HUKUMU: KIJANA ALIYEMUUA MAMA YAKE na KUMTUPA KWENYE SHIMO la CHOO ARUSHA AKUTWA na HATIA AHUKUMIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 420

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +8

    Global TV Online
    ​ JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @paulinapius3184
    @paulinapius3184 ปีที่แล้ว +20

    Halafu linacheka kama fala

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 ปีที่แล้ว

      Hili jitu nikuma katika mazuma wote dunian

  • @Muhamed_mo
    @Muhamed_mo ปีที่แล้ว +27

    Inshaallah na yeye atauliwa na mwanawe kwa bahati mbaya tu

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 ปีที่แล้ว +31

    Tutamkuta nje baada ya mwaka mmoja km yule mdada aliua mama yake akishirikiana na bwana ake na mganga wa kienyeji kaachiwa basi na huyu ataachiwa tu

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 ปีที่แล้ว +9

      Haa kumbe huyo dd aliachiwa huru 😮lakini hata wakimwachia maisha gani ataishi kuuwa mzazi damu ya mama ake itamuadhibu maisha yake yote

    • @polycarptarimo5141
      @polycarptarimo5141 ปีที่แล้ว +7

      Yan umenishangaza kumbe yule dada kaachiwa basi damu ya mama yake itamlilia tuu

    • @benjaminjoseph1747
      @benjaminjoseph1747 ปีที่แล้ว +4

      Wanasheria acheni kutetea uovu na ndoo maana mauaji yanazidi Tanzania. Myu akua mama yake halafu mnamwahia. Sasa atarnda ua mdogo wake wakigombania mali. Naana ilionekana yule mama alikuwa mpambanaji.
      Na huyu kijana alikuwa anakaa kwenye nyumba ambayo mama yeke amejenga. Sukuma ndani muuwaji ni muuwaji tu

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 ปีที่แล้ว

      @@user-up9hk6go1f Kitambo mbona yupo nje

    • @nigamo9645
      @nigamo9645 ปีที่แล้ว

      ​@@user-up9hk6go1fndio kaachiwa huru

  • @hasankasam5576
    @hasankasam5576 ปีที่แล้ว +36

    Ya allah tunusuru sisi na wazazi wetu pamoja na vizazi vyetu inshallah..

  • @benjaminimndeme
    @benjaminimndeme ปีที่แล้ว +11

    Huyu kijana ni kichaa yani aue kweli mama yake kweli????????? Mama????? Eee Mungu tuongoze Vijana

  • @Israeleliah
    @Israeleliah ปีที่แล้ว +5

    Yaan mawakili mtakua na kazi ngumu sana mbele za mungu

  • @jozamsolomon4002
    @jozamsolomon4002 ปีที่แล้ว +14

    Damu ya mama yake na iwe juu yake, alaaniwe na wote walioshiriki kumtafutia wakili.

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 ปีที่แล้ว +6

    Jamani hili litoto linalaana kubwa hii miaka kumi alofungwa ni midogo sana lingenyongwa kabisa huyu akimaliza kifungo anaeenda kumuuwa na dadaake ili apate mali huyu hafaii kwenye jamii unamuuwa mama yako kweli aliye kuzaa ukaijuwa dunia daaah huzuni sana mwenyezi mungu akulaani maisha yako yote shetani mkubwa😭😭😭😭

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 ปีที่แล้ว +23

    Nafikilia uchungu unavyouma jmn 😢halafu mtoto aje kukuuwa jmn khaa 😭😭😭😭imeniuma sanaaaa kijana unalaana kubwa na huwez kuifuta milele😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 ปีที่แล้ว +1

      Mungu ndiyo mwenye kusamehe Kila aina ya kosa kama ukiomba msamaha Kwake!! Ila kibinadamu ndiyo ngumu kusamehe

    • @zuwenaalamin8985
      @zuwenaalamin8985 ปีที่แล้ว +6

      @@paulmushi2428 kweli kbs sijahukumu ila nimeumia Sanaa mm Sina mama mwaka wa 20 nataman angekuwepo Ila ndio mipango ya mungu

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 ปีที่แล้ว

      Kwel kabisaaa

  • @annamnanka-qk1bx
    @annamnanka-qk1bx 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hata akiachiwa mungu atamlipia mama ni ndiye kila kitu malipo ni hapa hapa duniani mungu atakushungulikia kweli unaamua kumuua mama mzazi kisa mali za dunia

