MAPYA YAIBUKA PETER MADEREKA AKIFIKISHWA MAHAKAMANI ARUSHA-WAKILI MWABUKUSI AWACHOMA ASKARI MAGEREZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 157

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!

  • @ngoni7944
    @ngoni7944 ปีที่แล้ว +11

    Mungu akupe nguvu, bandari yetu tutaikomboa na wewe Peter madeleka you will be on top of the history ya ukombozi wa bandari zetu.

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว +27

    Mungu hawezi kutoa baraka kwa nchi yenye viongozi wa dhuluma km hii

    • @johnkaliwanje434
      @johnkaliwanje434 ปีที่แล้ว +3

      na wakat wa ss wananch kusema hapana dhuluma ,na uonevu

    • @ROBERTMGOGOSI
      @ROBERTMGOGOSI ปีที่แล้ว +1

      Umeongea akili sana kaka.
      Hii nchi Mungu atailaani tuu maana Mungu hataki ujinga hata siku moja

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 ปีที่แล้ว +18

    Tumwogope Mungu maana ukipata cheo Haina maana kwamba utese wenzako.

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 ปีที่แล้ว +16

    We kweli muandishi msomi ❤

  • @augustinenjesi3215
    @augustinenjesi3215 ปีที่แล้ว +9

    Mwandishi kweli ww ni msomi kabisaaa hongera sana

  • @salimothmanhoza
    @salimothmanhoza ปีที่แล้ว +15

    Angekuwa anatetea mkataba wa DP World na serikali ya Tanzania asingekamatwa, Dunia I Sheria haki mbinguni, mungu hakimu wa kweli

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 ปีที่แล้ว +8

    Uonevu mkubwa sana ila Mungu hajawahi acha wenye haki waonewe tuna Iman Mungu atawahukumu sawasawa na mapenzi yake hao wanao jifanya nchi ni yao😢

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 ปีที่แล้ว +4

    Lebabas kwa kuripoti kesi uko vizuri 👍👍👍

  • @amosepimacknyanda639
    @amosepimacknyanda639 ปีที่แล้ว +3

    Kusimamia haki ni dhamana ya kimungu, msiichezee 🙏🙏🙏

  • @NorahFrank-w5m
    @NorahFrank-w5m ปีที่แล้ว +1

    Tunakuombea mwamba.Mungu ni mtetezi wa wanyonge..usiogope.Mungu yuko nawe. Bwana Mungu Asema,'neno hili halitasimama wala halitakuwa kwa jina la Yesu

  • @frankhajimatozi3949
    @frankhajimatozi3949 ปีที่แล้ว +6

    Tambueni mungu niwetu sote mcjisahau sana ipo cku mtajibu tu.

  • @mickyjoseph5492
    @mickyjoseph5492 ปีที่แล้ว +20

    Ndio maana kila jambo hii nchi haliendi kwa sababu ya dhuruma,tunaongozwa na serikali dhalimu 😭😭

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 ปีที่แล้ว +4

    Wanaomfanyia hivi wakili madeleka wote walaaniwe mbele ya MUNGU

  • @DeusiSetivin-ls9uz
    @DeusiSetivin-ls9uz ปีที่แล้ว

    Hatari

  • @indalesiohenery6124
    @indalesiohenery6124 ปีที่แล้ว +2

    Pole Sana mtangulize MUNGU atakutetea

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 ปีที่แล้ว

    Huu uonevu serikali ya CCM unayofanya kwa watanzania utawagharimu siku moja..Mungu sio mtu, halali wala hasinzii. Tanganyika arise, tanganyika u'll be great. Arise and shine tanganyika.

  • @kennethmwakatobe2832
    @kennethmwakatobe2832 3 หลายเดือนก่อน

    mwabukus mungu akuongoze kwenye kusimamia kesi ya wakiri madeleka

  • @janekapinga6793
    @janekapinga6793 ปีที่แล้ว +2

    Muogopeni Mungu jamani,ache kufuru hii ,Hasira ya Mungu ni kubwa kuliko mahakama zote Duniani jmn hii haileti taswira nzuri kwenye mtakabali wa hili,Dah!!!!!!

