VITU VITAMU VINAVYONOGESHA MAHABA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ต.ค. 2023
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 35

  • @user-pw2dv9fr6r
    @user-pw2dv9fr6r 9 หลายเดือนก่อน +10

    Salam , studio Kwanza naomba radhi Kwa ushauri nitakaoutoa huenda ukapokelewa kivyenginevyo ila nia yangu ni njema ,kipindi ni kizuri ,mafunzo ni mazuri lakin kauomba somo punguza mapambo ya mahina ukija ktk kipindi na ata mtandio wako ungeshuka kidogo ingependeza zaid ,kumradhi

  • @amnerashid9026
    @amnerashid9026 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah shukran kwako bi somo kwa vinogesho
    Allah awalipe kher wana hubbul halaal

  • @bikombosalum665
    @bikombosalum665 3 หลายเดือนก่อน

    Umenitibu mdogowangu kwenyemaradhi yangu Asante mungu aidumishe alfah

  • @halimahassan8582
    @halimahassan8582 9 หลายเดือนก่อน

    Ma sha Allah uqti attiya!!!!! Tunakupata sawa sawa!shukran for sharing uqter. JazakiLLAH ❤❤❤❤

  • @AminaChande-cx5du
    @AminaChande-cx5du 16 วันที่ผ่านมา

    Naomb no yak anty unifundishe meng

  • @zainabuali9915
    @zainabuali9915 9 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa Allah, tuite CHAI YA WAPENDANAO

  • @AzzaRashid
    @AzzaRashid 4 หลายเดือนก่อน

    Asalmalaikum hii alfatah inapatikanaje kwenye tv

  • @malak-lz6kx
    @malak-lz6kx 9 หลายเดือนก่อน

    Shukraan kwa elimu allah akupe afya allahumma amiiin.

  • @halimahassan8582
    @halimahassan8582 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bizari nene. How do u cal it in English?????

  • @user-nr3lm9mm2c
    @user-nr3lm9mm2c 7 หลายเดือนก่อน

    Shukran kwasomo ila binzari nene ndio ipi jaman

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 9 หลายเดือนก่อน

    Jina ni hubul chai ❤

  • @kulthum8335
    @kulthum8335 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @GhaniyeHaji-hv3je
    @GhaniyeHaji-hv3je 5 หลายเดือนก่อน

    Bizari ya maandazi nd ipi

  • @AminaAhmed999
    @AminaAhmed999 9 หลายเดือนก่อน +1

    tafadhali tuandikie hizo spice in english.

  • @user-hb2wd8lu7b
    @user-hb2wd8lu7b 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tuite Chai mahabaaa Jamani niolewe na mimi napitwaa nyieee😂😂😂

    • @KhamisiRamadhani
      @KhamisiRamadhani 9 หลายเดือนก่อน

      Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh

  • @user-uh1md9vy6t
    @user-uh1md9vy6t 8 หลายเดือนก่อน

    😂😅 MashaAllah

  • @user-we3uf2ye3c
    @user-we3uf2ye3c 9 หลายเดือนก่อน

    assalam alaykum. Ukhy mm n daktr I mean a doctor of medicine. Lkn hamu yangu kujifunza mitishamba .. Je nakupataje .. Ahsant

  • @reformerthrone972
    @reformerthrone972 9 หลายเดือนก่อน

    Bizari nene bado sijaijuwa
    Tupeni japo kwa kizungu.

    • @user-nr3lm9mm2c
      @user-nr3lm9mm2c 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hata mm sijaijua pia

  • @MawaddaKhamis-zh3kc
    @MawaddaKhamis-zh3kc 9 หลายเดือนก่อน

    Mm naona tuite hubul halali tea

  • @bikombosalum665
    @bikombosalum665 3 หลายเดือนก่อน

    Jina chai ya wanandoa

  • @runam906
    @runam906 6 หลายเดือนก่อน

    Giligilani ndio bizari nene jamani

  • @salwahnassor3406
    @salwahnassor3406 9 หลายเดือนก่อน

    Je kwa mjamzito inafaa kunywa

  • @husnamasoud4989
    @husnamasoud4989 9 หลายเดือนก่อน

    shukran ila bizani nene ndoipi ina jina lengine?

  • @user-fw6wt4mf3b
    @user-fw6wt4mf3b 9 หลายเดือนก่อน

    Hubu lhalali tea😅😅

  • @reformerthrone972
    @reformerthrone972 9 หลายเดือนก่อน

    Chai isionakero

  • @mamamamam4723
    @mamamamam4723 9 หลายเดือนก่อน

    Biharus wamoto😂😂

  • @salmaali521
    @salmaali521 9 หลายเดือนก่อน

    Chai ya fikra

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto 9 หลายเดือนก่อน

      Chai ya fikra tayar ipo na sio hiyo 😊 asante kwa kushiriki

  • @user-we3uf2ye3c
    @user-we3uf2ye3c 9 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji msaada wako madam

  • @RashidiAlly-cl7fo
    @RashidiAlly-cl7fo 9 หลายเดือนก่อน

    Tutaiita mundende

    • @user-nr3lm9mm2c
      @user-nr3lm9mm2c 7 หลายเดือนก่อน +1

      Nikitaka kujiunga nadarasa lako nafanyaje