MLIMA KITONGA: MADEREVA WAPAZA SAUTI/ TUNATEKWA, KUKABWA, AJALI/ WIZI WA MAFUTA!/ HAKUNA DORIA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 มิ.ย. 2022
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #kitonga #ajali #wizi

ความคิดเห็น • 97

  • @beatricekipela9100
    @beatricekipela9100 ปีที่แล้ว +13

    Mtangazaji unauliza maswali ya muhimu sana Asante sana 🙏🏼

  • @linussaid9612
    @linussaid9612 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana mdogo wangu unajua kujieleza comfidence.

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 ปีที่แล้ว +3

    Dar 24 tv yenu inakua kubwa sana. Watangaji wenu wapo sawa sana. Ongereni kwenu. Ila serekali apa inabidi pawekwe kituo cha police.

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 ปีที่แล้ว +3

    Subhannahllah poleni sana Allah azidi kuwasimamia

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu ntangazaji nimejiskia DARAJA sana kutuwakilisha..mungu akubariki.kazi nzuri

  • @sharifurashidi3666
    @sharifurashidi3666 ปีที่แล้ว +7

    Mabasi ya abiria apo ndo yanayovunja Sheria yanaovateki nimabasi yote yanayopita njia iyo yanaovateki kinoma Tena balaa yanachomoa sn

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 ปีที่แล้ว +4

    Eti hawawezi kulinda gari lenye mahindi! Kwani hilo gari mwenye nalo halipi kodi halijulikani? 🤔

  • @simonjohn-xm9bq
    @simonjohn-xm9bq วันที่ผ่านมา

    Ninawazo hapo kwa kuakunautekaji naomba serikari iweke urinzi wakutosha au kama inawezekana wange weka hata Kambi ya jeshi

  • @athumankambi483
    @athumankambi483 ปีที่แล้ว +2

    Good job Dar24

  • @ghuhenjasper8666
    @ghuhenjasper8666 ปีที่แล้ว +2

    Kwa mawazo yangu'' barbara hiyo ya kitonga ipanuliwe zaidi ya hapo

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 ปีที่แล้ว +1

    😪watu wa maroli Kwa kweli Mungu awalinde nimefanya Sana KAZI mizani najua changamoto zenu

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l หลายเดือนก่อน

    Jamani ni hatari sana. Hawa madereva wa mabasi wapimwe akili kwa kweli. Hiyo new force jamani Angeua watu

  • @paulmatofali5734
    @paulmatofali5734 ปีที่แล้ว +1

    "Well done dar mpya mnafanya kazi nzuri"

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Barabara ya Kitonga NI balaa Ishugurikiwe

  • @mohdmohd2550
    @mohdmohd2550 ปีที่แล้ว +1

    Duh, kweli ndugu ule mlima wa Chiweta hatari huu wa Kitonga una afadhali, Ila safari zinafurahisha unasoma mengi Cha msingi umakini na kuzingatia malengo

  • @MrCyprian1589
    @MrCyprian1589 ปีที่แล้ว +2

    Safi

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 4 หลายเดือนก่อน

    Mrishaaa ambiwa na viongozi. Msimzungumzie dereva maana dereva hana umhimu kwenye inchi hiiiiii

  • @FaustinaNkwasya-zs2xq
    @FaustinaNkwasya-zs2xq ปีที่แล้ว

    Ni kwer broo

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว

    Huo mlima uchimbwe barabara iwe chini,bora gharama nyingi kuokoa maisha ya watu

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 ปีที่แล้ว +1

    YAKO maenea ktk barabara zetu Kuna mistari mirefu Sana ya kukataza kuovertake na njia inaonekana vizuri kwa uwazi kama mdaula na maeneo kutokea dar karibu na chalinze na kwingine sasa hayo ndio ya Hela Kwa wale wa barabarani pesa mstari, mistari kama hii iangaliwe, zipo alama haziko sawa, mf bumps lkn hamna alama, au alama ya tuta lkn hakuna, ukitokea iguguno singida kuja mizani Kuna SEHEMU alama ya mteremko mkali lkn hakuna huo mteremko. Pia huwa Kuna SEHEMU hakuna vibao vya 50 LKN wanakamta speed, Kwa smart phone

