudia change ni amana wala sio riba.

    • @user.-_5943
      @user.-_5943 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Wacha ushabiki Kijana Enda Ukasome Uwache Kutaka Kumueka Sheikh wako Juu na Ki hakika Alikosea kurudi maneno ya Khilaf

    • @issahassan8361
      @issahassan8361 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      عن عبادة بن الصامت رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: «الذهب بالذهب، والÙضة بالÙضة، والبÙر بالبÙر، والشعير بالشعير، والتمر بالتمر، والملح بالملح، مثلًا بمثل، سواء بسواء، يدًا بيد، Ùإذا اختلÙت هذه الأصنا٠Ùبيعوا كي٠شئتم إذا كان يدًا بيد؛ رواه مسلم
      Nimekuletea iyo hadithi ili ujue km kauli alioegemea ina dalili na sio kauli yke peke ake kuna kibaru ulamaa wameitegemea pia km sheikh swaleh fauzan , sheikh Muhammad mukhtaar shinqytwi Allah awahifadh.
      Kisha hayo ni mas ala ya IJTIHAAD hafai kukaa kwenye midia ukaaaza kusema watu sheikh wangu.
      وهذا يعتر غيبة ;لقوله صلى الله عليه وسلم
      اتدرون ما الغيبة؟ ثم قال: ذكرك أخاك بما يكرهه.

    • @issahassan8361
      @issahassan8361 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Mpelekee mwalimu wako aliekutuma

    • @UB40X1
      @UB40X1 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Shukran ikhwa kwa kuyaweka sawa mambo. Kuna watu hawapendi kuguswa wakitatiza. Allah Awalipe kila la kheri. Amiin

    • @maftaahabdulmajid223
      @maftaahabdulmajid223 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Mche Allah

  • @kadrimwingamno258
    @kadrimwingamno258 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +5

    Sheikh Abdallah Humeid. ALLAAH akuifadhi. Yani imeiweka sawa katika misingi ya dalili. Huu umma unaitajia sana sana kazi ya Masalafi....
    Tupo katika kipindi cha mitahani mikubwa... Hasa kwa Hawa wanaongeatu. Kwa ajili ya kupenda umaarufu bila kujali uzito wa jambo wanalolifanya... Hii Dini jamani.

  • @islam.with_juneyd
    @islam.with_juneyd 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Allah atuongoze katika njia ya haki.
    Duktur Allah akupe nguvu uzidi kutuelimisha.

  • @ashrafhashim2116
    @ashrafhashim2116 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +5

    Mmeshakwama Mnakurupuka Haliyakuwa Nas ala Hamuyajui Acheni hasadi Nahiyo si tabia ya Salaf swaaleh nitabia ya Kiyahudi

  • @ashrafhashim2116
    @ashrafhashim2116 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +5

    Ibn Uthaymin Katika Sharhu arbaina annawawiy Anasema Mas ala ya Khilaf haifai kumkemea Bali Mkinaishe Akikubali sawa Asipokubali Yatabakikuwa mas ala Khilafiyyah Haifai kumuona Mtu Kuwa Nimuovu

  • @adilmansur4177
    @adilmansur4177 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +5

    Mnafanya kazi nzuri sana kuwavunja ulamaa wa sunnah. Tena mmeshikana na masufi sasa kuwaingilia ahlu sunnah. Mpaka shekhe wa mwembe tayari pia anaungana na nyinyi ili kuvunja da'awa ya salaf mnayodai kuitetea!!
    Sikudhani ntawahi kuona siku yenye masufi watawaunga masalafy katika jambo lolote lakini mmefanya bidii kuleta furqa mpaka mmewapa fursa wawaunge mkono ili tu kuivunja sunnah.
    Mmefanya jambo la maana sana na mmeinusuru sunnah!

    • @adilmansur4177
      @adilmansur4177 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      th-cam.com/video/-kJjlUi_9Vk/w-d-xo.htmlsi=EGiPWcAbjAFeo0uw

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Allah atulinde na fitna hz!

  • @universitylink
    @universitylink 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Kilichozidi ni Amana sawa kabisa swali je akiitumia katika mzunguko wake ya pesa inakuwa nini

  • @user-yl1ix6bm8q
    @user-yl1ix6bm8q 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Hawa safi kumbe wapuuzi sana

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +3

    TUKIACHA USHABIKI..
    DR. ISLAM nimemsikiliza .. Yupo vyema..
    Anaeleweka Zaidi katika hili.
    Alizungumza Mitazamo yote miwili ya uelewa katika jambo hili..
    Ningekuwa kenya, ningependa kusoma kwa DR. ISLAM (Allah amuhifadhi) na Pia Allah amuhifadhi Sheikh Abdallah Humeid na Masheikh zetu wote..