  • @damiankilyenyi5367
    @damiankilyenyi5367 ปีที่แล้ว +45

    Hapo mm ndiyo huwa nachoka na mambo ya sheria, yaani kila kitu kipo wazi halafu kuna mwanasheria anamtetea kwamba hakukiri kumua mama yake,
    1. Yeye ndiye aliyeonyesha na mwili ukiwa kwenye shimo, simu na hivyo vifaa.
    2. Yeye alikuwa anaishi na mama yake na hapo mama akauawa na alipoulizwa alisema amesafiri.
    Ni wazi kwamba hao wanasheria wanaomtetea wanemfundisha hayo yote. Hakimu wa kweli ni Mungu, maana yeye atahukumu siri za wanadamu ambazo hata dunia na watu hawakuweza kuona.

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 ปีที่แล้ว +2

      Mtu anadirik kusema hawajaridhika na hukumu je angeuwawa mama yako na huyo mtu ungesema hivi? Iwe alikufa kwa kupigwa au kwa kukosa hewa ila sababu ya kifo ni huyo jamaa hivyo atumikie kifungo tu. Ndio maana warabu wanawauwa tu watu wa aina hii hili kupunguza wauwaji hawanaga bahati mbaya.

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 ปีที่แล้ว +2

      Yaani lim2 linatetea liuwaji,baadae hiyo laana itayarudia kwa family xao,

    • @janerosempeta5662
      @janerosempeta5662 ปีที่แล้ว +2

      Ndo maana Mimi hata mwanangu akisema anataka kuyenda school ya kuwa mwanasheria sitaki kwani kuangalua huyu MTU kafanya Hilo kosa watamsimamia

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 ปีที่แล้ว +1

      Hana laaana mbaya Kama ya mama

    • @sharifasharif3978
      @sharifasharif3978 ปีที่แล้ว +3

      Ndio maana mm watt wangu huwa nawakataza kabisaa kusomea sheria sababu ya huu upuuz na tamaa zao za kuuliza watu kutetea mtu mwenye makosa tena hata Allah anakemea na hukumu zake katoa tena nzito lkn mtu ana mtetea mtu ambaye hata MUNGU anachukizwa na uuwaji tena basi mama yako khaaaa🙄🤔kosa lake kukuzaa ama

  • @IbrahimShan-qu3um
    @IbrahimShan-qu3um ปีที่แล้ว +3

    Nashindwa niongee nn nsije nka2kana mungu niepushe .... inarillah 🙏

  • @JulianaMushi-nq3kc
    @JulianaMushi-nq3kc ปีที่แล้ว +9

    Huyo ana laan tiari damu ya mamake itamlilia daima wala asifurahi kuja uraiani maan dunia itamwadhibu

  • @oneclick2023
    @oneclick2023 ปีที่แล้ว +3

    Kuna watu tu natamani, hata sekunde moja mama afufuke.. Wewe unamuua mama. Seriously??? 😢. Bad man.. Dunia hii ipo ukingoni.. NANI KAMA MAMA. 🙌.

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hajakusudiya na yeyeye ndo along.buruta kuitiya shimoni 😢jamani mtihani duniya hii unateteya uovu sababu hela wallah kweli mungu ndiye hakim wa haki

  • @JulianaJackson-lz6vq
    @JulianaJackson-lz6vq ปีที่แล้ว +4

    Amewakana had ndugu wa mama ake et awajui. Na hapo utakuta ndg wa baba ndio wamemtafutia wakili.hizi familia zetu Mungu atusaidie.

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 ปีที่แล้ว +6

    Marehemu hana haki kabisaaaa!huyu mshenzi ni tamaa ya mali tu alikuwa nayo.ningekuwa dada yake ningeuza kila kitu nihame nchi akitoka huko mahakamani akute deshi.

    • @Kidotii
      @Kidotii ปีที่แล้ว

      Yaani huyu aliebaki asichelewe auze asepe

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 ปีที่แล้ว +2

    Uyu kijana amelaaniwa duniani mpaka kwa Mungu.Serikali iwe inawafunga maisha wale wanaoua sio kuwaonea uluma hii kesi ipo wazi kbs km ameua mamaake na kumtupa kwenye shimo 🙌🏼😭😭😭😭😭afai kuishi na jamii AFUNGWE MAISHA ALICHOKIPANDA NDICHO AKIVUNE

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 ปีที่แล้ว +9

    Mungu ndiye ajuaye ukweli wote.

