KUMBE MWANAUME ANAFANYWA HIVI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2023
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 17

  • @maryammohamed5312
    @maryammohamed5312 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah, kipindi kizuri watoto wetu wa kiume wakishaanza kubaleghe mara nyingi hatushuliki tena nao, tofauti na watoto wa kike, ni vizuri kukaa nao na kuzidi kuwaelekeza Kuhusu usafi wao wa mwili , Uislam ni usafi tujisafisheni. Inapendeza sana wanandoa kuwa nadhifu. Allah barik Kwa kipindi hiki kizuri

  • @user-hb2wd8lu7b
    @user-hb2wd8lu7b 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah shukuran najifunza mengi kazi nzur😊 patam

  • @MwanahijaKassm-oz4bn
    @MwanahijaKassm-oz4bn 9 หลายเดือนก่อน

    Bi Atia hio jins ya kuvumbika mume tufahamishe in shaallah

  • @user-jp4yw4gr9e
    @user-jp4yw4gr9e 9 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah, barakallah fik

  • @user-fx3jo4tw6b
    @user-fx3jo4tw6b 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah , kipindi kizuri🎉

  • @reformerthrone972
    @reformerthrone972 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kipindi kinaendelea kupendeza lakini bado nawaomba mupige vita suala la kungwi.. Bxz kungwi hatakiwi kuwa na maharusi.

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 9 หลายเดือนก่อน

      Sasa sindo tamaduni

    • @alisaid5745
      @alisaid5745 9 หลายเดือนก่อน

      Kipind kizur ila sheik ww usikae nakae mtangaz wakike mnao musitulee maajab ww ikiwa mwanaume endesha ww

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mume unataka kum surprise kwa singo anarudi saa 6 usiku natamani wakisikie baadhi yao wanaume

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli w’me inabidi wafahishwe usafi na kujishughulikia. Maisha ya ssa si ya zamani, ssa m’ke na m’me wote wanachoka kwa kutafuta. Na pengine hawana wafanyakazi. Ssa ushughulikiwe ww, wtto, nyumba na yy mwenyewe m’ke. Mnadhani m’ke hachoki????

  • @mamitomamita6284
    @mamitomamita6284 9 หลายเดือนก่อน

    Wanaume wengi wananuka mashololo Yao akirudi tu kazi I ataka sex bila kwenda chooni kujishughulikia basi na akina mama WENGINE wanaogopa kumuambia nenda ukaoge ongeeni hayo pia tafadhali

  • @user-ls1iz9mq6c
    @user-ls1iz9mq6c 9 หลายเดือนก่อน

    Hivi dada tunataka kujua mume anavumbikwaje? Na dada unapatikana wapi?

  • @user-vj6fy1cp6k
    @user-vj6fy1cp6k 8 หลายเดือนก่อน

    unapatikana wapi somo mtoto ?naomba contact yako please

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 8 หลายเดือนก่อน

    Mm hata avumbikwe vp lkn masuala ya mdomo wangu kueka huko sitaki km masuala ya mdomo wake kueka huko/mate yake. Nahc ndio mana siku hzi watu wengi wanasikitika na miwasho na maradhi mengine ya sehemu za siri.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 8 หลายเดือนก่อน

      Na mambo hayo pia yanasabbisha mwisho hamu zinapotea.

    • @halimahbwelele694
      @halimahbwelele694 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