    • @NoorAli-vj4gn
      @NoorAli-vj4gn 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

      Kisha hii video ilikuwa ya dakika 23 wameikata kusudi kumradi kishabiki.Yaani hata suala lina khilaf baina ya ulamaa kwao waona mlango wa radd kama hujachukua msimamo wao

    • @saidsalum523
      @saidsalum523 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

      Na wewe Allah akuhifadhi pamoja na masheikh zetu wote

  • @TheAmadoni
    @TheAmadoni 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Dr. Islam mambo kama haya yafaa ukiyadara uyamalize, ufafanuzi huu kua kuna kauli mbili (ya riba na amana) ungeutoa kuanzia mwanzo kusingekua na fitna na confusion zilizo toka. Anywyz imeeleweka Wa Lilah-ilhamd

  • @suleymanislam4015
    @suleymanislam4015 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +10

    Assalamualaikum muhusika wa hii channel hapa nakuona nia yako si kuleta faida bali ni ushabiki unafanya ni kama mashindano baina ya hawa masheikh tena kwa mambo ya khilaf mche Allah na uwe na inswaaf.

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Allah aithibitishe miguu yako ktk kusimama ktk kweli daima hakika umeongea kwa upeo sana!

    • @ahmedsalehe9489
      @ahmedsalehe9489 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Nime sikiliza audio zote vizuri, na abdallah humeid alipinga juu ya kauli alio itoa Islam bila kuzingatia kauli walizo zitoa wanazuoni katika jitihada za jambo hili.
      Nakuhusia kumuogopa Allah na kuacha ushabiki umma wetu ni wakati na kati na wala usipichuke mipaka

  • @maftaahabdulmajid223
    @maftaahabdulmajid223 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +6

    Kuitwa Ductur haina maana yyte kwngu, kinacho matter hapa ni kitu anacho deliver kwa Umma wa kiislam, Maswala yake personal namuachia Allah, unaweza kuitwa ductur na usiwe na material ya ki ductur,

    • @IssaSimbilla-hw9ev
      @IssaSimbilla-hw9ev 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Muulize hicho cheo cha Ductur amepata wapi fanya charrenge mwenyewe kama umajua kwel sifa ya ductur inapatikana vipi ktk mandhal ya Dini ? Kisha kasomea wapi hd kawa ductur hapo unagundua kitu ikiwa ww mwanafunzi mwerevu

  • @CoachHafidh
    @CoachHafidh 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +3

    Kuacha change dukani inakinaisha zaidi kuwa ni Amana kuliko riba, AllÄh atuzidishie elimu soteâ¤

    • @oss_oss151
      @oss_oss151 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

      allÄhumma ameen

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Ungeweka dalili zako tusome nasie akhulkareem

  • @user-ou6ku6kd8b
    @user-ou6ku6kd8b 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Jamaa mwependa vitaa

  • @universitylink
    @universitylink 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Mbona Duktuur ameelezea hoja zote sheikh Abdallah Humed unapenda kubishana mbona zoja zoye ametaja na weewe umetaja mlango ni amana tu

  • @UB40X1
    @UB40X1 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +4

    Shukran ikhwa. Fauz prod. walikata clip ya kwanza walipoona maelezo ya Sheikh Abdallah ndio walirudi kueka clip kamili. Allah Awahifadhi maduat na masheikh wa kisalafy. Amiin

    • @sophiakassim6979
      @sophiakassim6979 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Aamiin

    • @hay3_8kal
      @hay3_8kal 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

      Wajizungumzia tu bila kuelewa unachosema.. duktuur ndiye alieongea katika majlis mbili tofauti si ati fauz production ndo walipost ya pili baada ya humeid kuongea!!!!!

    • @UB40X1
      @UB40X1 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@hay3_8kal Hata kama ilikua hivyo Sheikh Abdallah hakua na makosa kubainisha. Alhamdulillah

    • @UB40X1
      @UB40X1 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@abuJamal15 Naam mahizbi tunawajua.