  • @jonathankyando2698
    @jonathankyando2698 ปีที่แล้ว +1

    Wakili msomi Mwabukusi💪

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 ปีที่แล้ว +4

    Kujua sheria Raha jmn duuh

  • @haikaelkiwia9705
    @haikaelkiwia9705 ปีที่แล้ว +2

    Màhakimu wa aina hii mwisho mwema. Unatumwa kumfunga asiye na hatia!!! Nchi ya ajabu sana

  • @jessegodson8575
    @jessegodson8575 ปีที่แล้ว +6

    Badala kumkamata Samia aseme ela alizo ongwa na Dubai na kupelekea bandari zetu zote kuuzwa

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 ปีที่แล้ว

      Umeona eeeh wanakamatwa wanaotetea maskini
      ,hapo Sasa Ndo TZ hiyo,tofauti na chi yoyote duniani yani tuko kivyetu vyetu

    • @KefareyBusagaga
      @KefareyBusagaga ปีที่แล้ว

      Duuh noma sana aisee

  • @EliatoshaLema-rw5hm
    @EliatoshaLema-rw5hm ปีที่แล้ว +6

    Jamani we dada wa utetezi unatafuta laana maana mbona baada ya kuongea Mambo ya bahari ndo hayo mengine yameibuka? Jina lako ni la kinafiki Bora ungeitwa pilato

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 ปีที่แล้ว +4

    Mungu hajawai kumtupa mja wake,bali humpa shetani nafasi yakutawala akiamini yy ndio kilakitu kwamwanadamu.Kazo yamungu nilivumilia tu sikumoja atatoa hki nashetani huumbuka sikumoja

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka ปีที่แล้ว

    Mungu atawaadhibu waovu wote watanganyika tumwombe Mungu ipo siku uovu utashindwa na waovu watapotea

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 ปีที่แล้ว +3

    Mungu yupo

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana mwabukusi

  • @IvoFransis
    @IvoFransis ปีที่แล้ว +1

    Hivi mtu anateseka hivi bila haki kwa sababu ya bandari halafu eti tuna serikali sikivu. SI Bora Mungu afute hicho kizazi kwenye hii nchi?😢😢

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 ปีที่แล้ว +3

    Kuhusu kuzuia kupigwa picha hii imekuwa ni jeuri tu ya askari wetu wa kibongo kwasababu bado tunatumia sheria za kikoloni na sheria nyingi binafsi nadhani bado hatujabadilisha kwa mtazamo wangu

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 ปีที่แล้ว

      Hoja useme ni sheria kama ni ya Kikoloni lakini kama bado ipo ndio ipo iheshimiwe.

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 ปีที่แล้ว

    Mhmm hii nchi dah hatari#

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo ปีที่แล้ว +3

    Nakubali wakili msomi

  • @FaustineKingu-w8d
    @FaustineKingu-w8d ปีที่แล้ว

    Uko vizuri bandari hatuta kubali izwe Kwa mwarabu mkataba Mbovu

  • @josephpetro2968
    @josephpetro2968 ปีที่แล้ว

    Ivi kuna uhujumu zaidi ya dp world

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 ปีที่แล้ว

    Madereka mungu yuko na wewe mungu naawape pigo wote hao wanaokutungia mikesi hio

  • @imanihussein9457
    @imanihussein9457 ปีที่แล้ว +2

    amebaki mungu kuokoa tz

    • @michaelgershon9077
      @michaelgershon9077 ปีที่แล้ว

      Nani kakudanganya ukikaa ukaseka Mungu Mungu yanakua, inatakiwa usimame kwa kile unachokiamini.
      Mungu anachukia uoga. 😂😂😂

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 ปีที่แล้ว

    Baba mungu mmumba mbingu nanchi niwewe ulietuweka kapanduniani kwanini mungu tanganyikayetu imekuwana viongozi wizi wasionahofu wanaojiamini zaidi yachui Tanzania mungu selikali yetu inavotutesa watanganyika maalizetu zimeuzwa madini yameuwa ziwa limeuzwa mungu agushautawala wakihuni uliopo baba mungu hatamajeshi yetu pamoja namapolisi wsnatumianguvu kutekeleza maovu kwawanaotetea haki wanashugulikiwa wanapewa kesi nyingi watetezi wahaki baba hatunasilaha zakupambananao watesihawa mungu baba mungu baba kamaupokweli wapemalifa nanguvu nauwezo zaidi wanaotutetea sisi watanzania pita mwsbukusi lisu wabaliki wainue baba tumechoka nautawala wakutekwa ukisdmahaki tumechoka baba nakuomba kupitiajinalayesu mwokozi huutawala ufe milele nahatawakijalibu kutuibiakula awamuijayo nakutunyimahakizetu baba wachukue wote watesi wetu eatangulie huko kwawingi nimeomba baba kwahayo ti machache mungu mengituzidishie kwajinalayesu nazmini utatenda makubwa amina

  • @mamachacha6478
    @mamachacha6478 ปีที่แล้ว +13

    Huwa natamani mungu siku moja awaangamize CCM wote wabaya kama alivyofanya Kwa watu wa Sodoma na Gomorrah.

