ROBOTI KUBWA LILIVYOMPELEKEA RAIS SAMIA KIFURUSHI CHA 5G

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ส.ค. 2023
  • ROBOTI LILIVYOMPELEKEA RAIS SAMIA KIFURUSHI CHA 5G
    www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 781

  • @SophiaMnguyu-ob4gh
    @SophiaMnguyu-ob4gh หลายเดือนก่อน +2

    ALLAH atunusuru huu ni mtihan wala sio neema ,masanamu yamefika Tanzania , innalillah wainailaih rajiun,yarabii tunusuru na huu mtihan😭😭😭

  • @user-fi7tg6ow7r
    @user-fi7tg6ow7r 11 หลายเดือนก่อน +35

    Hii Dunia yakustajabisha hapo itafikia watuwataondolewa kwenye Imani yakweli Na kuanza kutumikia masanamu Allah atunusulu

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 11 หลายเดือนก่อน +2

      ndio maviongozi yakiislam ya kiafrica yalivo yamejaa ushetan tu sasa hapo watoto wataanza kuwamin masanam nasio Mungu

    • @laudadeusredemptorysidinda2750
      @laudadeusredemptorysidinda2750 11 หลายเดือนก่อน +1

      Acheni ushamba aise

    • @laudadeusredemptorysidinda2750
      @laudadeusredemptorysidinda2750 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@aishaalbalushaishabalush8291unaijua vizuri Dubai wewe, huko ndo kuna marobot ya kila aina, acha ushamba

    • @hamedhabsi2752
      @hamedhabsi2752 11 หลายเดือนก่อน +2

      Unasumbuliwa na ushikirina akili mwako. Tatizo jingine tembea kidogo nje ya nchi uone Dunia. Kuna Mambo zaidi ya hayo.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 11 หลายเดือนก่อน

      @@hamedhabsi2752 huko unaposema kunamambo zaid ya hayo hakuna raiya anaelala njaa rabda apende mweyewe kutokula sasa tanzania robot la nini wakat wanainchi hawana hata ajira wanao ajiriwa watoto na family za viongozi mnapenda kufananisha mavitu bila kufananisha serkal inawasidia kiasi gani wanainchi woote wasio na ajira ? unadhani hatutatembei hadi tuone nijambo jema kwa tanzania ? kwanza unapopataja wanainchi wao wanalishwa na serkal zao ndio maana hata kazi wavivu kufanya sasa tanzania upeleke robot lakutumia mabillion ya pesa wakat watanzania wananguvu ya kazi zile anazozifanya robot tena wao wanafanya kwa mshahara mdogo tu huo ni ujinga ulipitiliza maji shida umeme mgao hayo mabillion waliolinunua hilo robot si wangeongeza miundo mbinu mnaajiri robot wakat wanainchi wanadhiki na shida ya kazi yoyote iwe ngumu au nyepesi tena kwa mshahara mdogo kwa mwezi nasio mabillion kwa wek tumia akili nasio matako

  • @magretmilla6663
    @magretmilla6663 11 หลายเดือนก่อน +7

    Imetisha inchi yetu Tanzania mungu ailinde

  • @rabanphotostudionyakanazi_4115
    @rabanphotostudionyakanazi_4115 10 หลายเดือนก่อน +4

    Asante Sana Media ya wasafi Tanzania.tuko nyuma yenu.

