Focus Digito TV
Focus Digito TV
  • 610
  • 1 425 946
Mwenezi Ryata Aunguruma Mafinga Awaeleza Wananchi Kazi Zinazofanywa na Rais Samia Kuleta Maendeleo
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Iringa Joseph Ryata kupitia mkutano wa hadhara amezungumza na wananchi wa mji wa Mafinga wilaya ya Mufundi mkoani Iringa akiwaelezea kazi zote kubwa anazofanya Rais Samia Suluhu Hassan katika harakati za kuwaletea Maendeleo Watanzania kwenye kila sekta.
Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku.
Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani.
Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments.
#FocusDigitoTV
..................
Tufuatilie Zaidi kupitia:
INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV
Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team FocusDigitoTV
มุมมอง: 216

วีดีโอ

Dickson Mwipopo Akabidhi Kompyuta 3 Kusaidia Utoaji Huduma za Afya Mafinga-Iringa
มุมมอง 192 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mkurugenzi wa Shule za Real Hope zilizopo katika Mji wa Mafinga Wilayani Mufindi mkoani Iringa na Mjumbe wa Kamati ya Siasa CCM Mkoa wa Iringa, Dickson Mwipopo amekabidhi Kompyuta (Desktops) tatu (3) aina ya Dell zenye thamani ya zaidi ya milioni 5 msaada wenye lengo la kuongeza nguvu ya utoaji huduma bora za afya kidigitali katika hospitali ya Mji wa Mafinga. Akikabidhi Kompyuta hizo kwa Mkuru...
Kisa Uchaguzi Wameanza Kufanya Matukio Ya Kishetani | Ulawiti, Ushoga, Ubakaji na Mauaji Yalaaniwa
มุมมอง 234 ชั่วโมงที่ผ่านมา
CCM wilaya ya Mufindi Yalaani na kukemea Vikali Ulawiti, Ushoga, Ubakaji na Mauaji ambapo Katibu Mwenezi CCM wilaya ya Mufindi Dickson Lutevele amesema baadhi ya matukio hayo yanahusishwa katika harakati za baadhi ya Viongozi kutaka Kushinda Uchaguzi kwa kutumia nguvu ya matendo ya kishetani akitaka jamii ifungue macho kukemea maovu hayo na ikiwezekana isaidie Serikali kwa kuwataja wahusika wa ...
CCM Mufindi Watuma Salamu za Moto CHADEMA | Villa Ajibu Hoja za CHADEMA Anazodai Zinapotosha Jamii
มุมมอง 5224 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Salamu za Moto kwa CHADEMA wilaya ya Mufindi, Katibu Mwenezi CCM Wilaya ya Mufindi, Dickson Lutevele Afunguka ajibu Hoja za CHADEMA anazodai kuwa zinalengo la kupotosha jamii, Asema Mufindi wamejipanga Hawatishwi na SACCOS ya Watu 18. "Umati huu wa wanachama wa Chama cha Mapinduzi tumekutana pamoja ili tutume salamu kwa ndugu zetu kwamba tumejipanga na kwamba wana Mufindi sio wajinga wanajua ma...
Mwonekano wa Manispaa ya Iringa Mida ya Usiku
มุมมอง 304 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Manispaa ya Iringa Inavyoonekana Usiku Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku. Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani. Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments. #FocusDigitoTV .................. Tufuatilie Zaidi kupitia: I...
Somo la Uhuru na Uzalendo | Harakati za Nyerere Kuikomboa Tanzania likifundishwa na Wiston Mwinuka
มุมมอง 794 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mwezeshaji wa Mafunzo Wiston K. Mwinuka akifundisha vijana historia ya CCM na namna Mwalimu Julius Nyerere alivyopambana kuleta uhuru na kusimama katika nafasi ya Uzalendo kuleta mabadiriko nchini Tanzania. WistonSubscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku. Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani. Fo...
AfroRoots Kuwakutanisha Wafanyabiashara, Viongozi wa Serikali na Wadau wa Maendeleo Iringa
มุมมอง 727 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kuelekea Tukio la "The Night Of Networking" litakalofanyika Julai 27, 2024 Maeneo ya Iringa Sunset Hotel katika Manispaa ya Iringa tukio litakalowakutanisha wadau mbalimbali wa maendeleo, Wakurugenzi na Viongozi wa Serikali, Uongozi wa Taasisi ya AfroRoots umezungumza na Waandishi wa Habari kuelezea yote yaliyopangwa kufanyika siku hiyo na namna yatakavyokuwa na mguso wa kipekee kwa mtu mmoja m...