    • @maftaahabdulmajid223
      @maftaahabdulmajid223 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@abuJamal15 makosa anayo kwa sbb kuna uwezekano wa kumuuliza kwanza ductur kwa nn amesema ivo na kawa msimamo upi kabla ya kuja mtandaon au kwa sbb na yy anajinasibisha na kuwa na elimu asingepinga hoja ya ductur moja kwa moja bali anagekuja kuweka sawa kuwa kuna hoja za aina mbili na yy anasimamia hyo nyingine amabayo inasema sio Riba sio kumjeruhi Ductur kwa hoja ambayo pia ipo kwel

  • @salumtakao9828
    @salumtakao9828 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +6

    Kwaiy docter islm katoa fatwa mbili yeye,( moj kuw riba na nyengine kuwa ni amana) na abdallh humeiy kaegemea upande mmoja tu. Huyu alotoa fatw kwa pande mbili kakosea au vp?? Mbon shekh abdallah humeid kaja kuegemeza hoja moja kwa moja km sio riba na hajangazia kwa upande mwengine?. Mnatuchanganya pia.

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

      Fuatilia vizuri Kwanza kabisa Dr Islam alianza kusema kuacha change ni riba bila ya kutaja upande wa Amana ,,Kisha Abdallah humeid akamradd kueleza kuwa kuacha change ni Amana ,,,alafu Dr Islam akaja Tena baadae kwa Mara ya pili ndipo akataja pande zote Sasa lkn awwali hakuusema upande wa Amana ,,,fuatilia vizuri utaona.
      Alafu kibaya zaidi watu wanaofuata ushabiki wakamtetea eti clip ilikatwa Jambo ambalo sio sahihi ,,,ata Dr Islam mwenye alipokuja Mara ya pili kueka sawa alisema hakueleweka Ile Mara ya Kwanza.
      Kwahio sheikh humeid alifanya kazi nzuri Sana na Allah alimpe kheri .

    • @salumtakao9828
      @salumtakao9828 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@ABUUJAAFAR92 ndo maana nikauliza hapo kinchoendelea. Kwa maan hata aliyekuja kumradd kaelezea fatwa moja tu ya amana. Kama ni vyema alipaswa amradd halfu aelezee jambo lipo kwa mitazamo miwili. Halfu dctr islm akirud tena yeye ndo aje kukiri kama alivolizungumza kwa mara ya pili. Cha ajabu shekh abdallah humeid hajataja upnde wa pili kwenye radd yake bal aliradd kwa kusema ni amana tu. Kama yeye anaamin ni Amna tu bc alipaswa asimradd docter kwa kuwa yeye aliegemea ni riba kwa mara ya kwanza. Na km alimradd alipaswa amraddi kwa kutoa fatwa zote mbili asiegemea kwenye fatwa moja tu kwa kuwa ndo anyoikubali yeye. Au abdallah humeid hkujua km jmbo hili lipo kwa mitazamo miwili?? Mbona hkusema??

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@ABUUJAAFAR92 Alifanya kazi nzuri vp sasa!? Yeye aliokuja kutoa radd alitakiwa aweke wazi kauli zote mbili na sio kupinga kwa kuelezea kauli moja tu kana kwamba ndio ijmaa. Ndio maana Duktuur Islam yy alikuja akasema kwamba alipozungumza mara ya kwanza haikua ilikua ndio mada yake kamili aliokua anaizungumza bali ni mas'ala aliyagusa kwa ufupi tu ndio maana hakuweza kuingia ndani zaidi ktk kuelezea kauli zote mbili. Tuwe na inswaar tuache ushabiki na hassad sisi masalafi wa leo!

    • @maftaahabdulmajid223
      @maftaahabdulmajid223 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@ABUUJAAFAR92 alifanya kazi nzur ya kumjeruh Ductur et,
      yeye Abdallah humeid ilibid aje na hoja zote mbili pia,
      Na ductur hakuzungumzia zote kwa sbb ilikiwa sio Mada kuu ya siu hyo, Achen ushabiki,

    • @MbaroukSilima
      @MbaroukSilima 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      ​@@ABUUJAAFAR92ww ndo upo kiushabiki ni kwli vedeo yke ilikatwa lkn aliongea hlo kwnye kwa mara moja tena vedeo ipo yte nzima mpigaji raddi alikurupuka bila kufanya utafiti nanyi mnamtetea kwa kuleta vijineno vyenu hvyo eti dctr islam Allah amhifadhi alirejea baada ya hyo mkosoaji kukosoa hli hcho kitu sio kwli kwa kwli Abdallah humeidi ajirekebishe na aache hyo tabia na yyte yle mwnye tabia kama hyo maana inaonekana sasa sio dini bali ni kujifanya wajuaji na wao pekee wpo sahihi!!! Tukija kimakosa Abdallah humeidi anayo mengi mno hta upande wa lugha hyo ni mtihan hsa lkn wtu wnamuacha tu maana ashajipa sifa ya ujuaji

  • @universitylink
    @universitylink 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Suala ni kuwa je nimemuachia change nitakuja kuhukua ni amana na kama yeye akaanza kuitumia hiyo pesa yangu kwemye mzunguko wa biashara yake kabla sijachukua change yangu hapo itakuwa nini