  • @JumaMuha-vj3cl
    @JumaMuha-vj3cl 27 วันที่ผ่านมา

    Hongera Mama yetu Kwa kazi nzur unayo tufanyia Watanzania Mungu Akurinde Amina

  • @agneskabalika800
    @agneskabalika800 10 หลายเดือนก่อน +15

    Siku za mwisho maarifa ya mwanadamu yataongezeka sanaa

    • @Mariamumwihasi
      @Mariamumwihasi 9 หลายเดือนก่อน +1

      Nakukubali usemi wako

  • @AsiaMwazembe
    @AsiaMwazembe หลายเดือนก่อน +2

    Kweli ni neema au jaman eeeeemwenyez Mungu tunusuru kwa kweli

  • @user-vc8cc2pt7n
    @user-vc8cc2pt7n หลายเดือนก่อน +1

    Yani hii nchii ni ya ajabu sana haya mambo hata mwenyezi mungu hayamfurahishi hata kidogo ndio mana nchi inakuwa na matukio ya ajabu ajabu sana Yana mudhi sana mwenyezi mungu naomba wote walishiriki huu upuzi Ali asisi hili jambo mwenyezi mungu utakua namna ya kumhukumu yalabi

  • @racheljoseph9402
    @racheljoseph9402 หลายเดือนก่อน +5

    Khaaaaa😢😢😢😢 ndio tumefikia huku kweli Ee Mungu tuteteee acha mafuriko yaje tu R.I.P MY PRESIDENT JPM nitakukumbuka kila siku ungekuwepo usingekubali hili dude lije

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr หลายเดือนก่อน

      😂😂😂nacheka kama mazur Yan mtihan

  • @yasinjumahamis6267
    @yasinjumahamis6267 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu atunusulu nahizi laanaa ushetani umeanza kuzidi hizo zote ninembo za shetwani

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt หลายเดือนก่อน +1

    Allah akulinde

  • @user-vc8cc2pt7n
    @user-vc8cc2pt7n หลายเดือนก่อน

    Hakuna mtumishi wa mungu utakae msikia wa shekhe hapo nipo hapa njaa mby sana amli za mwenyezi mungu zinavunjwa wao wameka kimya subhuuhaanalah

  • @AgnesLinus-vb9uj
    @AgnesLinus-vb9uj หลายเดือนก่อน +1

    Mungu tusaidie tunaangamia ngoja siku awatoe meno mtakaa sawa

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 11 หลายเดือนก่อน +33

    Nacheka sana! Nchi imekuwa ya vituko kila cku! Rip JPm!

    • @maulidipingika4452
      @maulidipingika4452 11 หลายเดือนก่อน +2

      Ukamufufue

    • @joachimbaldwin8511
      @joachimbaldwin8511 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@maulidipingika4452mpo WENGI sana hata sikushangai wewe ukiwa mmojawàpo wanaofurahia haya màmbo yanayoendéléa na kúibuka kila síku nchiñi

    • @user-pj8ed9kn6g
      @user-pj8ed9kn6g 11 หลายเดือนก่อน

      SAS magufuli angefanyaj looh

    • @user-nh4mz2ol9h
      @user-nh4mz2ol9h 11 หลายเดือนก่อน

      Huna maana ww kwahyo huu ni ujinga angefanya magufuli ndo lingekuwa la maana?

    • @user-nh4mz2ol9h
      @user-nh4mz2ol9h 11 หลายเดือนก่อน

      Mjinga ww muua watu ndo unamkumbuka

  • @MadamOrida
    @MadamOrida หลายเดือนก่อน +2

    Eeeee mungu naomba utusaidie😢😢😢

  • @AmidoJeni
    @AmidoJeni 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo pamoja nasi wapenzi wa Mungu

  • @jarnskorelly464
    @jarnskorelly464 11 หลายเดือนก่อน +15

    Jamani kweli Dubai imeipania Tanzania

  • @Manzabei
    @Manzabei หลายเดือนก่อน +3

    Sijapenda maroboti

  • @lidiasilwimba6759
    @lidiasilwimba6759 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu simama mwenyewe.

  • @bagenihuduma1569
    @bagenihuduma1569 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Teknoloji

  • @SerenePyramids-um4ku
    @SerenePyramids-um4ku หลายเดือนก่อน

    Pole pole maisha yakwenye film yanaanza kutokea binadamu anajifukuza mwenyewe ndio imeanza ss watazidi kuyabolesha mpk yawe na uwezo zaidi ya binadamu

  • @mesiamatheo2230
    @mesiamatheo2230 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mungu tu...