Wazawa wa Iringa Waishio Dar es salaam Wakabidhi Viti 254 Shule ya Sekondari Kiwele Kalenga Iringa
มุมมอง 4057 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Umoja wa Wana Kiwele ambao ni wananchi wazaliwa wa Kata ya Kiwele wilaya ya Iringa mkoani Iringa waishio jijini Dar es salaam wamekabidhi msaada wa viti vya kukalia 254 kwa ajili ya matumizi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kiwele iliyopo katika Kata ya Kiwele jimbo la Kalenga mkoani Iringa. Akikabidhi Viti hivyo kwa Mkuu wa Wilaya Kheri James ambaye alikuwa mgeni rasmi katika makabidhiano ha...
Kundi la Viongozi CHADEMA Wamfuata Msigwa CCM | Wavua Sare na Kutupa Chini Kadi za CHADEMA
มุมมอง 3K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Wanachama Zaidi ya 15 pamoja na Viongozi wa CHADEMA wameamua Kuhamia CCM kumfuata Mch. Peter Msigwa wakati wa mkutano wa hadhara uliombana na mapokezi ya Mchungaji Msigwa kwa lengo la kutambulishwa rasmi mbele ya wananchi, wanachama na viongozi wa CCM Mkoa wa Iringa. Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku. Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Ha...
Msigwa Atema Nyongo za CHADEMA Kweupe | Ayaanika Mapya ya Mbowe Hayajawahi Kusemwa
มุมมอง 2.4K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mch. Peter Msigwa Atema Cheche kwa mara ya kwanza baada ya kupokelewa rasmi na Wananchi, wanachama na viongozi wa CCM Mkoa wa Iringa. Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku. Msigwa azitaja sababu zote zilizomfanya aondoke CHADEMA, amuita Mbowe "Mr. Nkurunziza", asema CHADEMA sio Chama cha Siasa bali ni SACCOS ya mtu. Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri ya...
Sholo Mwamba Aondoka na Kijiji Iringa | Apiga Show ya Kibabe kwenye Mapokezi ya Msigwa
มุมมอง 5179 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Show ya Kibabe ya Sholo Mwamba msanii maarufu wa Muziki wa Singeli kwenye Hafla ya Kumpokea Mch. Peter Msigwa CCM mkoa wa Iringa. Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku. Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani. Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyle...
Kishindo cha Mapokezi ya Msigwa CCM Iringa | Aripoti Mkoani Baada ya Kuachana na CHADEMA
มุมมอง 1.4K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mch. Peter Msigwa alivyopokelewa na Viongozi, wanachama wa CCM na wananchi wa mkoa wa Iringa katika Uwanja wa Mwembetogwa uliopo katika manispaa ya Iringa Julai 20, 2024. Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku. Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani. Focus Digito TV is here to provide you with ...
Amsha za Jogging Clubs Iringa | DC Kheri James Ahimiza Mazoezi Kufanyika Kila Jumamosi.
มุมมอง 299 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mkuu wa wilaya ya Iringa awahimiza wananchi na watumishi wa Serikali kushiriki mazoezi ya mwili na viungo ili kuimarisha afya zao ambapo ametangaza siku ya jumamosi kuwa siku rasmi ya mazoezi katika manispaa ya Iringa. Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku. Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Buruda...
Wakubali Kujitoa TASAF ili Wengine Wafaidike Iringa | Miradi ya Wanufaika Yawavutia Viongozi
มุมมอง 11112 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Viongozi kutoka Makao makuu ya TASAF watembelea wanufaika wa mfuko huo wa maendeleo katika Manispaa ya Iringa mkoani Iringa ambapo baadhi ya wanufaika wamekubali kujitoa kwenye mfuko huo ili kuwapa nafasi watu wengine wanaotoka kwenye kaya maskini kunufaika na fedha za TASAF. Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa na Wanufaika wa TASAF umeongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa TAS...