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo kila kona inatakiwa kisheria pawe na kiyoo kile kinachoonyesha pande zote 2, waambieni viongoz wa mitaa waviweke

  • @ezekielloylepayon5042
    @ezekielloylepayon5042 ปีที่แล้ว

    Good dar24

  • @sadikibaruti4733
    @sadikibaruti4733 ปีที่แล้ว

    Mimi naitwa sadiki musa. Ningeomba selikali itafte kipimo chausingi kitakacho Jua Kama dereva ana usingizi. Kiwepo kwenye vituo. Maana ajalinyingi pia usingizi na uchomvu wa madereva.

  • @restutamjuni4739
    @restutamjuni4739 ปีที่แล้ว +2

    Jamani ni atari wapatiwe ulinzi

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 ปีที่แล้ว

    Mungu2 atusaidie maderevaaa

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 4 หลายเดือนก่อน

    Kitonga unaendesha km 60 kweli?. Hiyo barabara ni ya zaidi ya miaka 60

  • @vedastusejengi1169
    @vedastusejengi1169 ปีที่แล้ว

    Huyo dereva ana staili pongezi anazingatia kanuni za udereva nashauri madereva wenzake wamuige

  • @johnmurira5288
    @johnmurira5288 ปีที่แล้ว +1

    Very true,,,, there is a lot of challenge in that mountain kitonga,,, once i came there from Kenya it was so challenged me but i learned more. Love Tz

  • @NasraMichael-cm9sl
    @NasraMichael-cm9sl ปีที่แล้ว

    Mungu awaxaidie

  • @noeljosee8384
    @noeljosee8384 ปีที่แล้ว

    Kamanda anakosea sana kusema hawajibiki kumlinda mtu mmoja mmoja. Kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zake, swala la ujumla halijaongelewa kwenye hiyo sheria. Huyo mtu mmoja unaye kataa kumlinda ndio huenda analipa mshahara wako. Polisi ya Tanzania inasahau wajibu wake.

  • @mejammoleli2325
    @mejammoleli2325 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa mama

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 4 หลายเดือนก่อน

    Mkiwa mitaani mnasema polisi hawatulindi

  • @hamisikisiwa721
    @hamisikisiwa721 9 หลายเดือนก่อน

    Ushauri wangu kitonga .serikali jamani panueni barabarani hapo ziwe hata four ways tu mtaona mabdiliko .

  • @neemamathew7465
    @neemamathew7465 ปีที่แล้ว

    Tatzo apo balabalan ni nyembamba sana,,,ingeongezwa upana,,,,iyo ni kaz ya serikali sasa ,,,,Mungu atusaidie sana

  • @Fundi12345
    @Fundi12345 6 หลายเดือนก่อน

    Barabar ya kitonga ndogo san unapo toka chin gar inakuwa inanguvu inabidi yenye nguvu iende mimi nataka baraba mbili za kupanda hapo kidogo nafuuu tarfik kazi yake hapo iwe kutoa huduma za kusaidi watu waenda fast kwa ukamimlif siyo kucheki spid

  • @dismasmsanganzila95
    @dismasmsanganzila95 ปีที่แล้ว +1

    Nduguyetu alitekwagahapo kafungwa galiikabebwa ikakutwadumila imetelekezwa mzigoumeshushwa

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 ปีที่แล้ว +3

    Eneo la kitonga, Sekenke na mengineyo ni lazima yaundiwe vikosi maalum vya usalama barabarani vitakavyofanya ukaguzi wa magari yatumiayo mapito hayo, mizani za kupima mizigo husika, ratiba za mapito kwa magari ya mizigo au abiria na hata mafunzo ya utalaamu wa kuendesha magai makubwa na madogo katika maeneo hayo kwa madereva wote. Kampuni zipewe jukumu la kulipia kiwango fulani kwa huduma hizo.

