Ila Mimi naona Mungu tumpe nafasi ila kama Kuna mkono wa mtu wa kishetani Na Mungu ampe adhabu inayo staili Haina kutubu mana ametuferisha Watanzania wengi AMINA.
Makatili na wampambe wawo wamezulumu taifa la TZ na watz lakini Siku yakiama ambao inakaribia kila aliosika namauaji wa Hayati Magufuli atajitetea mbele yamungu yalale Salama hapo alipo jembe la watz amen
Hakika hayati Rais Magufuli ameibadilisha sana nchi yetu , ameitendea haki Tanzania, wananchi tulio wengi tulimpenda sana Rais wetu Magufuli, hakika bado Tunalia sana , alimpenda Mungu, aliipenda nchi yake na alitupenda sana wananchi wake, nani kama Magufuli? Moyo unauma sana. Ndani ya miaka 5 tu ya uongozi wake maendeleo ya nchi ni kama miaka 20. Je angefika miaka 10 hakika tungefika mbali,
Zote kalii Sana Sana ya dar lkn muonekano zote nzuri mnoo na nmependa Sanaa kuwpo Kama Moll kila stand inajitosheleza na kila kitu mtu akifika anawza kubook hotel akalala akanunua anaxhotaka apo apo yan iko powa😍😍the kila mwaka ilikua kinatoka kitu naimani In Sha Allah tutajenga vingi zaid kwa muda mchache na imara
Kizuri kweli hakidumu ,,Sasa hv Hela imerudi ilikotoka ,,,ila hata mama anapambana sana tumpe mda ,,,maana walianzisha wote na yeye anamalizia ujenzi uliokuwa bado haukukamilika ,,tuna viongoz wazuri sema tunataka matokeo ya haraka sana
@@kabwelasutiviraka4765 Kwan alotoa Hela zake mfukon Hela zlikua za watanzania huo ulikua wajibu wake kama kikwete alivojenga shule za kata Nchi nzma xo usiwe na ushabiki na kiongozi Fulani viongozi wote walopita wamefany meng Mazur
@@thomasbutingo17 hamna chochote fisadi Kikwete na zero brain huyu bibi tozo, JPM amefanya makubwa sana na kazi zake ziko kila sehemu hamuwezi kupoteza legacy yake! Yule mwanamapinduzi aligusa kila sehemu alijenga kila sehemu , ona uongozi wa ovyo wa muimba taarabu hamna chochote cha maana na hamna mradi wowote wa maana atakao uacha kama legacy yake
Tutakukumbuka kaka maguu kwa utumishi wako uliotukuka Leo hii imebackia magofu akuna kinacho endelea zaaid ya rushwa kila kona mbaya zaid kaka magufuli kuna ili jeshi LA polisi uchwara wanapokea rushwa bila adabu bila hofu wanakamata pikipiki za watumishi wanaenda kuwatoza faini za kijambazi faini 75000 upewi risiti wanachofanya wana record kwenye dafitari jioni wanakuja kugawana maeneo ya ana togo
As a Kenyan this is the best in East and Central Africa.
Magufuli alifanya kazi nzuri sana 🙏😍🥰🥰😘😘
Magufuli tutakukumbuka daima ungekuepo hivi vitu nakwetu tungevipata.mungu ailaze roho yako mahali pema namwanga wamilele ukuangaze amina.
We ukowap
🎉
johar matawa
Ila Mimi naona Mungu tumpe nafasi ila kama Kuna mkono wa mtu wa kishetani Na Mungu ampe adhabu inayo staili Haina kutubu mana ametuferisha Watanzania wengi AMINA.
zote nnzuli sana mungu akulaze mahala pema mzee wetu joni pombe magufuli tutalukumbuka daima mzee wawanyonge
Magufuri mungu ampe pepo kbsa
Mwenye ndoto alilala na ndoto yake pengine angekuwepo tungekaribia kufika Ile nchi aliyokuwa akiota sikuzote endelea kupumnzika kwa amani jembe 😢😢
Ya dar na mwanza mashallah ❤🥰🥰🇴🇲👌
We si wa mwanza kama mm
Mungu akutunukie vizuri DJP MAGUFURI
Makatili na wampambe wawo wamezulumu taifa la TZ na watz lakini Siku yakiama ambao inakaribia kila aliosika namauaji wa Hayati Magufuli atajitetea mbele yamungu yalale Salama hapo alipo jembe la watz amen
waooh kazi iendelee zote zuri mashallha
Magufuli hakika alifanya kazi!!
