...kazi nzuri makonda...ila ni vizuri walioshinda kesi(walipwa fidia) na walioshindwa kesi (wallpa fidia) wafanyiwe uchunguzi...isije ikawa organised crime...katika maana wote wanafaidika na fidia, halafu anayeumizwa ni mlipa kodi....jicho la 3 muhimu sana hapo...all in all God bless you for great job
Hivi kweli makonda angelikuwa hana elimu haya yote angelijua jamani ? Huyu jamaa alitakiwa awe chadema kutetea wanyonge maana huku kwa ccm hawata mpenda hata kidogo
Watanzania mjifunze kuanzia leo haya yote ni kutokuwa na wabunge wa upinzani bungeni ndo shida pia huyo makonda anafanya maigizo tuu make yupo chini ya ccm hawezi kuamua jambo kwa kutekeleza chchte kwa wananchi bila mama yao kulizia hivyo ni mazingira tuu ya mazingaombwe tuu kuweni makini sana wananchi mkijaa tuu kwenye mfumo wa ccm mmekwisha tena miaka 5 mpaka 10
MAKONDA OYEE. MUNGU AKUPE UMRI MREFU MAKONDA NA IKO SIKU UTAKUWA LKN CHUKUA TAHADHARI YA KUJILINDA EPUKA KULA OVYO OVYO KWENYE MIALIKO NA UNAPOKWENDA KUHUTUBIA KUWA NA KIPAZA SAUTI CHAKO USIJE UKAFANYIWA HUJUMA KWANI HUO MCHAKA MCHAKA UNAOWAPELEKESHA SI MCHEZO UNAWATOA NISHAI. SASA NDIO NIMEBAINI KWA NINI KUNA WATU HAWAKUPENDI MUNGU AKULINDE WEWE NI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
...kazi nzuri makonda...ila ni vizuri walioshinda kesi(walipwa fidia) na walioshindwa kesi (wallpa fidia) wafanyiwe uchunguzi...isije ikawa organised crime...katika maana wote wanafaidika na fidia, halafu anayeumizwa ni mlipa kodi....jicho la 3 muhimu sana hapo...all in all God bless you for great job
Makonda Mungu akupe miaka 1000 uweze kuwatumikia wananchi
Makonda mungu akubaliki jamn unatusaidia Sana baba angu
Pigaaaa keleeeleee kwa makondaaaaa,weeeeeeeeeeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤,iiimeeeeendaaaaaaaaa
Kaka Mungu akutangulie sana 🙏💝
Kazi iyendele ccm oyeeeee
Makonda Mungu tu akubariki kwa kuwasaidia watu
Bless sana Paul,I proud u bro
Makonda love❤❤❤❤❤
Ipocku utakua raisi wemtangulize mungu
...kazi nzuri makonda...ila ni vizuri walioshinda kesi(walipwa fidia) na walioshindwa kesi (wallpa fidia) wafanyiwe uchunguzi...isije ikawa organised crime...katika maana wote wanafaidika na fidia, halafu anayeumizwa ni mlipa kodi....jicho la 3 muhimu sana hapo...all in all God bless you for great job
Hii Ni nzuri sama
Yan makondo unanikumbusha JPM Yan duh we ni jembe big up
Hii imendaaaa aisee,makonda noma sana,mama apa aliona
Kea halo hi I mafisadi lazima wakuchukie, ma sisi wananchi tunakuombea kwa Mungu azidi kukulinda uendelee kuwapa za uso.
Mungu akupe miaka mingi kakaangu makonda tunakupendasana kaka uishi milele
Huyu dada leo akifika home awezi kula
Makonda jembe kweli kweli uyu alikula kiapo na magufiri kutetea nchi.