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx ปีที่แล้ว

      Tatizo akiki huna hata unachokiongea hukijui lkn wewe unadhani unajua

    • @samwelnevele7796
      @samwelnevele7796 ปีที่แล้ว

      Ccm wanahusikaje hapa jitathmini

    • @Bikhafija
      @Bikhafija ปีที่แล้ว

      Mm.pia nawaombea viongoz wadharim wote wapate matatizo

    • @Bikhafija
      @Bikhafija ปีที่แล้ว

      Masikin mwenyew Hana waswas mungu atamsimamia

    • @mamachacha6478
      @mamachacha6478 ปีที่แล้ว

      @@samwelnevele7796 CCM ndio inaongoza Serikali,sikia CCM imejaza makada wake mpaka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama achilia Kwa wakurugenzi wa wilaya usisahau kwenye judicial system yote mahakimu plus majaji mostly ni makada wa CCM so watu wanapobambikiwa case za kifala what do you expect us tuseme????ni Kwamba CCM inahusika 100% Kwa kila uozo unaohusika kwenye Taifa hili na wala haiwezi kujitenga na chochote so tunapoiweka CCM Kwa kila Jambo Sisi sio maboya.

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 ปีที่แล้ว

    Mungu akutetee Madereka

  • @robertthadeo1816
    @robertthadeo1816 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa asikali Elimu hana boro watumie nguvu hta ningekua mimi ningetumia nguvu Elimu ya kidato cha m4 kampampane na watu wenye mastaz

  • @simonkenne6892
    @simonkenne6892 ปีที่แล้ว

    Na nyinyi mkumbuke ni watu....ipo siku mungu atawaonyesha kuwa nyinyi watu na mnakufa kama sisi

  • @IvoFransis
    @IvoFransis ปีที่แล้ว

    Waelimisheni hao askari hawajui Sheria jamaniiii. Unaweza Kuta alimaliza darasa la Saba na kupigishwa kwata mguu pande mguu sawa😂 halafu akaambiwa utakuwa askari magereza😂😂,😅

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 ปีที่แล้ว +5

    Nchi hii inalaana sana

  • @manguloabawali4747
    @manguloabawali4747 ปีที่แล้ว +2

    Ebana huyu kweli mwandishi ...jamaaa ana kitu sio kiaz

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 ปีที่แล้ว +4

    Hii nchi viongozi na chama chao watauguzwa moto

  • @pascalfelician2219
    @pascalfelician2219 ปีที่แล้ว +1

    Afu wanasema kuna amani hu ni kutumia madaraka vibaya ila ukweliutajitengakila kitu kina mwisho wake walaaniwe hawa wanaotumia Madaraka vibaya

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu ปีที่แล้ว +4

    Wanamuonea pita madeleka bure wanambambikizia kesi kwà sababu amepinga mkataba wa bandari

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว

      Pita ni pita njiani au? Ucnihaibie jina ni Peter wacha ushamba.

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 ปีที่แล้ว +2

    Minazani mungu aisaidie Sana nchi hii lakini viongozi mungu awalinde nakuwapa kweli nahofu wanapo ongza nchi nasie wanadam wenzeo Amna mwenye haki hapa dunia tuwapitaji wote tupendane nakutuwekane sawa penye makosa mungu balki yzd

    • @Bikhafija
      @Bikhafija ปีที่แล้ว

      Nampenda uyumuhandishi anafamisha mpaka unaelewa

  • @Missionary_work
    @Missionary_work ปีที่แล้ว +2

    Nilipomuona Mwabukusi nilijua kutaifisha Bandari sio uhujumu uchumi, Kumbe tunawasomi waj inga Sana. Like tuwai.

  • @goodlucknjau77
    @goodlucknjau77 ปีที่แล้ว +1

    Naomba ni mulize swali wakili pendo je ndugu wa Kili nilini madeleka Ali safisha fedha , na alitumia sabuni Gani ?.