Eng. Fatma Rembo Awafunda Wanawake UWT Kilolo-Iringa "Tuache Wivu, Tuinuane, Tugombee Uongozi"
มุมมอง 5314 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mhandisi Fatma Rembo ambaye ni Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) kutoka mkoa wa Iringa, ameahidi kuwaunga mkono wanawake wote watakaojitokeza kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi ambapo amesisitiza kuwa wanahitajika wanawake wenye uwezo ili kuhakikisha ushindi unapatikana, kazi nzuri zinaonekana a maendeleo yanatokea baada ...
Kijana afunga King'amuzi cha AYO TV ya Millard Ayo kwenye Bajaj Yake | Sikia Yote aliyosema
มุมมอง 1.4K16 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kijana afunga King'amuzi cha AYO TV ya Millard Ayo kwenye Bajaj Yake | Sikia Yote aliyosema
Vijana wa 'Timiza Gospel' Watoa Msaada wa Vifaa Vya Usafi Hospitali ya Frelimo Iringa
มุมมอง 100วันที่ผ่านมา
Vijana wa 'Timiza Gospel' Watoa Msaada wa Vifaa Vya Usafi Hospitali ya Frelimo Iringa
Msigwa Kuhamia CCM sawa na Chama Kuhamia Simba - Jesca Msambatavangu
มุมมอง 81วันที่ผ่านมา
Msigwa Kuhamia CCM sawa na Chama Kuhamia Simba - Jesca Msambatavangu
Mamilioni Ya Pesa Yatolewa Ujenzi wa Ofisi ya CCM Kata ya Mlandege Manispaa ya Iringa
มุมมอง 53วันที่ผ่านมา
Mamilioni Ya Pesa Yatolewa Ujenzi wa Ofisi ya CCM Kata ya Mlandege Manispaa ya Iringa
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kujengwa Kilolo Iringa | Ufafanuzi Watolewa
มุมมอง 11514 วันที่ผ่านมา
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kujengwa Kilolo Iringa | Ufafanuzi Watolewa
Kiwanda Cha Kuchakata Parachichi Kujengwa Mufindi Iringa | Naibu Waziri Viwanda Exaud Kigahe Aeleza
มุมมอง 5214 วันที่ผ่านมา
Kiwanda Cha Kuchakata Parachichi Kujengwa Mufindi Iringa | Naibu Waziri Viwanda Exaud Kigahe Aeleza
Waziri Mkuu Akasirika Awatumbua Watumishi Wawili Hapo Hapo Ziarani Kilolo Mkoani Iringa
มุมมอง 61714 วันที่ผ่านมา
Waziri Mkuu Akasirika Awatumbua Watumishi Wawili Hapo Hapo Ziarani Kilolo Mkoani Iringa
Msigwa Aripoti CCM Iringa Mjini | Aahidi Kuitumikia CCM kwa Nguvu Zote kama Alivyokuwa CHADEMA
มุมมอง 8K14 วันที่ผ่านมา
Msigwa Aripoti CCM Iringa Mjini | Aahidi Kuitumikia CCM kwa Nguvu Zote kama Alivyokuwa CHADEMA
Waziri Mkuu Acharuka Aagiza Madawati Yarudishwe kwa Fundi | Akataa Nyumba za Mil 100 Mufindi Iringa
มุมมอง 27114 วันที่ผ่านมา
Waziri Mkuu Acharuka Aagiza Madawati Yarudishwe kwa Fundi | Akataa Nyumba za Mil 100 Mufindi Iringa
Nchi Yetu Imepata heshima kuwa Mwenyeji AFCON | Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Afunguka
มุมมอง 15114 วันที่ผ่านมา
Nchi Yetu Imepata heshima kuwa Mwenyeji AFCON | Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Afunguka
Waziri Mkuu Majaliwa Atoa Maagizo Haya kwa TAMISEMI, Wizara na Halmashauri Utunzaji wa Mazingira
มุมมอง 3514 วันที่ผ่านมา
Waziri Mkuu Majaliwa Atoa Maagizo Haya kwa TAMISEMI, Wizara na Halmashauri Utunzaji wa Mazingira
Waziri Mkuu Majaliwa : Iringa Irudisheni Timu ya Lipuli Ligi Kuu
มุมมอง 13014 วันที่ผ่านมา
Waziri Mkuu Majaliwa : Iringa Irudisheni Timu ya Lipuli Ligi Kuu
Majaliwa Afunguka Mikakati ya Serikali Kukuza Utalii Iringa Kuboresha Vivutio na Miundombinu
มุมมอง 2114 วันที่ผ่านมา
Majaliwa Afunguka Mikakati ya Serikali Kukuza Utalii Iringa Kuboresha Vivutio na Miundombinu
Waziri Mkuu Akoshwa na Mbio za Great Ruaha Marathon Iringa | Kujenga Afya na Kuhamasisha Utalii
มุมมอง 5514 วันที่ผ่านมา
Waziri Mkuu Akoshwa na Mbio za Great Ruaha Marathon Iringa | Kujenga Afya na Kuhamasisha Utalii
CHADEMA Iringa Watoa Tamko na Msimamo Sakata la Msigwa Kuhamia CCM "Aache Kuitaja CHADEMA"
มุมมอง 32K14 วันที่ผ่านมา
CHADEMA Iringa Watoa Tamko na Msimamo Sakata la Msigwa Kuhamia CCM "Aache Kuitaja CHADEMA"

