ð—›ð—®ð—¹ð—¶ ð—¬ð—® ð——ð— ð—¦ð—®ð—¶ð—±ð—¶ ð—•ð—®ð—®ð—±ð—® ð— ð—®ð˜€ð—µð—®ð—¯ð—¶ð—¸ð—¶ ð—ªð—®ð—¸ð—² ð—žð˜‚ð—ºð˜ð—®ð—¸ð—® ð—”ð—·ð—¶ð—¯ð˜‚ ð—›ð—¼ð—·ð—® ð—­ð—® ð— ð—®ð˜€ð—®ð—¹ð—®ð—³ð—¶

à¹à¸Šà¸£à¹Œ
à¸à¸±à¸‡
  • เผยà¹à¸žà¸£à¹ˆà¹€à¸¡à¸·à¹ˆà¸­ 27 ม.ค. 2024
  • ð—–ð—µð—®ð—»ð—»ð—²ð—¹ ð—µð—¶ð—¶ ð—¶ð—»ð—®ð—µð˜‚ð˜€ð—¶ð—¸ð—® ð—»ð—® ð˜‚ð˜ð—¼ð—®ð—·ð—¶ ð˜„ð—® ð—ºð—®ð—³ð˜‚ð—»ð˜‡ð—¼ ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ ð˜†ð—® ð—±ð—¶ð—»ð—¶ ð˜†ð—® ð—¸ð—¶ð—¶ð˜€ð—¹ð—®ð—ºð˜‚ ð—¶ð—¸ð—¶ð˜„ð—²ð—ºð—¼ ð——ð—®ð—¿ð—®ð˜€ð—®(ð——ð˜‚ð—¿ð˜‚ð˜€) ð˜‡ð—® ð—ºð—®ð˜€ð—µð—²ð—¶ð—¸ð—µ ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ ð—»ð—±ð—®ð—»ð—¶ ð˜†ð—® ð—žð—²ð—»ð˜†ð—® ð—»ð—® ð—»ð—·ð—² ð˜†ð—®ð—¸ð—² ,ð—ºð—®ð˜„ð—®ð—¶ð—±ð—µð—®, ð—¸ð—µð˜‚ð˜ð—¯ð—®ð—µ, ð—³ð—®ð˜ð—®ð˜„ð—® ð˜‡ð—® ð˜„ð—®ð—»ð—®ð—°ð—µð˜‚ð—¼ð—»ð—¶, ð—¤ð˜‚ð—¿ð—®ð—», ð—»ð—® ð—ºð—®ð˜€ð—µð—®ð—¶ð—¿ð—¶ ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶ð—ºð—¯ð—®ð—¹ð—¶
    ð‘»ð’‰ð’Šð’” ð’„ð’‰ð’‚ð’ð’ð’†ð’ ð’†ð’ð’ˆð’‚ð’ˆð’†ð’” ð’Šð’ ð’•ð’‰ð’† ð’…ð’†ð’ð’Šð’—ð’†ð’“ð’š ð’ð’‡ ð’—ð’‚ð’“ð’Šð’ð’–ð’” ð’•ð’“ð’‚ð’Šð’ð’Šð’ð’ˆð’” ð’Šð’ ð’•ð’‰ð’† ð‘°ð’”ð’ð’‚ð’Žð’Šð’„ ð’“ð’†ð’ð’Šð’ˆð’Šð’ð’, ð’Šð’ð’„ð’ð’–ð’…ð’Šð’ð’ˆ ð‘ªð’ð’‚ð’”ð’”ð’†ð’” (ð‘«ð’–ð’“ð’–ð’–ð’”) ð’ð’‡ ð’—ð’‚ð’“ð’Šð’ð’–ð’” ð’”ð’‰ð’†ð’Šð’Œð’‰ð’” ð’Šð’ ð‘²ð’†ð’ð’šð’‚ ð’‚ð’ð’… ð’Šð’•ð’” ð’ð’–ð’•ð’”ð’Œð’Šð’“ð’•ð’”, ð’”ð’†ð’“ð’Žð’ð’ð’”, ð’ð’†ð’„ð’•ð’–ð’“ð’†ð’”, ð’‡ð’‚ð’•ð’˜ð’‚ð’” ð’ð’‡ ð’”ð’„ð’‰ð’ð’ð’‚ð’“ð’”, ð‘¸ð’–ð’“ð’‚ð’, ð’‚ð’ð’… ð’Šð’”ð’ð’‚ð’Žð’Šð’„ ð’†ð’…ð’–ð’„ð’‚ð’•ð’Šð’ð’ð’‚ð’ ð’‘ð’ð’†ð’Žð’”
    🪩EMAIL:
    ð—Œð–ºð—…ð–ºð–¿ð—‚ð—’ð–ºð—.ð—ð—@ð—€ð—†ð–ºð—‚ð—….ð–¼ð—ˆð—†
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 326