  • @fadybeatz
    @fadybeatz 11 หลายเดือนก่อน +17

    TUMEPIGWA NA KITU KIZITO HATUNA ROBOTI HAPO AYO NI MAVAZI TU😂😂😂

    • @ibrahimshilinde6129
      @ibrahimshilinde6129 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kuandaa maigizo haya utaambiwa matrion ya pesa

    • @hamismabula9934
      @hamismabula9934 11 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 11 หลายเดือนก่อน

      Roboti alikuwepo wakati wa mwendazake og😅😅😅

    • @victorgerryson2695
      @victorgerryson2695 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂amin

  • @IddyNdudy
    @IddyNdudy หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana wabunifu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt หลายเดือนก่อน

    Akulinde allah raisi wetu

  • @user-lx8nl8hh3f
    @user-lx8nl8hh3f หลายเดือนก่อน +1

    Dah! Hii sio nzuri jamani tunapotea

  • @user-kd6jt5qt9o
    @user-kd6jt5qt9o 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mhe. Rais hongera Sana kwa hatua kubwa na maendeleo ya Hali ya juu, Mungu akulinde .

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 หลายเดือนก่อน

      Utakapokosa ajira mpongeze tena

  • @naimakawina4276
    @naimakawina4276 หลายเดือนก่อน +1

    Astaqafullah, mwenyez mungu atulinde na vizaz vyetu hii ni hatari vinaanza hivi hivi

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 10 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mama yetu

  • @user-mo4ce5sq6z
    @user-mo4ce5sq6z หลายเดือนก่อน +2

    Kodi za waTanzania matumizi yake yamefikia hapa.Mungu tuhurumie

    • @AngelBlack-uf1tu
      @AngelBlack-uf1tu 14 วันที่ผ่านมา

      Ni ujinga sana watu wanakufa hospital kwa kukosa fedha ya matibabu ,kaka inaumiza kina dada amefariki last year kwa kukosa elfu 30tuu na akapoteza maisha kwa kukosa kuhudumiwa ,(amana hospital)

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mnaojipanga kusoma kwajili ya kuingia bandalini mmeona hayo tafuteni kazi nyingine kbs

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 11 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah anatisha ningekutana nae ningekimbia wallah

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde una baya mama

  • @eatlawe
    @eatlawe 27 วันที่ผ่านมา

    Robot ana kichwa cha shetani! Haya njia ya mpinga Kristo inaandaliwa!

  • @Wilky254
    @Wilky254 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nafuatilia kutoka Kenya... Kazi nzuri pale 😅😅😅😅😅🎉

  • @user-xm5xg1tt6d
    @user-xm5xg1tt6d หลายเดือนก่อน

    Inna lilahi wa innailayhi rajiuun

  • @januaryjohn2014
    @januaryjohn2014 11 หลายเดือนก่อน +2

    Noma Sana

  • @DaifridyMaembe
    @DaifridyMaembe หลายเดือนก่อน

    mungu tusaidie uyuraisi anatutisha tanzania atunavita lakini tumeletewa roboti sijuilanini jaman

  • @shadrackyavin9991
    @shadrackyavin9991 หลายเดือนก่อน +3

    Haya maroboti yanafaa kulima Sana sio kuaa ofsin kuziba riziki za vijana chunguzen Hilo tutalewa na vitu vingene sio litakuja liwageuke mh me simo 🙄🙄

  • @RehaniKharidi-st4oe
    @RehaniKharidi-st4oe 11 หลายเดือนก่อน

    Viva raisi Samia SAAAFI Sana kwakweli

  • @joanimali981
    @joanimali981 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hvo ndivyo wagonjwa watauliwa wth that microchip robot😂😂😂😂