Magufili juu"ungelikuepo Tz ingekuwa ulaya" pumzika kwa Amani baba"sifa zikufikie huko uliko"
2mpoteza mtu mzima kabisa afrika nzima
Daaah magufuli tutamkumbuka milele sie wananchi katutendea mengi mengi saana 🇹🇿
Respect JPM pumzika kw amani baba
Salute kw anko magu
Alikuwa raisi wa afrika mzee wetu magufuli lala salama tutakukumbuka kwa mengi uliyoyafanya
Wewe urie Andra tarifa hii umetukumbusha mbali sana
1.stand ya magufuli mbezi
2.stand ya nane Dodoma
3.stand ya nyegezi mwanza
4.stand ya morogoro
5.standi ya nyamhongoro then katavi inafata mwisho
Miaka michache Mambo makubwa
Uhakika mzee magufur mungu amlaze mahali mema peponi
Hakika hayati Rais Magufuli ameibadilisha sana nchi yetu , ameitendea haki Tanzania, wananchi tulio wengi tulimpenda sana Rais wetu Magufuli, hakika bado Tunalia sana , alimpenda Mungu, aliipenda nchi yake na alitupenda sana wananchi wake, nani kama Magufuli? Moyo unauma sana. Ndani ya miaka 5 tu ya uongozi wake maendeleo ya nchi ni kama miaka 20. Je angefika miaka 10 hakika tungefika mbali,
1,mbezi maguful. 2,nyengez mwanza zinatish San
Sitendi ya dodoma ni ya pili ya kwanza ya mbezi
Magufuli bus terminal ni baba lao in Tz
Huyu baba kweli tutamkumbukaa
JPM 🙏🏽
Jpm mbez namba moja msamvu namba mbil
Huyo ndio anko magu r I p
ukwel Mwanza imependelewa sana Ina stend mbili nzr balaa
Tutampata wp mtu kama huyu?
RIP JPM😭😭😭
JPM JPM JPM JPM JPM JPM JPM JPM JPM JPM forever
Magufuli ndo no one aipingwi tz
Mungu awalaani woote wlohusika na kifo xha jembe letu" Tanzania yetu ingekuwa ulaya!"woote wafe kifo xga aibu
Mungu Mkubwa amlinde sana magufuli nawazazi wangu wote
Zote kali bt msamvu top tukiacha masiaara
Tatizo msamvu ni ndogo
Magufuli terminal
Mhhhh wa.moro tunajulikana tu
Moro ndo home.
Zote nzuri
Msamvu aiseh babalao mana ni ndogo ila ina raman kali sana ni mfano wa meli
Kali ya dare s salaam
Ya kwanza stendi ya magufuli Terminal bus
Ya pili Nyamhongolo Terminal bus mwanza hizo ndo stend kali kwangu
Mwamba jpm
Yeees, 👍
Kizuri hakidum hakika
AmakweliTanzania imepigahatua hongerajohnpombe
Kazi ya Mungu itukuke kwa mtumishi wake JPM.
ndyo ivo mungu kampenda zaidi
1.mbezi 2.nyegezi mwanza 3.Nyamohongoro mwanza
Hpn nyamhongolo ni nzr zaid ya nyegez mara mbili
@@thomasbutingo17 nyegezi ilikua bado haijaisha vizuri Ila niatari wewe!
Kwa kweli mungu ampe nguvu Mweshimiwa mama samia kazi ni kubwa miji lnapendeza.