ความคิดเห็น

  • @YakubuMbatta
    @YakubuMbatta 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    safi sana kiongozi wangu muadilifu ushindi ni lazima samia oyeeeeeeeee

  • @etufaniakahemela5879
    @etufaniakahemela5879 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Msigwa hata yeye anajua amepotea ndiyo maana analopoka manene ovyo ovyo

  • @user-qb1jv2dy2d
    @user-qb1jv2dy2d วันที่ผ่านมา

    Mwendawazimu yule hana akili anasumbuliwa na njaa.

  • @user-dj8zy1vg7m
    @user-dj8zy1vg7m วันที่ผ่านมา

    Nibibi yangu kabisaaaaaa ❤❤❤

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui วันที่ผ่านมา

    SWALA WATANZANIA KUTUMBULIWA KWA NAPE MAKAMBA. TUJIULIZE KWA NINI KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZU? AU RAIS MNAFIKI

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui วันที่ผ่านมา

    NAPE KATENGENEZA MIFUMO CODI ZINAKWENDA NYINGINE KWENYE MIFUMO YAO

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui วันที่ผ่านมา

    CCM BABA MAKAMBA TUNYONYE ASALI

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui วันที่ผ่านมา

    MAKAMBA NAPE WATU WANALIPA KODI ZINAKWENDA KWENYE MIFUMO YAO YA ELECTRONIC

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui วันที่ผ่านมา

    LAKINI LEO KINAMAKAMBA WANAIBA MABILIONI

  • @rajabuadriano6620
    @rajabuadriano6620 วันที่ผ่านมา

    Msigwa Karibu sana CCM

  • @remiseviajoas6336
    @remiseviajoas6336 วันที่ผ่านมา

    Safi Comrade

  • @siyayemduda2029
    @siyayemduda2029 วันที่ผ่านมา

    Semaji la Chama tawala likuunguruma

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 2 วันที่ผ่านมา

    Tena wewe ikitokea ukawa rais utakuwa kama akina kagame maana hutaki kukaa bila cheo ulipokuwa na vyeo hukuhama baada ya kukosa kura hayo madhaifu ya chadema ndio umeyaona huna jipya na huko ulikoenda hutatoboa

