𝔸𝕣𝕒𝕗𝕒𝕙 | 𝗠𝗮𝗳𝘂𝗻𝗴𝗮𝗺𝗮𝗻𝗼 𝗬𝗲𝘁𝘂 𝗡𝗮 𝗠𝗮𝗵𝘂𝗷𝗮𝗷𝗶 𝙺𝚑𝚞𝚝𝚋𝚊 𝙸𝚓𝚞𝚖𝚊𝚊 𝟶𝟾 𝙳𝚑𝚞𝚕 𝙷𝚒𝚓𝚓𝚊𝚑 𝟷𝟺𝟺𝟻

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 52

  • @salafi.
    @salafi.  หลายเดือนก่อน +8

    𝗝𝗲 𝗺𝗮𝘀𝘂𝗳𝗶 𝗺𝗸𝗶𝗼𝗻𝗮 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗸𝗮𝗯𝗹𝗮 𝘀𝗮𝘂𝗱𝗶𝗮, 𝗔𝗿𝗮𝗳𝗮 𝘆𝗲𝗻𝘂 𝗺𝘁𝗮𝗳𝘂𝗻𝗴𝗮 𝗸𝗮𝗯𝗹𝗮 𝗺𝗮𝗵𝘂𝗷𝗮𝗷𝗶 𝗸𝘂𝗳𝗶𝗸𝗮 𝗔𝗿𝗮𝗳𝗮𝗵??

    • @sharaful-anaam138
      @sharaful-anaam138 หลายเดือนก่อน

      Wallah nimemuelewa sana jamaa aloongea mwanzo alosimama na kitabu kuliko huyu sheikh alokuwa akiongea sana

    • @swalehmohamedwaziri7499
      @swalehmohamedwaziri7499 หลายเดือนก่อน +2

      Yes tutafunga kwa sababu saum yaumu ARAFA haiusiani na mahujaji kabisa.
      Hakuna saumu ya mahali
      Saumu ni za zama
      Juma tatu ni za zama si mahali
      Alamisi ni zama c mahali
      Taasua na ashura ni zama sio mahali
      Ramadhani ni zama si mahali
      Etc.
      Na ARAFA ni cku ya tisa ya dhulhija sio mahujaji wakisimama nyie fungeni hakuna Hadith hio.
      Hadith aliokuako mtumi aliulizwa ARAFA ni lini ?
      Jawab akasema TISA MIN DHILHIJJA

    • @MshaSalum
      @MshaSalum หลายเดือนก่อน

      Msikilize na huyu utafahamu zaidi th-cam.com/video/aMI9zm7gpgA/w-d-xo.htmlsi=SKywQlafwbolALYz
      ​@@sharaful-anaam138

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 หลายเดือนก่อน +2

      @@sharaful-anaam138 ndiyo maan mkaitw nyie ni masuffiy japo mwaumia ila nyie nimasufi

    • @salafi.
      @salafi.  หลายเดือนก่อน +2

      @@swalehmohamedwaziri7499 hapo ulipotaja "yawmu Arafah" ndio umerudi huko huko unapo kataa

  • @user-bt8wh8cd3g
    @user-bt8wh8cd3g หลายเดือนก่อน

    Ww Wajua ikhtilafu matwalii nini nan kakwambia kua ikhtalfu matwalii ni umbal wakilomota

  • @abdallahmoussa614
    @abdallahmoussa614 หลายเดือนก่อน

    Jazakallahu khairan maneno yenye kueleweka Allah akuhifadh Sheikh Abdul Fadwl

  • @Abuuabdillah259
    @Abuuabdillah259 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti kabisa

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 หลายเดือนก่อน

    Hehehe Uthaimin pia amesema watu wafuate mahali panapo tokea tokeo la hajj...ukimuona ndio nini..

  • @HusseinSaid-tj4ws
    @HusseinSaid-tj4ws หลายเดือนก่อน

    الله يحفظك بارك الله فيك وفتح الله عليك

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 หลายเดือนก่อน

    Hiyo zamani ndio Asili yenyewe...kwa sababu tuliungana kwa njia ya Rahaa .... Nyumba moja Msikiti mmoja hivi sasa munachuki ndani ya nafsi zenu kila mmoja kasoma

  • @user-wo7xl2ey8y
    @user-wo7xl2ey8y หลายเดือนก่อน

    Wapo wamemuona mutume mohamadi s.a.w nawalimukataa itakuwa sufi

  • @khalifaahmed5232
    @khalifaahmed5232 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi mnao Sema mwafuata masalafi mbn Sasa technology ndio masalafi wenu 😂😂😂msiba kweli

  • @user-bt8wh8cd3g
    @user-bt8wh8cd3g หลายเดือนก่อน

    Wap hadith imesema kua mwez wa dhulqaadah watu wafuate makka

  • @khalidaliy6882
    @khalidaliy6882 หลายเดือนก่อน

    Msipate tabu anaefuata teknoloji na anaefuata alivyofanya Mtume s.a.w. yupi yuko sahihi?