  • @AnaSalafi-f9d
    @AnaSalafi-f9d 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +4

    Allaah amuhifadhi sheikh Abu khawlah na Masheikh zetu wote watu washaanza kuelewa.

  • @omaryabduli7328
    @omaryabduli7328 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +4

    "sina uhakika kama ile saiti nyajini au nya binyadyamu....." the background voice is amazing....
    Allah awaingoze masufi waifuate HaQqi.... kwa upande mwengne bado ni ndugu zetu ila Bid'Ah inawatafuna tunawapenda ndio mana hatutoacha kuwalingania kunako kheri...
    نسأل الله السلامة

  • @Mpendayesu70
    @Mpendayesu70 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +6

    Mashaa Allah sheikh said ,Mola azidi kukuhifadhi ,ana kweli jibu la mjinga ni kimya,Abu khalwa hana elimu ila ushindani

    • @yassinm69
      @yassinm69 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Mpiga huyooo

    • @mrmmanga4314
      @mrmmanga4314 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

      Hana elimu kwa ujinga wako, na huyo pia ni muongo, eti hana uhakika kuwa ni binaadam au ni jini, amekwama aseme ukweli tu.

    • @user-ym3en6kg8f
      @user-ym3en6kg8f 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Kaka mawahabi hawana akili kwanza hawawawezi mashekhe zetu ila wap ni ushindani tu maana Cha kwanza wanaaomea ubishi kabla ya elimu, kikubwa tuwape nguvu akina shekhe said mungu awape nguvu na uwezo

  • @abualiazzinjibaariytv
    @abualiazzinjibaariytv 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +3

    Masheikh wa kisalafi walimpiga pabaya, Allah awahifadhi masheikh wetu

  • @mohamedmbwana2795
    @mohamedmbwana2795 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +4

    Wacha ukurafi. Usipoteze wenzako kwa mungu simbali

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Hawa jamaa,allah kapiga mihuri kwa katika nyonyo zao,ndomana bidaa waziona ni kheri,na ndo kazi ya ibilis kubwa kafanya kwa hawa watu, kupiga piga gitaa apo ndo uislamu huwo si muziki huo,nenda kanisani kapige gitaa vzr,

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Mawahabi mnchemka sana kwasababu bongo zenu zimefungwa kuto kuwasikiliza wtu wa twariqa ndo maan hata aseme nn nyiye mmeng, ang, ang, nia kutukana watu ndo maan hamsomi mkaelewa mnasoma kubishana kuweni wachamungu acheni ushabiki

    • @forgames6425
      @forgames6425 4 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Nyinyi ndo mmesoma Sana mashallah . Allah awazidishe elmu

  • @MuwadhiFula-st9tn
    @MuwadhiFula-st9tn 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Jamaaaan wanao mjua hyo abuu khaula mwambieni namtafuta nisaidieni kumleta hadharani ili kelele ziishe.

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya463 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Hauwezi kuwajibu sababu hauna hoja Dj. Utawaita majini na kujifanya kukosea jina la aliekuradd kwa kujifanya haujui wakat wajua Dj. Pia wajifanya uma kazi ya kufanya, Naam, kaz ya studio kurekod kwa magita na vinanda

  • @husseinthabiti311
    @husseinthabiti311 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Shukran Sana sheikh Said wahuni hao uko sahihi sana

  • @almjeelbydedi3564
    @almjeelbydedi3564 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Waislam wamekalia kubishania maswala amabayo hayana umuhimu mpaka kuleta mgawanyiko wakati kuna faradh muhimu za uislam zimeachwa.. Tuache hii tabia ya ushindani na kutambiana juu ya elim ya dini na tusimamishe uislam uliokua na umoja

  • @ExcitedCricketHelmet-wr4sq
    @ExcitedCricketHelmet-wr4sq 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Ww umedalilika kwenye munaqasha na mm cta fanya uzushi wa molidi umeshindwa kutetea barzanji