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe ongea ushauri utakao mpa rais kuhusu tozo,,kupanda kwa mafuta na ugum wa maisha yetu hayo ya chadema uachane nayo ukiachana na mke ukaanza kumpakazia kuwa alikuwa na madhaifu huo ni ujinga na kujiabisha mwenyewe

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6d 2 วันที่ผ่านมา

    Mbona chadema wanaisema ccm hawatangazi sera zao Kazi Yao kutukana tu

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 2 วันที่ผ่านมา

    Achana,na,chadema,ongea,Sera,za,ccn😊

  • @musamgeni5814
    @musamgeni5814 2 วันที่ผ่านมา

    bwege tu

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 2 วันที่ผ่านมา

    HUO NDO MWISHO WAKO WADANGANYE HAO MATAHIRA WASIO JIEREWA

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u 2 วันที่ผ่านมา

    Msigwa wewe unafanana na mwanamke anayeachika na kuanza kutoa siri za ndani hata ccm asikuhusishe siri za chama ipo siku tena utatoka nje tena na kuanza kusema siri za ccm, wewe huaminiki hata kidogo ni mda wa ccm kuchukua tahadhari

  • @RiderKiloleli
    @RiderKiloleli 2 วันที่ผ่านมา

    Wat tumetok mbar san

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 2 วันที่ผ่านมา

    Msukuma ni msomi kuliko msigwa

  • @brownjvmtakimwa5586
    @brownjvmtakimwa5586 3 วันที่ผ่านมา

    Awo mavi

  • @yohanecchanga
    @yohanecchanga 3 วันที่ผ่านมา

    Hongereni sana na Mungu mwema awabariki

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 3 วันที่ผ่านมา

    Ni afadhali kumsikiliza kuku aina ya JOGOO akiwika atakusaidia kwenda na wakati , kuliko hawa waumwa njaa wa vyama vyote .

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 3 วันที่ผ่านมา

    Ivi kati ya msigwa na josephu msukuma nani mwenya akili,,

  • @user-bl3go5yr8u
    @user-bl3go5yr8u 3 วันที่ผ่านมา

    Maigizo haya ifike wakati tufanye vitendo ili adabu iwepo

  • @user-bl3go5yr8u
    @user-bl3go5yr8u 3 วันที่ผ่านมา

    Furahini kwa shibe ya muda mfupi nchi inaenda hii

  • @user-bl3go5yr8u
    @user-bl3go5yr8u 3 วันที่ผ่านมา

    Utakuwa namajigambo na amani hapo ulipo tu,ila ukitoka hapo huna amani nje na ndani ya nafsi yako

  • @user-bl3go5yr8u
    @user-bl3go5yr8u 3 วันที่ผ่านมา

    Hameni sana namponde sana Chadema,ila ukweli utabaki palepale ccm ndiyo inayofanya maisha magumu uugue au ufiwe ndo utajua unadaiwa hata maiti ya babako au mamako au yoyote yule kututoa mochwari

  • @user-bl3go5yr8u
    @user-bl3go5yr8u 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu anawaumbua wanafki hizo kadi Chadema hatuzitumii muda sana uliopota

  • @MutalemwaBiashara
    @MutalemwaBiashara 3 วันที่ผ่านมา

    Musigwa mbona utwambii alingumu turionayo na kingine unasema utarii utwambii faida yabafari kigine wesilituganya kumbe na wewe undanganywa lakini ujue nijaa tu iyo inakusubua

  • @maligiretongora3333
    @maligiretongora3333 3 วันที่ผ่านมา

    DP world imeanza kazi. Vita imeanza na Bado.