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk ปีที่แล้ว

      Sema Wewe Hakika Yan uyu kijana Kama kafanya ichokitu lazima Tyuu Awe ukecakili

    • @happymvula
      @happymvula 11 หลายเดือนก่อน

      Kwani huoni ashaanza kuweuka? Anaraha kabisa, tabasamu juu. Kwa tukio alolifanya hakutakiwa kuwa normal hivo

  • @roselynsesoa2477
    @roselynsesoa2477 ปีที่แล้ว +2

    Amepata adhabu ndogo sana,wengine watafanyahivyo wakiona si adhabu ya kutisha,angefungwa maisha huyo apotee,akitoka hatatakwa na ndugu Wala yule dadake....

  • @attunelson8828
    @attunelson8828 ปีที่แล้ว +10

    Tena alikua anataka Mali kutoka kwa mama na akamuua na uufucha mwili mpaka ndugu yake alipokua anamtafuta.Adhabu ni ndogo sana

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 ปีที่แล้ว +3

    Kijana mzuri sura,roho ya mauaji 😢
    1)amepigiwa sim akasema mama amesafiri
    2)alie onesha mwili ulipo ni yeye
    3)vifaa vyote alivyotekeleza mauaji alie onesha ni yeye
    Na bado muuaji ajulikani😮
    Huyo mama inaonesha amekufa kifo cha taabu sana

    • @suleimansultan3333
      @suleimansultan3333 ปีที่แล้ว

      Wanasheria muogopeni mungu ipo siku ntakufa na ivyo vipesa vyenu mlivyo vipata kwa kusema uwongo mtajuta

    • @rehemajongo7906
      @rehemajongo7906 ปีที่แล้ว

      Kwakweli wanasheria kuweni na hofu ya Mungu, maana hakuna atakaeishi mile, muuwaji ni muuwaji, kesho atakuuwa wewe baada ya kumdai mabaki ya kazi uloifanya, kutetea muuaj

    • @MowanaMohammed
      @MowanaMohammed ปีที่แล้ว

      @@suleimansultan3333hii kaz ya uwanasheria ni khatar sana mbele ya mungu

    • @najmamgallah8154
      @najmamgallah8154 11 หลายเดือนก่อน

      N sawa, atatok Hy kijan , lkn mjuw ataish kw shida sanaaa n atateseka sanaaa, wt hawaoni ila mungu anaonaaa, walah damu y Mt n nzito, tenaa mamaaa kijan utateseka aanaa

  • @arafapilingu
    @arafapilingu ปีที่แล้ว +3

    Yaan anatabasamu dunia hii kuuwa mama😢😢😢😢

  • @mbuerecarlos1396
    @mbuerecarlos1396 ปีที่แล้ว +1

    Huyu kijana anyongwe Tanzania mkimtoa hivi hivi wazazi watauliwa sana mnafanya System za Amerika kuuwa mtu sikitu.Ogopa Mungu Mama ni Mama .Wazazi Andamana watoto watawaua na wasichukuliwe na hatia. Huyu mtoto anyongwee. Akitoka atajidai sana kuwa ni bingwa. Asila ya Mungu Iwake juu yakee.Maisha yake yawe mabaya sana.

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 ปีที่แล้ว +6

    Uyu ata siwakufungwa miaka 10 kidgo sana Bora achille huru gereza la Allah lamtosha 😢😢Allah atuepushie shetani wamauwaji pammoja na kizazi chetu in shaa Allah mitihani kweli 😢😢

    • @xxxl-jf2ji
      @xxxl-jf2ji 3 หลายเดือนก่อน +1

      Amin

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 ปีที่แล้ว +8

    Huyo ni muuwaji tu na damu ya mauwaji itamzunguka daima na pia akitoka bado ataendeleza kuuwa tena ila amelaaniwa kabisa

  • @ablashaffy2860
    @ablashaffy2860 ปีที่แล้ว

    Mh handsome ambaye humdhanii kabisa jaman....enyi wenye watot msiwacheke wasio na watot ni kumuomba Mungu tu

  • @winfridahubert4072
    @winfridahubert4072 ปีที่แล้ว +3

    Anaonekana anamadharau na hatokua na raha maisha yake yote unamuua mama ako ???? Dunia imeisha

  • @EboMagai
    @EboMagai ปีที่แล้ว +4

    Miaka kumi midogo 15:07

  • @frankmollel8510
    @frankmollel8510 ปีที่แล้ว +3

    Ww wakili natumai unaona watoto ata kwako yatakufika ndio tuone iyo Sheria unayoizungumzia ww

  • @ShangweSylus-nf6we
    @ShangweSylus-nf6we ปีที่แล้ว +20

    Hili shetani linacheka bwana duh wanawake tunaleta, yaani wakati linazaliwa mamake alipewa hongera jamanii Mungu saidia vizazi vyetu vikawe vyema kwetu.