  • @fikratulmuhibbonlinetvismail
    @fikratulmuhibbonlinetvismail 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +5

    Allahu akuhifadh mwalim wangu said

    • @JumaMnyonge-js7db
      @JumaMnyonge-js7db 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

      Amuhifadhi nini mtu anaye jiita Dj muokipeni Alla

    • @ABDINURA-hb9ky
      @ABDINURA-hb9ky 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

      Amekufunza nn isipokuwa wimbo na uzushi,,,funguka akili umche Allah Kwa kufuata mfundisho alizo mteremshia mtume wake bila ya kuongeza wala kupunguza

    • @bilalabudi4727
      @bilalabudi4727 4 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Wapotea ww

    • @abdurazaqiamisi1463
      @abdurazaqiamisi1463 4 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Atuhifadhi sote tunaempenda mtume Mohamed inshaallah

  • @abdallahshabani710
    @abdallahshabani710 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Sheikh Said umeelewekaaa.. MashaaAllah Tabarakallah

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    We kijana,bidaa zinakufanya uwe mjinga ruddi katika sunna,litakuwa ni bora kwako kuliko kumzulia mtume wa allah, mmemuona rassullah llah ,hakufikisha dinni,mkaja na yenu ya kuongeza na hilo hata mayahudi walipotea kwaajili ya kuongeza mambo katika dnni alokuja nayo mussa.

  • @HUSENSHARIF-in3nd
    @HUSENSHARIF-in3nd 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Shekh saidi fanya kazi ya Allah tuko pamoja Achana nao mapimbi watakurudisha nyuma hawawezi chochot ispokua makelele mengi kama wanao teta ili wajuilikane kama nawao wanasm mh

  • @DR.SAIFILLAH.5363
    @DR.SAIFILLAH.5363 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    ALLAH AKULINDE SHEIKH SAID NA AKUONGOZE WEWE NA SISI KWENYE NJIA ILIYO NYOOKA

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Wanamuziki, kitu kilichokuja waziwazi uharam wake ktk ala za muziki hawauoni je wataijua sunna hawa i wanamuziki mausufi

  • @MuadhMuhammad-zp9pd
    @MuadhMuhammad-zp9pd à¸«à¸¥à¸²à¸¢à¹€à¸”ือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Ww said usiingie huku ukatoka na huku ww kama huwezi jibu sema tu wazi wazi usiseme sijui ni jini wala binadamu ww kama ushafungwa kubali😂😂

  • @saba-gv3mj
    @saba-gv3mj 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Masha Allah umefanya vizuri sheikh said Allah akuhifadhi na hawa wanao kukashif ni watu wakufuata upepo

  • @MohammedAlnabakhany
    @MohammedAlnabakhany 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Kuna Hadith, ameisimulia Bwanamtume Mohammad s.a.w, amesema sauti mbili zimilaaniwa duniani na Akhera, sauti yakwanza Zumari na magitaa, sauti yapili vilio wakati wakufiwa yani kuomboleza, Leo nashangaa ilo shekhe lakisufi linapiga magita, ewe Babu Muongope Allah.

  • @MuwadhiFula-st9tn
    @MuwadhiFula-st9tn 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Namuomba ajibu km yako Tyr ss kazi yetu nikuwatibu tuuu NJOO hazaran acha kujifungia ndani nakupigia keleeeele cisozo namaaana nakuongea kejeli njooo nawewe---ukalie kiti ss hatu sauti yako km unajiamini tokeza.

  • @jambojambosafaris
    @jambojambosafaris 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Mwaita watu majina ya kike wasiyoyakubali ni makosa Allah atawauhukumu pia fikirieni kuna na Allah musifurahshe tu watu apange munakasha kama bacho anyamazishwe pia

  • @MohamedMgwami-nw6bl
    @MohamedMgwami-nw6bl 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Al habib sheikh said unaeleweka uzuri sana hao jamaa ni wababaishaji wanaozungumza vitu wasivyokuwa na ujuzi navyo,

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Upo sawa sheikh said achana na hizo haluwa sifa yao ni kibri tuu

  • @mohdkhamis257
    @mohdkhamis257 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Nakwambia jipange sana kwa masalafi usije kurupuka utakuja kucheka ulimwengu kama umezoea mziki

