Kitonga Ndio Hii/Mwanzo Mwisho Mwonekano wa Mlima KITONGA na KONA zake Hatari.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ค. 2020
  • Mlima Kitonga ni Moja ya milima inayotisha sana Kutokana na Kuwa na kona Kali sana na nyingi afu Miteremko mikali kibao.
    Ajali nyingi Utokea karbia kila siku katika mlima kitonga,
    NI NDANI YA MKOA WA IRINGA , BARABARA ya lami kama unaelekea Morogoro moja kwa moja kwenda Dar es Salaam .
    TAZAMA MPAKA MWISHO VIDEO HII.....
    ENDELEA KUTUFUATILIA......TEAM "FOCUS DIGITO"
    USIKOSE VIDEO MPYA INAYOFUATA BAADA YA HII.....
    Yote HAYA ni Habari ndani ya Focus Digito TH-cam Channel.
    SUBSCRIBE TO SHOW YOUR LOVE.
    (Consider Subscribing So That You Wont Miss Other Life Changing Videos Like This)
    PRESENTER:
    Focus Digito Studios
    FOLLOW US:
    INSTAGRAM: / focus_digito
    GOOGLE: tiny.cc/4uc3mz
    TH-cam: bit.ly/2wM119u
    TWITTER: / focusdigito
    KEEP IN TOUCH WITH US
    WE LOVE YOU
    #Kitonga #Iringa #LIVE #Safari #Trending #Tourism #HMG #MillardAyoUPDATES #GlobaTvOnline #WasafiMedia #CLOUDSMEDIA #CCM #Magufuli #JPM #UEFA #Mlima #Mountain #

ความคิดเห็น • 107

  • @faustinkebile5698
    @faustinkebile5698 3 ปีที่แล้ว +1

    Iringa ina umbijani mzuri sana jaman inapendeza ila huo mlima nauogopa hatar

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว +1

    SUBHANNALLAH Allahu Akbar. Huo ni uwezo wake Mungu Mola Muumba.

  • @Winstonfying
    @Winstonfying 3 ปีที่แล้ว +5

    Hii ngoma ya kikongo, naomba jina lake na Muimbaji

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 ปีที่แล้ว +1

    Mandhari nzuri zaidi ya mlima kitonga huko mkoani Iringa.

  • @joyceraphael6631
    @joyceraphael6631 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani kitonga inatisha nilipita na new fosi apo naire gari irivo ndefu nauko chini parivo mbari Mimi presha

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt 10 วันที่ผ่านมา

    Iringa moja hiyo hakuna namna🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @tobiasangolwisye9962
    @tobiasangolwisye9962 3 ปีที่แล้ว +6

    Alie ckia barabara znashindwa kuhimili uzigo wa mizito😀😀😀😀

  • @huseinsalum3175
    @huseinsalum3175 3 ปีที่แล้ว +2

    Umetisha umeutoa kama ulivyo huko ndo nyumbani

  • @issaali1321
    @issaali1321 3 ปีที่แล้ว +1

    Madereva ni wazembe mno yaani hawafati sheria za barabara na ndio kilasiku watu wanapoteza maisha ni kutokana na uzembe wa madereva.

  • @neemamwinuka6554
    @neemamwinuka6554 3 ปีที่แล้ว +1

    Iringa kwetu mungu ibariki iringa

  • @kassimkr3578
    @kassimkr3578 3 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo nitoka morogoro kwenda iringa

  • @josephomwami7358
    @josephomwami7358 2 ปีที่แล้ว

    Siku moja mtuletee zile Kona za nyang'oro tujionee

  • @taifastarstv2446
    @taifastarstv2446 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh

  • @Matunzo_Classic
    @Matunzo_Classic 3 ปีที่แล้ว +3

    MIMI MSANII NAITWA MATUNZO CLASSIC TAZAMA VIDEO YANGU
    KISHA SUBSCRIBE WEKA COMMENT YAKO NAOMBA SUPPORT YAKO

  • @logathl.costantine4016
    @logathl.costantine4016 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @sejodrury906
    @sejodrury906 3 ปีที่แล้ว +1

    Mandhari mazuri yale!