  • @yonasaimoni1302
    @yonasaimoni1302 ปีที่แล้ว +5

    Mahakama zinafanya kaxi za mahakizo ya chama chao ccm mpaka hawa magereza nao ovyo kabisa

  • @imanihussein9457
    @imanihussein9457 ปีที่แล้ว +2

    mungu anawaona yote atakwisha

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 ปีที่แล้ว +3

    Huu nchi mnatuchosha

  • @methuselamisana4115
    @methuselamisana4115 ปีที่แล้ว +3

    Katiba mpyaaaa inatakiwa

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 ปีที่แล้ว +1

    Askari kasimama kortini kaegemea halafu mikono mfukoni....hii Nchi kweli baadhi ya Polisi hawajielewi..!

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya mwakabusi

  • @emmanuelmakale5853
    @emmanuelmakale5853 ปีที่แล้ว

    Nimependa tu Mwabukusi anatembe kama anko Magu anaweza kui handle hii nchi

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 ปีที่แล้ว +2

    Ifikesehemu tudili nafamiliazao wanaotuonea polisi pamojanahao viongozi wahuniwanaohujumu nchiyetu kwakutumia dola

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว +3

    Mwandishi msomi😂
    Ujumbe unewafikia wale

  • @adalbertmboki9034
    @adalbertmboki9034 ปีที่แล้ว

    Mungu aonaye sirini atafanya mambo yake na sote tutashangaa. Haki ya mtu inapopindishwa, Mungu anainyooshaga.

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 ปีที่แล้ว

    Good reporting mwandishi msomi!

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 ปีที่แล้ว +2

    Iko siku watu wa CCM mtatamani usionekane inchi hii iko siku tutafanya msako wa kuangamiza CCM .

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv หลายเดือนก่อน

    Yaani hii awamu ya 6 kila mtu anaongoza kipande chake ya ni kila aliyeko juu ya mwenzake anapuley pat yake

  • @amosdickson6318
    @amosdickson6318 ปีที่แล้ว

    Hakika serikari ya CCM Mnajua kuzitumia kodi za wananchi kutesa wananchi.
    Malipo yenu yapo, Yanakuja mtakufa kama mizoga ya panya waliotegwa na chambo ndogo.
    Harafu yenu itapakaaa nchi nzima.
    Hizo damu mnazomwaga na kuumiza Mungu atasimama kulipa fidia.
    Yetu macho.

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh 😭

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kujua kuhusu kutakatisha fedha hii ikoje?

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 ปีที่แล้ว +1

    Hili ndo li TZ LA LEO LENYE VIONGOZI WENYE MTINDIO WA UBONGO

  • @jumannendayigeze2899
    @jumannendayigeze2899 ปีที่แล้ว +3

    Yote hayo ni nini haswa!

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana columbas

  • @samwelmeela8384
    @samwelmeela8384 ปีที่แล้ว

    Kwa mbali namuona kamanda Mdude akiwachachafya askari Magereza ndani ya chumba cha Mahakama

  • @freymuch7112
    @freymuch7112 ปีที่แล้ว +1

    Na wakat yupo polisi kafanya unyama mwingi leo hii wenzake wanamfanyia the same

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 ปีที่แล้ว

    Nchi ina dhuluma hii🏃💨

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 ปีที่แล้ว

    Haya mashtaka Mh. Rais Samia alishalizungumzia tuhuma za mapolisi kubambikizia kesi! Nchi inapoteza heshima kwa unyanyasaji wa raia kama kesi hii

  • @IvoFransis
    @IvoFransis ปีที่แล้ว

    Kwanini madeleka hajaachiliwa? MUNGU atusaidie😢😢

  • @StanleyMhagama-k4v
    @StanleyMhagama-k4v ปีที่แล้ว

    Yaani ndio nazidi kuichukia serikali

  • @florangido202
    @florangido202 ปีที่แล้ว +1

    Kesi hii Nataka Kujua Kama Mahakama haiingiliwi na Muhimili wowote wa Bunge na Serikali Ksb Mahakama pia ni Muhimili Unaojitegemea, Zambia Rais Anayetaqala sasa Alitoka Magereza Aliwahi Kufungwa na sasa Anaongozi Ni Rais.
    TUJIFUNZE ISIJE IKAWA NCHI YA VISASI, NA LEO SIO KESHO....