    • @MaedaMm
      @MaedaMm ปีที่แล้ว

      Yaani toto likashakuwa tu bora uliwezeshe lenders kuishi mbali na wewe kuepusha shari

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 ปีที่แล้ว

      ​@@MaedaMmmtoto wa hivi hata umfanyie nini atakudhulu tu,anatumia kinaisha anataka Tena,tunazaa kwa kuwa na matumaini ya kupata watoto wapendwa

    • @nolimittvonline6822
      @nolimittvonline6822 ปีที่แล้ว

      Shetani Ali amevaaa roho ya hyo kijana uchawi upo

    • @mage1799
      @mage1799 ปีที่แล้ว

      nyie wana sheria kwa utetezi huu Mungu ndio shahidi. acha kijana mteja wenu atiwe hatiani, afie jela na akiwa nje atambue umma utamshangaa kwan mtoto anamkoseshaje mamake hewa!!! anyongwe tu jaman

    • @mage1799
      @mage1799 ปีที่แล้ว

      jitu lenyewe linacheka kwa kufiwa na mm mzazi, Mungu analiona😭

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 ปีที่แล้ว +7

    Madereka madereka najua uko kazini lakini huyo kijana sio wakumsaidia jamani aliua huyo naomba wakikata lufaa hukumu itoke ya kifungo cha maisha au miaka therasini huyo alitamani mali za mama yake

  • @dennisnjau2427
    @dennisnjau2427 ปีที่แล้ว +4

    DAAH SHERIA NI MCHEZO MCHAFU SANA😂

    • @irhamseif
      @irhamseif ปีที่แล้ว

      Na ndio maana kunasanamu mahakamani limefungwa kitambaa cheusi ikimaanisha sheria haioni.ndio maana hata huyu wameshindwa kuuona ukweli na kumpa adhabu ndogo hv dah yule mama alokutwa na vipande vya nyama alilimwa miaka pesa nikitu kingine .

    • @dennisnjau2427
      @dennisnjau2427 ปีที่แล้ว

      NDIO Maana Jamaa Anatabasamu tu..Kesi Inapelekwa Mahakama Ya Rufani..Mtuhumiwa anapata Rufaa Na Kwa Mapungufu Yaliyopo Kwenye Hukumu Ya Kwanza..Naamini Huyo Mtuhumiwa Anaachiwa Huru ..Tena Hata Hyo MIAKA 5 Gerezani Hakai 💪🙏

  • @deonicemollel4205
    @deonicemollel4205 ปีที่แล้ว

    Hakuna kitu kinanikera kuckia anasema MTEJA wetu pumbavu kbs mama mamaaa aaaaah hapana 😢😢😢

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 ปีที่แล้ว +15

    Ningekua hakimu adhabu Ni hii
    Kifungo maisha ,nakupelekewa Moto
    Uwezi muuwa mama mzazi ,mshenz mkubwa

    • @SophlaJackson-nt1nc
      @SophlaJackson-nt1nc ปีที่แล้ว

      Kivipi kaka mkuu kwengine nime elewa kifungo cha maisha Kupelekewa moto teena😂😂😂🤔

    • @anunalamin6472
      @anunalamin6472 ปีที่แล้ว

      😂😂😂majanga

    • @YusuphKalli-ds5sy
      @YusuphKalli-ds5sy ปีที่แล้ว

      Yani afanyiwe ukali asitetewe😂😂

    • @hezronjoseph405
      @hezronjoseph405 ปีที่แล้ว

      @@YusuphKalli-ds5sy eti anatabasamu

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 ปีที่แล้ว

    Linyongwe hilo mbona linacheka jmn😳😳😳😳😳ataenda kummalizia na mdg wake hyo jmn ili abaki yeye😢😢😢😢