  • @abdulmutalibhashir1866
    @abdulmutalibhashir1866 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Subhana Maliki n'nas
    Jamni mm napata ukakasi juu ya hili suala la kupiga minanda lina uhalali maana imekuwa ibada kubwa na nikawaida kwa waislamu wengi naomba kulijua hili nahisi hizi ndo hoja za msingi mutufahamishe
    Afwan

  • @MuwadhiFula-st9tn
    @MuwadhiFula-st9tn 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Huyo abuu khaula kazi yake kugombeza maiki tuu muoga kweli!! Anitokeze mbele zawanaume km hakijampata kilicho mpata bachu

  • @m.othman866
    @m.othman866 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Huyu Jamaa kawavuruga kabisa masalafi. Hawalali.. Kilasiku wanafikiria namna ya kumchafuwa lkn wapi inashindikana. Tangu apigwe maumari kinana wao bachu masafi wamevurugwa kabisa akili..😂😂😂😂😂😂😂

  • @HemedSerious
    @HemedSerious 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Masalafi ni makazo, makelele, masifa na fujo tu

  • @MuwadhiFula-st9tn
    @MuwadhiFula-st9tn 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Sisi tup Tyr mda wowote tokeza hadharani tukuone ukitangaza maada utakayo wewe tunakupa hy nafasi uchague ww ktk Yale mnayo Pinga yakisufi.

  • @allybobsaith
    @allybobsaith 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Wewe kama shkhe mwenye dalili basi haugopi mtu mpaka umwone haaaaaaa wewe tapeli

  • @jumakitadu8674
    @jumakitadu8674 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +3

    Abuu khawla anasaut kali â¤â¤â¤

  • @salumtakao9828
    @salumtakao9828 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Shekehe umepinda ww. Hadi minanda rafiki angu dah. Huna tofauty na qadiria wa Zanzibar. Ila unpotosha waislamu kijana.

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Sheikh said yupo sawa nimemuelewa anotaka majibu ajitokeze hadharani kama bachu

  • @bagalucha
    @bagalucha 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Msimtie wasiwasi huyu kijana,mtafutieni vyombo ya mziki,atulie roho yake,apate kututolea nyimbo yake mpya Al maulidibarzanje

    • @thabitjumbe6527
      @thabitjumbe6527 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Wapi Bachu

  • @aliali-gw5pq
    @aliali-gw5pq 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Duh! Gitaa kama FRANCO

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Sheikh Mwenyezi Mungu akuongoze

  • @gmai446
    @gmai446 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Masha, Allah safi kabisa

  • @SulaimoSalmo
    @SulaimoSalmo 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Nimekuelewa sana maalmu Allah akuifadh nakila Shari

  • @swaffaa12020
    @swaffaa12020 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Yatoka Kwa bachu Sasa aingia khawla Huu Sasa Ni upuuzi Na ukorofi Na hili anuwani za matusi si uislamu utafika wakati waislamu hatusalimiani Kwa ajili ya mirengo Na kushangilia bila kujifahamu Kesho atatoka mwengine pia naye apate wafuasi Kisha akifanikiwa mitini maslahi tu

    • @HUSENSHARIF-in3nd
      @HUSENSHARIF-in3nd 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      ww wsm hivo kumbe hujui sahivi masaliti sjui ni masalafi hawa msalimii mtu ila awe ktk kundi lao hatr tunako elekea

  • @MuwadhiFula-st9tn
    @MuwadhiFula-st9tn 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Narudia tenaaaa!!! Abuu khaula km kweli uko Tyr jitokeze mbele zawanaume acha kugombeza maiki jitokeze yakupate km ya bachu hatutishiw ss nasauti Kali km.......

  • @user-ir5ec5jn3w
    @user-ir5ec5jn3w 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Yaani hisia za Gitaa na Hisia za Quran n wapi na wapi
    May Allah guide us all

  • @user-hh7lv2ko6j
    @user-hh7lv2ko6j 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Acha usufi kijana pia acha dharau kweli usufi niwendawazimu

    • @HUSENSHARIF-in3nd
      @HUSENSHARIF-in3nd 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Acheni kukokotwa nendeni mkasome mawahabi

  • @Abuusaad-uy5cx
    @Abuusaad-uy5cx 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Apo ustadh said ywafanya istihzai...Wala hayuko serious... Allah awahifadhi mashekh zetu wa twarika..