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya ปีที่แล้ว

    We jamaa umekubuhu kwenye kutoa habari za kesi, kesi ya sabaya irudi maana ulikuwa unaielezea vizur sana

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 ปีที่แล้ว +1

    Hii awamu ya sita mafisadi,ni uonevu kwa raia

  • @ngoni7944
    @ngoni7944 ปีที่แล้ว +1

    Yote haya madhira yanawatokea watanganyika ili mwarabu apewe rasilimali zetu

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp ปีที่แล้ว

    Madereka Mungu yuko upande wako watanzania tunakuombea usiogope waovu hawajahi kushindana

  • @mahanjisanga3077
    @mahanjisanga3077 ปีที่แล้ว

    Wakwanza araniwe jaji ambaye ameamua Tena hiyo keshi.jamani hii tz gani .ndio ire ya Nyerere kweri

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo ปีที่แล้ว

    Ccm wamesahau kua Mungu yupo na wamejifanya Miungu mwisho wao uko mwishon

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 ปีที่แล้ว

    Yaninihivi wameamukumukamata pita madeleka ili nyinyi akinamwabukusi munaoteteahaki nawatanganyika malengo yaselikali nikuwapotezeamuta wailekesi yenu mulioifungua yakupinga mukataba wahovyo Sasa wakaona wawayumbishe musifatilie Sasa bas bazi yamahakimu nawengine wameshapewa maelekezo naviongozi wajuu mamaenuhuyu muombeeni aendembinguni mapema mung chukuahawa mafisadi wanchi wanatutesa kwakutumiadola

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp ปีที่แล้ว

    Wanatakiws waelimishwe hao askari

  • @naomimaro2156
    @naomimaro2156 ปีที่แล้ว

    Yaani hapa,wanawapaisha hawa jamaa bila kujua

  • @julianamasunga3458
    @julianamasunga3458 ปีที่แล้ว +4

    Hii serikali itoke madarakani inadhuma sana,,

  • @masoudymichael
    @masoudymichael ปีที่แล้ว +2

    Nilijuwa tu amehujumu uchumi 😂 sijasema Mimi msije mkasema nimeshahujumu uchumi😅

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo ปีที่แล้ว

      Unacheka nin kwenye mambo serious?

  • @EliaHiluka-ep3tp
    @EliaHiluka-ep3tp ปีที่แล้ว

    Hivi hawa mawakili wa upande wa serikali wanasimamia haki au uonevu

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 ปีที่แล้ว

    Kwa nini watuhumiwa huwa wanapenda kuchekacheka kortini..unafuraha gani kuwa hapo?

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 ปีที่แล้ว

    Ni bandari tu hii

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 ปีที่แล้ว

    Ni hakimu au Jaji?

  • @hassanbaoma8798
    @hassanbaoma8798 ปีที่แล้ว

    Namuona hapo mwamba mwabukusi

  • @NgambilabalinziBaliguluk-os3ln
    @NgambilabalinziBaliguluk-os3ln ปีที่แล้ว

    Mwacheni huru Peter madeleka inatosha Sasa Rais Samia huoni Haya mbona Upo kimyaa

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 ปีที่แล้ว

    Sna maana mbaya ila watawala jitafakarin,
    Iv madeleka n mtu wa kulindwa na askar weng kia's hicho
    Utazan jambaz sugu flan iv lnaletwa mahakaman,
    Jmn eb tubadilike hii nchi ya aman haya mambo hayana maana kbisa,
    Tunapoteza muda, code za wananch kwenye vtu vsivyo na msing,
    Kwan madeleka ana fujo gan znazoweza kumshinda askar Mmoja wa kawaida tu,
    Viongoz badilishen haya mambo

  • @RwelamiraPascal
    @RwelamiraPascal ปีที่แล้ว

    Hiyo pambio "Mwandishi habari Msomi" ikoje?

  • @RoseKipimo-e4g
    @RoseKipimo-e4g ปีที่แล้ว

    vile wanavyomtendea Madeleka ipo siku watalipa iwe wao au vizazi vyao pumbavu hawa waonevu

  • @sweetbertkikarugaa8814
    @sweetbertkikarugaa8814 ปีที่แล้ว

    Huo ni huuni wakuzima swala la bandari,,

  • @mariosigala8760
    @mariosigala8760 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU hajawai muacha mtu mwenye haki.

  • @JoachimKisoka-d5l
    @JoachimKisoka-d5l ปีที่แล้ว

    Mfalme Suleiman aliomba hekima na busara akavusha Taifa na akaliepusha na laana wengine Leo wanashupaza shingo wakati hawajui ya dakika moja ijayo.