  • @sylvestermihale2887
    @sylvestermihale2887 3 ปีที่แล้ว +1

    Al Saedy inateleza tuu kama nyoka pangonii
    Shaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhh🔥🔥🔥🔥🔥

  • @damaslukando862
    @damaslukando862 3 ปีที่แล้ว +2

    Ninyi pia munasikia music ya congo

  • @magrethbenjamin4969
    @magrethbenjamin4969 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka voice yako km naijua iv ushawah tanga,aza County Fm

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 ปีที่แล้ว +5

    We mwenyewe mvunja sheria za barabarani. Mwenzio kapunguza mwendo we una overtake

  • @jimmylyimo4088
    @jimmylyimo4088 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuu dereva wa basi ni nyoko sana

  • @tanzanian6052
    @tanzanian6052 3 ปีที่แล้ว +2

    jamaa hamna ushirikiano yan anaewazia trip mtu mmoja...wengine sijui ndo mnavyaza???dah..ila nimekubali Idea.....thats great...ila presenter pia hata ungekaa kimya tu tungeelewa...big up guys!!!na mngezihesahabu izo kona ingependesa zaidi...hamjasimama hata sehem ingenoga zaid!!!

  • @barakhafidelis24
    @barakhafidelis24 3 ปีที่แล้ว +4

    Iringa raha jamani

  • @felisterveronica5452
    @felisterveronica5452 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah n hatri sio kwa kna hizo

  • @alibell5246
    @alibell5246 3 ปีที่แล้ว +4

    Duh kumbe iringa napo kuzur ivi

  • @ezirakarugwe5243
    @ezirakarugwe5243 3 ปีที่แล้ว

    Nyce video nimeipends

  • @bolingoalbin8379
    @bolingoalbin8379 3 ปีที่แล้ว +3

    It's amazing!

  • @ruahatv1100
    @ruahatv1100 3 ปีที่แล้ว +3

    Unaufahamu mlima ndololo kaka mahengee ukooo ni hatar

  • @anthonygatimu1258
    @anthonygatimu1258 3 ปีที่แล้ว +1

    Good traffic terrain update.keep doing it also in google drive.

  • @lawrencegwerino1656
    @lawrencegwerino1656 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyo drive anaeendesha Hilo gari inatakiwa ashitakiwa maana kaovertake sehemu isiyoruhusiwa

  • @abdul-bz1cy
    @abdul-bz1cy 3 ปีที่แล้ว +2

    ilinga au iringa

  • @festuskahindiyaa3703
    @festuskahindiyaa3703 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe Iringa kuzuri hivi!!!

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt 10 วันที่ผ่านมา

    Iringa y etu hiyo

  • @vulfridakessy7148
    @vulfridakessy7148 3 ปีที่แล้ว +1

    Wala kitonga haitishi kiviileee..pa kawaida sana labda zaman but sahv hapasumbui

  • @homajiji6004
    @homajiji6004 3 ปีที่แล้ว +1

    Iringa Co Ilingaa

  • @mrh2812
    @mrh2812 3 ปีที่แล้ว

    mlima muze mkoa wa rukwa sumbawanga unaitwa kaburi wazi huo ndo mlima hatar Tanzania maderev wanaipatapat sana

  • @abuuaisar5545
    @abuuaisar5545 3 ปีที่แล้ว +3

    @ uzigo wa mizito

  • @frankchibago3206
    @frankchibago3206 3 ปีที่แล้ว +1

    Sio poa

  • @3samwel803
    @3samwel803 3 ปีที่แล้ว +3

    appreciate

  • @godfreymbuya2659
    @godfreymbuya2659 3 ปีที่แล้ว +1

    Madereva wote wa malori akili zao haziko vizuri,wanapita sehemu za hatari wakifikisha mzigo wanaambulia matusi kutoka kwa mabosi wao,kukatwa pesa zao bila sababu maalumu,kubambikiwa makosa barabarani,na kelele kutoka kwa wake zao.Hivyo ukimwomba njia asipokupa tulia mpaka akili yake ikae sawa.Vinginevyo atakutia kwenye mtaro.

  • @fledymavikamavika7841
    @fledymavikamavika7841 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaa kwetu aise

  • @charlespantony3329
    @charlespantony3329 3 ปีที่แล้ว +1

    J

  • @kenyfrancis2946
    @kenyfrancis2946 3 ปีที่แล้ว +3

    Iringa...sio Ilinga ...