  • @AishaSalaga-rv7sb
    @AishaSalaga-rv7sb ปีที่แล้ว +2

    Tamaa mbele

  • @gidongowi-o7u
    @gidongowi-o7u หลายเดือนก่อน

    Duh miaka kumi tu. Maharaja maharaja mahakim mtafika mbinguni mmehoka sana na mtatumbukizwa kwenye tanuru la moto

  • @polycarptarimo5141
    @polycarptarimo5141 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna ugomvi au kosa ambalo mama yako anaweza kukufanyia hadi wewe ufikie kumuua yan miez 9 amekubeba tumboni kakunyonyesha alafu leo hii umuue basi imetosha pale palikuwa ni kwa mama ondoka mwambie mama nashukuru kwa malezi na kunizaa sasa ili nisikukosee nikamkosea na Mungu bora niende mbali. 😭😭😭😭😭

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 ปีที่แล้ว +5

    Kwa nini Kijana uliamua kuchukua hatua hiyo kama ni kweli?Mama yako mzazi Mungu tusamehe sana

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 ปีที่แล้ว +1

      Huyu kijana ni shetani kupitiliza mungu kamuonyesha mapema mana asingefanya hivyo angekuja kuowa na kumuwa mkewake , ni mnyama mno ila hatofanikiwa mpaka kufa na sijui km atakuja kuowa mana hakuna familia itakayo mpokea huyo, damu ya mama yake itamtaguta milele, ha! 😭😭

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 ปีที่แล้ว +1

      Analia Nini mbwa huyo mjinga sn wangemhukumu kunyonga kaka hiyo ha!mungu wangu

  • @beatricemollel8720
    @beatricemollel8720 ปีที่แล้ว +11

    Hiyo adhabu ni ndog angefungwa maisha

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 ปีที่แล้ว +4

    Huyo alikua afungwe maisha hiyo miaka michache sana jamani inatakiwa anapotoka awe mzee asienderee kuua

  • @ahmadamohamed1907
    @ahmadamohamed1907 ปีที่แล้ว +5

    Ukiweza kazi ya uwakili unaweza kuwa mchawi wakati wowote ndio hivi unamtetea mtu tena amemuuwa mama yake mzazi

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 2 หลายเดือนก่อน

    Mie mwenyewe natafuta mama natamani hata afufuke harafu wewe unampoteza mamayangu hivi hizo mali umeona ndo zitakusaidia umeraaniwa kabisa hatakama utaenda nchi nyingine laana Bado Inakuandama katika maisha yako

  • @AllyOmarHamad
    @AllyOmarHamad ปีที่แล้ว +1

    Hukohuko jela mungu atamuhukumu.

  • @agnesmartin5716
    @agnesmartin5716 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna haki hapa 😢😢😢😢😢

    • @SalamaAkilimali-ly3bu
      @SalamaAkilimali-ly3bu ปีที่แล้ว +1

      Haki Kwa M Mungu Allah atunusuru na vizazi vyetu yarabii mama anakuzaa anakulea Kwa Imani unakuja kumuuwa Mungu atakulaan duniani na ahera pia

  • @abibumussa8808
    @abibumussa8808 ปีที่แล้ว

    Jaman Kilimanjaro mnann?

  • @agnesmartin5716
    @agnesmartin5716 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 ปีที่แล้ว

    Hii nchi jmn,,,,me hta kuendelea kusikiliza hya maelezo nasikia kutapika😢😢😢😢😢😢jmn vielelezo vyote hyu filauni kaua halafu et hakuua kwa makusud

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 ปีที่แล้ว +3

    Ninauwakika damu ya mtu italipa tena kwenye kizazi chake😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @ZainabjumaNyika
    @ZainabjumaNyika 3 หลายเดือนก่อน

    Kulumba namba namba zako

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 ปีที่แล้ว

    Eti aliua bila kukusudia!!!!???, hadi afikie hatua ya kumzamisha kwenye shimo la majitaka hajakusudia??. Mwenyezi mungu rudi tu uhukumu hii dunia😭😭😭.

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 11 หลายเดือนก่อน

    Yaani ameuwa mzazi wake na akatoa ushahidi wote alafu anahukumiwa miaka 10 tu.subhana llah.alla atakulipa kwa wanao watakuuwa kama ulivyo uwa mzazi wako. Kama tudin tudan.malipo ni hapahapa duniani.