  • @FarajiMaulidi-qe5jf
    @FarajiMaulidi-qe5jf 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Mwenye hii chanel unauchafua usali. ... usalaf si hivi

  • @ismailbuchwa398
    @ismailbuchwa398 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +4

    akhy ningeomba kukupa naswiha unapo weka video elewa kuwa ni mas'uliya unayabeba kwa hivyo mche allah na itafute haqi sio furqa hawa wote ni mashzikh zetu tunawaheshimu sheikh islam katolea amelezo hio qadwiya muhadhar mzima na wala hajakosea lolote na dalili zake ziko wazi kwa hivo tusilete furqa kwenye mas'ala ya fiqhi kulazimisha misimamo yetu na tumche allah na tumuombe atupe elimu yenye manfa

    • @ismailbuchwa398
      @ismailbuchwa398 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +3

      na sheikh kaitisha munadhwara katika qadwiya yoyote inayonekana kuwa yeye hayupo sawa sawa ni ki manhaj ao ki mas'ala mengine kwa hivyo ikiwa sheikh humeid yuwaona kuwa shzikh islam si mti wa sunna tumalize mzozo amuwasili wafanye niqash ya wazi kila mmoja alete burhan zake tuache kutusha viji clip clip

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

      Allah akubaarik kwa nasaha zako kaka!

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Kuhusu niqash hawajamaa zetu watutoao ktk Sunnah hawataki,mfano sheikh abu muawiya mzenjibar anawaomba hilo dhaahir na kwa siri ila hawataki,hapo unaelewa nini?

  • @user-vn6wm8ff9p
    @user-vn6wm8ff9p 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Mtoa mada na mkosoaji wote waje niwasomeshe.

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Wasomeshwe na Mtu ambaye hata jina lake anaficha eti?.

  • @hajijuma1761
    @hajijuma1761 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Vipi change hiyo akienda kununua mahitaji ya biashara bila makubaliano

  • @user-abuhassanshabiby
    @user-abuhassanshabiby 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +4

    السنة تضع٠بسبب أمثالك،
    من لا حظ له من العلم والÙهم، متعالم قاطع الطريق، ÙŠÙرّق صÙو٠السلÙيين ØŒ
    متÙرّغ لا أهدا٠له ÙÙŠ الحياة، يضيّع الساعات ÙÙŠ تجهيز هذه المقاطع التى تÙÙسد أكثر مما تÙصلح، والله المستعان.
    ولا داعية لها، المسألة قد بÙيّنت وانتهت.
    ابحث عن موضوع آخر.

    • @cabdishakurxasan4297
      @cabdishakurxasan4297 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

      جزاك الله خيرا

  • @khalidnoormohamed9350
    @khalidnoormohamed9350 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +3

    Mbona mnaeka picha Sasa mnatuchanganya masalafi

    • @yasirshee3152
      @yasirshee3152 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

      Mumetegemea dalili gani mukifanya raddi munakubalika kutumia picha va videos za watu

    • @saidsobongo912
      @saidsobongo912 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      ​@@Musalsal9584.sio hoja hyo kwamtu anae fatilia darsa bc anaijua saut ya Dr Islam

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

      ​@@Musalsal9584una maana Gani kusema sheikh Islam ni hizibi( kwamba ni kikundi miongoni mwa vikundi potofu katika uislam??

    • @Musalsal9584
      @Musalsal9584 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

      @saidimkwinzu9106
      Tafuta muhadhara wa sheikh Abul fadhl unaoitwa
      "الطيور على أشكالها تقع "
      Utaelewa uhuzbi wake vizuri bila mushkil wowote, inn sha Allah

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@Musalsal9584 nataka kuskia kutoka kwako kua Uhizbi ni ni

  • @user-jv5yw3lk6v
    @user-jv5yw3lk6v 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Sasa Duktur na Humeid wapi na wapi? Kuweni na nidhamu kwa wanachuoni

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    CHUNGENI MUSIJE MUKAKOSOA PASIPOKOSEWA??
    HUYO WAHABI WA KWANZA ALIONESHA MIPITO YOTE MIWILI YAANI UPANDE WANASEMA RIBA NA UPANDE WANASEMA SIO RIBA KWA MUJIBU WA WANAWAZUONI.
    SASA HUYO WAHABI ANAEKOSOA SIJUI ANAKOSOA NINI.........??

    • @IbrahMiracle-em4sh
      @IbrahMiracle-em4sh 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

      Akili yako ya ki khurafi utaelewa nn sasa