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 3 ปีที่แล้ว

    Sio Ilinga ni Iringa

  • @heradius
    @heradius 3 ปีที่แล้ว +1

    Ajali zinazotokea MLIMA KITONGA
    Check hii!!
    th-cam.com/video/xYiCbM5-LRg/w-d-xo.html

  • @krey_music7108
    @krey_music7108 3 ปีที่แล้ว +1

    boss

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 3 ปีที่แล้ว

    Unaachaje kununua mahindi ya kuchoma pale mwanzo wa mlima

  • @rashidimwambichi3340
    @rashidimwambichi3340 3 ปีที่แล้ว

    Hii video mmerekodi lini

  • @binsaidiabdul6497
    @binsaidiabdul6497 3 ปีที่แล้ว +2

    Duu mbona gari nyingi sana

  • @timbukwa9771
    @timbukwa9771 3 ปีที่แล้ว +3

    Ila Al saed kiboko,,ametafuuuuta hajamuona kabisa, hao wazoefu njia hizo

  • @ziro9653
    @ziro9653 3 ปีที่แล้ว +1

    mm na enjoy na juma kasimu kiloboto

  • @vyuguruzumwangumwereka
    @vyuguruzumwangumwereka 3 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma ya kikongo...safi sana

  • @luhanyamipawantobi6888
    @luhanyamipawantobi6888 3 ปีที่แล้ว +1

    Siku nyingine mtuonyeshe nahuko chini kwenye maji kukoje,,,?????

  • @henryoreo2283
    @henryoreo2283 3 ปีที่แล้ว +1

    frm kenya lakini hamna kitu kama "fuso limedondoka"

    • @rihannaajie3866
      @rihannaajie3866 3 ปีที่แล้ว

      Si we unajua hao watanzania vile Wapenda kujisifu

    • @aishaasumany561
      @aishaasumany561 3 ปีที่แล้ว

      @@rihannaajie3866 Sinanyie mjisifie yawatz yana mihus ?????????

    • @rihannaajie3866
      @rihannaajie3866 3 ปีที่แล้ว

      @@aishaasumany561 OSHA kuma ulale kibibi

    • @aishaasumany561
      @aishaasumany561 3 ปีที่แล้ว

      @@rihannaajie3866 Kaanze kuosha mkuma wamamaako kwanza ndio ubishane na mimi mjusi kafili wwe kweeenda nguchiro wwe

    • @rihannaajie3866
      @rihannaajie3866 3 ปีที่แล้ว

      @@aishaasumany561 vyuuuuuuuuuuuu choooniii

  • @subiraboi9397
    @subiraboi9397 3 ปีที่แล้ว +1

    Na bbara nyemmba kweli

    • @blandinamnyinga8318
      @blandinamnyinga8318 3 ปีที่แล้ว

      Kwa sisi tunaijua hiyo barabara tangu enzi hizo hapo tunaiona pana maana kabla mlima haujachongwa tena 2009 huko nyuma ilikuwa nyembamba kwelikweli

  • @heradius
    @heradius 3 ปีที่แล้ว +1


    Wewe ni msanii chipukizi?!
    Umefungua TH-cam account?!
    Jiepushe na matapeli waanaotoa huduma za kufungulia account kwa pesa kibao...
    Siri ya KUFUNGUA TH-cam ACCOUNT BURE hii hapa
    th-cam.com/video/Luh_GQCub4w/w-d-xo.html
    Ipo kwa Kiswahili ili kila mmoja aelewe.
    Usipoelewa Jambo
    Ingia sehemu ya notification
    Utaona anuani ya barua Pepe
    Usiogope kuuliza kitu!

  • @dklive6874
    @dklive6874 3 ปีที่แล้ว +1

    Maajabu. th-cam.com/video/atHD9Z_s29c/w-d-xo.html

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubawa Wake Ni Barabara Ndio Tatizo Haipo ?
    Na Inachukuwa Mudagani Kushuka Na Kupanda Huu Mlima

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 ปีที่แล้ว +2

    Fuso imedondoka. R. I. P kiswahili 😂

    • @maulidsaid9448
      @maulidsaid9448 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @noofal-zeidi2770
      @noofal-zeidi2770 3 ปีที่แล้ว

      @@maulidsaid9448 ha ha ha

    • @kenyfrancis2946
      @kenyfrancis2946 3 ปีที่แล้ว

      Hivi ni fuse imedondoka?? Au gari aina ya fuso limepata ajali? Au fuso limedondoka..