  • @ChugaKazi
    @ChugaKazi 8 วันที่ผ่านมา

    Alafu kuna mdada anam❤😅😅😅😅

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 ปีที่แล้ว +4

    Kijana anaroho mbaya kumuua mamayako

  • @saidihysn2212
    @saidihysn2212 ปีที่แล้ว

    Awo washaadiwa ela kama akiwa nje ndio mana wanafosi kutetea lakn mungu ni mmoja na ndie ajuae yote so ipo cku itamkuta ata yeye kwa uwezo wa mungu hao wanasheria ni mashetani tu

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 ปีที่แล้ว

    Mmm😂😂 aachiwe huru kwakumuua Mamaake?? Mawakili mnajalihela tuu.mtauona moto.

  • @rehemajongo7906
    @rehemajongo7906 ปีที่แล้ว

    Alaaniwe duniani had Ahela, walomtafutia WAKILI na WAKILI wote walaaniwe, maana wanaendekeza Tama ya rushwa, Mungu awalaani

  • @praisesteven7774
    @praisesteven7774 ปีที่แล้ว +2

    yaan leo ndio nakumbkaaaaa uyu kijanaaaa jmn

  • @rayanrashfayaa244
    @rayanrashfayaa244 ปีที่แล้ว

    Mbona uku kwetu Zanzibar ukiua kwa kukusudia unanyongwa, ? Mmh

  • @susanmshindo7593
    @susanmshindo7593 ปีที่แล้ว

    Mmm jamani haijakaa poa hiyo mamako umwue kisha umtupe ktk maji taka kisha ukane hukukusudia c kweli hizi sheria ziangaliwe upya jamani na busara na thamani iangaliwe ya mzazi kambeba miezi tisa tumboni tabu zote za kumzaa na kumlea ndo malipo haya eeh Mwenyezi Mungu ingilia kati nae angenyongwa tu atamaliza wenzie ktk family hafai kabisa damu ya mama ake na imlilie kila dkk huyu

  • @Edithaamosi-md6or
    @Edithaamosi-md6or ปีที่แล้ว

    Asante

  • @felistaseleki720
    @felistaseleki720 ปีที่แล้ว

    Dash we kijana kyna watu wana tafuta mama we unaua😢😢😢😢😢

  • @madamehatibu9324
    @madamehatibu9324 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtoto hawezi kuwa na amani mi ningemwachia aende zake afurahie maisha maana uzuri siku za mwanadamu ni chache

  • @MeshackMadeha
    @MeshackMadeha 10 หลายเดือนก่อน

    Yan mama ako unamuua kweli dah very sad😢😢

  • @melichmahingule2896
    @melichmahingule2896 ปีที่แล้ว

    Ivi kwanini Mungu ana samehe lakini mahakama haisamehe? Huyo kijana asamehewe.,.achapwe fimbo 12 then asamehewe

  • @Jameskakola
    @Jameskakola 4 หลายเดือนก่อน

    Kulumba nipe namba zako kuna ishu tuijenge kaka

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 ปีที่แล้ว +2

    Alafu liko hapo linacheka kama taahira. Huyu akitoka ataua na hao ndugu za mama

  • @AholeLifilima
    @AholeLifilima ปีที่แล้ว +1

    Naogopa jamani mungu ukoa vizazi vyetu anacheka kabisa jamani

  • @RahmaMtua
    @RahmaMtua ปีที่แล้ว

    Hata kama haki imepindishwa na wanadamu mungu atamuadhibu hapahapa duniani

  • @rachelndaki5642
    @rachelndaki5642 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo ni mama mtu baki je mh we mkaka hata hufananii😭😭

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว

    Mungu ndiye hakimu wa ma hakimu
    Aliyeua naye auawe

  • @carolyneerick8372
    @carolyneerick8372 ปีที่แล้ว

    Duuhh!! Huyo kijana kumbe alimuuwa mama akee??? Na alaaniwe

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz ปีที่แล้ว

    Laanahtullah hao walotoa hukumu miaka 10 utadhani kaua mbwa, huyo akitoka ataua Mschana alobaki uwiii mungu saidia Mschana,

  • @Mojabo-l8u
    @Mojabo-l8u ปีที่แล้ว

    Sasa bado mnaji chekesha nn hapo mtu asichukuliwe hatua jangili uyo kwann alienda kumtupa roh 😅😅😅😅