Mpuuz nn stend kajenga Bibi yenu hiyo? Au unataka cheo lkulu🙄🙄🙄kamalizia Kaz hiyo
@@rehemaabdullah7606 msamehe alikuwa amesinzia katoka usingizin na kucoment bila kuelewa anachocomment
daaah ama kwer bb wa afric
Kweli si Kila pombe ni kileo..pombe zingine ni nguzo za nchi
Magufuli buss terminal ndo mpango mzma
Magufuli Tanzania alikua ameiiinua haki ya mungu amulide apumuzike kwa amani
Mwanza wanabahati sana Terminal stand mbili zote zipo ndani ya Jiji
Ndo maana likaitwa jiji la miamba the rock city
si kwenu lakini
Hakika mimi ndiye aliyenifanya nipige kura kwa mara ya kwanza magu bado tunakuenzi ilisema tutakukumbuka kweli yametimia
Zote kalii Sana Sana ya dar lkn muonekano zote nzuri mnoo na nmependa Sanaa kuwpo Kama Moll kila stand inajitosheleza na kila kitu mtu akifika anawza kubook hotel akalala akanunua anaxhotaka apo apo yan iko powa😍😍the kila mwaka ilikua kinatoka kitu naimani In Sha Allah tutajenga vingi zaid kwa muda mchache na imara
Kizuri kweli hakidumu ,,Sasa hv Hela imerudi ilikotoka ,,,ila hata mama anapambana sana tumpe mda ,,,maana walianzisha wote na yeye anamalizia ujenzi uliokuwa bado haukukamilika ,,tuna viongoz wazuri sema tunataka matokeo ya haraka sana
@@petromartini7349 mjnga huyo
Sitamsahau mwamba
magufuri ulifanya kazi kweri
Bariadi - Simiyu
Humu ndo alimokua anapeleka pesa magu pesa ulifanyabkazi na hatumdai chench
Maboresho ya mazingira tafadhali kwenye stendi tunaomba, kama vitalu vya maua na miti kama ilivyo kwenye viwanja vya ndege
Hakika tuendelee kumuenzi Baba Magufuli amefanya mengi Kama mwanadamu wengine hatuwezi
RIP Hon.Dr.JPM
Kwanini Nyamhongolo na Nyegezi uziunganishe wakati ni Stendi mbili zinafakanya kazi tofauti
Magufuli Bus Terminal yakiume💚💚💚💚
Sumbawanga
1. Stend ya maguful mbezi 2.Nyamhongolo Mwanza 3.Dodoma stend 4.Nyegez stend Mwanza 5. Msamvu stend Morogoro 6.Stend ya katavi.
Stendi ya Katavi haiifikii stendi ya Sumbawangai
Zote kazi za JPM na vitu vizuri Tanzania ya mavi kunuka mtaviona nchi jirani bibi tozo hamna kitu hapo
@@kabwelasutiviraka4765 Kwan alotoa Hela zake mfukon Hela zlikua za watanzania huo ulikua wajibu wake kama kikwete alivojenga shule za kata Nchi nzma xo usiwe na ushabiki na kiongozi Fulani viongozi wote walopita wamefany meng Mazur
@@thomasbutingo17 hamna chochote fisadi Kikwete na zero brain huyu bibi tozo, JPM amefanya makubwa sana na kazi zake ziko kila sehemu hamuwezi kupoteza legacy yake! Yule mwanamapinduzi aligusa kila sehemu alijenga kila sehemu , ona uongozi wa ovyo wa muimba taarabu hamna chochote cha maana na hamna mradi wowote wa maana atakao uacha kama legacy yake
@@kabwelasutiviraka4765 Swali je hzo pesa alitoa mfukon mwake? Huo ni wajibu kama Rais lazm afanye ivo
Dah mzee halpambana
Magu alikuwa Mtanzania sio Mwanasiasa
The best President in Tanzania
Respect JPM
Hata ya SINGIDA mkeka wa hatariii!
Stand ya Ramadi hamjaiweka hapo no nzuri sana
Ahsante 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Namba 1 nikali sana
nyegez send inaongoza
Daima tutakukumbuka ila sita sahau pindi umenivunji nyumba yangu bira maripo ubungo pindi wewe ni rais
Tutamkumbuka daimaaa
Make a video comparison between beautiful city DODOMA AND MWANZA , ARUSHA
Unachekesha wew mwanza ni jiji lenye hadhi nafasi ya pili tanzania usiilinganishe na hivyo vijiji
Aic nashindwa hata kuchagua zote kiwango juu bg up magufuli
Magufuli hatumsahau maishani katuachia kumbukumbu kubwssmnoo
Magufuri sitndi
Magu alifanya kaz, sjui kwasasa, samia kafanya nn?
Pumzika kwa amani kazi ulifanya baba magufuli
Moro Town 🔥🔥🔥🔥
Mwanza kaka nyegez
Magufuli ndie raise peke kwa upande wangu Bado sijaona wa kufanya nae
❤❤❤❤❤❤
1 magu
2 Nyegezi
3 nyamongolo
4 msavu
5 nane8
Waooo
Stend ya Singida Ni nzuri Sana , Lakini hapa haijawekwa
Tatizo haina jengo la abiria
Kile nikituo cha mabasi nasio stendi..... Stendi ndo hizo ulizotajiwa hapo
Hakika Magufuli alituweka mahali pa kuonekana katika Afrika na duniani kimiundo mbinu. Je stand ya Njombe iko namba ngapi?
MAGU hoyeeeeeee
Fedha hip zilitoka wapi
Moshi Kilimanjaro ipo ndani
Ya kabind mbona haipo
Bado na ya Njombe
Dar stand ya magufuli ndo kali
Dar mwanza morogoro
Siion bariad stand
Rest in Peace JPM

Mbezi