  • @AlphaxardMRusweka-jr1wi
    @AlphaxardMRusweka-jr1wi 3 วันที่ผ่านมา

    Hao watakuwa na mgawo, wa balance ya DP world

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 3 วันที่ผ่านมา

    MwenyeziMungu amlaze mahali pema Nelson Mandela, alitokea kwenye familia Bora naalikuwa naelim nakazi nzuri lakini aliacha Raha zote akaamua kuwapigania masikini naakakubali kukaa Gerezani ili taifa likombolewe

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 3 วันที่ผ่านมา

    Angeshinda uchaguzi Kanda ya nyasa asingehama

  • @OswadSanga-hb2vi
    @OswadSanga-hb2vi 3 วันที่ผ่านมา

    Muondoke tu2 wanafiki nyinyi

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg 3 วันที่ผ่านมา

    ujinga

  • @ErastoMaridadi
    @ErastoMaridadi 3 วันที่ผ่านมา

    Njaa kali

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 3 วันที่ผ่านมา

    Hapa ndo Rowasa atakumbukwa sana kwa heshima aliyoiacha Ccm na chadema

  • @RajabuKibwana-ol4ud
    @RajabuKibwana-ol4ud 3 วันที่ผ่านมา

    Msigwa oyeeeeeh

  • @Edger-bn2mt
    @Edger-bn2mt 3 วันที่ผ่านมา

    Watajuwa hawajui hyo ni yke

  • @user-ue2nz3vc4j
    @user-ue2nz3vc4j 4 วันที่ผ่านมา

    Mbowe siri zako zasemwa hadhariani huku nenda mahakamani mhehe atakumaliza kisiasa huyu...😂😂

    • @obinasimbeye1750
      @obinasimbeye1750 2 วันที่ผ่านมา

      Hamna kitu kwa mhehe huyo anasubiri uteuzi tu hapo. Hajajua watu wanataka habari za maendeleo anadhani kusema watu ndio mtaji amekwisha Bora aanze kumfagiria mama amkumbuke kwenye ufalume. Wake kuliko anachokifanya leo, wakati alipokuwa anakula alikaa kimya

  • @AlphaxardMRusweka-jr1wi
    @AlphaxardMRusweka-jr1wi 4 วันที่ผ่านมา

    Mbona huko uliko kwenda ni saccos ya watu Fulani tu wapwani,,wenye kufikiri hawababaishwi ,ngoja inyeshe tuone panapovuja

  • @AllanLyombile
    @AllanLyombile 4 วันที่ผ่านมา

    Msigwa,Msigwa,Msigwa ni wewe au ni mwingine? ama kweli tamaa ya pesa ni chanzo cha mabaya yote, vipi uliacha uchungaji?

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 4 วันที่ผ่านมา

      Hakuna cha tama wala och nini kawachoka masacos huku kuna maendeleo kwenu kuna matusi hakuna sera 🤣🤣🤣🤣

    • @AllanLyombile
      @AllanLyombile 4 วันที่ผ่านมา

      @@halimamasai2234 Ukichukuwa umri wa nchi tangu ipate uhuru mpaka sasa ukalinganisha na hali ya maendeleo ya nchi ilivyo havilingani hata kidogo,labda mtoto wa dalasa la chekechea unaweza ukamdanganya kuwa kuna maendeleo yamefanyika.

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 4 วันที่ผ่านมา

    Ha haaaaaaaaa Umepasua jipuuuuu

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 4 วันที่ผ่านมา

    Safi sana mh Msigwa

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 4 วันที่ผ่านมา

    Wezi wa kura

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 4 วันที่ผ่านมา

    Mkizidi kumzungumixia mnampa kiki.Mwacheni abate hko mwishoe atafifia kama walivyofifiia wengine.Ccm nichama kinajua adui naasie adui.Hopo wanampamba tu ,aombe mama amwonee huruma apewe ukuu wawilaya.Nasari yko wapi sasa.Alikuwa anawaka akiwa chadema,kaenda ccm akajikuta Kawa mtoto mdogo.

  • @StellaKugomwa
    @StellaKugomwa 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu awe nanyi katk msimu unaokuja❤❤❤❤❤

  • @user-ww3gh4nk7e
    @user-ww3gh4nk7e 5 วันที่ผ่านมา

    izo Rita mbona zinachanganya