HUU NDIO MWAROBAINI WA KUMKAMATA MUME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ต.ค. 2023
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 24

  • @salmamahfoudhsalum2650
    @salmamahfoudhsalum2650 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallah kipindi kimeenda vzr Allah awabariq muweze kutuongoza inshaallah kwa hayo na mengine Allah atawalipa ujira wenu
    Somo mtoto umemaliza kila kitu👌

  • @user-pt9uw3nz8c
    @user-pt9uw3nz8c หลายเดือนก่อน

    Maa Shaa Allah,kipindi kizuri

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mansha Allah ❤❤❤❤❤❤

  • @user-tb2gp5jf6g
    @user-tb2gp5jf6g 9 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah mashaallah mada nzuri imegusa kila sehem❤❤

  • @mamamamam4723
    @mamamamam4723 9 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana kipindi cha Leo ni kizur mpak nakos cha kusem somo mtoto huna baya❤❤❤❤

  • @HalimaJira
    @HalimaJira 9 หลายเดือนก่อน

    Shuran sana mafunzo mazurka some mtoto mashallah

  • @salma_74
    @salma_74 9 หลายเดือนก่อน

    Hapa tuna somo mtoto mashaallah basi na kwa upande wa kiume akuwepo

  • @halimahassan8582
    @halimahassan8582 9 หลายเดือนก่อน

    Ma sha Allah uqti atiya! JazakiLLAH...Happy to follow u guys..... keep going ❤❤❤❤

  • @AsiaOmar-mr7bk
    @AsiaOmar-mr7bk 3 หลายเดือนก่อน

    Assalaam alaykum tunawapigia cm hamupokei twahitaji bidhaa kwa somo mtoto

  • @safiasuliman5136
    @safiasuliman5136 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤mada nzur sna

  • @rahmahty7026
    @rahmahty7026 9 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah. Shukran

  • @RamadhanRamadhanShabn
    @RamadhanRamadhanShabn 2 หลายเดือนก่อน

    Nzuur

  • @zuwenasaleh9613
    @zuwenasaleh9613 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna bora kwenye wakwe kuingilia ndoa za watoto wao ila imayoumiza zaid ni ya wakwe kufanya ushirikina ndoa ivunjike kwakua tu mke si chaguo lake......

  • @tasnimmaalim8532
    @tasnimmaalim8532 9 หลายเดือนก่อน

    MaashaaAllah

  • @ummurasul8230
    @ummurasul8230 9 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah

  • @malak-lz6kx
    @malak-lz6kx 9 หลายเดือนก่อน

    Hta mm alhmdullah mkwe wng ananiona wa familia yke na ana wakwe wengi lkn alhmdullah mm na yy kma mtu na mwanawe heshima ni kitu kizur snaaa.

  • @abuusaid511
    @abuusaid511 9 หลายเดือนก่อน

    mashllh.. hii siku nilikuona mtendeni umevaa nguo hizo hizo #somo_mtoto nilitamani japo nikusalimie ila nilikuhofia sn dadaangu

  • @muaminimsina
    @muaminimsina 9 หลายเดือนก่อน

    Kipindi munaqasha kabsa.. yaan ndo mule mule.......
    Tuongeze muda hasa kwa vile mada zinazojafiliwa ni nyeti na ni muhimu sn kwa maisha ya kla sku.

  • @HalimaJira
    @HalimaJira 9 หลายเดือนก่อน

    Allah awahifadh muwe na afya njema murder kuelimisha

  • @salma_74
    @salma_74 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam aleikum, mashaallah kipindi kizuri pamoja na mafunzo.
    Ningependa kusikia pia na wanaume wanapata mafunzo sawa na wanawake. Ndoa ni ya wawili hakuna mmoja kuwa juu mmoja chini.

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mwalimu mzur wa mume ni mke wake ndo maana tunadeal na wanawake zaid 🥰

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@AttiyaHassan_somomtotohpana hya masomo wapewe wanaume ndio yanawafaa .

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto 9 หลายเดือนก่อน

      @@malak-lz6kxmm nimechagua wanawake 🥰🥰🥰ww unaweza kuwapa wanaume nchi huru hii kipenzi 🙏