  • @user-es8uk5hh6u
    @user-es8uk5hh6u 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    mtihani kweli hukutunapoelekea

  • @user-dm2uy3un5q
    @user-dm2uy3un5q 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Hakuna shumi leta wala shumi rudisha ww ikiwa wafuata nafsi yako kwa ulitakalo basi utatenda lolote ulitakalo jibu maswali kama una faida tupate Abu khawlah tushamsikia twataka kwako shekhe wa kutegemewa

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya463 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +4

    Dhahiri, Dj amche Allah

  • @MuwadhiFula-st9tn
    @MuwadhiFula-st9tn 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Huyo abuu khaula mm hapa namhitaji achague mada yeyote iwe nimaulidi au nichochote ktk Yale watu watwarika wayafanyao Niko Tyr

  • @Abutwaibah001
    @Abutwaibah001 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Allah awaongoze katika sunna ya mtume s.a.w.

    • @user-ox4fv4cf5l
      @user-ox4fv4cf5l 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      FUNGUA BENDI YA MUSIC SHEKH

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      wewe umeongoka? au wabwabwaja tu acha uzuka shamba wewe

  • @Suleiman-db4by
    @Suleiman-db4by 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Ndenda kapinge ngoma na vunanda

  • @khalidsalum6423
    @khalidsalum6423 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Umekwamakweli
    Maana kwenye Islam HAKUNA SUNNAH YA KUPIGA MNANDA

  • @abdikadirshariif5311
    @abdikadirshariif5311 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Masalafi wako na hoja gaani. Ispokuwa kukojoatu. Kama shehe weenu kakojoa naayi mta kunya.

  • @mohdkhamis257
    @mohdkhamis257 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Wewe dj said ulikutana na bachu hana elimu sasa umekutana na masalafi jibu usipige mziki tuu

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Mashekhe tumcheni Allah hii mitandao itawaharibu sana

  • @abakibibi9917
    @abakibibi9917 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    MAJINI NAO PIA WANAMILIKI SIMU NA KUWATUMIA BINADAMU

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    DJ😂 SubhanaAllah nacheka kama mazuri achaneni na huu msani wa Kenya Mombasa

  • @HUSENSHARIF-in3nd
    @HUSENSHARIF-in3nd 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    huyo Abuu khawla nikama nani yy hana ushekhe uyo mwehu tu u Acheni kuskiliza mamwehu

  • @salimjuma8877
    @salimjuma8877 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Kisha ndungu huyu anajeuri na kejeli... Eti kajidai hajui kusema Abu khawla?! SubhaanaLlah! Allah amuongoze huyu na sisi pia atupe khusnul khaatima.

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Ndio Kwa sababu huyo hauraaa anaongea choon mwambie atoke barazan asijifiche choon

  • @abdulrahmanisaidi981
    @abdulrahmanisaidi981 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +4

    Kwani huyo unayemjibu katuma video?

  • @burhaanmamboleo3551
    @burhaanmamboleo3551 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Siku hizi mawahabi pia nao wajiburudisha😂
    Nimependa hiyo

  • @quranrecitations7267
    @quranrecitations7267 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    😂😂😂😂 huyo dj kabisass

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Mshenzi sana wew Dj

    • @thabitjumbe6527
      @thabitjumbe6527 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Mshenzi ww usiye na Adabu.

  • @user-lo1uk8dp5f
    @user-lo1uk8dp5f 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Alhamdulillah ostadhi uko sawa

  • @mohamedamiri4597
    @mohamedamiri4597 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Ustadh Saidi achana na wanaojificha uchungu wao Ni Sheikh wao aseme sijui afundishwe

  • @NadharMohd-ek8wl
    @NadharMohd-ek8wl 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Ah!Mtihani mkubwa

  • @MuwadhiFula-st9tn
    @MuwadhiFula-st9tn 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Nyieeee mawahabi nasema hviiiiii ili tumalize hiz kelele mleteni hyo abuu khaula!!! Ayaoge mwenyewe!!!!!!