  • @officialjclever9879
    @officialjclever9879 11 หลายเดือนก่อน +4

    R,I,P JPM tumekumic

  • @TabukidebweKidebwe
    @TabukidebweKidebwe 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mmh inauma sana kwa sisi watanzania

    • @AgnesNjau-iq3gf
      @AgnesNjau-iq3gf หลายเดือนก่อน

      Na wengine Bado kazi hatuna

  • @NchengaKafiti
    @NchengaKafiti หลายเดือนก่อน

    7:38

  • @ChristopherArego
    @ChristopherArego หลายเดือนก่อน

    400000

  • @kanikiommy5167
    @kanikiommy5167 11 หลายเดือนก่อน

    My beautiful president

  • @Msichoke
    @Msichoke หลายเดือนก่อน

    Kwelii

  • @sammymdemeka7937
    @sammymdemeka7937 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri tupunguze gharama za bando wakulima tuongeze Kasi ya kujifunza kilimo tija ili tuongeze uzalishaji Bado Mabwana shamba na Mabibi shamba ni wachache sana

  • @user-ky1ni2ly9r
    @user-ky1ni2ly9r หลายเดือนก่อน +3

    Wangapi mlio ona moto kwa hio roboti to alama ya freemason??????? Kama umeona nipe like tujuane

  • @fadhilhimid2776
    @fadhilhimid2776 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Dr Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano pamoja na Dr Jakaya Kikwete Rais Mstaafu.

    • @AlexDitto-qz1hn
      @AlexDitto-qz1hn 10 หลายเดือนก่อน

      Wazazi wako

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 หลายเดือนก่อน

      Kwa lipi? Kwa ajili ya robotic. Ingekuwa vizuri kama hali ya maisha ingekuwa nzuri.

    • @AngelBlack-uf1tu
      @AngelBlack-uf1tu 14 วันที่ผ่านมา

      Acha upuuzi brooo ,

  • @user-vc8cc2pt7n
    @user-vc8cc2pt7n หลายเดือนก่อน

    Mm nalia na mashekhe wa Tanzania kweli hii ni sawa??? Au hawaoni Hali ya kuwa wanaojua kitabu kitakatifu kimeleza Nini juu ya masanam au ndo wanaona aibu kusimamia haki na maelezo ya mwenyezi mungu ila wanakubali msimamo wa wanadam wenzao kweli mashekhe mpo mtaenda kumjibu mbele ya mungu nyie kaeni kimya tu

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 11 หลายเดือนก่อน +13

    Kwa hio hizo hela za bandar mmnunua robot kwer hii nchi inaliwa😢

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 หลายเดือนก่อน

    👍👍👍👍💯🙏🙏🙏🙏🙏🙏👍👍

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mnatumua robot ili watanzania wakose kazi Kuna very intelligent girls good in mathematics and physics wangefanya hiyo kazi! Mnatumua robot! Tanzania bado kwenye kufikiri

    • @lightnessgamasa6039
      @lightnessgamasa6039 11 หลายเดือนก่อน

      😮 kwakweli namimi nimejiuliza ,itakuaje??

  • @amanimlengwa9202
    @amanimlengwa9202 11 หลายเดือนก่อน +5

    Kwenye Airtel Kuna mkono wa serikali ndo maana huduma za internet ziko kiwiziwizi.

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 หลายเดือนก่อน +1

    Yann yote hayo mtakuja kuleta majini na mashetani wa vichwa saba😢😢😢ni huzuni kwa kweli

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 3 หลายเดือนก่อน

    Mama upo makini wewe kiongozi ikulu yako miaka 100%nimependa uongozi wako sanaa mama

  • @EM2916
    @EM2916 10 หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa

  • @fintanmkesha1077
    @fintanmkesha1077 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hovyo kabisa

  • @user-vc8cc2pt7n
    @user-vc8cc2pt7n หลายเดือนก่อน

    Hapo wamesha sahau utufu wa Allah na rehema zake ila roboti na tecknologia ndio wameona zinafa zaidi ila Allah yupo watakuwa na ujasili wa kumjibu