  • @vincentayua9435
    @vincentayua9435 ปีที่แล้ว +1

    Ni jukumu la serikali kupanua barabara ili kuwe na wepesi wa kuendesha magari sehemu hiyo

  • @haryanyawu640
    @haryanyawu640 ปีที่แล้ว +1

    Waweke ile bango la barabarani linaloonesha kliomita kadhaaa gari linalotoka mbele ili aweze kuovertake maana basi laa abiria kuvumilia folen ni ngumu ndo ukute kama klm 20 mbele imejaaa malory na mda wakupanda yanakuwa slow kwajili ya kilima serikali ingejiichanga na maana me naamini magar ya mizigo wanalipa ushuru mkubwa tu pia gar likipita njia iyo la mzigo anatoa 10000 mbona hela ya mabango itatosha tu

  • @sadikibaruti4733
    @sadikibaruti4733 ปีที่แล้ว

    Nashauri hapo kitonga pajengwe parking kubwa mbili mwanzo wamlima na mwisho wamlima.

  • @bakarykijazi293
    @bakarykijazi293 ปีที่แล้ว +9

    Askari wanakaa hapo kwajili ya kutafuta pesa,wasongeshe maisha yao lakin sio kwajili ya kumlinda raia

  • @hilaliabousalim2715
    @hilaliabousalim2715 ปีที่แล้ว

    Eti hawawezi kulinda 🌽 wakati ni bidhaa muhimu sana

  • @gmziwandanation555
    @gmziwandanation555 หลายเดือนก่อน

    Home sweet home

  • @noelikilave7874
    @noelikilave7874 ปีที่แล้ว

    Ushauli wangu naitwa noeli kitonga iwekwe utalatibu gar ziluusiwe Kimi kumi kwenye kushuka na kupanda ajali zitapungua

  • @khamiskiandiko2965
    @khamiskiandiko2965 ปีที่แล้ว

    Mimi niwashauri usalama barabarani wekeni utaratibu kwamfano masaa mawili mruhusu magari ya kupanda tu ili yaweze kuovateki na lisaa limoja kushuka tu mnazuia mengine huo nimfano mnaweza kufanya nusu saa kushuka na lisaa kupanda ili barabara itumike kama double rod

  • @MeshackGta-zo7be
    @MeshackGta-zo7be 11 หลายเดือนก่อน

    Bongo jau 🤔🤔🤔✍️✍️✍️⛽⛽⛽⛽

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 ปีที่แล้ว

    Mwakindole unaniangusha kwenye majibu"
    Wewe kama mhandisi ilitakiwa ubuni kama iwe Barabara iwe ni two-way au haiwezekani.

  • @valentinernestkavishe7297
    @valentinernestkavishe7297 ปีที่แล้ว

    Mimi ndo mayunga

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 ปีที่แล้ว +1

    Nliwahi kupandisha Kitonga saa 2 asubuhi nlikutana na roli za kutosha aisee bonge moja la foleni, nipo na crown athlete nikawa naangalia kona na taa za dereva wa roli kuna sehemu kona ikikata kushoto unaona upande wote wa kulia, kama kupo kweupe nlikua natoa nawapunguza kufika Ilula nikapigwa mkono, traffic wanakomaa nimeovertake Kitonga, kila nikijitetea kwamba nlikua naovertake kwa tahadhari zote wapi, ikabid niwaambie tu hiyo fain hailingani na umuhimu wa maisha yangu na nikiowabeba, andikeni cheti tu. Kuna afande mmoja akaniita chemba akasema we tembea pale kitonga kwa gari yako sio kwa kufata foleni, nimeskiliza maelezo yako upo sahihi, ila niache! Basi kibingwa nikakunjua roho nikaamsha

    • @Joseph-lu4yj
      @Joseph-lu4yj ปีที่แล้ว

      umeeleweka, kukaa nyuma ya roli ni hatari kuliko kuovertake

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 ปีที่แล้ว

    Wezi ni hao hao wanakijiji wa hapo.