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Safi sana kk

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Watu wa paziani machizi

  • @abumuadh1053
    @abumuadh1053 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Allah amuihifadhi Abu khawlah, amemtandika bwana dj kisawasasa mpaka hajui ni jini ama mtu😂😂😂😂

  • @husseinsaid8021
    @husseinsaid8021 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Baba khaula anapenda majibizano ya MITANDAO kama anajiweza afanye munakasha au hajiamini

  • @hassanmussa2859
    @hassanmussa2859 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Hii dalili ya kiama
    MASHEIKH kugombana

  • @irshadabuhafsi6585
    @irshadabuhafsi6585 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Mwerevu wa kujitetea

  • @user-ls4ih7hz8s
    @user-ls4ih7hz8s 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Anajigongagonga huyo aliyomtumia meseji ambaye anamjibu mbona hajamuona embu mtazameni said akiongea hajiamini kwa sababu abuu khaula yupo kwenye haki halafu unasema sijui anaitajwe abuu khaula mwiba wa Koo za masufiاللهم ثبت ابا خولة ورÙع منهج السل٠به

    • @user-ls4ih7hz8s
      @user-ls4ih7hz8s 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Hahahaa Kama kumjibu mtu mpaka umuone Basi hata simu ngeni tusingekuwa tunapokea mpaka video call we umekwama huna hoja na wewe mlete jini atetee maulid جاء الحق وزهق الباطل

    • @Maalim_Samatta
      @Maalim_Samatta 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Nyinyi maboya hamjielewi, hivi ni nani anaeweza kupanda ulingoni kupigana na asiyemuona??? JE kejeli zenu za kumwita dj mngezipata wapi Kama shekh Saeed msingemuona Kwa picha yake humu? Shida ni kwamba nyinyi maboya ni waoga. Eti unarusha ngumi halaf unajificha uvunguni. Kidume huyo hapo kajitokeza, la muhimu abuu Hawla aje hapa watambuwane na aombe mjadala. Maboya nyie kazi kutukana watu eti ndo usalafi. Kumuona sudeys pale Makkah akiswalisha Tena Kwa vidio na sura yake ni halali na mwamtazama ila kuonekana Abu haluwa ni pazia mabwege nyinyi.

  • @mickidadmiraji5949
    @mickidadmiraji5949 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Sis tunajuwa alicho wafanyia kwenye munaqasha hamtudangany mnjiliwaza tu ila elimu zenu ni mahsuur kwa ubish tu

  • @user-jk7sm1dl7p
    @user-jk7sm1dl7p 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Sikuza watu wa bidah
    Mbona unajibu hiyi umenuona mtu ao ukumuona
    Twambie Wewe mtu wa bidah

  • @abdallaali4260
    @abdallaali4260 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Eti hajui kma ni jini😂 Allah awahifadhi masheikh wetu

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Tena anapiga vizur sana â¤â¤â¤â¤â¤

    • @yasirshee3152
      @yasirshee3152 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Amezawadiwa na jahazi modern taarab

  • @sultanbakary4292
    @sultanbakary4292 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Masalaf wanaongea chooni token barazani msiongee choon

  • @KHALIDKIRAMA-iq6en
    @KHALIDKIRAMA-iq6en 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Huyu mtu ALLAH atamuumbua sana

    • @thabitjumbe6527
      @thabitjumbe6527 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Yupo wapi Bachu mbona amekimbia Sasa amejitokeza أبو خلاء

  • @abdisalat1579
    @abdisalat1579 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Asalam alykum je piano na guitar dini yetu inaruhusu

  • @shaibamran5419
    @shaibamran5419 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    kula chuma lazima uchanganyikiwe ikiwa yy ni shumi leta wewe jifany sala dini ujibu

  • @khalidhemed9209
    @khalidhemed9209 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Mashallah shekh said tumekuelewa sana na mola akuhifadhi kwa kazi kubwa uifanyayo usichoke shekh said

  • @amerjuma4574
    @amerjuma4574 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Tangu Ostadh Leo umekua Dj 😂😂

  • @user-qz8dq3wu5y
    @user-qz8dq3wu5y 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Kapige nyimbo na matwari mafikio Yako utayaona

  • @user-ej1xq4fm4w
    @user-ej1xq4fm4w 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Huyu kijana kawavua nguo wanajd wote kwa swali moja tu
    Je mtu akitumia Hadith dhaifu huitwa MUONGO..?
    Hapo hata fauzani hawezi kujibu

  • @ABDINURA-hb9ky
    @ABDINURA-hb9ky 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +7

    Amche Allah,,,hii dini si ya mtu,,,leta hoja ewe DJ,,,,hakika tutaulizwa kwa kila kauli na vitendo tunazotoa

    • @user-pu2uw2ib5y
      @user-pu2uw2ib5y 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Nyamaza wewe wahabi ujue km uwahabi ni ukristo

    • @nassleydady5783
      @nassleydady5783 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      ​@@user-pu2uw2ib5yyan sijafaham kufata kitabu na sunna ni ukafir au vp?