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 หลายเดือนก่อน

    Kama naweza kukuekea Video ya uthaimin aongea kwa hilo suali.
    Ana ame toa qauli nyengine kuwa tufuate sehemu ya tokeo.

  • @khalidaliy6882
    @khalidaliy6882 หลายเดือนก่อน

    Ndo mana tukaambiwa karne zilopita zilikuwa bora kuliko Sasa. Jambo la kufata mahujaji wakisimama haliına aya wala hadithi ni porojo tu

  • @suhailsodeh5444
    @suhailsodeh5444 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Abul fadhil

  • @AbdallaAbdalla-ib9hv
    @AbdallaAbdalla-ib9hv หลายเดือนก่อน

    جزاك الله خيرا

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 หลายเดือนก่อน +1

    Masuffiy maghurafi masufuria

  • @rushu1232
    @rushu1232 หลายเดือนก่อน

    Ajabu munalizima kufuata saudia hata wenyewe wamewambia fuateni mwezi na Utheimin na Asim mpaka Albani mbona hamuelewi au ni summun bukmun umyun miwahabi.

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 หลายเดือนก่อน

    Yupi tuoneshe masufi wameonesha

  • @AbdallahMasoud-bp6hz
    @AbdallahMasoud-bp6hz หลายเดือนก่อน

    Kwanza susi tunafuata mwezi wa Jamaica 😅😅

  • @nasymchuzi8667
    @nasymchuzi8667 หลายเดือนก่อน

    Ungejibu hoja kwanza icho kitabu vp uongo au sio maneno mwngi

  • @khamisiiddi2470
    @khamisiiddi2470 หลายเดือนก่อน

    Wewe hauna lolote we umemuakhaalifu mutume alifunga arafa wala hakufunga siku ya kusimama mahujjaaji

    • @ahmadikasogota
      @ahmadikasogota หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @nasymchuzi8667
    @nasymchuzi8667 หลายเดือนก่อน

    Kwaivo iyo zaman awakufunga haikukamilika mpaka TV sim jaman nyinyi cndio mwafata sheria kwaivo dini haiku sawa?

  • @okwirioby3803
    @okwirioby3803 หลายเดือนก่อน

    الله مستعان

  • @jordan.3109
    @jordan.3109 หลายเดือนก่อน

    MASUFI NI MASHIA

  • @user-gk8tt1qd8p
    @user-gk8tt1qd8p หลายเดือนก่อน

    Lakini hiko nikitabu cha sheikh wenu simaneno yake

    • @almeidhalu3238
      @almeidhalu3238 หลายเดือนก่อน

      Wewe leta wa shekhe wako tuskie asemaje na Kwa dalili gani

  • @AfsheensumaAfsheen
    @AfsheensumaAfsheen หลายเดือนก่อน

    Uhizby ni mzigo mkubwa

  • @bagalucha
    @bagalucha หลายเดือนก่อน

    Mtabakia hivyo hivyo,acheni kufuata hawaa zenu,Allah anazijua kalbi zetu,nini kilichojificha,unajihangaisha kuwafarakanisha,chuki za nini kwa saudia??haitokusaidieni chochote

  • @AfsheensumaAfsheen
    @AfsheensumaAfsheen หลายเดือนก่อน +1

    Usufi ni mzigo mkubwa

  • @MahmoudMwacharo
    @MahmoudMwacharo หลายเดือนก่อน

    Hakuna mafungamano hata ukitokwa na mate

  • @mahabubamahabuba714
    @mahabubamahabuba714 หลายเดือนก่อน +1

    uwahabi uchafu umekuja kuchafuwa dini hawana kumfuata mtume hawa

    • @anwarbajabir7505
      @anwarbajabir7505 หลายเดือนก่อน

      jamani si uwahabi ndiyo una makosa..ni hawa watoto wetu wakienda madina huwa wanakuja na mambo waloelewa wao...mwapeleka watoto madina waliofail kwenye secular kisha mwa expect wa elewe dini haiwezekani..mashekhe wa suudiya wenyewe wana tafautiana na hawa watoto wetu walofundishwa madina..na bado ni washindani

    • @user-wo7xl2ey8y
      @user-wo7xl2ey8y หลายเดือนก่อน

      Sasa ww wamufuta mutume gani kujaa kwenye uzushi hivo ww na usufi wako

  • @MahmoudMwacharo
    @MahmoudMwacharo หลายเดือนก่อน

    Kama wewe ujionavyo unailimu

  • @swalehmohamedwaziri7499
    @swalehmohamedwaziri7499 หลายเดือนก่อน

    Kama sisi ni masufi maghurafi hata mohd swaleh aluthaimin pia ni sufu na ghurafi kwa kwa sababu simamo wake na wetu ni mmoja katika swali la arafa

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 หลายเดือนก่อน

      Mwanzo wa hii video kumewekwa clip ya Utheymeen akielezea kuwa arafa ni moja na nilazima kufuatwe maka, sasa inakuwaje useme msimamo wa Utheymeen na wenu ni mmoja?