  • @imanmodern
    @imanmodern ปีที่แล้ว

    Ameitaja Chiweta Malawi waoh nimewahi kufika huko ni balaa

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 ปีที่แล้ว

    Hapafai hapo kuovateki wafungeni wote wanaopita kimbelembele

  • @dastanboda3472
    @dastanboda3472 ปีที่แล้ว

    Tipa fuso kwenye yadi

  • @aminaomaryaliy3226
    @aminaomaryaliy3226 ปีที่แล้ว

    Nimemuelewa mama

  • @ezekiellunyilija2740
    @ezekiellunyilija2740 ปีที่แล้ว

    Unyam san

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 ปีที่แล้ว +2

    Baadhi ya nchi zilizo endelea huezi kuendesha truck zaidi ya masaa 11,na lazma uwe na kifaa kwenye gari kinacho monitor mida huo,na endapo itazidisha muda itakua ni kosa la jinai,na ticket yake ni hela ndefu.Na njiani kuna mzani(scale)weight area lazma upite,truck ipimwe imebeba uzito kiasi gani.So huko kwetu mambo twayafanya sivyo.Kwanza car inspection hazifanyiki

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 ปีที่แล้ว

      🤣🤣nimefanya Sana KAZI mizani ni rushwa Tu

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 ปีที่แล้ว +1

      @@prettyh7509 Mizani ninayo ongelea ni mizani ile ambayo hata anae kupimia mzigo humuoni,ila utamuona kukiwa kuna hitilafu yoyote na ni mzani ambao upo connected straight na computer,halafu sio eneo moja pekee yaani ni kila baada ya miles/km kadhaa lazma utakuta sehem nyingine tena na ni lazma upime.Na usipo pima wewe kama dereva utapewa ticket na kampuni yako pia itapewa ticket.So ni lazma upime maana hata boss wako hatofurahia kampuni yake iwe na record mbaya.Africa mambo ya rushwa ni miongoni mwa vitu vinavyo halibut maaendeleo ya nchi coz haki haitendeki na ndiyo maana matatizo hayato kwisha

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 ปีที่แล้ว

      @@kdloon2030 ndo hyo hyo unayosema derava anapitia sehem ya mzani halaf tunarekodi uzito wa tani alizobeba baada ya hapo anapew risit

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 ปีที่แล้ว

      @@kdloon2030 uko sahihi kabisa tunaendekeza Sana rushwa

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 ปีที่แล้ว

      @@prettyh7509 Huku nilipo ni tofauti sana na huko,huku wasimama kwenye mzani kama mzigo wako uko poa hupewi risiti,green light itawaka then utaondoka,ikiwa bado ipo kwenye red light huruhusiwi kuondoka.Na endapo utakua umezidisha uzito truck yawekwa pembeni na huto ruhusiwa kuondoka. Na kuna kampuni nyengine zina card maalum kabisa,so hizo hua hazipiti kunako mzani.Na endapo ukajifanya muerevu na kupita tuu High way bila kupita kwenye mzani Police atakae kukamata umepita na amekuona waeza kupewa ticket kama 3,moja ya kukiuka sheria,then ya pili ya kwako dereva ambae umekubali kuendesha truck ipo overload na ya 3 ni ya kampuni

  • @allywaziri7913
    @allywaziri7913 ปีที่แล้ว

    Ata iyo foleni inakua kubwa kutokana na uzaif wa Gali baazi Ili liangaliwe upya kwanba Gali zisizo kua nanguvu zikiona foleni kubwa askali wazipumzishe pembeni na zile zenye uwezo zipit

  • @khamiskiandiko2965
    @khamiskiandiko2965 ปีที่แล้ว

    Au ijengwe barabara nyingine upande wa pili yani ng'ambo ya pili ya mlima ili magari yakupanda yawe upande mwingine na yanayoshuka upande mwingine

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 ปีที่แล้ว +1

    Najipongeza nilipita hapo kitonga na kipasso changu najipongeza kwa kweli mwanamke wa shoka!