  • @levygasper7438
    @levygasper7438 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mama samia ni comedie wakutosha😂😂

  • @franktangeki9342
    @franktangeki9342 11 หลายเดือนก่อน +6

    hayo Maroboti ndiyo yatakuwa yanafanya kazi Bandarini baada ya DP WORLD kukabidhiwa Bandari

    • @zuhuramwanafuno1851
      @zuhuramwanafuno1851 11 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂Mbavu zangu😂

  • @LightnessJoel
    @LightnessJoel หลายเดือนก่อน +1

    Mh jamani hiki ni nini Ina maana sisi watu hatuna maana Hadi tuwe na robot Tena mbele ya rais wetu mungu tunusulu na hili

  • @user-vc8cc2pt7n
    @user-vc8cc2pt7n หลายเดือนก่อน

    Haya ndio ya filauni sasa duuuuuu Tanzania tanzania

  • @user-cd4vg2hw6i
    @user-cd4vg2hw6i 4 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏👍👌❤️❤️🇰🇪

  • @focuschimbutuli101
    @focuschimbutuli101 11 หลายเดือนก่อน +2

    Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mungu wangu

  • @adamumkupete7848
    @adamumkupete7848 11 หลายเดือนก่อน

    Ongereni

  • @ashamakwaiya8749
    @ashamakwaiya8749 หลายเดือนก่อน +1

    Sijaelewa jamani likitu la nini sasa hilo,jamani makubwa sijajuwa lqbda ushqmba au makubwa

  • @AmaniLux
    @AmaniLux 10 หลายเดือนก่อน

    Super

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 11 หลายเดือนก่อน +6

    Ndo mara ya kwanza kuona Roboti anajampa😂

    • @ymusic1299
      @ymusic1299 11 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @saidsalim498
    @saidsalim498 10 หลายเดือนก่อน

    Congratulapp

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 11 หลายเดือนก่อน +8

    Mnatuona wa Tanzania nimaboya

    • @AngelBlack-uf1tu
      @AngelBlack-uf1tu 14 วันที่ผ่านมา

      Wajinga sana Hawa tatizo hawajali chochote kuhusu raia

  • @gilbertrutayuga4676
    @gilbertrutayuga4676 11 หลายเดือนก่อน +10

    Moja ya lugha zinazonichefua ni neno duniani. Kwamba tumezoea kuyaona huko duniani Sasa yamekuja Tanzania. Kwa hiyo sisi tuko sayari Gani.

    • @ymusic1299
      @ymusic1299 11 หลายเดือนก่อน

      Hata mm aisee

    • @Reybizo
      @Reybizo 10 หลายเดือนก่อน

      I think we need to thanks thats improvement of technology

    • @ankowaah
      @ankowaah 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@Reybizohakuna improvement yoyte apo ni ya kununua kwa watu iyo

  • @ZakruChikota
    @ZakruChikota หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @catherinecostantino2034
    @catherinecostantino2034 หลายเดือนก่อน

    That horrogram is amazing

  • @jumaamwairo2264
    @jumaamwairo2264 11 หลายเดือนก่อน +13

    Leo ndio naona robot anaumwa, nchi ngumu hii 😂😂😂

    • @madumamaduma8571
      @madumamaduma8571 11 หลายเดือนก่อน

      😀😀😀 , khaaa nimecheka, watu bhana khaaa.