Makonda waliosema hujasoma kwakweli ulitakiwa kuwafungulia kesi ya kukudhalilisha upo vizuri kwenye kila kona unagonga
Hahahahaha,kabisa aiseee,watu wakiamua kukuaribilia bana
Kosa la makonda liko wapi maana niliona Wana mzonga kwamba haiwezi Arusha
Mzeee wanyesheeee viongozi wapuzi hakika wezi watakuchukia ila wazelendo tunaomba mungu akupe maisha marefuuuuu
Kuna wanasheria wanatutesa sana ila basi tu
Rais ajaye
Safi sana brother unaupiga mwingi
Sure kaka
Makonda anajua tena na tena
Hakika.makonda.ni.MAGUFULI.ALIE.FUFUKA.UBALIKIWE
Fanya kazi makonda wanafiki achananao watanzania tupo nyuma yako
Kesi ya ndugu na ndugu
MIJIZI UNAGONGANA😂😂😂
Safisana
Makonda utakuw Rais
Kupitia makonda utqngundua watendaji wengi wa serikali ninshida na hawajuwi wajibu wao
Aibu kubwa kwa mwanasheria wa serikali
Njia zile zile za magu
Hivi kweli makonda angelikuwa hana elimu haya yote angelijua jamani ? Huyu jamaa alitakiwa awe chadema kutetea wanyonge maana huku kwa ccm hawata mpenda hata kidogo
Magufulification part 2
Makonda njo klm
😅😅😅😅😅😅 0:23 0:26 0:28
If na but 😂😂😂😂😂😂 makonda awaoshea wamasai
Duuuuuu
Watumishi wengi wa serikali mliosemea ni wadanganyifu.
Hapo unaweza sema makonda anamuonea kumbe dada anajichanganya sana kueleza
Wanasheria walioiba majibu vyuon nakupata ajir kiundugu wanasababsha tu migogoro kwa wananch
Hahahahahaha 4 sure
Dada anataka kulia
Mzee yuko makini hatar hhhh
Isha mashauzi mdomowako binge labwana
Hivi hawa watu wa serikal mbona wote waongo
Makonda uko viizuri
Makonda mwache mtoto was watu,,sikilze huyo mtoto,afu Sheria mnatunga wenyewe na libunge lenu
Hahahahaha,Yaani mwenyewe gafla nimeanza kumwonea huruma huyu dada
Watu wamebomolewa nyumba zao halafu unaongea nn wewe🤔
😂kwel hiyo aibu kubwa Sana
Huyu mwanasheria anajiabisha
Mwanasheria wa mchongo sana
Watanzania mjifunze kuanzia leo haya yote ni kutokuwa na wabunge wa upinzani bungeni ndo shida pia huyo makonda anafanya maigizo tuu make yupo chini ya ccm hawezi kuamua jambo kwa kutekeleza chchte kwa wananchi bila mama yao kulizia hivyo ni mazingira tuu ya mazingaombwe tuu kuweni makini sana wananchi mkijaa tuu kwenye mfumo wa ccm mmekwisha tena miaka 5 mpaka 10
Upinzani usitafute Tena Arisha imekwisha
Makonda
Jerry Slaa
Majaliwa
Ally Hapi
Aweso
Bashe
Endeleza list...
Hawa watu ni real sana
Hakika
Mhe. RC mpe nafasi Mwanasheria wa Halmashauri unamnyima uhuru.
Apewe nafasi ipi?
Kabisa wanamkata kata hamaliza sentensi
Huyu dada ni jasiri na ameonewa na makonda amekuwa bias,
Wewe mwanamke auna adabu kweli unaongea na mueshmiwa ukiwa umevaa suluali?
Magufuli mtupu🔰💪💪💪💪💪
Kwani hapo anaongea na mdomo au suluali?
Watambue maaskari wa kike wakavae sketi
Waambie
MAKONDA OYEE.
MUNGU AKUPE UMRI MREFU MAKONDA
NA IKO SIKU UTAKUWA LKN CHUKUA TAHADHARI YA KUJILINDA EPUKA KULA OVYO OVYO KWENYE MIALIKO NA UNAPOKWENDA KUHUTUBIA KUWA NA KIPAZA SAUTI CHAKO USIJE UKAFANYIWA HUJUMA KWANI HUO MCHAKA MCHAKA UNAOWAPELEKESHA SI MCHEZO UNAWATOA NISHAI.
SASA NDIO NIMEBAINI KWA NINI KUNA WATU HAWAKUPENDI
MUNGU AKULINDE
WEWE NI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
Im
Hawa jamaa ccm ni watu wa ajabu sana hawaeleweki ona huyu mama anavyobebeshwa msalaba na kuonekana hafai watu hatar sana hawa!!