  • @paschaljohnmwaisumo6180
    @paschaljohnmwaisumo6180 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji umejipanga yani unauriza maswali ambayo yanapoiti kubwa sana kifupi unakipaji sana yani nakupa ofa kuna kitimoto nusu na peps kwamangi uje ukure nitaripa mimi

  • @mrematvbabakoku8336
    @mrematvbabakoku8336 ปีที่แล้ว +1

    Jomba wewe ni dini gani huna imani
    Biblia inasema uzima na umauti upo kinywani mwako.
    Unaaza kukiri kuwa sijapatwa majanga labda wiki2 zijazo.
    Hapo tiyari umeshakubali
    Shetani nae yupokazini. Kasome ayubu 1-6 utaelewa

  • @eastzuuzuu7050
    @eastzuuzuu7050 ปีที่แล้ว

    Uchongwe upunguzwe kona kwani serekali ndio inashindwa na hilo?

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 ปีที่แล้ว

    Hilokweli dogo inabidi barabara itanuliwe namtandao uwe unashika hapo haishiki

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 ปีที่แล้ว

    ila watu wa mabasi tuhurumieni mwe

  • @seifkibaden6297
    @seifkibaden6297 ปีที่แล้ว +2

    Kona 72!!!! Duuh haya mwenyeji wetu asante kwa taarifa

  • @smwansasu8605
    @smwansasu8605 ปีที่แล้ว

    WAACHE KUSAFIRI USIKU LA SIVYO WATAPATA SHIDA. iLE SHERIA YA KUTOSAFIRI USIKU WAO HAIWAHUSU?

  • @bahiyalumelezy3016
    @bahiyalumelezy3016 ปีที่แล้ว +2

    Zijengwe kambi ndogo za jeshi maneno hayo

  • @fredrickmwegole7841
    @fredrickmwegole7841 ปีที่แล้ว +4

    Hadi 2025 mtasikilizwa asaiv yuko bize

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 ปีที่แล้ว

    Police 🚔 wasianfalie madawa waje porini

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 ปีที่แล้ว +3

    Kwa nini serikali isiweke cctv camera maeneo yote nyeti?

    • @yusuphmohamed2304
      @yusuphmohamed2304 ปีที่แล้ว

      zaibiwa zote

    • @kusagaonlinetv3983
      @kusagaonlinetv3983 ปีที่แล้ว

      Hapo hata wakiweka cctv ni bure cha msingi serikali ilichukulie serious suala hili iweke ulinzi wa kutosha na barabara ipanuliwe ndio suluhisho pekee na hizo changamoto zitapungua hatimae kuisha kabisa

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 4 หลายเดือนก่อน

    Wizi mlima Kitonga ni NADRA.USIKU malori yanaenda wapi

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 2 วันที่ผ่านมา

      Na walisha katazwa kupita usiku mahali hapo ila ving'ang'a🤔🤔🤔🤔

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 ปีที่แล้ว +1

    Madereva wanafaa wale mirungi

    • @elmiaxmed6870
      @elmiaxmed6870 ปีที่แล้ว +1

      Uko sawa baba

    • @annakassege7134
      @annakassege7134 ปีที่แล้ว

      Serikali itenge bajeti kwa ajili ya kutanua barabara na ukuta upande wa poromoko au shimo la zaid ya mita 2.

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 ปีที่แล้ว

    Uwiii

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว

    Ukifika kitonga masikio pia yanaziba

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 2 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂we kama mimi

  • @noeljosee8384
    @noeljosee8384 ปีที่แล้ว

    Kamanda anakosea sana kusema hawajibiki kumlinda mtu mmoja mmoja. Kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zake, swala la ujumla halijaongelewa kwenye hiyo sheria. Huyo mtu mmoja unaye kataa kumlinda ndio huenda analipa mshahara wako. Polisi ya Tanzania inasahau wajibu wake.