    • @user-wt4gu9gf8l
      @user-wt4gu9gf8l 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂nyie jmn

  • @ombenimilinga3638
    @ombenimilinga3638 หลายเดือนก่อน

    Ngoja nyaya zigusane muone litakavyocharuka na kuwapa mkong'oto

  • @islongprimary147
    @islongprimary147 หลายเดือนก่อน

    national anthem

  • @SophiaMoses-jk4cv
    @SophiaMoses-jk4cv หลายเดือนก่อน

    Jitu lenyw linatisha HV af linawaka moto duh! Rip doctor john pombe magufuli ungekuwepo hy mambo yasingetokea

  • @robartifabiani
    @robartifabiani 11 หลายเดือนก่อน +4

    Tunataka starlink ya Elon musk

  • @issaseif5304
    @issaseif5304 11 หลายเดือนก่อน +14

    Mmmh hakuna robot hapo 😂 mwendo wake tu unajieleza

  • @MohamedLanga-dg4tf
    @MohamedLanga-dg4tf หลายเดือนก่อน

    Waoo

  • @aziziifotera9472
    @aziziifotera9472 11 หลายเดือนก่อน +16

    Huyo nimtu kavaa manguo ya chuma cyo robot

  • @AgnesEphraim-jw6dv
    @AgnesEphraim-jw6dv หลายเดือนก่อน

    Pia watanzania tutateseka sana kazi tutakosa kweli awafanyi aki

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 11 หลายเดือนก่อน +4

    nchi inamambo hii,Lugha ya picha Asante sana mweshimiwa Rais

  • @domisonrichman6499
    @domisonrichman6499 11 หลายเดือนก่อน +3

    Nasisi yanga tutakuja na robot letu siku moja

  • @neemaresourcefoundation8309
    @neemaresourcefoundation8309 11 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani mama yetu analia

  • @bilioneabichwa
    @bilioneabichwa 11 หลายเดือนก่อน +8

    Mbona kama vile mtu huyo, ebu jaribuni kumchapa viboko atasema tu

    • @faiditv5535
      @faiditv5535 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @rahmasoliman489
      @rahmasoliman489 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @user-ws4wo3vi9m
    @user-ws4wo3vi9m 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera mama

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tutaona vituko zaidi lini utaenda kukagua miradi?? Roboti linatusaidia n8ni

  • @DIDASFLIM
    @DIDASFLIM หลายเดือนก่อน

    Duuu mungu tusaidie wenyew wamefanya kitu Cha maana kabisa ila mungu tusaidie

  • @fadhilhimid2776
    @fadhilhimid2776 11 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Raisn

  • @ShaidaAfati
    @ShaidaAfati หลายเดือนก่อน

    Mama Samia maroboti😂😂😂

  • @jovinyJunior
    @jovinyJunior 10 หลายเดือนก่อน

    ❤🎉

  • @RamadhaniAndambike-oq5on
    @RamadhaniAndambike-oq5on 11 หลายเดือนก่อน

    Mnashukuriana tu ahsant msitafu ahsante mhe: rais duh aya nch ya kwenu hii huu ndio wakatiwenu

  • @angle3600
    @angle3600 หลายเดือนก่อน

    Mwisho wanadamu watajua kutengeneza moyo,tutakua hatufi ila wanadamu watapunguza kuzaa.

  • @emmanuelcharles4600
    @emmanuelcharles4600 10 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh!!!! Kazi tunayo

  • @martinalberty8011
    @martinalberty8011 11 หลายเดือนก่อน +9

    sasa mbona linatembea kama limetoka kutairiwa😅😂

  • @efatauroki867
    @efatauroki867 11 หลายเดือนก่อน +6

    Kifurushi Cha 5G ni Cha wenye uwezo jamani doo!

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 11 หลายเดือนก่อน +2

      KAMA HUJUWI MAANA YA 5G BORA UNYAMAZE TU.

    • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
      @yahyamajidyahyahilalal-har8762 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@salimmalaka256itakuwa hajui maana yake 😂😂😂

    • @gustavompemba1781
      @gustavompemba1781 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mkulupukaji

    • @hildamasonda6528
      @hildamasonda6528 11 หลายเดือนก่อน

      Speed ake ni zaidi ya mara ishirini ya 4G speed

  • @veronicamgeni9414
    @veronicamgeni9414 10 หลายเดือนก่อน

    Mamà samia alitaka kulia ❤❤❤