  • @riklzibosi8268
    @riklzibosi8268 11 หลายเดือนก่อน

    Dah

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 ปีที่แล้ว

    YANI aliee mkata mtu kidole gumba kafungwa maisha aliee uwa amefungwa miaka 10 alafu hana ata wasiwasi😢😢😢😢

  • @strawberryrachii12-xh5bq
    @strawberryrachii12-xh5bq ปีที่แล้ว

    Huu ni mwisho wa dunia 😢yan mtu ana viashiria vyote adi kukiri na bado kuna utetezi unaosimama kusema bahati mbaya hii sio sawa uyo alidhamilia kwanza alipata wap nguvu ya kupambana na mzazi alafu hii inafundisha nini kua mzazi akikosea apigwe au haki isimame uyo kijana ana hatia tayari

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 ปีที่แล้ว

    Jamani mbona kaka mzuri tu kanzaje kufanya ivo😮

  • @RidhwanfakiRifa2020
    @RidhwanfakiRifa2020 15 วันที่ผ่านมา

    Kama hakukusudia kwann akamvingirisha manguo na kumtupia chooni ?? Acheni kutetea wauwaji

  • @MaryChao-ob9zl
    @MaryChao-ob9zl ปีที่แล้ว +1

    Mungu at usaidie viazi vyetu😢😢

  • @raheebraheeb-vd7qv
    @raheebraheeb-vd7qv ปีที่แล้ว

    Anatetewa nnn??

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 ปีที่แล้ว

    Hizi Sheria shida sana

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 ปีที่แล้ว

    Hivi hyu kweli afungwe kifungo chamiaka kumi tu atoke alafu aendeles kutumia hki zamama yke.Jmn hivi hyu mtoto sikuakitoka siatamuuwa hta ndugu yke.Kwasababu anatamaaa yamali.Wakili madereka tunaimani sana naww,Kumtetea mtu aliemuua mama yke sisawa.

  • @jenifadenis7321
    @jenifadenis7321 ปีที่แล้ว

    Jamani apa kunatatizo

  • @StevenLyimo-u4y
    @StevenLyimo-u4y 9 หลายเดือนก่อน

    Hao ni wachaga mjifunze makabila wengine wachaga wana roho ngumu sana kwenye kitu kinachoitwa mali

  • @mendradajoseph
    @mendradajoseph ปีที่แล้ว

    Miaka10 mbona kidogo

  • @irencagees8139
    @irencagees8139 ปีที่แล้ว

    Mmmmmhhhhhhhhhhh😢😢😢😢

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 ปีที่แล้ว

    Noma

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 ปีที่แล้ว

    Aya maisha aya huu ulimwenguni unatudanganya sana ukiona mambo yanachelewa tambua kuna we miso misondo umepigaje hapo

  • @sofi_1940
    @sofi_1940 11 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh,,, uyo muuaji,,

  • @saidkilima6485
    @saidkilima6485 ปีที่แล้ว

    Hana hofu kabisa sijui nini anakitegemea kweli mama zetu mungu awalinde sana hana hata huruma linacheka tu

  • @Mapitofilm
    @Mapitofilm ปีที่แล้ว

    😢😢

  • @happinessmadadi1884
    @happinessmadadi1884 ปีที่แล้ว

    Duu mpaka anaenda kumtupa choon kwel bado siyo kukusudiwa, mmmh jaman

  • @SophlaJackson-nt1nc
    @SophlaJackson-nt1nc ปีที่แล้ว

    Mbalikiwa Mwakipesile Mchungangaji pasina kosa lolote kahukumiwa miaka 3 muuaji Tenakakutwa Nahatia naushahidi kamili miaka kumi Saudis labia huyo kesho tungeona Kanyongwa hadhalani au Kuchinjwa halafu ndyo tuna Anza kuita wa Islam magaidi😢😢😢

  • @manambaboniface
    @manambaboniface ปีที่แล้ว +1

    Polisi walitrack simu ya marehemu wakagundua imezimwa hapo hapo nyumbani na Wala haikusafiri popote ndio maana walimbana huyo mtoto wake huo ni ushahidi mhimu ulimfanya kijana aunganishwe na tukio

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 ปีที่แล้ว

    Tunazaa wauwaji Allah akuadhibu hapa hapa dunian lione sura lake

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi ปีที่แล้ว

    Hiyo ni miaka kidogo sana

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 ปีที่แล้ว

    Sasa kauliwa nanani msituxonge