  • @mandagokigge4742
    @mandagokigge4742 3 ปีที่แล้ว

    Inakuaje muandishi unashindwa kumenteni lafudhi hivi Tanzania kuna mkoa unaitwa Ilinga, madeleva ndio nini

  • @ponsianasingo5348
    @ponsianasingo5348 3 ปีที่แล้ว +2

    unatangaza vizuri ila matamshi ya nakushinda, sio balabala ni barabara na sio iyo ni hiyo🤔

    • @josephinanikwelimdacki3330
      @josephinanikwelimdacki3330 3 ปีที่แล้ว

      Wwe umenishinda tabia

    • @khalfanibobewe4278
      @khalfanibobewe4278 3 ปีที่แล้ว

      Kwamba ww hujawahi kukosea au ndo ujuaji

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo kiswahili kigumu ndomaana tukitembea nchi za watu hatueleweki matamko yetu sio sahihi tunaferi lugha yetu Ila bado Sana kujuwa vizuri.

    • @tanzanian6052
      @tanzanian6052 3 ปีที่แล้ว

      siyo ujuaji....kurekebishana ndo mpango mzima...mtu akosee ukae kimya...NO.....!!!! .nitajifunzaje kama nakosea na watu wa mute!!????

  • @africanchocolate4216
    @africanchocolate4216 3 ปีที่แล้ว +1

    Usha wahi ku tokea MOMBO mjini ku elekea milima ya Usambara kule Mtae, Soni, Lushoto, Bumbuli, Magoroto na zaidi?
    Kama bado, basi jaribu kwenda huko Barabara za milima ya Usambara, kisha chukua videoclip, halafu fananisha kati ya mlima Kitonga na milima ya Usambara, wapi ni hatari na kunako tisha zaidi 😅🏔!
    Uki fanikiwa uje utu juze tafadhali 🙏🏽

    • @edithachipondwa8847
      @edithachipondwa8847 3 ปีที่แล้ว +2

      Nenda kwetu moro mgeta Kama utarudia tena

    • @africanchocolate4216
      @africanchocolate4216 3 ปีที่แล้ว +1

      @@edithachipondwa8847 Hebu elezea pakoje? Nipe picha kidogo 😅😃

    • @letshikuku39
      @letshikuku39 3 ปีที่แล้ว

      @@edithachipondwa8847 nacheka kama mazuri. Napasikia tu ingawa ndio kwetu huko

  • @hamisimanja5089
    @hamisimanja5089 3 ปีที่แล้ว +2

    Bila shaka gari itakuwa inapanda kwa lisaa

  • @saranyenza5974
    @saranyenza5974 3 ปีที่แล้ว +3

    huko mwazon mlikoazia ni kona za Iyofi kitonga sijaiona kitonga mlima mkali co hivyo, mm ni mkazi wa iringa najua sana

    • @elisasemkiwa2531
      @elisasemkiwa2531 3 ปีที่แล้ว

      Wewe mkazi wa Iringa ila njia huijui kwakweli..hiyo Ni kitonga maybe kwakuwa mvua zinanyesha vichaka vingi ndio maana

    • @maulidsaid9448
      @maulidsaid9448 3 ปีที่แล้ว

      Hiyo kitonga yenyewe mzee baba, mi mwenyewe nimepita hapo kama mala mbili hivyo hiyo sehemu naijua vzr

    • @gibsonntamamilo490
      @gibsonntamamilo490 3 ปีที่แล้ว

      Hajui mzee kajisaidie ukalale.

    • @tanzanian6052
      @tanzanian6052 3 ปีที่แล้ว

      ningekua nauwezo ningefuta comment yako!.....infact...siyo iyofi,its Iyovi.na unadanganya bwn hapo ni kitonga panajieleza....kwamba jamaa hawajielewi kias hicho??? Iyovi barabara ni smooth sana na ni panaa..na pana kona ndefu kiasi.....

  • @msafirdanga9404
    @msafirdanga9404 3 ปีที่แล้ว +1

    Kitonga pakawaida tuuu njoo soni Lushoto

    • @gibsonntamamilo490
      @gibsonntamamilo490 3 ปีที่แล้ว

      Huolima wa Rushoto ni kilometa ngapi na kuna kona ngapi? Acha ushamba Kitonga ni No. 1 tu madereva wote wanajua hilo.

    • @msafirdanga9404
      @msafirdanga9404 3 ปีที่แล้ว

      @@gibsonntamamilo490 ushawah kufka au unalopoka tu Fanya uchunguzi kwanza kitonga ni maatufu kwakua wanapta watu wamikoa mbalmbal lakini njoo hadi mombo alafu unze kupanda mlima ndio utajua tofaut kat ya nyani na ngedele simba na duma mbwa na mbwamwitu/mbweha