    • @IbrahMiracle-em4sh
      @IbrahMiracle-em4sh 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Allah akuongoze huo ni ukhawariji

    • @user-pu2uw2ib5y
      @user-pu2uw2ib5y 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@IbrahMiracle-em4sh.... Mawahabi ni wakristo no 2

    • @IbrahMiracle-em4sh
      @IbrahMiracle-em4sh 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      @@user-pu2uw2ib5y sasa ndugu mnasema cc tunakufurisha watu ww apo unafanya nn leta hoja kwamba cc ni makafiri wap alf nyie si mwaomba maiti ila ln tumewaita makafiri Allah akuongoze mna hata mm nlkua kma ww duh ya kwamba wakristo zambi za bure hoja huna

  • @GharibAli-po6fp
    @GharibAli-po6fp 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    ustadh said tuko pamoja nawe, hawa wanachosimamia ni misimamo ya kiharakati, sio ya kielimu wala fani

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Wqnaqat bihamlihiii.....
    Parapara nyingi ..zift

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Abuu haluwaaa😂😂😂 kweli huyuu ni abuu haluwaaa maana haluwaa ikimwagika chini basi itakamata uchafuu😂😂😂

  • @user-ls4ih7hz8s
    @user-ls4ih7hz8s 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +1

    Hahaa kama ingekuwa kumjibu mtu mpaka umuone Basi hata simu ngeni tusingekuwa tunapokea mpaka video call wewe huna hoja basi na wewe mlete jini atetee maulid جاء الحق وزهق الباطل

    • @HUSENSHARIF-in3nd
      @HUSENSHARIF-in3nd 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      ww umeishiwa hsaaa mfano wasim wapi nawp?

  • @swalehmohammed8842
    @swalehmohammed8842 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Ukiona msomi anashambuliwa na maadili.. basi masheytwani wata watumia mabalozi wake wamkashifu...sasa nyinyi mkashifuni lakini hakuna hata mmoja wenu anamshinda kwa elimu... Na nyinyi ni mabalozi ibilisi

    • @aliabdallah5571
      @aliabdallah5571 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Bosss wangu hajakaaa na watu wakielmu wa kiswaswaaa

    • @aliabdallah5571
      @aliabdallah5571 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Aje kwa mabig fish afundishwe elmu ya kiswaswaaaa wako watu wametulia wanamwona ni mpuuzi sanaa Allah amhidiii

    • @aliabdallah5571
      @aliabdallah5571 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Yeye kaona ameshinda bachu ndio amefika 😂😂 wako watu wazito zaidi yake bachu hmna mahali amesomea kasomea juu juuu

  • @user-ej1xq4fm4w
    @user-ej1xq4fm4w 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    HawAwezi kujitokeza

  • @ramsorama9765
    @ramsorama9765 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Mm pia tenda ya kupinga maulid naitaka.nasikia wanalipywa pesa nzuri.ikiwa bachu aliingia mitini sembuse uo kikhaula.twarika wako vizuri jipangeni vizurii acheni kelele za njaa

  • @saidramadhan4516
    @saidramadhan4516 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Mmmh?kwani na ww sheheee???kweli duniaaa iko mwishoniii,kiama kipo krb

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    ShumiletaðŸ˜ðŸ˜

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Hujibu hoja hata siku moja utaporoja huko huko kwa matwariqa wenzako

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Umebananika kweli DJ mpaka kuhifadhi jina ABUU KHAWLA linakushinda kuhifadhi we ni kilaza sana

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

      Kwani uyo abuu haula ndo nani ata jina lake lihifadhiwe

  • @ahmedrage9664
    @ahmedrage9664 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™ +2

    Uyo dogo akonamadharau

  • @user-bw8oi3kw2q
    @user-bw8oi3kw2q 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Wanaonhay kuonyesh nyusozao hao pangin sio....

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 5 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Sauti si umeisikia kama unahaki jibu usirukeruke

  • @husseinihassani3541
    @husseinihassani3541 6 หลายเดือนà¸à¹ˆà¸­à¸™

    Lugha lugha lugha lugha ogopa sana watu ambao hawasomi wanasikiliza mawaidha ya mashekhe wao kisha na wao muda huo washakuwa mashekhe aibu wazi wazi😂